ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MSTAAFU KIKWETE ASHAURI KUPUNGUA KWA GHARAMA ZA UMEME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • DAR ES SALAAM: RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne, Dk. Jakaya kikwete ameishauri shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuangalia uwezekano wakupunguza gharama za kuunganisha umeme ili wananchi wengi waweze kuangani umeme katika sehemu zao.
    Dk. Kikwete Ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati akitembelea maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba 2024) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
    "Unaweza kuweka gharama kubwa za kuunganisha umeme, lakini ukiweka gharama ndogo wengi wakiingiza umeme gharama yako utailipa kwa kiasi wanavyotumia umeme" Amesema Dk. Kikwete.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 25

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Kwa kulisemea hili rasi kikwete

  • @timothbenard8213
    @timothbenard8213 หลายเดือนก่อน

    Point

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 หลายเดือนก่อน

    Fact

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน

    Hilo la mana sana

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h หลายเดือนก่อน +1

    Leo umeongea point

  • @emmanueljoseph3815
    @emmanueljoseph3815 หลายเดือนก่อน +2

    RIP jpm

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    HONGERA MZEE BABA SEMA WATATEKELEZA MAANA MAAGIZO YANATOKA LAKINI WANAJIFANYA VICHWA MAJI

  • @frankbuliro9183
    @frankbuliro9183 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana muheshimiwa kikwete

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli hata mimi nakuunga mkono kuhusu kushushwa kwa bei ya umeme na gesi. Serikali itakuwa imefanya jambo jema

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz หลายเดือนก่อน

    Mbona Dar umeme umepanda

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน

    JPM alipania kuushusha. Januari Makamba ndiye alishikiria bei isishuke.

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 หลายเดือนก่อน

    Huu mchezo popcorn 🍿 znahusika ,mpaka tufike mwakani tutaona mengi 😂😂

  • @sendorojuma4544
    @sendorojuma4544 หลายเดือนก่อน

    Unajielezea mno. Ulichofanya kitajisemea chenyewe!

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Mango wa matumizi ya Gass kikaya GASS ASILIA VIPI?

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi serikali wameongeza tozo ya shs 2000 kimya kimya bila kusema hicho kiasi Cha Nini alafu hii serikali wabunge Awana usemi wa kutetea wananchi wanatetea matumbo yao

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 หลายเดือนก่อน +1

    Kikwete ndo alianzisha mwendo kasi, madaraja makubwa na barbara ndefu za lami, ndo alianzisha Gas Tanzania

  • @shirimabenedict5431
    @shirimabenedict5431 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee tushamchoka

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

      acha kutusemea

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi anaongea sana wakati wake hamna kitu

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kabwela776Maisha yako wakati yupo madarakani na hivi sasa yana tofauti gani? Jilaumu mwenyewe

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 หลายเดือนก่อน

    Tunakukumbuka san mzee kikwete ndo ulianzisha Gas asilia na mwendokasi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 หลายเดือนก่อน

    RAIS WETU MSTAAFU alifanya kazi kubwa mno kwa taifa la watanzania,ila waombeza ni wale wale wanaomsonga mhesh mama yetu samia suluhu hasan,ndiyo wanaomsonga mhesh January makamba,ndiyo hao hao wanaomsonga mhesh BASHE!!tunaeafahamu vizuri mno,wakati wakiwachafua hao,wamewasifu wengine tena nusu mental kwamba wao walifanya kazi kama MALAIKA sijui nikama MANABII!!
    wanajiona wajanja ila wanajulikana LENGO lao ni nini?