REV. DR. ELIONA KIMARO: KUNGOJA KWENYE KIMYA/ TO WAIT IN SILENCE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA JUMAPILI YA PASAKA
    31/ 03/ 2024
    UJUMBE WA LEO: KUNGOJA KWENYE KIMYA/TO WAIT IN SILENCE
    Mathayo 20 : 1 - 18
    1 Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.
    2 Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
    3 Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
    4 na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
    5 Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
    6 Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?
    7 Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.
    8 Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.
    9 Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
    10 Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
    11 Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba,
    12 wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.
    13 Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
    14 Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.
    15 Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
    16 Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.
    17 Hata Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia,
    18 Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi; nao watamhukumu afe;
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 58

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 6 หลายเดือนก่อน +18

    Powerful message indeed, unatupa nguvu wanawake ambao tunafanya kazi uarabuni kusomesha watoto wetu, kama uko gulf na unaona hii comment mpe huyu mchungaji like.

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naam Baba , ndivyo ilivyompendeza Mungu utuambie haya. Mungu akubariki tena na tena.

  • @LilianMushi-m6p
    @LilianMushi-m6p 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mafundisho haya yanaingiia ndan ya moyo Yan ni Moto ulao❤❤

  • @marymalongo6855
    @marymalongo6855 6 หลายเดือนก่อน +13

    Ktk teso langu la kutokupata mtoto ninamgoja bwana kwa ukimya, nae atafuta machozi nakunipa kicheko ktk jina la Yesu

    • @atuganile08
      @atuganile08 6 หลายเดือนก่อน

      Amen , Mungu akupe haja ya moyo wako dear

    • @fatumasaid4770
      @fatumasaid4770 6 หลายเดือนก่อน

      Yesu akutendee miujiza ya Hanna na Sara...nawe utaitwa kicheko.

    • @mkundevincent-uz7qn
      @mkundevincent-uz7qn 5 หลายเดือนก่อน

      Utapata in Jesus name

    • @georgenahpeter4757
      @georgenahpeter4757 4 หลายเดือนก่อน

      Keep trusting in GOD....will be called the mother of children very soon....in JESUS NAME 🙏

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 nimebarikiwa sana tena sana 👏

  • @neemayonerick77
    @neemayonerick77 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aendelee kukuinua kwaviwango vya juu sana neno lako linaponya mioyo iliyokata tamaa😢😢😢🙏

  • @amanyajonathan4433
    @amanyajonathan4433 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ipo siku ya Bwana 🗣️🗣️🗣️🗣️🥰🥰

  • @marymalongo6855
    @marymalongo6855 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni azidi kukubariki, roho wa Mungu akae ndani yako uzidi kutulisha neno la Mungu, ili tupone mioyo yetu.

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 3 หลายเดือนก่อน

    Amen baba mchungaji.
    Nakupata kwa kuzuri nikiwa Texas.

  • @BeatriceShilla
    @BeatriceShilla 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwani mafundisho yako yananibariki mnooo Mungu azidi kukubariki ili tuzidi kuona uso wa Mungu Amina na amina

  • @LiserichMwepu
    @LiserichMwepu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Haleluya Baba, Mungu akutumie tena Na tena ili kuifariji mioyo yetu

  • @aishahaisha4941
    @aishahaisha4941 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki Sana Man of God Kwa fundisho hili umenena Nami I'll never be the same again

  • @petermushi8266
    @petermushi8266 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ananibariki kupitia mafundisho yako

  • @FrackZebedayo
    @FrackZebedayo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumshi mungu akutunze

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sanaa mchungaji kula mara nasikiliza huu ujumbe Mungu akufiche kwenye mbawa zake tuzidi kupata mafundisho yanayokaa mioyoni mwetu

  • @nyarinkya6102
    @nyarinkya6102 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @PendoKanje
    @PendoKanje 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi nazidi kuimarika kila iitwapo leo ameen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeenjiwa fikishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salaams zimefikaaa sasa!!!!!!

  • @rebeccadotto7611
    @rebeccadotto7611 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen mtumishi mungu akubariki ah somo zurii

  • @veronicasarita8422
    @veronicasarita8422 5 หลายเดือนก่อน

    Amen neno hili likawe kwangu katika jina la Yesu

  • @LilianMushi-m6p
    @LilianMushi-m6p 6 หลายเดือนก่อน

    Wah Mungu akubarik mchungaji umekua ukinibarik kila itwapo leo

  • @cplusfilm6942
    @cplusfilm6942 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi

  • @rebeccadotto7611
    @rebeccadotto7611 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku ya bwana ,, familia yangu inakuja AMEN

  • @ZainabZainabu-z6b
    @ZainabZainabu-z6b 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki baba

  • @rosekalu5848
    @rosekalu5848 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks mchungaji God bless

  • @violetludovick5382
    @violetludovick5382 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe muchungaji Violet Babati

  • @renatuskanuthy5743
    @renatuskanuthy5743 6 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzuri sanaaaa

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mama mchungaji 😢😢😢❤

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna siku ya bwana,NAMI nitakumbukwa

  • @atuganile08
    @atuganile08 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks Mchungaji

  • @joyceallan2758
    @joyceallan2758 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika nimestailishwa na Bwana Yesu

  • @jecintakurraru472
    @jecintakurraru472 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Kuna siku ya Bwana

  • @brainyieldschools
    @brainyieldschools 6 หลายเดือนก่อน

    Umenena vema mtumishi wa Bwana

  • @joycebujiku2747
    @joycebujiku2747 5 หลายเดือนก่อน

    Naitarajia siku ya Bwana

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ngojaaa kwenye see kimyaaaa

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @furahafuraha9760
    @furahafuraha9760 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani maombi mna kata kwanin

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Eeeenjiwa fikisha salaammmmsss Kwa keyssssss Jokesters anything okaysssssssssssssssssssssssssss ndo ndoaa of ours Mr Jerald Lazaro Based mkulimaaaaaaa kutoka and ms Jerald as wellsssssssssssszssssss SD cards for meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerreeeeeeee VB vibe ex Dar Es Salaams zimefikaaa Kwako keyssssss Jokesters

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli Dada Zawadi Madawali tulisoma naye Chuo cha utumishi wa Serkali CSTC DSM 1971.BAADAYE 1972 AKAINGIA JESHINI JWTZ

  • @michaelmusyoki1838
    @michaelmusyoki1838 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mchungaji mafundisho yako ni ya hali ya kipekee

  • @joyceallan2758
    @joyceallan2758 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundishe Mfalme nipo tayari

  • @Jeremiamathias
    @Jeremiamathias 5 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa san a namahubiri ya leo mudguard kumuinua mchungaji na apate Maisha marefu

  • @deborahfredrick1819
    @deborahfredrick1819 5 หลายเดือนก่อน

    Kusubiri kwenye kimya Cha umaskini

  • @ElizabethGodfrey-g5l
    @ElizabethGodfrey-g5l 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu atukuzwe na tumbo la mama alie kuzaa

  • @leahwambui5608
    @leahwambui5608 6 หลายเดือนก่อน

    Niko kenya naweza pata aje huyu muchungaji nani ana number zake

  • @judithminja6386
    @judithminja6386 6 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nashida na ww naomba ujibu sms zangu wasph

    • @deborahfredrick1819
      @deborahfredrick1819 5 หลายเดือนก่อน

      Wasap hawez kukujibu labda tafuta njia nyingine wasiliana kwakupiga.

  • @brainyieldschools
    @brainyieldschools 6 หลายเดือนก่อน +1

    🧏

  • @JenifaAbasi
    @JenifaAbasi 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen