CHADEMA ni chama pendwa kuliko chama chochote hapa Tanzania ukiachana na takwimu za kulazimisha, CHADEMA ni chama chenye wanachama ,wafuasi na wapenzi wengi zaidi ya chama chochote kingine hapa Tanzania
Haya Kibaraka Musiba sema sasa ulisema mbowe Yuko wapi mara ni mgonjwa huyo hapo Sasa tatizo la nchi yetu machawa ni wengi wanajidai wanajua kumbe wanaungua jua Pipoooozzzzz
Upumbavu wako ndo unakuambia hivyo hiyo ccm yako hakuna vyeo ndo mana wao ccm wanakataa maagizo ya mwenye kiti wao mchimbi alikuja kusema eti mwenye kiti kaamtuma walereshe walio kwatwa wenye vieo walimkatalia
@@antonykomba6631 lafudhi za makabila ya Tanzania hizo! Ukienda Mwanza Wana hao, ukienga Ngorongoro Wana Yao, ukienda Lushotonwana zao, ukienda Mtwara ni Nchale ukikimbia, ukisimama ni Nchale!!
hivi nyinyi chadema ni shida tupu kila mwaka mwenyekiti ni yule yule hamjui kuwa hicho chama ni Cha kwake alikuwepo zito kabwe kwa Nini alijitoa alikuwepo chacha wangwe kwa Nini walimua alikuwepo msingwa kwa alijitoa wananchi wa chadema msidanganywe amkeni
Mbowe mnafiki haongei ukweli anaficha mgogoro wao niwamda mrefu sana.lisu ansmwogop mbowe na mbowe anamwogopa lisu kwahiyo wanaogopana lkn hawapendani. Lisu anamzunguka sana mbowe na mbowe anamzunguka lisu mwisho wanazingukana ila wanaelewana kinafiki tu
Sema SACCOS SIO CHAMA,ALAFU Hawa waandishi nao HUWA ni WA hovyo sana...mbona MBOWE HUWA hawamuulizi kuhusu NAFASI ya UENYEKITI aliyoiatamia kwa MIAKA 20 mfululizo?? MBONA haitishi uchaguzi?? Au katiba ya Chadema inamruhusu kutoka hapo MPAKA kifo?
Tutakilinda sana tunakipenda sana toka moyoni mwetu
Shida ya mafisiemu kila mwaka ni kuvuruga kuiba uchaguzi ili yatutawale jamani mungu tupumzishe na kijani tumechoka kuiona
Kama unashindwa kumuamini mbowe unayemuona utamwamini mungu kweli usiyemuona
@@MathiasLuwhavi kinabo
@@MathiasLuwhavi non sense comment
@@fadhilirijawala 100% Nonsense
CHADEMA ni chama pendwa kuliko chama chochote hapa Tanzania ukiachana na takwimu za kulazimisha, CHADEMA ni chama chenye wanachama ,wafuasi na wapenzi wengi zaidi ya chama chochote kingine hapa Tanzania
@@Cmmbungi wewe unajidanganya sana hicho chama ni wahuni wasio busara yeyote chama gani mikoani hakuna ofisi Wala kata
Umepoteana mzeee jisalimishe tuuu kuwa umeshindwa kazi ccm baba laoooo
Wewe ni mwendawazimu na mwana ibilisi shetani mlaanika ccm ndio maana upo tayari kusema ccm babalaoo ilihali kizazi chako kina umizwa!
Haya Kibaraka Musiba sema sasa ulisema mbowe Yuko wapi mara ni mgonjwa huyo hapo Sasa tatizo la nchi yetu machawa ni wengi wanajidai wanajua kumbe wanaungua jua Pipoooozzzzz
MTAJIPANGA CHADEMA MPAKA MWISHO WA DUNIA HAMTOBOI LABDA MUMRUDISHE LOWASA KAMA MNAWEZA. MIGOGOROOOO CHADEMA
Ahh masikini mbowe na chadema yake! Mtihani moja kwa mbili
Msijitoe chadema mkijitoa basi hakuna wazalendo zaidi ya chadema na mkijitoa hakuna haja ya uchaguzi
Ahsante mkuu tuelimishe Mbowe
Ahsante mkuu wetu Mbowe
Hata wafiche vipi Lissu na Mbowe hawawezi kupikika chungu kimoja. Lissu ni mwanaharakati na wala siyo mwanasiasa. Muda utatoa ukweli. Yetu macho
@@NDEWARA Huelewi cho chote.
@@NDEWARA endelea kuota
Mwamba umesikika vr
Chadema daima God bless
Mbowe tatizo huna usawa wala humpi tundulisu uhuru wa utekelezajiwa sera hebu mpishe nayeye tumuone
chadema ni mpango waMungu
Tanzania hakuna upinzani ni wanafiki tu shida vyeo tu hapo
Shenzi
na hiyo ndiyo siasa bila vyeo hakuna siasa na chama ambacho viongozi wake hawawazi vyeo si chama cha siasa na hakifai kuitwa chama.
Upumbavu wako ndo unakuambia hivyo hiyo ccm yako hakuna vyeo ndo mana wao ccm wanakataa maagizo ya mwenye kiti wao mchimbi alikuja kusema eti mwenye kiti kaamtuma walereshe walio kwatwa wenye vieo walimkatalia
@@Muhammedually shida ya nyinyi ccm akir mbil
Kwahiyo January Makamba na Nape Nnauye walipoondolewa kwenye uwaziri CCM kuna mgogoro?
Umeaza lini uongo mzeee chadema na dijitali wapi ndugu yangu
Mbowe bwana unaonekana umeshakomaa kisiasa
Aisee huyu mzee busara kubwa
Tundu lissu ,he is more than chadema ,bro mboe muachie lissu awe mwenyekiti umekaa sana madarakani ,kuwa busy kutengeza heshima sio kuishusha
CHADEMA KWISHA LABDA MUMRUDISHE LOWASA LASIVO HAMNA KITU. CHADEMA ILIKUA HAI NA LOWASA TU HAKUNA KIONGOZI CHADEMA
Daah tatzo waafrika hatuna umoja na upendo wa kweli haupo
@@StevenMakuru-i6u wazungu wanaupendo?
Sacos ya wachaga hii
Hiki chama "CHINA MIAKA" nimekuelewa Sana mwenyekiti
@@antonykomba6631 lafudhi za makabila ya Tanzania hizo! Ukienda Mwanza Wana hao, ukienga Ngorongoro Wana Yao, ukienda Lushotonwana zao, ukienda Mtwara ni Nchale ukikimbia, ukisimama ni Nchale!!
Hiyo ni kauli ya chadomo dar tu
Mapambano lazima ya endelee. na uhovyo huo unasemwa na wana ibilisi shetani ccm na sio Wana Chadema.
Mbowe nyerere
Oyaaa mbowe mbona we ni balaa
hivi nyinyi chadema ni shida tupu kila mwaka mwenyekiti ni yule yule hamjui kuwa hicho chama ni Cha kwake alikuwepo zito kabwe kwa Nini alijitoa alikuwepo chacha wangwe kwa Nini walimua alikuwepo msingwa kwa alijitoa wananchi wa chadema msidanganywe amkeni
Tanzania yetu hii kutawala chama cha upinzani msahau xana tu hizo ni ndoto za mchana wapinzani wetu msahau
Mbowe anahutubia wanahabariii au Chadema wenzake????? Mbona anaonekana yeye tu😮😮😮😮 Mnatuzuga sio😢😢😢😢
Vijana wa ccm 0 za 100
Wengine hamjatupa card
Mfumo ya vyama vingi Tanzania ni kama kuwa na Mlinzi aliyepitiliza umri... sote tunajua hafai lakini tunakubaliana awepo tu 🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa
Bado mnatapatapa mwamba we nyosha mkona kunja ngumi"peoples"
Nimefulai sana mbowe nilijua mnaugomvi
Huyu mjinga kweli yaan unaingia kwenye uchaguzi ulioharibiwa halafu baadaye tuje kulalamika
Sasa kumekuchaaa!! jogoo limewika Chimwaga!!
SAMAHAN HUYO MLINZI WA MBOWE NI NANI
UCHAGUZI HAUJAVURUGWA NDIO MAANAA NA MNASHIRIKI
NY IS NDIO MMEVURUGIKA
Sidhani kama Mbowe ana mbinu za kupambana na CCM hii ya sasa iliyosukwa upya na Magufuli.
KUMBE KUENGUANA NI JAMBO LA KAWAIDA SASA SUBIRINI WAPO MABINGWA WA KUENGUA WANAITWA WAKONGWE CCM MBELE KWA MBELE .
CCM juu zaidi..
Huyo nyuma ni askari au
Nashida lisu maman anielezee swala langu nimpate hata kwenye cm
Wahuni wanaanzakulumbana wenyewekwawenyewe laanahiyo
Laana IPO ccm mnapenda nadaraka uwongozi zero
silaha yenu kila mwaka uchaguzi umevurugwa Tuu
Hahaha mwamba kasha uza
Kuuza nini
Mbowe mnafiki haongei ukweli anaficha mgogoro wao niwamda mrefu sana.lisu ansmwogop mbowe na mbowe anamwogopa lisu kwahiyo wanaogopana lkn hawapendani. Lisu anamzunguka sana mbowe na mbowe anamzunguka lisu mwisho wanazingukana ila wanaelewana kinafiki tu
Kama Yuko seriously vile
Mfucha maradhi....keshakuwa muiguzaji huyu...🤣🤣🤣🤣
@@molenicharles9107 sasa hata km yapo maradhi akikueleza wewe utasaidia nini? STFU!
Ni unafiki mtupu ,tumewaamini tunawapigania mnafanya mambo ya usaliti sasa tuende wapi
Kuna taarifa za siku nyingi kuna kutoelewana ndani ya chadema hasa kati ya m/kiti Mbowe na makamu wake Tundu ukweli unafichwa.
@@samsonmwijage1869 jogoo wawili hawakai pamoja lisu na mbowe. chadema ikichukuwa inchi watauana Sana,maana Kuna kambi 2 ya mbowe na lisu
Duh ni kwel?
Mbowe ww hufai tapeli la kisiasa
Tapeli kivipi?
Kamtapeli mama yako ama
Balaa
Mbona lisu hajawai panda ndege moja nambowe?
Tatizo la chadema Ni Chama mtu mmoja.chama Cha familia ya mtei
SAWA KANDA YA TANGANYIKA NDIO UMETOA MAELEKEZO UMETOA TZS NGAPI?? MBOWE UMETOA HELA KUZUNGUKA HIYO KANDA YA TANGANYIKA?? ACHA POROJO ACHA PROPOGANDA
Xn
Mwamb
Sema SACCOS SIO CHAMA,ALAFU Hawa waandishi nao HUWA ni WA hovyo sana...mbona MBOWE HUWA hawamuulizi kuhusu NAFASI ya UENYEKITI aliyoiatamia kwa MIAKA 20 mfululizo?? MBONA haitishi uchaguzi?? Au katiba ya Chadema inamruhusu kutoka hapo MPAKA kifo?
We huna Akir mpuuzi ww
@babazizu1255 WENDAWAZIMU NI NYIE MSIOJITAMBUA MNAOBURUZWA NA MTU MMOJA KAMA MABEHEWA YA TRENI
Mnaficha moto hali moshi unaonekana !
Moto upi nzi wewe
Duh
C c m b
Ccm b ya nyoko
CCM B, Est, sio CHADEMA