Ukweli ni kwamba Miaka 20 niya upigaji tu Chama hakina hatua hata moja Mna kosa kua na ofisi ya Mana ndani ya miaka 20 alafu bado una jiona wa Mana kweli? M/kiti lazima awajibike pia Chama kama nicha wananchi wewe una kaa aje miaka 20 ni wewe tu Icho ni Chama chako sio cha wananchi
Wametafuta njia nyingi za kuiua CHADEMA wameshindwa wakaona njia pekee ni kumtoa anaekiongoza. Wameua, wameteka lakini Mbowe yupo tu. Hii inawauma sana.
Vijana wana hela ya kukiendesha Chana ?? Hicho chama ni cha familia ya Mzee Mtei ,( Baba Mkwe wa Mbowe ndie mwanzilishi wa Chama hicho , alimkabidhi Mkwe wake Ili akiendeshe kama biashara ya familia . Mbowe anaweka pesa zao binaffsi Ili biashara iendelee kusimama , Sasa je hao vijana wakikabidhiwa Chama au Biashara ya Baba Mkwe wataweza ?? Watapata wapi pesa za kuhakikisha Biashara ya Mzee Mtei inaendelea kuleta faida ?? Au wawe viongizi lakini pesa aweke Mbowe na Mkwe wake . Mbowe sio mjinga kukaa hapo miaka 20 , ni Biashara yao ya familia .
@@nugwiziwe7577 CCM KUNA NINI ILA WEWE NDUGU UNASHIDA GANI HAPA MIMI NAONA WATU WOTE WANAO CHANGIA HAPA WANAMAPENZI MEMA NA CHADEMA NA SIJAONA MTU ALIYE CHANGIA VIBAYA ILA NYIE MNALIPA KWA UBAYA SASA NIKAMA VITA KABISA MBOWE OUT ANAKWENDA KUKIUA CHADEMA SASA TRIP HII MBOWE ASIPO TOKA ITAKUWA KAMA NCCR AU CUF SIO UNAONA ACT INAKUJA KWA KASI KUBWA SANA KWASABABU WANADEMOCKILASIA YA KUACHIANA MADALAKA KWENYE UONGOZI WAO
@@nugwiziwe7577 Kweri umevurugwa wewe Mimi nimetoa maoni yangu kwa mbowe unanijibu wewe au kakutuma mbowe alafu Mimi sio CCM Mimi mwanaharakati ndio maana nasimamia kile wanachama wa chadema wanavyosema uku maani hari sio nzuri mbowe nikama rais hasadi wa siria
Amina
Pishen vijana chama kinahitaji nguvu kaz mpya kukileta chama chenu katika Raman mmekosa mvuto achia vijana
Ondoka wakat wanachadema Bado wanakupenda
Ungeeni kiwatoke ataakija mtoto wake kuwa mwenyekiti sawa tu
Ukweli ni kwamba Miaka 20 niya upigaji tu Chama hakina hatua hata moja
Mna kosa kua na ofisi ya Mana ndani ya miaka 20 alafu bado una jiona wa Mana kweli? M/kiti lazima awajibike pia Chama kama nicha wananchi wewe una kaa aje miaka 20 ni wewe tu
Icho ni Chama chako sio cha wananchi
Eti chama cha demokrasia Jamani nyani aonikundule
Wametafuta njia nyingi za kuiua CHADEMA wameshindwa wakaona njia pekee ni kumtoa anaekiongoza.
Wameua, wameteka lakini Mbowe yupo tu. Hii inawauma sana.
Hawawez watasubirivsana
misukule ina piga makofi
Kitapigwa mnada kama Kafu
Nashangaa wanaopiga kelele Mbowe ang'atuke sio wanaCHADEMA....
Mmeuwa chama hebu wapisheni vijana ili wawaongoze Kila wakati na watu wake kipindi hiki ni Cha vijana
Vijana wana hela ya kukiendesha Chana ??
Hicho chama ni cha familia ya Mzee Mtei ,( Baba Mkwe wa Mbowe ndie mwanzilishi wa Chama hicho , alimkabidhi Mkwe wake Ili akiendeshe kama biashara ya familia .
Mbowe anaweka pesa zao binaffsi Ili biashara iendelee kusimama ,
Sasa je hao vijana wakikabidhiwa Chama au Biashara ya Baba Mkwe wataweza ??
Watapata wapi pesa za kuhakikisha Biashara ya Mzee Mtei inaendelea kuleta faida ??
Au wawe viongizi lakini pesa aweke Mbowe na Mkwe wake .
Mbowe sio mjinga kukaa hapo miaka 20 , ni Biashara yao ya familia .
Mbona kwenye ccm hamuongei au mnaogopa 😂😂
@@nugwiziwe7577 CCM KUNA NINI ILA WEWE NDUGU UNASHIDA GANI HAPA MIMI NAONA WATU WOTE WANAO CHANGIA HAPA WANAMAPENZI MEMA NA CHADEMA NA SIJAONA MTU ALIYE CHANGIA VIBAYA ILA NYIE MNALIPA KWA UBAYA SASA NIKAMA VITA KABISA MBOWE OUT ANAKWENDA KUKIUA CHADEMA SASA TRIP HII MBOWE ASIPO TOKA ITAKUWA KAMA NCCR AU CUF SIO UNAONA ACT INAKUJA KWA KASI KUBWA SANA KWASABABU WANADEMOCKILASIA YA KUACHIANA MADALAKA KWENYE UONGOZI WAO
Mbowe acha tamaa bwana watu wamekuchoka mzee unakuwa dikiteta kama rais asadi wa sria
Sema umemchoka wewe simwa ccm 😂😂
Usiwachoke wazazi wako kutokuwekea misingi uje umchoke mbowe ambaye akusaidii kitu
@@nugwiziwe7577
Kweri umevurugwa wewe Mimi nimetoa maoni yangu kwa mbowe unanijibu wewe au kakutuma mbowe alafu Mimi sio CCM Mimi mwanaharakati ndio maana nasimamia kile wanachama wa chadema wanavyosema uku maani hari sio nzuri mbowe nikama rais hasadi wa siria
Sema nimeelewa jina lako limenipa maana yako na jinsi ulivyo