Maggie Muliri & Elisha Muliri Ft Michael Bakenda - Neema Tu (Offcial Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2021
- Tunalindwa kwa neema ya Mungu jinsi tulivyo ni kwa Neema tu wala hatustahili kwa sababau ni yeye aliyetusaidia kuweza kuyashinda yote tuliyopitia usikate tamaa songa mbele yote yanawezekana bado Mungu anakuwazia mema.#MaggieMuliri#NeemaTu#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital - เพลง
Shukran sana wazazi bien wetu wenye kipaji kizuri. natamani pia nikaonekane kwenye videos kama hizi ila bado wakati yangu naona kama haija fika.
merci beaucoup et félicitations au couple Elisha muliri et Michel bakenda. ❤️❤️👏👏 Soyez abondamment béni.
Sichoke nakubarikiwa na wimbo hui, aah
Waoooooooooooo wimbo mzuri sana utakuja hadi moyoni mwangu
Kitoto cha Mungu Kinaimba vizurii, mama mchungaji umenibariki sana
Amen ubalikiwe sana
Safi Sana.
When grace finds you unagaa tu
Nyimbo nzuri dear
Amina kubwa ...neema ya Mungu ni kubwa sana kwangu.... Na shukuru sana kwa hii neema kubwa juu yangu....imebadilisha historia yangu....
Dadaangu nakufata tokea goma apa courage
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪 fiere de toi mon bakenda
Hongereni sana vraiment. neema ya tutosha.
Amen,tunaishi kwa neema tu
Kweli.maisha.ya.mwanadam.ni.neema.ya.mungu.haleluyaa
Fr Michael and other brother even our sister God bless 🙏🏾
Kweli Kabisa ni Neema tu
Aaaaiiii......yeyeyeeh.....ngulula nzambe yeyeeeeh......oooh......mmmmmm....oooh kolou......!!!!!!!!!! at 1:51
Yote nikwa neema tu. Mungu awa kubariki
Kwan kweli sio Mimi Ni Neema maana bila Neema ningekuwa sipo katika uso wa Dunia na kwa Neema nitafika ng'ambo kwa Neema🙏🙏
Kwa Mimi ,ni NEEMA tu ya MUNGU ,🇧🇭🇧🇭🇧🇭🔥🔥
Neema ime tu heshimisha......🏅🏅🏅🏅🏅🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈.....sio degree in neema tu.🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
Heee miye maibobo, yatima, neema ya mungu tu, baba Asante 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭😭😭
Songa mbele mamangu
Mungu awabariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nabii muliri na magie muliri, kiukweli mnanibariki sana huwa sichoki kuwasikiliza, kiukweli familia hiyo mmebarikiwa
Wahou bravo ma soeur et fr michel
Wimbo mzuli mtumishi 🙏👍
Amen amen dear
Ni neema ya mungu ,kweli
Tuombe Neema ya Mungu maana Neema ya mwenyezi Mungu yatutosha
Beautiful music, blessed team Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Hongereni sana baba na mama,mzidi kuinuliwa,ni kwa neema tu
Ni Neema ya Mungu👌👌🔥🔥🔥🔥
Kumbe Frere Bakenda anajua swahili vizuri hivi,kazi nzuri kwenu wote wandugu
Ndiyo ni neema ya bwana njo inatusimamisha,mubarikiwe jamaani kwa nyimbo safi
Ni neema ya Mungu imenibeba
Safi sana
Nineema kweli
Kweli ni kwa neema ya mungu
Mungu ababariki musonge mbele ndani ya huduma yenu🙏💪
ngolu kaka
Hongerini sana wazazi wazuri
Amen amen
Jinsi nilivyo nineema ya mungu jinsi nakuwa kuwa kesho nimungu njo anajuwa thank you my love 😘😘😘😘😘
Amen Neema yamungu inatosha
Wimbo nzuri.
Sauti ya Micheal nzuri sana
Waaw hongera Sana Mamaangu
Mungu nijaliye neema yako ata kama mimi umenipa jina ya neema bado nataka nikuone niguse baraka zako na uni teteye eee Mungu wangu
Mungu awatunze, Ni Neema ya Mungu tu jinsi nilivyo
Mungu akubariki sana
I love wajina kazi nzuri
Amen n neema ya mungu
Mubarikiwe sanaaa
Vraiment huondo ukweli ni kwa Neema ya Bwana Mungu
weh! nimecheza muziki my dear.... Mungu awabariki. Kenyan in Asia loves it.
Neema inatafutanga mtu,ni neema jinsi nilivo🤲🤲🙏🏽
Nyimbo yenye ujumbe mzuri safi sana ni kwa neema tu Leo naishi wingereza asante Mungu mkuu kwa neema yako
Kasong bado kamoto kabisaaa 🔥🔥hongera Mama na Baba kwa KAZI nzuriiiiiii MUNGU aendelee kuwatumia kwa viwango vya juu zaidi sana
Kweli ni Mungu tu
Amen Amen Amen 🙏 kweli ni kwa Neema
Ni neema tu kabisa
Nehemaaa inatawale amani
Safiii
Neema tu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kwa jinsi nilivyo mimi ni neema ya Mungu
Waoooo👌♥️♥️
Yeeeeeeesssssssss oyo ekomeli ngayi eza ba calcul ya nzambe...eza likambu ya ngolu 👏👏👏
N'a ichi kua nehema
Neema ya Mungu baasi.. Amen
Powerful touching song more grace
Amen sana🙏🙏🙏🇳🇴🇨🇩
Hallelujah ni Neema kabisa
Safi sana, Muliri Famili & Papa Michael Bakenda. Nawapendaga sana.
🔥🔥🔥🔥🔥neema ya Mungu inatosha maishani mwangu nice song
Wow 🔥🔥🔥🔥 kazi ya Mungu iendelee..
Ni neema yako tu baba inatufanya gisi tulivyo leo Mungu awabariki wa zazi wetu🔥🔥🔥🔥🔥papa Michel sois béni❤
Eza likambu ya Ngolu
Maman pastor courage ! Mimi mutoto wa pastor elisha( rda) neema ya mungu imenibeba mpaka ulaya(Europe). Ni nawa miss sana !
Kweli.kabisa.nineema.yamunguiliyotubeba.
Alafu umeuimba huu wimbo unamwambia mtu aambae simwingine Ni mm hapa.............Yani watu wakiniona wanashangaa wanataka kuniua kumbe sio mm Ni neema tu
amen Mungu awabariki
WOW...❤️❤️❤️❤️❤️
Mambo ni moto ..Mungu azidi kukuinua mamyy
th-cam.com/video/ey1EVPLQVP4/w-d-xo.html
i cant stop dancing
Ni fireeeee my mom,be blessed.Ni neema tu kwakweli
very nice👌
Team Kenya 🇰🇪
Kazii nzurii 🔥🔥hongr sana mamaa yanguu
Ni neema tu.... Awesome song
Wow ❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️🇨🇩
Mungu amibariki sana kwa iyi minbo,mu edele tena kwa nehema ya mungu
Wooow... Ni neema tu
Mmwaaaaaaaaa congrats
Grâce,,je t'aime fort mn frère Michel Hardy 😍😍
I love you ma'am....I can't find one of your song on u tube...yesu kiboko
Asante sana
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🔥🔥🔥🔥
Nice song nzambe apambola bino
th-cam.com/video/ey1EVPLQVP4/w-d-xo.html
God bless you beyond measure mum we love you❤
Be blessed 😘 😘 😘 😘
May God bless you mum