MASTAA WALIOPENDEZA ZAIDI KWENYE HARUSI YA ANNA WA JUA KALI...UTASHANGAA SANA LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 25

  • @sarahmoses7585
    @sarahmoses7585 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyez mungu akupe maisha marefu dada Anna ukawe na furaha na ndoa yko na kizazi chako

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 ปีที่แล้ว +3

    Katika maharus Anna namba moja kajistiri Sana na hana mawigi ma make up Yan japo💝🔥🔥🔥♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mwanajumasaidmungumi5889
    @mwanajumasaidmungumi5889 ปีที่แล้ว +6

    Dada unaye sema uyu hajapendeza nangoja yko nione

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweri Anna ulipendeza Sana hata gauni zuuriiiii la heshima nakupenda sana

  • @fatmasalim8869
    @fatmasalim8869 ปีที่แล้ว +2

    Vizur Sana Anna hongera make up nzur Sana sio wale wanaovaa mawigi

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona haikuonyeshwa au ndohapendi mambo mengi

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaallah anna umedamshijeee mpendwa😘😘😘😘😘🥰🥰

  • @latiffah8771
    @latiffah8771 ปีที่แล้ว +1

    Hpo kw nandy umekosea, she is a star na harusi yke haikua jmbo dogo, hata asinge post still media kubwa zilikua behind her tungeona tu dada hao hawajapost labda hawakua na chakupost, usiseme hawako matured plzz😏

  • @shirondungu4412
    @shirondungu4412 ปีที่แล้ว +5

    Wee Wacha wivu hiyo gaoni Iko juu sana ako sawa adabu ni ya Hali ya juu

  • @munatwalib2808
    @munatwalib2808 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Anna amependeza

  • @Denisipatris-jj3nd
    @Denisipatris-jj3nd ปีที่แล้ว

    Hongera my sister anna 💝💝

  • @HappynessFrenki-jr8ed
    @HappynessFrenki-jr8ed 10 หลายเดือนก่อน

    Wao,ulipendeza sana

  • @jacklyneesendi1263
    @jacklyneesendi1263 ปีที่แล้ว

    Congrats Anna..

  • @julianakilimba8907
    @julianakilimba8907 ปีที่แล้ว +1

    Waoh 💯💯👌👌👌

  • @tommjanja8492
    @tommjanja8492 ปีที่แล้ว

    hakutaka sasahivi watu niwanafki wa macho watu hawanaga dogo mi namkubali sana kwakua b alipost b yakwakje inatosha acha wivu ost zakwakoi

  • @abigaelsalome6852
    @abigaelsalome6852 ปีที่แล้ว +1

    Aty gauni SI lapesa Anna' mziri

  • @Ebben-hm8gw
    @Ebben-hm8gw ปีที่แล้ว +1

    Umependez bhn

  • @jacqueisaac8155
    @jacqueisaac8155 ปีที่แล้ว +3

    Itakuwa ameomba wasipost

  • @archkelvin4506
    @archkelvin4506 ปีที่แล้ว

    We nae ni mnafiki sasa uigizaji c ndo kaz yake acha unafiki

  • @user-mo1ui4qm7x
    @user-mo1ui4qm7x 6 หลายเดือนก่อน

    Kaolewa lino huyu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Wigi na kope za nn
    Mi mwenyewe sitaki hayo mambo
    Nitakua very simple sitaki hata makucha ya kubandika

  • @dama4995
    @dama4995 ปีที่แล้ว +1

    Umbea utawaua😏😏😏

  • @lulumichael9375
    @lulumichael9375 ปีที่แล้ว +1

    Acheni umbea