Watu wanyonge wadhumiwa sana. Na hapo bado kazi ipo, serikali inatakiwa USO wambuzi kweikweli. Hakuna kuchekeana Bro, walishachekewa sana miaka karibia 100. Mwisho wa siku nchi ikapoteza heshima sababu, wanyonge wakadhulumiwa. Hata King Selemani alitoa Adhabu kwa alie vunja Sheria, hadi Majini Aliwapa adhabu pamoja na hekima ya king.
Ila viongozi wengine mnamajibu mabaya sana huwezi kudharau mtu ety vimifugo vyako hivyo, na shule haina mantiki tuweni na utu bc siyo kumnyima mtu ata Uhuru wa kuongea siyo vizuri kwani ukimjibu vizuri tu hataelewa plz uongozi ni dhamana na kuwa kiongozi lazima uwe na uwezo wa kuthink behind na kujudge siyo kutoa jibu tu without judgement mtu anatakiwa na yeye asikilizwe.
Mkuu wa mkoa wa Kagera hanaga hizo silka.... unajua wawekezaji wakiongea unaweza ona km wanaonewa ukizama ndani utajua vzr .... Viongoz wana beba dhamana ya vijiji lkn mara nyingi wanakuwa wanapewa kidogodogo...
@@braitonmhagama9102 Kabisa ni MTU mmoja muelewa sana na hapendi kupindisha anasimamia haki huyu mfugaji kavunja sheria tena kwa kukusudia maana sheria za kumilikishwa ardhi na kijiji ukomo ni ekal 50.
Kabisa na inasikitisha...ety vimifugo vyako...kauli ya kiongozi huyo..anayelipwa mshahara kwa kodi za hao hao anaowabeza. Kwa lipi? ambalo yeye kama yeye amefanya kutoka mfukoni mwake likanufaisha umma. Huyu baba ni mzalendo kabisa...yawezekana makosa yakawepo lakini kiongozi alitakiwa aheshimu mchango na kumuita huyu mtu ofisini kwa ajili ya kusuluhisha. Kiongozi ni wa wote!
Duuuuh inauma kwelii Mwekezaji ulitenda kwa wema ili kusaidia Kijiji na watoto wasome leo hii unalipwa ubaya kwa wema Mungu yupo nawe atakushindia hata hili litapita
Daaah maskin mwekezaji! Hiv hapo kweli kuna ishu ya kumshika hivyo daah pain. Cha msingi ilikuwa ni kukaa mezani kuwekana sawa baina ya wananch na mwekezaji. Mambo yaende sawia. Ila kwa kutumia💪 sio poa.
Angefuata sheria asingepewa zaidi ya heka 50. Kwasababu serikali ya haina mamlaka ya kutoa ardhi zaidi ya heka 50. Kwahiyo kuna ujanja ulitumika kukwepa wizara ya ardhi.
Uyu dc sijamwelewa kabisa kweli matapeli wapoga ivyo kweli wanaich walikuwa na uitaji wa shule mwekezaji katimiza ilo bado anaitwa tapeli et anaita viela ukute hata kwao ajajenga kitu chochote
Wawezekaji wasikilizwe, kama ana haki wamuachie, sio vizuri mtu akiwekeza anapigwa pingu Apo wenye kosa ni viongozi na wangewajibishwa wao sio muwekezaji, au angehamishwa na kupelekwa sehem za ranchi Muwekezaji kama muwekezaji anaweza asijue sheria ila yapaswa viongozi wajue sheria, Kihivyo viongozi wetu mnaogopesha watu kuwekeza kwenye nchi yao wenyewe, kama sheria imebatiliwa wawajibishwe viongozi sio anapelekwa police angali ata nyaraka anazo
Yan kiongozi mwenyewe ukimwambia ajitoe kutoa service kama alotoa huyo mzee anafyata mkia niwivu usio namaana wamtaftie bas pakuchungia tunataka serikalia yaviwanda
Haya ndiyo makosa ya uteuji mlipuko.Hapao mkuu haoni tofauti ya watu wa uraiani na watu wa kambini.Hapo mkuu anawaza kikambini.Bahati mbaya aliye mteua anamwambia nenda kawanyoshe.
Tumia akili kwahiyo mtu mmoja na kijiji kizima Nani kaonewa hapo Madarasa mawili ya sh milioni hata kumi hazifiki na ekari 50 Ndo wazungu wanaleta vioo na kubeba dhahabu ,. Serikali imekosea Nini hapo wewe kuwa mzalendo my mmoja na kijiji kizima
Hayooo ndo yalioko mkoa wa kagera wilayaa ya missenyi kata kakunyu watu wananyanyaswa wanafukuzwaa Kama ng'ombe wenye madalaka wakoo kimyaaa jamani sio poaaa
Kweli Kanisa Unakuta Mtu Mmoja Anamiliki Aridhi Kubwa Cha Ajabu Siku Akifa Sasa Anazikwa Kwenye Kabuli Ambalo Alifiki Futi Kumi Upana Lakini Sasa Uzomani Mpaka Mauwaji
Mkuu ludi nyumbani ukajifikilie huyo makoe kaokoa pesa nzingi sana za selekali yuko sawa kaanae Ila kwakua kaokoa hela ambayo ilibidi muipige lazima haya yamkute
RC sawasawa viongozi wa kijiji ndiyo chanzo cha migogoro shule inatumiwa km kivuli cha kuficha wahujumu ambao ni serikali ya kijiji RC hongera sana jela zilijaa sababu ya viongozi wasimjali mungu RC hongera sana
Viongozi wa sasa ni mihemko ndio inayo waongoza busara ni sifuri, huwezi mkejeri mtu mzima namna hyo kias kwamba umegeuka mungu kumbe mpuuz fulan tu uliye kosa malezi na kuhisi kuwa kiongoz nikuzid watu wote akil kumbe cheo ni dhamana tu, limeniuma sana hilo Neno vihelahela vyako na ving'ombe vikumi dah ama kwel kuna watu wanadharau.
Mweshimiwa nenda shule kwanza, hahahahaha shule haina mantik kweli?????? hiii ni upuuzi tena unyanyasaji uliopitiliza, kweli mfadhili mbuzi utakula nyama ila binadamu mmmmmmm tatizo, imagine ni hao hao wanakijiji waliokutapeli ukajenga shule na lazima walikupigia na makofi na sifa zoooote wakakupa, leo hii ni hao hao ndo wanakufitini na kupiga makofi baada ya wewe kunyang'anywa eneo, pumbavu zao kama ni mimi nakwenda kuichoma hiyo shule
Wakuu wa mikoa Punguzeni Dharau munapokuwa munaongea na wawekezaji wa ndani, huyo jamaa hawezi kutapeli , anamiliki hospitali Geita kubwa tu, anamigod yake mijubwa tu. Ni mlipakodi mzuri ni jinsi gani ya kuishi nae. Kunafaida gani eneo kukaa bila mwekezaji bado hayo maeneo wanakijiji wakiachiwa hakuna muendelezo wala nini.
Huyo sio Tapeli ni mwekazaji mpaka kajenga shule madarasa 4 unamuita Tapeli? Alafu sio vihela vyake no ulifaa pia kuongea naye ni Mtanzania pia unahitajika kumsadia , tusichukie Matajiri
Wewe Mzungu usimtelee mfano kwenye swala LA Mafisadi hawa. Watanzania kwanza tuheshimu Sheria. Nyingi hamjui nyuma Pazia nini kilitojea hadi mkuu wa kaitwa. Msikoment upumbavu.
DC achukuliwe hatua Kwan mkuu wake angekaa nae wamwite ofisin wamskilize anamiliki kwa mda gani ikiisha bas Kama anaondoka freshi ELIMU NI HAKI WANYAMA NINHAKI
huo ni upeo wako tu huenda hujapenda maamuzi yake ndio yaliyokusababishia kujibu hivyo, huna sababu ya kumdharau huyo Brigedia mpe heshima yake unajua aliyoyatenda kabla hajawa RC au ndio walewale?
Mimi sijaona kosa la.makoe kabisa mkuu wa mkoa apo umechemsha kabisa afu mbele ya watu unasema vihelahela vyako sio sana kabisa pia pingu za nini apo kwa mtu alie wekeza ivo tena amejenga shule na sio kwemba amechukua iyo aridhi anachugia tu.
Mimi personally nimemuelewa mkuu wa mkoa anachomaanisha ni kwamba ni kweli makoye kafanya jambo zuri lakini amelifanya Kama sehemu ya kumiliki ardhi ambayo sio yake kama alikuwa na nia njema ya kujenga shule angeanza na umilikishwaji halali wa ardhi maana yy sio wa kwanza kujenga shule ila kwakuwa katumia shule ( jambo jema) kujimilikisha ardhi apo ndipo tatizo lilipo na anaitumia shule kama njia ya kuonekana kafanya jambo la maendeleo mfano ni ofisi za tanesco ubungo mbona zilibomolewa kwakuwa eneo lilikuwa ni la barabara kwan kuna mtu alitaka ofisi za tanesco Tanzania zibomolewe? Lakini zimebomolewa na wameenda eneo halali kisheria jamaa kakosea sema kwakuwa mnaangalia alichofanya yaani kujenga shule amuwez kuona kosa lake sasa apart from shule bado analitumia eneo kufugia na alipewa kulilinda na wengne hawapati nafas ya kulishia mifugo eneo ilo unategemea mkuu wa mkoa afanye nn
Mkuu wa mkoa yupo vizuri sana, huwezi kujenga madarasa manne halafu unataka ekari 3000 ujimilikishe uweke na uzio anataka kutuletea Mambo ya ukoloni apa nyang'anya aridhi itumiwe na watu wote.
Unajua siku hizi kila mtu anataka kiki sifa kwan pesa zinakuhusu nini nawewe so utafute zako eti vihela kwahyo ni dhambi kumiliki pesa mheshimiwa JPM anataka mabilionea waongezeke harafu wewe unachukia mtu kuwa na hela duuuuuh maisha hayaeleweki jamani 🤔🤔
Mkuu wa mkoa unabahati una ulinzi kwanza jamaa ni mfugaji lakini afya yake Iko njema unge kula vitasa yani apo una bahati umeenda na wakina afande mandonga 🤣🤣🤣🤣 ila mkuu umefanya kazi nzur nakupongeza maana umesema ukweli mtu mmoja hawezi kuchukua arizi ya wilaya inzima kweli iyo sio haki
Uyo ayupo kinyemela kafanya vitu vya msingi sana ktk kijiji alisitahili kueshimiwa na kuenziwa lkn mnamhita tapeli mtu kajenga madarasa 5 watoto wa masikin wanapata elim sehm nzr dah
Jamani serikali za mitaa ni dhulma watu wengi wamedhulumiwa kwa njia hiyo wanapewa masharti ya kujenga shule wapewe ardhi na kijiji wakishamilikishwa wanawageuka si haki hata kidogo na kifungo juu daaahhhh tanzania hatutapata maendeleo kwa ajili ya dhuluma
Namimi wachaa nigoteee pale kwa SULEMAN alimuomba MUNGU hekiba busara na uwezo wa kuwaongoza watu lkn kuna mijitu inatumia mamlaka vibaya sanaa kwanini usimsikilize mtu alafu kwanini mnatumia mamlaka vibaya
Siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kuelewa kwanini mfalme Suleiman aliomba kwanza hekima
Kabisaaa
Watu wanyonge wadhumiwa sana.
Na hapo bado kazi ipo, serikali inatakiwa USO wambuzi kweikweli. Hakuna kuchekeana Bro, walishachekewa sana miaka karibia 100. Mwisho wa siku nchi ikapoteza heshima sababu, wanyonge wakadhulumiwa. Hata King Selemani alitoa Adhabu kwa alie vunja Sheria, hadi Majini Aliwapa adhabu pamoja na hekima ya king.
Upo sahihi kabisa kaka hekima ni kitu cha msingi
Kweli kabisaa hekima
Hapo kaonewa huu mzee kwa kweli sio kweli
Saaaafi mjeshi👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻imagine darasa mbili kwa hekari 50 elfu haikubariki kabisaaaa
alipewa kuchungia mifugo co kumiliki
Aliemuona afande kafanana na Tundu lisu gonga like
Mweu ww
True hata Mm nilikua nafikiri ni yy tundu
😂😂😂😂😂😂😂😂
This is Great Mr RC mwendo mzuri. Tuwatendee haki Wananchi watumishi ndiyo chanzo cha kuwahujumu Wananchi
Na wewe uelewi kama rc huyo hakumilikishwa aliazimwa tu
huna akili
Kwa hari hii n bora nisiwe mwwkezaji wa ndani.
Wamekosea sana kutomsikiliza awa viongozi wetu huwa wanakosa leadership ethic kwakweli niaibu kubwa
🤔
real
@@mu-crzymahez9229duh
Umekulupuka huyo ajavamia wangemwambia tu tunakupunguzia heka unastahili kubaki na heka hizi da
Mhhh napita tu ,Mungu akikupa busara umepewa kitu kikubwa sana, kwani angeshikwa bila kuzaririshwa na mipingu asinge enda,???????
Muwekezajii hana tatzoo kbs bs abomoee madarsaa alojenga 😆😆
Ameonewa
Daaaaaaah kweli mwamba uonevu huu
Au sio
Abomoe Madarasa Yake Ahame Pia : MWEKEZAJI HANA TATIZO :
Kwa hiyo madarsa 2 kwa eneo lote? Vigezo na Masharti Kuzingatiwa
Angekuwa Mzungu duh sijui kama viongozi hao wangemkejeri
Ila viongozi wengine mnamajibu mabaya sana huwezi kudharau mtu ety vimifugo vyako hivyo, na shule haina mantiki tuweni na utu bc siyo kumnyima mtu ata Uhuru wa kuongea siyo vizuri kwani ukimjibu vizuri tu hataelewa plz uongozi ni dhamana na kuwa kiongozi lazima uwe na uwezo wa kuthink behind na kujudge siyo kutoa jibu tu without judgement mtu anatakiwa na yeye asikilizwe.
Viongoz weng kwenye hawamu hii ya magufuli weng wao wanakurupuka kwa kutaka tu sifa kwa rais
Mkuu wa mkoa wa Kagera hanaga hizo silka.... unajua wawekezaji wakiongea unaweza ona km wanaonewa ukizama ndani utajua vzr .... Viongoz wana beba dhamana ya vijiji lkn mara nyingi wanakuwa wanapewa kidogodogo...
@@braitonmhagama9102
Kabisa ni MTU mmoja muelewa sana na hapendi kupindisha anasimamia haki huyu mfugaji kavunja sheria tena kwa kukusudia maana sheria za kumilikishwa ardhi na kijiji ukomo ni ekal 50.
Kweli kabisa ndugu. Ss watanzania tunafanyiana roho mbaya afu tunaabud wazungu. Na baadae tunajifanya kuwakataa wazungu.
Kabisa na inasikitisha...ety vimifugo vyako...kauli ya kiongozi huyo..anayelipwa mshahara kwa kodi za hao hao anaowabeza. Kwa lipi? ambalo yeye kama yeye amefanya kutoka mfukoni mwake likanufaisha umma. Huyu baba ni mzalendo kabisa...yawezekana makosa yakawepo lakini kiongozi alitakiwa aheshimu mchango na kumuita huyu mtu ofisini kwa ajili ya kusuluhisha. Kiongozi ni wa wote!
Duuuuh inauma kwelii Mwekezaji ulitenda kwa wema ili kusaidia Kijiji na watoto wasome leo hii unalipwa ubaya kwa wema Mungu yupo nawe atakushindia hata hili litapita
Wamemuonea
Inawezekana hata kipindi anachukua hilo eneo lilikuwa poli na watu hata hawakuwepo na ndo maana kijiji kikaridhia...
Da! Serikali inatumia nguvu Sana
Daaah maskin mwekezaji! Hiv hapo kweli kuna ishu ya kumshika hivyo daah pain. Cha msingi ilikuwa ni kukaa mezani kuwekana sawa baina ya wananch na mwekezaji. Mambo yaende sawia.
Ila kwa kutumia💪 sio poa.
Kabisaaa yaan
Sijapenda hiyo kauli ya vihela vyake hyo Ni zalau
OK Mr makoye kila kitu kitakaa saw a government IPO na wanasheria wapo kilakitu kitakuwa solved
Viongozi wajinga wajinga kama hawa mnawapa kazi za nini hawana hata hekima anaongea kama hajasoma bwana
Hata mimi naweza kuwa RC kwa style hii!
Darasa mbili za milioni 5
Na hekta 3000
Tumia akili
Hekima ni nzuri Sana kwa kiongozi. Ndio maana nampenda sana Mtaka. Mfugaji amefuata by laws za kijiji halaf ww unamkamata
Angefuata sheria asingepewa zaidi ya heka 50. Kwasababu serikali ya haina mamlaka ya kutoa ardhi zaidi ya heka 50. Kwahiyo kuna ujanja ulitumika kukwepa wizara ya ardhi.
Mzee mwenyewee jeuri,,,,mkuu wa mkoa brigedia ...amri Vs siasa
Eti awekwe Pingu...sijaona mantiki ya kufungwa pingu.
Yaan daahh
Huyu mkuu wa mkoa mjinga sana! Kwann asifukuzwe kazi mbona ana muonea mzee hana hatia, unamwita mhuni tapeli mtu alie ingia kwa utaratibu wa kijiji
DC waheshimu sana wawekezaje shule sio muhimu muhimu ni hiyo kofia yko DC ametapeli nani tz imebarikiwa na aridhi punguza domo kaya Dc
Uyu dc sijamwelewa kabisa kweli matapeli wapoga ivyo kweli wanaich walikuwa na uitaji wa shule mwekezaji katimiza ilo bado anaitwa tapeli et anaita viela ukute hata kwao ajajenga kitu chochote
@@masatumgeta196viela hapo hajaongea vizuri kwa kweli sio lugha ya hekima
Mnakurupuka kwa nini msikamate wanaowapa, mnakamata wawezekaji, deal na watu wanaotoa
Ilani ya Chama ni 'Chukua Chako Mapema' 🤣🤣 Wananchi wapo kuchukua lawama yote..
Kazi nzuri
Nakuona kaka Yusuph
Wawezekaji wasikilizwe, kama ana haki wamuachie, sio vizuri mtu akiwekeza anapigwa pingu
Apo wenye kosa ni viongozi na wangewajibishwa wao sio muwekezaji, au angehamishwa na kupelekwa sehem za ranchi
Muwekezaji kama muwekezaji anaweza asijue sheria ila yapaswa viongozi wajue sheria,
Kihivyo viongozi wetu mnaogopesha watu kuwekeza kwenye nchi yao wenyewe, kama sheria imebatiliwa wawajibishwe viongozi sio anapelekwa police angali ata nyaraka anazo
Yan kiongozi mwenyewe ukimwambia ajitoe kutoa service kama alotoa huyo mzee anafyata mkia niwivu usio namaana wamtaftie bas pakuchungia tunataka serikalia yaviwanda
Hicho kimkuu sijui cha wilaya hakina hekima sasa police Ana kosa gani hapo huyo makoye mpaka anakamatwa mamlaka inakupa kiburi.
Funzo kwa viongoz Mnapopata matajiri wa aina kama hiz mnatakiwa kuwa makin sana kwenye kuwapa mikataba.
Haya ndiyo makosa ya uteuji mlipuko.Hapao mkuu haoni tofauti ya watu wa uraiani na watu wa kambini.Hapo mkuu anawaza kikambini.Bahati mbaya aliye mteua anamwambia nenda kawanyoshe.
Hivi kwanini mnakimbiliaga kukamatakamata badala ya kujadiliana mkapata solution asee😓😓😓
Ccm inawaonea sn watu,huo Ni unyanyasaji Ila hayo machozi mtayalipa
Tumia akili kwahiyo mtu mmoja na kijiji kizima Nani kaonewa hapo
Madarasa mawili ya sh milioni hata kumi hazifiki na ekari 50
Ndo wazungu wanaleta vioo na kubeba dhahabu ,. Serikali imekosea Nini hapo wewe kuwa mzalendo my mmoja na kijiji kizima
Hayooo ndo yalioko mkoa wa kagera wilayaa ya missenyi kata kakunyu watu wananyanyaswa wanafukuzwaa Kama ng'ombe wenye madalaka wakoo kimyaaa jamani sio poaaa
Kweli Kanisa Unakuta Mtu Mmoja Anamiliki Aridhi Kubwa Cha Ajabu Siku Akifa Sasa Anazikwa Kwenye Kabuli Ambalo Alifiki Futi Kumi Upana Lakini Sasa Uzomani Mpaka Mauwaji
Mkuu ludi nyumbani ukajifikilie huyo makoe kaokoa pesa nzingi sana za selekali yuko sawa kaanae
Ila kwakua kaokoa hela ambayo ilibidi muipige lazima haya yamkute
Hao ndiyo wadau, leo hamuwathamini atiiii
Ekari 3000 kwa madarasa manne??? Hapana viongozi wa kijiji wakamatwe
Kwa upande wa ardhi mkuu wa mkoa nimekupenda sana
Sio kweli lkn
RC sawasawa viongozi wa kijiji ndiyo chanzo cha migogoro shule inatumiwa km kivuli cha kuficha wahujumu ambao ni serikali ya kijiji RC hongera sana jela zilijaa sababu ya viongozi wasimjali mungu RC hongera sana
Nikubomoa madarasa tu
Acheni kuiogoza nchi kiubabe mr makoye anakosa gani apo kama sio uonevuwo uwo niuwivu wa maendeleo
Wamemuonea haki haipo hivyo
We need to learn how to listen b4 judgement trust me
Viongozi wa sasa ni mihemko ndio inayo waongoza busara ni sifuri, huwezi mkejeri mtu mzima namna hyo kias kwamba umegeuka mungu kumbe mpuuz fulan tu uliye kosa malezi na kuhisi kuwa kiongoz nikuzid watu wote akil kumbe cheo ni dhamana tu, limeniuma sana hilo Neno vihelahela vyako na ving'ombe vikumi dah ama kwel kuna watu wanadharau.
Rc usisahau kuna maisha baada ya uongozi dharau sio njema uwezijua kesho yako unaweza kwenda kuomba kazi kwa Mzee huyo uliemdhihaki
Kumbukeni hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho ukweli utabaki kuwa ukweli tu
Ni vizuri kuweka kumbukumbuku ya wenu ili iwasaidie badae
munamuonea tu Mana kama kapewa nakijiji
Mweshimiwa nenda shule kwanza, hahahahaha shule haina mantik kweli?????? hiii ni upuuzi tena unyanyasaji uliopitiliza, kweli mfadhili mbuzi utakula nyama ila binadamu mmmmmmm tatizo, imagine ni hao hao wanakijiji waliokutapeli ukajenga shule na lazima walikupigia na makofi na sifa zoooote wakakupa, leo hii ni hao hao ndo wanakufitini na kupiga makofi baada ya wewe kunyang'anywa eneo, pumbavu zao kama ni mimi nakwenda kuichoma hiyo shule
Ayo mambo yapo sana, vijiji vingi vinakosea ila hususani viongozi wa vijiji
Ukweli ni shida tupu sijaona kosa la makoye hapo huyo kiongozi anayake binafsi
Very clear manaake nn mm hapo sijakuelewa
😃😃😃🙌hilugha inatusumbua
Serikari ya tanzania hiyooo dah,
Mkuu wamkoa ume fanya kitu sio kabisa bas wew kama hivyo vihela nividog mludishie kama vip
Wakuu wa mikoa Punguzeni Dharau munapokuwa munaongea na wawekezaji wa ndani, huyo jamaa hawezi kutapeli , anamiliki hospitali Geita kubwa tu, anamigod yake mijubwa tu. Ni mlipakodi mzuri ni jinsi gani ya kuishi nae. Kunafaida gani eneo kukaa bila mwekezaji bado hayo maeneo wanakijiji wakiachiwa hakuna muendelezo wala nini.
Hakika
Huyu inaonyesha kabishana na mkuu wa mkoa wake na ninachoona kwake ni kutozungumza kwa nidhamu
Hawa walikuwa on contractual obligations, community school building vs land for going. Patamu hapo.
Hana sion point anaeongea,full uonevu
Kama umemuona TUNDU LISSU na miwani yake kavaa combart ya police Gonga like
Viongozi wengne kutaka sifa tu hvi wanadhani watakuwa viongozi milele?? Mungu yupo acha tuone hko mbele
Aminaa
Ubabe ubabe hekima hakuna akiiona mteule wako atafurahi mnamuiga ujinga wake
Jamaniii munahambiwa kumirikiii ariziii mwishooo ekaaa 50 sasaaa munararaaa mikaaa niniii wananchiii jueniii sheriaa kidogooo
Umemdharirisha Sana Pingu ya nini Sasa umemfunga? Kama jambazi mkuu wa wilaya unaonekana Una wivu sana
Safi kabisa vishule vya milionne ndio usumbue watu
Ukweli unaonekana Mmemwonea mwekezaji na kesi ikienda mahakamani atashinda. Hekima huna wewe mkuu wa mkoa bure tyuu
Hapo mm Niko Pamoja na Serikali lla kwanza Kabisa kamatena Hao Viongozi wenuu sasa
Huyo sio Tapeli ni mwekazaji mpaka kajenga shule madarasa 4 unamuita Tapeli? Alafu sio vihela vyake no ulifaa pia kuongea naye ni Mtanzania pia unahitajika kumsadia , tusichukie Matajiri
Kwan kumiliki pesa ni kosaa au tufanyaje sasa basi naanza kutafuta hela ya kula na kuvaa tuu maana mambo ya pesa yana mitihani yake
RC ana mihemko Sana ,hvyo vidarasa anavyosema having mantiki mbona wao walishindwa kujenga
Huyo mzee sio chizi hawezi kuchukua ardhi bila makubaliano na wanakijiji
Mnaongoza ich kibabe nadomaana wawekezaji wengi hawatakikuwekeza tanzania nawfugaji nao wawekezaji wapewe haki yao
Unfair, hana kosa
Pole baba umejichanganya
Kwan wananchi wenyew wanasemaje, serikali yangu jamani khaa
Safi sana
Uwo ni uonevu ardhi iliyopo tanzania ni kubwa mno na akukua na haja ya kufikia hapo,angekua mzungu sawa ila mweusi mwenzenu fitina kibao
Hakuna sheria ya aridhi inayoruhusu kijiji kutoa zaidi ya hekari 50, hapo umetumika ulaghai pamoja na rushwa kwa viongozi.
Wewe Mzungu usimtelee mfano kwenye swala LA Mafisadi hawa. Watanzania kwanza tuheshimu Sheria. Nyingi hamjui nyuma Pazia nini kilitojea hadi mkuu wa kaitwa.
Msikoment upumbavu.
Yaan ni shidaa itabidi tuwaachie wazungu wawekeze sisi ngozi nyeus mtu alitoboa kidogo tu mishale kama yotee umasikini utatutesa sana
DC achukuliwe hatua Kwan mkuu wake angekaa nae wamwite ofisin wamskilize anamiliki kwa mda gani ikiisha bas Kama anaondoka freshi ELIMU NI HAKI WANYAMA NINHAKI
Kama eneo ni la Kijiji sawa, Nini maana ya kupewa taratibu na kumilikishwa?mkuu wa mkoa jipange
Msikilize vizur mkuu wa mkoa kwa mtu kupewa eneo mmoja mmoja inatakuwa kuishia ekari 50
Yy hana kosa lakini
Nakubali bro mjeda agiza soda nakuja kulipa tanzania kwanza
Tanzania kwanza!!??? Kwan uyo mwekezaji ni mzungu au vp mbona hueleweki ww? Tunahitajika kukuza uwekezaji sio kuwabana wawekezaji wetu wa ndani.
Mimi nilivyoelewa amekodishiwa Kwa muda...ASA mbona wamesema amepora
Ndio Maana Watu Wanaogopa Kuwekeza Kama Ndio Mimi Nabomoa Madarasa Yangu
Hata Mimi ningefanya juu chini nibomoe madarasa yangu
Hakuna haki mkuu wa wilaya tumia busara kajenga shule maneno unayoyatoa hafai kutolewa
Africans leaders,. Remember a leader must not be a master, rethink again or twice
Huyu alipewa ardhi hakuiba. Muwalaumu viongozi waliomkabidhi.
inasikitisha, inaogopesha....
Pingu yann kafoka katukana kaiba nijambazi jee mza madawa
Wakamatwe viongozi sio huyo kaka km shule kajenga mlimwambia nyee
Sawa,
Huooo Ni ubabee yaani nchiii
Rc reasoning like a class three dropout
huo ni upeo wako tu huenda hujapenda maamuzi yake ndio yaliyokusababishia kujibu hivyo, huna sababu ya kumdharau huyo Brigedia mpe heshima yake unajua aliyoyatenda kabla hajawa RC au ndio walewale?
RC yupo vizuri sana
@@madaiincubationcenter4947 rc mkundutuuu
Mkuu wa mkoa kazingua aiseee
Wenye pesa wengi wametumia umbumbu wa wananchi kwa kuwahadaa viongozi wenye tamaa ya pesa na kujimilikisha ardhi nchi nzima kesi hii ipo.
Embo mbona unaongea utumbo kwani wananchi wa kijiji sio watu ni kuku?..
Kama nawaona waroho waliokula pesa wanavyo haha🤣🤣
Wana muhahooo 🤣🤣
Mimi sijaona kosa la.makoe kabisa mkuu wa mkoa apo umechemsha kabisa afu mbele ya watu unasema vihelahela vyako sio sana kabisa pia pingu za nini apo kwa mtu alie wekeza ivo tena amejenga shule na sio kwemba amechukua iyo aridhi anachugia tu.
Umenena
Mimi personally nimemuelewa mkuu wa mkoa anachomaanisha ni kwamba ni kweli makoye kafanya jambo zuri lakini amelifanya Kama sehemu ya kumiliki ardhi ambayo sio yake kama alikuwa na nia njema ya kujenga shule angeanza na umilikishwaji halali wa ardhi maana yy sio wa kwanza kujenga shule ila kwakuwa katumia shule ( jambo jema) kujimilikisha ardhi apo ndipo tatizo lilipo na anaitumia shule kama njia ya kuonekana kafanya jambo la maendeleo mfano ni ofisi za tanesco ubungo mbona zilibomolewa kwakuwa eneo lilikuwa ni la barabara kwan kuna mtu alitaka ofisi za tanesco Tanzania zibomolewe? Lakini zimebomolewa na wameenda eneo halali kisheria jamaa kakosea sema kwakuwa mnaangalia alichofanya yaani kujenga shule amuwez kuona kosa lake sasa apart from shule bado analitumia eneo kufugia na alipewa kulilinda na wengne hawapati nafas ya kulishia mifugo eneo ilo unategemea mkuu wa mkoa afanye nn
Mkuu wa mkoa yupo vizuri sana, huwezi kujenga madarasa manne halafu unataka ekari 3000 ujimilikishe uweke na uzio anataka kutuletea Mambo ya ukoloni apa nyang'anya aridhi itumiwe na watu wote.
Unajua siku hizi kila mtu anataka kiki sifa kwan pesa zinakuhusu nini nawewe so utafute zako eti vihela kwahyo ni dhambi kumiliki pesa mheshimiwa JPM anataka mabilionea waongezeke harafu wewe unachukia mtu kuwa na hela duuuuuh maisha hayaeleweki jamani 🤔🤔
@@herrysedward3591 ujamuelewa mkuu wa mkoa ujamuelewa kabisa
Mkuu wa mkoa unabahati una ulinzi kwanza jamaa ni mfugaji lakini afya yake Iko njema unge kula vitasa yani apo una bahati umeenda na wakina afande mandonga 🤣🤣🤣🤣 ila mkuu umefanya kazi nzur nakupongeza maana umesema ukweli mtu mmoja hawezi kuchukua arizi ya wilaya inzima kweli iyo sio haki
Alipewa ardhi kutunzia mifugo co kumiliki 😂😂😂😂
Uonevu kwa makoye
Uyo ayupo kinyemela kafanya vitu vya msingi sana ktk kijiji alisitahili kueshimiwa na kuenziwa lkn mnamhita tapeli mtu kajenga madarasa 5 watoto wa masikin wanapata elim sehm nzr dah
Mie naona hapo huyo jamaa kama wamempa lifti tu viongozi wa kijiji ndio wanamakosa
Kwa akili zangu Mimi naenda kubomoa madarasa yote niliyojenga.
Jamani serikali za mitaa ni dhulma watu wengi wamedhulumiwa kwa njia hiyo wanapewa masharti ya kujenga shule wapewe ardhi na kijiji wakishamilikishwa wanawageuka si haki hata kidogo na kifungo juu daaahhhh tanzania hatutapata maendeleo kwa ajili ya dhuluma
Namimi wachaa nigoteee pale kwa SULEMAN alimuomba MUNGU hekiba busara na uwezo wa kuwaongoza watu lkn kuna mijitu inatumia mamlaka vibaya sanaa kwanini usimsikilize mtu alafu kwanini mnatumia mamlaka vibaya
Wenyew viti wa vijiji hula nap wafugaji hao hana mwanchi hikitendewa kosa wenye viti hawajari
Useseme viela mkuu mbona zalau