Mzee Wa Upako: Mimi ndiye mchungaji pekee ambaye Watu hata Malofa wakija kwangu wanakuwa matajiri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

ความคิดเห็น • 174

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +2

    he has wisdom,he knows when to talk,hapa anazungumza na jamii nzima,sio wakristo tu,na wanaomhoji ni wakawaida siyo wakristo gathering

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa upako huwa ananifurahisha sans

  • @muhammadngwale7052
    @muhammadngwale7052 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani..njaa.mbaya...sana..alafu..ukiwa.una.dhurumu..vya.masikini..lazma.mungu..atakuraani.tu..huyu..mzee.anapagawa..na..dhurma.anazo.dhurumu..wanyonge..naa.bado..atafika.pabaya.zaidi.mungu.amfichi..mnadiki

  • @flaviusbenedict7513
    @flaviusbenedict7513 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naona mzee Lusekelo yupo sahihi maana Mungu kupitia maandiko matakatifu anasema Fedha na Dhahabu ni mali yake, Naye umpa amtakaye. Kimsingi ni kunyenyekea mbele zake Mungu na kumuomba neema ya umiliki.
    Tusiwaseme vibaya watumishi wa Mungu, nani hatukumkataa, nabii Musa nae alika alikataliwa. Fungua moyo wako omba Mungu akuonyeshe, utaona, utamiliki.

  • @daudi1bashite48
    @daudi1bashite48 6 ปีที่แล้ว +1

    Team kitwanga naona kautwika kisawasawa.

  • @njeyabox7788
    @njeyabox7788 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi mzee.Very straightforward.

  • @tematema3101
    @tematema3101 5 ปีที่แล้ว +6

    Mi.niulize.hata kama ni.mzee waupako ndo avae pete tofauti na ya arus au haraf chen hizo kama wakina daimon rozali si rozali ila mnisameh dunia ya ss nzito wapendwa wangu

  • @petronyoni8923
    @petronyoni8923 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee chenga hyo na wanaokwenda kanisan kwake cjui wanafuata nn kwake mtumishi wa mungu hawi mbinafsi kama hyu dah camini kama kaongea pumba sana

  • @japharikyando9046
    @japharikyando9046 5 ปีที่แล้ว

    Hakika mchungaji uko vizuri sana pia umturivi katika kujibu mungu akubariki sana ghwamyitu ndagha fijho

  • @felizwanzagi8465
    @felizwanzagi8465 6 ปีที่แล้ว +2

    Piga kazi Baba Mungu azidi kukubariki.

    • @agripinaakhani7005
      @agripinaakhani7005 5 ปีที่แล้ว

      ambaliki katika lipi?

    • @williamnjokha9473
      @williamnjokha9473 5 ปีที่แล้ว

      Kila mtu na upeo wake wa kuelewa aliyeona kaongea vibaya ni yeye kaona hivyo

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว +1

    Dahh, mungu aliweke masiki katika ulimwengu huu ili wawe matajiri katika ulimwengu ujao

  • @omaryshaweji3408
    @omaryshaweji3408 6 ปีที่แล้ว +9

    Mbona unaonekana Kama amelewa vile!!toka ameanza kunywa amebadilika kiakili na kimwili pengine na kiroho pia, Mungu amsamehe,

    • @boyhalidunilema5038
      @boyhalidunilema5038 6 ปีที่แล้ว

      mm naisi mnaye mtukana mzee au kumsema vbaya na wasiwasi na elimu yenu na uelewa wenu akuna dhambi mbaya kama usema uongo sasa kwanini mzee wa watu achume zambi anaongea kitu kilicho moyoni mwake kwa iyo mnataka apende asicho kipenda#@boy hali duni

    • @mariamisuja6256
      @mariamisuja6256 6 ปีที่แล้ว

      +boy haliduni lema una akili sana. mimi si muumini wake ila usimuhukumu mtu. Uzuri haubiri watu wakafanye mabaya.

    • @gloriaainekisha4117
      @gloriaainekisha4117 5 ปีที่แล้ว

      Omary Shaweji imeandikwa husihukumu,husije ukaukamiwa

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน

      Leo Mzee kautwika vilivyo du huluma. Jamani

  • @ferdcoast
    @ferdcoast 6 ปีที่แล้ว +13

    Jamani imani ni wajibu wakila mtu but angalieni watu mnaowamini kama wachungaji wenu... huyu sio mchungaji ni mzee mjanja aliyeona fulsa kupitia kanisa...

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 ปีที่แล้ว

      ferdcoast fundi mchungaji ni kama yupi tuambie plz

    • @tumainikyando8803
      @tumainikyando8803 5 ปีที่แล้ว

      ferdcoast fundi Sio mjanja ni mpuuzi anayetumia neno la mungu kujiingizia kipato !

    • @dickaugustino2214
      @dickaugustino2214 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kbs

  • @emmasillaforever3212
    @emmasillaforever3212 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hadihakiwi iko siku hayo makongamano mliojaza watu na kuwapeleka jehanamu mtatoa hesabu geukeni mkatubu,

    • @ngometvarusha4030
      @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว

      Emmasilla forever kajaze na wewe kama unaona ni rahiz kama umeandikiwa jehanamu utakwenda tu mbona yuda alikwenda moto japo alikula na yesu

  • @paskaziafabiani3752
    @paskaziafabiani3752 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha mchngaji ninoma nikimuona huwa nafurahi2 siku nilenda ibadani mm niliona hakuna ibada kamili ilikuwa furu vichekesho nilifurahi alisema watu wanamsema akiombea eti anashika watu maziwa yeye akasema hataki wanawake wa kitanzania maziwa yao yamelala kama kandambili akitaka chombo anachukua mchi za njeee msukuma mm sina mbavuuuuu uwiiii mwisho wa mambo mzeee noma

  • @regankagya807
    @regankagya807 5 ปีที่แล้ว

    Safi mzee wa upako

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 ปีที่แล้ว

    Wewe mzee wa upako.

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

    I love this guy

  • @barakasylvester83
    @barakasylvester83 6 ปีที่แล้ว

    uko sahihi pastor mwenzangu.

  • @yohanamaiga3031
    @yohanamaiga3031 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmm kazi kweli kweli Jmnn.

  • @jacksonkimario1859
    @jacksonkimario1859 6 ปีที่แล้ว

    Nyie mnaekejeli mtumishi wa mungu endeleeeni tuu na matus yenu tu ipo siku mtajuta nawaambia ukwel kama uwez kumkoment acha jaman kwann utumie matus?????????? Kwan kawakosea nn????..mlio tukana mungu anawaona tuu.

  • @nebathkalolo723
    @nebathkalolo723 5 ปีที่แล้ว +1

    mm nimemwelewa saana huyu ndugu yy hakutaka kupotosha jamii kubwa anaka awapotoshe hao hao wachache

  • @farajakasikile8846
    @farajakasikile8846 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah pole Sana naumia mnooo

  • @nabiiwaisharaonlinetv9863
    @nabiiwaisharaonlinetv9863 5 ปีที่แล้ว +4

    KUFA KIROHO kunachafua MPAKA sura jamani

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubar sana mkuu

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 6 ปีที่แล้ว +2

    ukikubali kuwa unakalama ya uchungaji lazima ukubali wapo mitume ongozwa na hofu ya Mungu niwapi ambapo pa meandikwa kuwa niwachungaji tuu wapo YESU AWAHULUMIE MUIJUE KWELI

    • @geraldpeter5761
      @geraldpeter5761 6 ปีที่แล้ว

      mtume na Nabii osca Sikiliza vzr amesema mitume ni waanzilishi wa iman sehem ambayo hakuna iman iyo sasa utasemaje hapa kwetu kuna mitume wakati wao wamefungua tu makanisa imani ilishaletwa mda na wanacho kihubir na walisha ubiriwa

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 6 ปีที่แล้ว

      mtume na Nabii osca kwao wewe ndo mtume na nabii

  • @amiryissa3573
    @amiryissa3573 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee sio kabisa

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว +23

    mimi muisilamu lakini nampenda huyu mzee yupo simpo sana hanaga makuu

    • @hassansalehe2383
      @hassansalehe2383 6 ปีที่แล้ว

      Zumbe Shauri achabangi wew

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +1

      hassan salehe cmuelewi uyu mzee, kufa umakini ni upumbavu, sasa kwani umakini kauleta nani.

    • @khadijakhadija6547
      @khadijakhadija6547 6 ปีที่แล้ว

      Zumbe Shauri Simuelewi

    • @aliyumakiyu9599
      @aliyumakiyu9599 6 ปีที่แล้ว

      Zumbe Shauri hujielewi

    • @flaviusbenedict7513
      @flaviusbenedict7513 5 ปีที่แล้ว

      Zumbe Shauri upo sahihi
      Sio lazima mumuelewe Zumbe, muelewe MWENYEZI MUNGU na shika maneno yake, itapendeza. Manabii wangapi walipita mkawakataa
      Mungu kuwa na hela ni mpango wake ila umasikini ni sehemu ya adhabu mtu anapewa akiende kinyume na mapenzi ya Mungu

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa upako hivi waefeso 4;11 nae ametoa mitume nabii mwalim wachungaji wainjilisti
    kwanini? unakataa mitume manabii wewe baba angu lakin sielewiiiii

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 ปีที่แล้ว +1

    Anamsifu mweny hio TV ili am ajili

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwan hapo ulipoanzisha hilo kanisa hakuna makanisa mengine uliyakuta hapo?

  • @agripinaakhani7005
    @agripinaakhani7005 5 ปีที่แล้ว +1

    hapo hakuna mchungaji bali mauzauza tu Mungu hayuko hivyo hata sura na nuru ya kristo haipo kabisa kwanza kabisa ushabiki wa mpira na injili nia maji na mafuta ss ww badala umntangaze yesu unainua mpira hapo hakuna Mungu wa kweli ila mashetani tu.

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzee cha Arusha na vodka zimemharibu ubongo

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +8

    Mzee wewe ni kambi la wanyang'anyi

  • @nuhukihegulo141
    @nuhukihegulo141 6 ปีที่แล้ว

    mzee wa upako piga hela mzee

    • @nuhukihegulo141
      @nuhukihegulo141 6 ปีที่แล้ว

      mzee upako nyoa nywele zinakuzeesha vibaya sana

  • @maalimtowba5784
    @maalimtowba5784 6 ปีที่แล้ว +1

    Kongole.kile una amini ndicho kinastahili ukitekeleeze.kila mwanadamu anajijuwa nini anafanya.

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 5 ปีที่แล้ว

    Kwa swala la Kanisa, umejitahidi kujieleza.
    Kama ni mwili wa Kristo basi wewe umeamua kuwa " sikio au pua au kidole " mi naona uko sahihi.

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 6 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji aliye Jawa na roho wa kweli ajitukuzi Bali Jina linalo faa kutuzwa Jina la mungu utukufu haumurudii mwanadamu Bali mungu utawajua kwa vitendo na matendo atakayo fanya litajitukuza lenyewe maanaake kazi ya mungu Lakin kujitukuza to me is a NO.

  • @o.g.6fml769
    @o.g.6fml769 4 ปีที่แล้ว

    Jama kavuta bangi kweli hakuna muchungaji anakuwa shabiki wa mupila 😆😆😆😆😆😆😆Nay kasema kweli

  • @jumaally8297
    @jumaally8297 6 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji hajakosea kitu ila watu wenyevichwa vigumu munakurupuka kumtukana mchungaji yeyekajibu swali kakosea wapi sasa ..

  • @jackypottrick1pottrick641
    @jackypottrick1pottrick641 6 ปีที่แล้ว +1

    Shetani ashindwe kila mtu ni mchungaji
    Watu muogope naona Jesu ako karibu kuja

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mbona kama mlevi tu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mzee ukafir umemzidi mpaka ajielewi anachoongea, Kufa mackini ni upumbavu na ufala je kama Allah amemjalia mtu kuwa mackini maisha yake yote, so aliemuumba ndio hafai?

    • @thobiasliwembe3957
      @thobiasliwembe3957 6 ปีที่แล้ว +3

      jaribu kuelewa, utajir uliotajwa sio Wa kumiliki magar na vitu vingi vya anasa hapana Ila ni ule Wa kukuezesha kupata riziki kuweza kuwaudumia familia ni ule utajir ambao unakupa amani ya moyo. Mungu hapendi mtu yeyote awe maskin wakushindwa ata kupata mkate wake Wa kila siku.

    • @shamilachiwila7488
      @shamilachiwila7488 6 ปีที่แล้ว +1

      Thobias Liwembe mtu anatafri neno kwa Maana ya nje tu na sio Maana ya kimaandishi ya biblia

    • @boyhalidunilema5038
      @boyhalidunilema5038 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan mm naisi uja muelewa my jaribu kuskiliza kt kabla ya kukijaj

    • @usanifumaandishi7519
      @usanifumaandishi7519 6 ปีที่แล้ว +1

      Saumu Hassan Allah hawezi kumjaalia mtu umasikini

    • @NoName-mm6gh
      @NoName-mm6gh 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan huyo Mungu anapendelea simtaki mimi

  • @mc-omoro2366
    @mc-omoro2366 6 ปีที่แล้ว

    Mzee wa upako acha fix unasema umeanza kushabikia Simba mwaka 1973 wakati wakati Omary Mahadhi akichezea Simba ni uongo mwaka 1973 Mahadhi alikuwa bado hajajiunga na Simba.

  • @mshangapeter6566
    @mshangapeter6566 6 ปีที่แล้ว +1

    Humu hamna mchungaji

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 6 ปีที่แล้ว +2

    eti "UFALA" bado watu wanaenda kusali kwake FOOLS!

  • @samsonmbise1012
    @samsonmbise1012 6 ปีที่แล้ว +1

    duuu!

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 5 ปีที่แล้ว

    Umaskini wetu ni kwasababu tulimlaani alie barikiwa

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Akuna mtu mwenyewe kanisa lake mwenyewe yeye ndio mchungaj yeye ndiye mwenyewe kanisa Kama siujanja nnn ss

  • @salumhusen3482
    @salumhusen3482 6 ปีที่แล้ว +4

    ACHENI KOMENTI ZA MATUSI

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 6 ปีที่แล้ว +1

    kazeeka huyu mzee

    • @lucky9285
      @lucky9285 5 ปีที่แล้ว +1

      Siku zinavyokwenda sootee tunazeeka

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 ปีที่แล้ว +2

    mbona jamaaaa kama akili zake ni za ucku

  • @nyanongwasaid2615
    @nyanongwasaid2615 6 ปีที่แล้ว

    Sura kama lapa la teja unaupako gan mlev ww

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 ปีที่แล้ว

    Kwanini huyu kiba yeye nimuisilamu lkn anafanya yakikafiri pia kufanya batara na kuacha kuwachangamkia wenzake anapenda kuchukia watu na kujiona yeye ni mtu kuliko walio watu pia mbona hamkusema au amekuzibeni macho msiyaona mabaya yke?au anakulisheni majumbani mwenu

  • @mamad1175
    @mamad1175 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mchungajj au mchumia tumbo ndio maana Ney huw anawapaka

  • @kingyehoshafatitvbornerys2496
    @kingyehoshafatitvbornerys2496 6 ปีที่แล้ว

    Oya jamani acheni zenu bhana cheko zinaniua huku koment zenu!!!

  • @dissartv4806
    @dissartv4806 6 ปีที่แล้ว

    Kakibaa kanajisikia tena sanaa

  • @chidiberbatov3613
    @chidiberbatov3613 5 ปีที่แล้ว

    Yeye mwenyewe katajirika kwa hizo sadaka za masikin ,

    • @tumainikyando8803
      @tumainikyando8803 5 ปีที่แล้ว

      Chidi Berbatov Halafu anawaita mafala , malofa hao wanaojinyima na kutoa sadaka kwenye hiyo biashara yake ya kanisa feki . hili ni shetani sio mchungaji

  • @richardherman7118
    @richardherman7118 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @ngoshazedonny1720
    @ngoshazedonny1720 6 ปีที่แล้ว +1

    Amekoswa la kufanya!!!Wew ni mchungaji kiki za nn?

  • @aishababu4986
    @aishababu4986 6 ปีที่แล้ว

    mmmh kama vipiiiii simuelewi hilo poz

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +1

    Wewe babu maombi gani hayo

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว

    Mzee mbona kipaza sauti unakikwepa sisi atukusikii vizuri bhana.

  • @tumainikyando8803
    @tumainikyando8803 5 ปีที่แล้ว

    Hao unaowaita malofa ndio unategemea sadaka zao ! hakuna mchungaji hapo mganga njaa tu huyo . mlevi

  • @christophermartin4572
    @christophermartin4572 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni ajent wa freemason hanalolote huyo

    • @nyakitoto5868
      @nyakitoto5868 6 ปีที่แล้ว

      Christopher Martin,...... Ndugu yangu... Unaona eee?.. Chris uko wapi siku hizi?

  • @georgeshija1276
    @georgeshija1276 6 ปีที่แล้ว +2

    choko hilo

  • @nyambelewinfrida9074
    @nyambelewinfrida9074 5 ปีที่แล้ว

    Napenda mafundisho yako sana lakin mbona umepoa sana hata sauti sio ile tumeizoea baba hata watangazaj wame adopt.

  • @aibonkinya2817
    @aibonkinya2817 6 ปีที่แล้ว

    Kamani pesa unaka ungeongea tu na diamond akuambie siri yake ata ww uanze kufanikiwa nakua tajiri ukitaka magari majumba kubwa kubwa uwemazo uache domo domo kwa wa sanii

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye daladala tofaut naibada uyovp minkokwenye ibada mtuanikatishe awezekan uyo nimjanja mjanja2

  • @lazaropatrick3639
    @lazaropatrick3639 6 ปีที่แล้ว

    huyo mzee na mondi n vyeo vimoja hiyo mzee kaanza kuzeheka vibaya injili imemshinda hata mahubir anayo fundisha hayafai kabisa sjui hajistukii kambo ya wasanii yana kuhudu nn w mzee uliana na ney leo unamaliza na kiba kaz imekushinda ww mzee

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +9

    Mzee wewe siyo mtumishi bali uko kwa kanisa anachumia tumbo hana jipya cha Arusha

  • @shabanjuma6730
    @shabanjuma6730 6 ปีที่แล้ว +8

    Uyu mzee bhan kumbe ndo alivyo na akili mbovu ivi yan hata haelewek anajibu nn na ana ulizwa nn

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +2

      Shaban Juma Hata mimi cmuelewi

    • @shabanjuma6730
      @shabanjuma6730 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan yan kma kalewa ivi au unamuonaje ww soum yan hajielew hata anachoongea ni nn

  • @SmartBrainTv2020
    @SmartBrainTv2020 6 ปีที่แล้ว +1

    good

    • @salomenachunga2025
      @salomenachunga2025 6 ปีที่แล้ว

      Hana Hekima huyu baba.

    • @ephrahimngosso3834
      @ephrahimngosso3834 6 ปีที่แล้ว

      aiceeeeee huyu mzeee mjinga kwel anamchukia king kiba asijue watu hatulali tunakesha kumuota Ally kiba tunampenda kama brother

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 ปีที่แล้ว +3

    My God eti kufa maskini ni ujinga😲😲😲 so km Mungu amekuandikia mtu maisha yako yoote kuwa masikini? Au me sijaelewa jm?

    • @klystry1234
      @klystry1234 6 ปีที่แล้ว

      onlymeruky hujaelewa

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 6 ปีที่แล้ว

      asela aikarua ndiyo unieleweshe

    • @devotadidass3343
      @devotadidass3343 6 ปีที่แล้ว

      ujaelewa nn kwan we ni kilema ufe maskn

    • @marynasimeon
      @marynasimeon 6 ปีที่แล้ว +3

      onlymeruky
      MUNGU ALITUFANYA KWA MFANO WAKE ILI TUTAWALE NA KUMILIKI
      HIVYO MPANGO WA MUNGU KWETU SISI NI KUWA MATAJIRI

    • @elinahlawrancemwaipopo7633
      @elinahlawrancemwaipopo7633 6 ปีที่แล้ว

      onlymeruky utakufaj maskin pambana

  • @aibonkinya2817
    @aibonkinya2817 6 ปีที่แล้ว

    Ume nifanya kuchukia wa chungaji kama kazi ndo hio tu,kama ww unaleta vita ivi,nani atatubiria neno tufike mbinguni.

    • @queencatherine6591
      @queencatherine6591 6 ปีที่แล้ว

      Waombee uenda kwa maombi yako akabadilika

    • @aibonkinya2817
      @aibonkinya2817 6 ปีที่แล้ว

      Queen Catherine,unajua tunajifunza kwenye agano la kale.musa alikasirisha mungu alipo rudi akapata wanaisrael wamerudi kwenye dhambi akapasua ile ten commandment, ndio maana hakuona the prms lans kuingia kwake mbinguni kulikua kwa.vuta nkuvute. Katiya mungu na.shetani, pia tunaji funza kwa yona.nawengine wengi.na wachungaji pia wanajua hilo,kweli mm cjaokoka lkn cku moja natamani ningeokoka,nawachungaji wa leo kidogo wanatuchanganya sana.mtu wadunia ata akitembea uchi sio shida maana skumoja atakutana na dawa.dawa ni huyu mchungaji,so heri awaombee mondi na kiba kuliko vile ana waongelea

  • @Hauleshabby
    @Hauleshabby 6 ปีที่แล้ว +1

    namkubal sana

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว

    Sasa unaleta mila kwenye swala la imani mzee, hata wenye dhambi hufanya hivyo

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 ปีที่แล้ว +11

    Huyu.mzee.ni.mchugaji wa.aina hii kuomba pia hajui alafu mtu alie ni.mchungaji haeki chuki na mtu kila.mtu ni rafiki mbona una chukia king kiba unafiki tu ati upako upako

    • @mohamedsadiki9846
      @mohamedsadiki9846 6 ปีที่แล้ว

      MAMA PEKU PEKU mchungaj hewa

    • @amirsab1158
      @amirsab1158 6 ปีที่แล้ว

      Mohamed Sadiki namuona ivo

    • @khadijakhadija6547
      @khadijakhadija6547 6 ปีที่แล้ว +1

      MAMA PEKU PEKU mchungaji wa ngo'mbe

    • @josephathkiharatu9113
      @josephathkiharatu9113 6 ปีที่แล้ว +1

      MAMA PEKU PEKU kweli wewe pekupeku

    • @amirsab1158
      @amirsab1158 6 ปีที่แล้ว

      D'ja D'ja hahahaah namuona mana ana nipa kichefu chefu

  • @fredyjohnwaifakaratz6613
    @fredyjohnwaifakaratz6613 6 ปีที่แล้ว +4

    MBONA KAKONDA

    • @usanifumaandishi7519
      @usanifumaandishi7519 6 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara TZ Umri unayoyoma

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara TZ ni mlevi si unamuona hata ongea yake.

  • @khadijakhadija6547
    @khadijakhadija6547 6 ปีที่แล้ว

    No comment

  • @elizabetdaniel2260
    @elizabetdaniel2260 6 ปีที่แล้ว +1

    mtu mzima kisheti huoni ata aibu,mchungaji gn unakua mnafiki ivo mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu miwani ka kobe.embu niombee me npate elaaaaaaa😁😁😁😁😁

    • @petrobernward5696
      @petrobernward5696 6 ปีที่แล้ว

      Elizabet Daniel haha

    • @petrobernward5696
      @petrobernward5696 6 ปีที่แล้ว

      Elizabet Daniel haha

    • @janechengula4270
      @janechengula4270 5 ปีที่แล้ว

      Atakupa maombi ya matango poli alipo ambiwa aombe kwani ulisikia alicho omba

  • @jonsinatony3622
    @jonsinatony3622 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna cha upako wala mjomba wake naupako huo ni moto tu unao waita

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 5 ปีที่แล้ว

    Hiii,kuwa na makanisa temeke,mbagala ni kuuharibu mwili wa kristo😎😎😎😎
    Ama!!!

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 ปีที่แล้ว

      mankia lema kuujenga mwili wa Kristo ni vipi basi twambie

  • @ndijaibrahim3761
    @ndijaibrahim3761 6 ปีที่แล้ว

    Uyu mzee anatombwa na haogi kiba alimkosea nini au paka atoe hallelujah

    • @vitalissmsalanji2537
      @vitalissmsalanji2537 6 ปีที่แล้ว

      Acha upumbafu weehujahwahi kumchukiamtu aliyekutukana nani

    • @ndijaibrahim3761
      @ndijaibrahim3761 6 ปีที่แล้ว

      Sasa we Malaya umeshaona mchungaji anamchukia mtu kwaajili ya kiburi je mzee waupako angekua raiss sindo angemuua kabisa

    • @godfreysimba9649
      @godfreysimba9649 6 ปีที่แล้ว

      acha kucomment matus ww

    • @necramsonpate
      @necramsonpate 6 ปีที่แล้ว

      Necramsonpate

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว

    Uwo mpete wa kichawi siyo bule

  • @shyshayagen2733
    @shyshayagen2733 6 ปีที่แล้ว

    Anatakiwa awe na bible yako

  • @rogersmasofa3454
    @rogersmasofa3454 6 ปีที่แล้ว +1

    ohooi

  • @basilifrank
    @basilifrank 6 ปีที่แล้ว +3

    Transformer

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว

    kilamtu anautashi wake sasa wewe aliyu makiyu usipende kumzarau usie mjua nakuomba sana tafadhari?

    • @queencatherine6591
      @queencatherine6591 6 ปีที่แล้ว

      Mungu atabaki kuwa Mungu tyu

    • @ditramnchimbi123
      @ditramnchimbi123 6 ปีที่แล้ว

      Zumbe Shauri matusi ya nini imani yako kipimo Siku ya mwisho wa Dunia

  • @bbyjbbyj8064
    @bbyjbbyj8064 6 ปีที่แล้ว

    anatafuta kiki uyo

  • @jackypottrick1pottrick641
    @jackypottrick1pottrick641 6 ปีที่แล้ว

    Wewe mchungaji hata hauna upendo, kama ni mchungaji wa ukweli anasema mimi na penda wote, mchungaji wa ukweli huwa hachagui ai hapana imezidi wewe sio kabisa

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 6 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅

  • @stylistofficial1405
    @stylistofficial1405 6 ปีที่แล้ว

    Blesd

    • @allenmlelwa7950
      @allenmlelwa7950 6 ปีที่แล้ว

      STYLIST OFFICIAL mbona kaongea poa tu

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 ปีที่แล้ว +2

    kwann mmemute dislike

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 6 ปีที่แล้ว

      Shuweha Omar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona ipo? But umenichekesha

    • @callmangumbo1552
      @callmangumbo1552 6 ปีที่แล้ว

      Shuweha Omar Hahaha IPO Kama una taka kudislike bonyeza Mara mbili 😂😂😂😂😂

    • @flyhigher5393
      @flyhigher5393 6 ปีที่แล้ว

      Shuweha Omar we utakuwa umedislike huku umezima data😂😂😂😂

    • @zakariyasheel395
      @zakariyasheel395 5 ปีที่แล้ว

      Huyu kichwa chake

  • @emmamoke6407
    @emmamoke6407 5 ปีที่แล้ว

    Jameni mzee ameambiliwa kuomba .je maombi aliyo omba ya ki ajabu.

    • @janechengula4270
      @janechengula4270 5 ปีที่แล้ว

      Sijawahi kuona mchungaji anae omba kama mzee wa upako sala yako haieleweki