ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
pow2
Lissu ni mtu sahihi sana kwa sasa tunaitaji mtu katili na mwenye maamuzi
Lisu nimekukubali maana kiongozi anatakiwa kujuwa isitolia na wewe ukomakini baba
No reform no election hiyo nimeielewa vizuri
Wale walipokuwa wakilalama kuwa mbowe amekawia sana madarakani. bila shaka Sasa wajiandae kupelekewa moto wa mnyaturu Sasa mshono utatulia.
Safiiiiiiiiiii wote nawapenda
Na nawaamini sana mmoja wawo akifeli wataungana vizuli 2 mungu yupo ameni
Wote wanafaa mimi nawapenda wote ilimladi watu mutulie musiwagombanishe wote wanaweza
Lisu anaweza.
Ngoja inyeshe tuone panapo vuja
Mbowe akishindwa miaka mitano ijayo agombee tena mbona ata trump aligombea
Lissu umepita bila kupingwa
Namkubali lisu mbowe apumzike kwanza
Mbowe utulie mwachie lisu kwa sababu. Tunataka tume iwe huru jamani. Tumechoka na fisiemu
Lissu m/ kiti ( Mbowe makam m/ kiti ;
udhalimu ni ule ule
Makamu wake awe mbowe
Umegusaa nyoka mkia
Mbowe inatosha akae pembeni
Haya sasa tuone
Ngoja tuone
Lisu bado hajakubalika kimataifa kama Mbowe ,atulie kwanza .Chaguzi ni jambo mtambuka .
Mbowe anafaa hiyo nafasi lisu subilia mda wako utafika