🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 8 หลายเดือนก่อน +3

    MAKONDA JESHI LA MTU MMOJA.HODI HODI MBEYA, TAZAMA MBEYA ILIVYO FUNGUKA, MAKONDA OYEEE, MITANO TENA KWA MHE RAIS MAMA WA TAIFA LA TANZANIA DKT SAMIA SULUH HASSAN 🇹🇿❤🇹🇿.

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 8 หลายเดือนก่อน

    Hili jeshi la mtu mmoja one man show,wachawi wanatafutana kaa mbali soma alama za nyakati,mama Samia alisoma Alama za nyakati,mwanajeshi wa akiba special force,tulirni picha lina staring full mashol art

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ajaribu nape nayeye muone kama itskuwa hivi haya bwana ni karama toka kwa Mungu tu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 8 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la mtu mmoja jembeee 🎉🎉🎉🎉

  • @oman8573
    @oman8573 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka si uende na huko kwetu mkoa wa kilimanjaro hususan ndungu

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 8 หลายเดือนก่อน

    Cha urisi huzidi Makonda kiboko duniani

  • @LukasPaul-i6y
    @LukasPaul-i6y 8 หลายเดือนก่อน

    Ugopa mtu anajulikana hadi Marekani aliwaambia ushoga Tanzania hatutaki wakamwambia hakuna kukanyaga Marekani sahivi wanamwangalia tu kwa tz.

  • @BinamunguPastol
    @BinamunguPastol 8 หลายเดือนก่อน

    Chapa kazi magu kaenda ila kaacha mwanae nakukubali makonda

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 8 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli makonda anakubalika

  • @Nikolausdminde
    @Nikolausdminde 8 หลายเดือนก่อน

    Tuachen utan makonda anaelekea uko mbelen kuja kugombea urais n hali yake Kwan wananchi wanampemda

  • @gallusmbaga5522
    @gallusmbaga5522 8 หลายเดือนก่อน

    Wakati mwingine wananchi wasiendekezwe. Wajifunze kusikiliza

  • @salomekense525
    @salomekense525 8 หลายเดือนก่อน

    Hata Mbeya wamekukubari basi wewe ni Jembe. Maana hao ni mcharuko kweli.😂

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 8 หลายเดือนก่อน

    Watu wanahisi wapo na Magufuli
    Piga kazi

  • @FadhiliMgalla-ds9fx
    @FadhiliMgalla-ds9fx 8 หลายเดือนก่อน

    Jendaje chapa kazi kaka lipuwa