Mema mengi huchafuliwa na machache mabaya/maovu.hivyo kusemwa kwa mabaya au mazuri hakukwepeki.na bahati mabaya sana mazuri mengi hufutwa na machache mabaya.
Kwani ccm nafasi ya uenyekiti haipaswi kuwa na mtu mwingine zaidi ya mtu mwenyewe mihimili ya serikali kuwa mwenyekiti? Halafu inakuaje mtu anagombea halafu kwenye karatasi ya kura ya mwenyewekiti yupo mwenyewe?
Machawa na vibaraka wa ccm mnaumia Tundulissu akigombea uenyekiti wa Chadema Taifa! Poleni Sana kwa sababu sasa ni wakati wa Tundulissu kuwa mwenyekiti wa chama! Mapenzi ya Mungu yatimizwe! Sasa tunaenda na Tundulissu! Mnaopimpiga Lissu ni ccm na machawa wake! Mnataka kuendelea kudanganya Wananchi na Maridhiano ya kwenda kukaa mezani kulambishana asali!
@@OmarSeafoodukiambiwa watu wasiokuwa na hekima ni CCM wote utakataa? ... Ukikataa basi huna akili ccm wanaiba chaguzi waziwazi jumapili unawakuta kanisani wakidhani Mungu mjinga.
Umeongea kwa hekima sana ulipomzungumzia msigwa, kukumbuka wema wa mtu ktkt ya uovu wa mtu ni upeo mkubwa sana wa kufikiri.Safi sana
Maneno ya hekima ila msingwa mungu kwake hana shukuran
Hii clip mchungaji Msigwa anapaswa kuisikiliza kwa makini, atagundua tofauti ya kiitikadi haileti uhasama na matusi to old friends. Ajitafakari
Vipovu vya mate kwenye mdomo vinakutoka Muheshimiwa unatia kinyaa mbele ya camera
Mungu akuzidishie hekima ya shukrani kwa MchungajinMsigwa na Mbowe.
Lissu yupo Makini sana Mungu akubariki na akutangulie kwa kila jambo
Lisu ninachokukubali Mimi kwenye ukweli unanyooka hasa kuhusu msingwa
Iisu acha tamaa uta
Kwama.😊
Nyinyi na chwa wenzeko ndiyo wenye tamaa.
Chawa ni wewe mwenyewe Misukure ya watawala! ccm
Cha msingi mtangulizeni Mungu
Leo nimekupenda sana
Wewe usipende kumtaja magufuli tafadhali sana magufuli amesha kufa ameacha mema mengi aisee koma kumtaja magufuli
Kwa nini asisemwe? Alikuwa Mungu? Yeye alivuruga chaguzi zilizopita. Yeye alikuwa sababisho kupigwa LÌSU risasi. Ungekuwa wewe ungekaa kimya?
Mema mengi huchafuliwa na machache mabaya/maovu.hivyo kusemwa kwa mabaya au mazuri hakukwepeki.na bahati mabaya sana mazuri mengi hufutwa na machache mabaya.
Alisema tigo wanaushaidi si aende mahakamani sasa@@monicamwita7865
Mwekit mtungi wa ges
Msingwa ,,, damu
Kuhama kumeleta shida ,, ok wazeni wananchi wanawaamini
Ameanza kuwa muongo wakati alikuwa naye siku moja kabla ya kuhamia ccm
For the stability of your party and the infancy state of democracy in the country, it may be too early to entertain such a dangerous move.
Huyu lissu atakimbia Chama ataenda zake huku ubeligiji
Kwa hv mtu akienda huko ni adui wenu
Asante kwa hekima
Hicho sio chama cha Siasa hicho ni chama cha wanaharakati Chadema
Vyovyote usemavyo ni sawa tu.
Povu hilo sasa futa
Logic tu 😅😅😅😅
Hallow kunawakati unaongea kitu ambacho kinagusa hisia, mbona upo vizuri hivi ila wakati mwingine unaongea vuruguvurugu
Ivi uchaguzi wa mwenyekiti hakuna wengine 😂😂
Kwani ccm nafasi ya uenyekiti haipaswi kuwa na mtu mwingine zaidi ya mtu mwenyewe mihimili ya serikali kuwa mwenyekiti? Halafu inakuaje mtu anagombea halafu kwenye karatasi ya kura ya mwenyewekiti yupo mwenyewe?
Mi Nina Imani kuwa msigwa atarudi chadema tusubiri tuone.
Jifute mdomo povu
Na wewe umemuona.
Baada kunywa maji povu limeondoka.
Nilikuwa naitafuta hii sms nilijua tu nitaiona
Kabinti ka kumpangusa jasho Mzee kiko wapi
Afute mate basi
Mh... mbowe anafaa ww lisu subilia mda wako utafika
Tusubiri box liseme
Machawa na vibaraka wa ccm mnaumia Tundulissu akigombea uenyekiti wa Chadema Taifa!
Poleni Sana kwa sababu sasa ni wakati wa Tundulissu kuwa mwenyekiti wa chama!
Mapenzi ya Mungu yatimizwe!
Sasa tunaenda na Tundulissu!
Mnaopimpiga Lissu ni ccm na machawa wake! Mnataka kuendelea kudanganya Wananchi na Maridhiano ya kwenda kukaa mezani kulambishana asali!
@gaagwasaugustino2584 kwa iyo sisi team mbowe ndio tumekuwa chawa wa ccm
Lisu wew ni kiongozi mzur sana ila shida yako umekosa hekima tu
Unataka awe na hekima Gani Kwa utawala huu wa ccm?
Hameni taifa basi
@@OmarSeafoodukiambiwa watu wasiokuwa na hekima ni CCM wote utakataa? ... Ukikataa basi huna akili ccm wanaiba chaguzi waziwazi jumapili unawakuta kanisani wakidhani Mungu mjinga.
@OmarSeafood hekima dhidi ya wadhalimu?!
Hekima ipi aliyokosa? Msaidi ili awe na hekima nzuri
Nilijua mapovu ya namna hii yanawatoka wenye njaa tu, kumbe hadi wanaofaidi ruzuku na michango ya gari yanawatoka pia?!!!!
Mimi si chadema Wala ccm lakni Kuna muda Lissu huwa nakuelewa
Povu hilo
Ukiongea muda mrefu hali kama hiyo hutokea