Mchungaji aponyoka na kuwaacha wakristo wafuasi wake kwa msangao alipoona hoja ya waisilamu ni moto

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @yahyaismail-j8z
    @yahyaismail-j8z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Scw

  • @RizikShemweta-pc9wy
    @RizikShemweta-pc9wy 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mashallah allah awabariki sana

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hta idi iko kwa bibilia

  • @abdulzakaria4588
    @abdulzakaria4588 10 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdullilahi Duniyani kote watu wengi wana zidi kusilimu. Allah abariki mashekhu wetu kwa kazi ya kufahamisha watu ukweli wa Allah. Amin. Amin. Amin.

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 10 หลายเดือนก่อน +2

    MANSHALLAH ❤❤❤

  • @ajgasharia1247
    @ajgasharia1247 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dini ya mzungu ni noma sana

  • @AishaMohamud-k7d
    @AishaMohamud-k7d 8 หลายเดือนก่อน +2

    Utalamba 😂😂 kesho shkh hassan fireeeeee nomareeee hehehe Ma sha Allah A alaikum masheikh wetu😅

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hoea 9:5 nikauliza mtumishi moja alihepa paka nikaogopa ukristo

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuogoz tafuta ukweli uwe huru

  • @عبدالصمدعبدالله-ف8س
    @عبدالصمدعبدالله-ف8س 11 หลายเดือนก่อน +2

    جميل جدا

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kweli sadaka hupewa muhusika maskini yatima na wengineo wa sie jiweza

  • @adamsuleiman5452
    @adamsuleiman5452 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maalim Ally rainforcement ya nguvu Maashallah 😅

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 11 หลายเดือนก่อน +4

    Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala kazinzuri Allah awalide kwakilijabo

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi nimewafatilia nikisoma madiko napata yesu hakuja juu yetu waristo tunafaa tuwe waislamu paka nikalia sana

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 10 หลายเดือนก่อน

      Josephine isome vzr ndo ujue ukweli Mungu akuogoz

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

      YaarabiAllahAkuongozeUwemuislamnaufe.mwisho.mwema.lnshaAllah

  • @abdallahnassor2945
    @abdallahnassor2945 11 หลายเดือนก่อน +2

    Inshaallah Sheikh Salim na Sheikh ally Allah Awajaalie Pepo mnayoitaka Ameen kazi kubwa mnayoifanya kutangaza dini ya Ukweli na haki

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Aamiin amiin amiin sote

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 11 หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulillah kua Muislam. Uislam Raha sana. Kweli wajinga ndio waliwao. Mtihani !

  • @abdallahbrek1698
    @abdallahbrek1698 11 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe hapo kwa sadaka sio lazima umeongopea. Sadaka imefaridhishwa na Mungu. Imefaridhishwa yaani imelazimishwa Surat attawba Aya 60.
    Na hiyo aya ya surat al imran aya 102 inaongelea waumini, ambao ni wafuasi wa Mohammed, ya kuwa wakifa wawe waislamu.
    Waislamu ni watu wote ulimwenguni. Hii tunafuata ni madhehebu au mila. Muislamu anamuamini mungu na siku ya akhera na kutenda yalio mema

  • @MohaaAdan-i6g
    @MohaaAdan-i6g 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji ameona moto😂

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaaah mambo ni ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 hustadhi Salim Wani punga kweli ALLAH awalinde

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Aamiin amiin amiin sote

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 11 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah mashekhe wetu

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asalaaam masheikh..may Allah be pleased with u all...islam is the truth

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin my sister

  • @kimanithings5603
    @kimanithings5603 10 หลายเดือนก่อน +4

    mi ni mkristo lakini naona waislamu wana make sense

  • @EricManirakiza-g6d
    @EricManirakiza-g6d 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Salim ❤ Allah abajaliye kwakazi hiyo yakuelimisha hawobameshapoteya🙏🤝

  • @itusmutembei4265
    @itusmutembei4265 11 หลายเดือนก่อน +1

    Labda sijajibiwa, lakini napenda utaratibu wako. Japo Mi ni Mkristo and pray to be faithful to Christ forever.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 หลายเดือนก่อน +1

      To be faithful to Jesus you must be a Muslim because Jesus is a Muslim

    • @itusmutembei4265
      @itusmutembei4265 10 หลายเดือนก่อน

      @@salimdaawah123 How was Jesus a Muslim?, let me know.

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sadaka yangu nawapatiaga yatima, wajane, wazee. Maisha yangu yote siwezi kupeleka sadaka kanisani.

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuwa mtu wa pili leo kuwatch😊

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Masha Allah karibu sana

  • @aduruskabirow861
    @aduruskabirow861 11 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah

  • @abukarosman7312
    @abukarosman7312 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asalamu alikum waramahtulhi wabarakatahi ndugu zangu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 11 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaa Allah keep up.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah we are going on

  • @RubanzintwariJeanclaude
    @RubanzintwariJeanclaude 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah fanya dawa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji wajanja sana,wanatumia andiko la Malaki kuchujua sadaka wakati andiko linazungumzia zaka,na wafuasi Wakristo nao hawajui lolote maskini

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 10 หลายเดือนก่อน

      Ukipata watu wanatumia pesa nyingi kwenda kupiga mawe shetani hii nikupeleka pesa saudia.Maskini hawajui kitu

  • @achimoramadhanimataka1208
    @achimoramadhanimataka1208 11 หลายเดือนก่อน +1

    mchungaji kiriumana arijichanganya vibaya 😂😂😂😂 nawapenda san kwajili ya Allaah ❤❤

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

      Mchngaji.hataki.kameraa🤣🤣🤣

  • @SalamaMustafa-q5h
    @SalamaMustafa-q5h หลายเดือนก่อน +1

    Salim mukuje namanga pia

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  หลายเดือนก่อน

      Inn shaa Allah tutapanga hilo pia

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 11 หลายเดือนก่อน +4

    Haiya, haya ni mapya 🤔

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Magani tena

    • @miriamndungu3126
      @miriamndungu3126 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi I bliv in Jesus Christ who died 4 my sins,wat about u?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      @@miriamndungu3126 any verse Jesus died for your sin

    • @miriamndungu3126
      @miriamndungu3126 11 หลายเดือนก่อน

      @@salimdaawah123 our sins,NIV Mathew 27_11-26 u will understand y he died 4 our sins n his alive upto date in heaven n always speaking 2 many who r spiritual alert,not false prophets n I bliv in him always n i can't look bac,I would like 2 meet u samday if possible

  • @kasimumussa8299
    @kasimumussa8299 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam alaykum tatizo liliopo ni kwamba wakriso hawajuwi nini maana ya neno sadaka wanachofahamu wao ni kwamba kuombewa kutowa pesa kwa mchungaji ndo sadaka tatizo liliopo ni neno sadaka kwao linawachanganya

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah ni kweli

  • @MohamedSalum-kr6nz
    @MohamedSalum-kr6nz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah

  • @AliSaid-c1f
    @AliSaid-c1f 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sikweli haoniwale hawajudini na wanaubinafsi nakibri

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji wakipanda za kiroho kwa wafuasi wao wako na right ya kuvuna za kimwili kutoka kwa wafuasi wao and again moses alinena baraka juu ya reuben(deutronomy 33:6)Aaron na wanawe walibariki wana wa waisraeli (Numbers6:22-27)wachungaji wako na baraka na pia wazazi.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaaaaa 😂😂😂😂🔥🤔🤔

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Assalamualaikum walimu amin amin wakristu intakana wafungue ubongo waone ukweli kukiko kudifend kitu hakuna elimu wamekosa kweli

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 11 หลายเดือนก่อน +1

      Amin bro ulisilimu kaka sio

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @KoronelioObedi
    @KoronelioObedi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashe zakat mnapereka wapi?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Zakah hupewa masikini

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 11 หลายเดือนก่อน +3

    Familia ni ngumu isaidie mtu juu ya wivu 😳

  • @janeCosmas-p8v
    @janeCosmas-p8v 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona wanadaawah most wote wanadaawah Uwawana matumbo?

  • @janeCosmas-p8v
    @janeCosmas-p8v 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini ?

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa huyu PASTOR Mjaluo, ana ongea STORY zake za UWONGO!
    Uki sikia MKRISTO aki sema 'na fafanua', basi jua ata ongea POROJO zake!
    Kwani huyu PASTOR ali kweko wakati WaZUNGU walipo kuwa wanai ANDIKA Biblia!??
    Urongo tupu!
    Na huyu jamaa anaji ita ANDREW, ambao ni NENO la Ki Greeki!
    Halafu, eti Biblos ina sema, desciple moja wa yesu alikuwa ni ANDREW!??
    Si hio ni POROJO ya biblia?
    Kwa sababu, yesu na Desciples wali kuwa ni WA YAHUDI, ambao wali kuwa wana ongea Ki ARAMAIC, na wali kuwa wana ONGOZWA na KITABU ki MOJA tuu, cha itwayo INJEEL, cha ARAMAIC!
    Sasa, huyu MuGREEKI Andrew, ame tokea WAPI?
    Porojo tupu za Biblia!
    TabarakAllah team!

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu muongo ukataa ushaidi, ati kata camera, uislam ni haqi kabisa

  • @roos_garden
    @roos_garden 11 หลายเดือนก่อน +1

    😅

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 10 หลายเดือนก่อน

    Ulisema watu wamuamini Muhammad ati ni mkombozi ataokoaje akiwa kaburini

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 หลายเดือนก่อน

      Anae okoa ni Mwenyezi Mungu sio manabii

  • @Memnon-mh9vc
    @Memnon-mh9vc 11 หลายเดือนก่อน

    Soma surah al talaq 65:4 kuhusu watoto wa miaka sita(Aisha) kuolewa na prophet bandia akiwa miaka 53. islamu ni ya waarabu, na inchukia watu weusi. Hata sasa hivi waarabu wanaua waislamu weusi Darfur. Ukiwa mweusi na muislamu wewe ni mtumwa. Dini chafu ya fitina.

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe Nani ngozi nyeupe ilio penda nyeusi tena Islam hijafundisha hivyo kucukia na kuwuwa ulio wanayo tumika kwa wahindi afrika kusini wazungu wameuwa wa Afrika sana tena wote wakiristo

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kisha wanaongelea sadaka unaleta Muhammad ameowa mtoto ya mwaka6 hio ni mada ingine

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mtume bandia???? Huoni ana anavyounguruma Dunia nzima pia nakurekebisha ni miaka Aisha alikua na(9) hiyo utajaza na utaumwa sana. Umbumbumbu wenu mnaelekezwa njia iliyo sawa mnaleta ubishi usio na faida.

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 11 หลายเดือนก่อน +3

      Hv kuna dini chafu na fitna kama ukiristo??? Kwanza ilikuja baada ya yesu kuondoka. Na ndio maana mnashindwa Hoja kila mnapokutana nacwaislam. Hamna Mungu, hamna kitabu wala dini. Utatueleza niniwewe. Huna lako jambo!

    • @khadijayusuf7968
      @khadijayusuf7968 11 หลายเดือนก่อน

      Wacha ukafiri wako wew unaongea tuu hata hujielewi