assalam aleikuym sheikh... ni ukweli nipo saudia riyadh miaka mingi... ila iko tofauti ya makkah na madinah...tofauti kubwa sana. saudia imebadilika,,,watu wanaanza kutembea bila hijab...cinema...zipo..pombe zilifinguliwa...haswa huku riyadh ndio kuna vituko
MaashAllah tabarakaallah wa Jazakallahu kheir inshaallah, khutba zako ziko mubashara rahisi kueleweka na kufuatwa.
Shukrani akulide duniyan na ahera❤❤❤❤ jazayako kwa allah ❤❤❤naduwa twaombeya muzidi kuwailimisha❤❤❤amini❤❤❤❤❤❤
Amiin
Asalam alekum shekh nilikuà naomba Dua ya mtuakiwa hataki kukupa haki yako ya kifedha
Ameen yaraab sote atuongoze Jamil Islamic
Amiin
Wallahi wasema ukweli kuhusu Saudia, mm nayaona hayo asie amini shauri yake
Mashallah
Allah atuongoze
MashaAllah
Fauzia vp
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU 🥰♥️
🙏🏻❤️
Dua ili arudishe
Ustadh izudin ww hahahaha
Amna vp
assalam aleikuym sheikh...
ni ukweli nipo saudia riyadh miaka mingi...
ila iko tofauti ya makkah na madinah...tofauti kubwa sana.
saudia imebadilika,,,watu wanaanza kutembea bila hijab...cinema...zipo..pombe zilifinguliwa...haswa huku riyadh ndio kuna vituko
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Bado hujaacha kudanganya watu na ushirikina wako wa kusema urongo kuhusu Mungu….Mungu ametaja watu Kama wewe Quran 47:30