SHEIKH MZIWANDA ASHANGAZWA NA KANISA KATOLIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • "Nazidi kushangazwa na haya mambo yanaouendelea Kuhusu BANDARI, Hili ni suala la Ki-Nchi na Sio kidini kwa Nini Ninyamaze"
    #mashallah #allahakbar #subscribe #trending

ความคิดเห็น • 76

  • @yaasinkigava7
    @yaasinkigava7 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH AKUZIDISHIE KHERI KWAKUZUNGUMZA HAQI

  • @fadhililigome2342
    @fadhililigome2342 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa San shekh mziwanda,, allah akupe umri mrefu wenye furaha na amani,,

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Baraqa llhahu fiy umrih shekh muharram mziwanda

  • @TanzaniaBlessingVoice
    @TanzaniaBlessingVoice ปีที่แล้ว +3

    Fact

  • @kulemusa1063
    @kulemusa1063 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana sheikh

  • @AlhamiIssa
    @AlhamiIssa ปีที่แล้ว +4

    Point mashallah

  • @hafidhkhamis731
    @hafidhkhamis731 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana sh mziwanda endelea kuliamsha taifa tuko pamoja

    • @tindatinda7330
      @tindatinda7330 ปีที่แล้ว

      Limelala lini taifa wakati mnasema mna fikra mgando nani kawapa hizofikra. Tusome Alana za nyakati.

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 ปีที่แล้ว +2

    sawa sheikh uko vizuri .tunaomba uje mikoanii ili uammushe waliolala usingizi usingizi wwa kudumu.masheikh wengine wanapaswa kukuiga usulubu wa daawa.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว +3

    Tanganyika ni nchi yenye majority Waislam lakini Makafiri wame dominat uendeshaji wa nchi Waislam m'melala wake up!🏇🏻

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Shehe nampenda Sababu Moja Tuu unafiki anauweka wazi na siku zote nimemuona ni mtu ambae Mzuri sana Sababu Hazungukizunguki ktk kuusema Ukweli

  • @abdullazizmohammed7015
    @abdullazizmohammed7015 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli baadhi yetu waislam akili zimeganda hatujui historia ya nchi ilipotokea

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 4 หลายเดือนก่อน

    Na ukatoloki wangu lakini Kitima ni mwanasiasa zaidi kuliko dini, na anakera for sure

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 ปีที่แล้ว +3

    Maaskofu hupitisha mali za wafanya biashara kwa tiketi ya kanisa ziitoka wanawapa wafanya biashara na kuziuza.haya majitu yanatetea yanatetea matumbo yao haya muogopi Mungu ndo maana yanahofu akija Dpw ujanja kwisha kabiisa.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +3

    Ayo mambo unayo yasema shekh ilunga ameyazungumza zamani sana mkamuona mjinga
    Sasa mmeona mfumo kristo unavo watesa

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari ปีที่แล้ว

    Wewe shekhe una lako jambo ningekuelewa vizuri ungekuwa unatupa elimu kuhusu mkataba huu wa bandari kati ya Tz na Falme za Uarbu unaweza kuleta manufaa kwa nchi yetu.Lakini umejikita sana katika kuhamasisha chuki ya dini hilo ni kosa Watanzania hawahitaji hiyo sumu yako

  • @robsonndauka3076
    @robsonndauka3076 หลายเดือนก่อน

    Kanisa katoliki ni taasisi kubwa sana hamtaweza kushindana nao

  • @vladiminlenin8883
    @vladiminlenin8883 ปีที่แล้ว

    Ww unazungumzia wapiii usitutanie bana

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +2

    Kanisa katoliki mmekwisha mwaka huu mmeyakanyaka

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 ปีที่แล้ว

    Mziwanda wewe usioneshe udhaifu, uislam utukanwe tukae kimyaa ? Hatuwezi, sisi wakitukana uislam ni kuwafata huko huko kanisani walipotukania tukawape mvugivigi wa nguvu ili wapate adabu ambayo wataikumbuka maisha yao, na hawatarudia.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +1

    Mziwanda safi sana
    Mtetee mama ili wajuwe hawa wakatoliki kuwa waislmu pia wana kubwa zaidi yao

  • @tindatinda7330
    @tindatinda7330 ปีที่แล้ว

    Baba utashangaaaa xana kwani wewe unaliongelea wapi musitini au kiinchi

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh KIKWETE NA DR.SHENI NDIO WALO WAWEKA MASHEIKH JELA KUA MKWELI ,AKABARIKI MAGUFURI MBONA HUKUSEMA WALA BARAZA LA AMANI !!!

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +3

      Mfumo sio JK , Waislam wana jitambua, wanavyo Amini hata Rais awe nani mfumo ndio mbaya, matamshi ya dr Slaa sio kukaa ndani siku tatu, wanalilia mfumo

  • @jerome3143
    @jerome3143 ปีที่แล้ว +2

    Wafundishe waislamumafundisho ya imani yao sheeh katoliki ni tasisi kubwa sana

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 ปีที่แล้ว +1

      Katoliki ni taasisi kweli sio dini najifunza kuheshimu mahitaji ya maboss wenu sio dini
      Ukitaka kujua hilo jiulize katika tuliyojifunza kanisani lipi lipo katika kitabu chenu cha dini

    • @sallkazi9319
      @sallkazi9319 ปีที่แล้ว

      Faza kitime angekuja na waraka juu ya kauli ya pope alilosema to be a gay is not a crime worldwide" haya ya bandari angeachana nayo maana yeye hajasoma investment law yeye ni kiongozi wa kiroho na sehemu anayoweza kutoa waraka ni juu ya kiongozi wake wa kiroho ,je kauli ya kiongozi wake ni sahihi au sio sahihi .ningemuomba sana angejiegemeza huko na sio kwenye bandari.

    • @bimkubwaally4262
      @bimkubwaally4262 ปีที่แล้ว

      ​@@ismailmsangule1380sadakta

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Mkubwa ni Mungu pekee

  • @hakambashe8421
    @hakambashe8421 ปีที่แล้ว +1

    Waislam Tusomeni dini Na shule tuende. Bila hvyo tutaishia kupiga kelele zisizo na maaana

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Hakuna kelele zisizo na maana

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 ปีที่แล้ว +1

    ndiyo maana tunachekwa atuna elimu

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Sio tuna,we nae muislam?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani uongo? Ni kweli hamna ,hata Kuna kiongozi Mmoja wa dini yenu alisema muende shule mkasome

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 ปีที่แล้ว +1

    shekhe unalalamika unafeli chukua hatua juu ya taifa lakoo

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe unalalamika ww ni kiongozi wa dini kwa ivo na ninyi mnatakiwa mtoe waraka wenuu acha kulalamika shekhee

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 23 วันที่ผ่านมา

    Msenge mkubwa wewe

  • @sativaamandus9281
    @sativaamandus9281 ปีที่แล้ว

    Yaani Mziwanda ungejitambua ungekaa kimya. Hao unaowasema wenyewe kukicha kukichwa wanawaza wajenge shule ngapi za Msingi, za Sekondari na vyuo vikuu. Wawe na Zahanati ngapi, vituo vya afya vingapi na Hospitali ngapi. Wanawaza namna ya kulinda raslimali za Taifa na maendeleo ya jamii kwa ujumla.
    Wewe ukilala, ukiamka unawaza Leo uwajaze chuki gani waumini wa kiislamu. Unawaza udini. Unatia aibu Uislamu. Unaeneza chuki. Kanisa lenyewe unalolishutumu, Halina habari na wewe. Nawaonea tu huruma hao unaowajaza chuki ya udini. Poleni ndugu zangu Waislamu kwa kuwa na mtu Kama huyu. Wale wenye akili watanielewa.

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Hamna lolote tushawajua nyinyi hatupangiki

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 ปีที่แล้ว

    Unalidondoshea Kanisa Katoliki mate utachanganyikiwa Mzee Wakatoliki tunazungumzia Kanisani na Wala hamna lakutufanyaaa tuko juuuuu endeleeni kupayukaaaaa!!!!

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว

      Kanisa la mchongo haliwezi kuwa juu na ndo tunalishusha ivyo

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Aliye juu ni Mungu pekee

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว +1

    HAMUWEZI KUSHINDANA NANKANISA KATIKIKI NI KUBWA SAAANA ... 😅

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Kwani kanisa ni Mungu?

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi ปีที่แล้ว

      Wangewaelewa wa Katolic ,kiundani,mngenyamaza tu.Hamuwawezi Katolic,nyie ,hiyo Marekani unayoiona,inaelekezwa tu kanisa,inakuja inajipigia nyie kama inavyotaka.Mkumbukeni historia ya Iraq,wakati wanawazuia wakurudi wasiende makanisani.Marekani ilimfanya nini Saddam Ndg.zangu msipoteze muda kubishana na Katolic,hamtawafanya chochote,tuombe tusifike hiyo hatua lakini mkifika huko,utaona Marekani ataingia mzigoni na washirika wake wa Ulaya magharibi

  • @benny4345
    @benny4345 ปีที่แล้ว +1

    Mbona anajichanganya? Mara lizungumzwe kinchi, wakati huo analaumu TEC. Nonsense!

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja ปีที่แล้ว +1

    Hujielewi, huu mkataba haufai labda kama ninyi mlimtuma kwenda kusaini. Hizi ni propaganda za kujaribu kuleta udini kwenye hakuna.

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      We unaejielewa huku unafata Nini?

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    Rais mwislamu amewapa fungu la mauzo ya bandari mnafuraia mmeshiba leo tuone kesho cha mtume kitariwa?????

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 ปีที่แล้ว +1

    Kanisa katoliki ni serkali ndiyo maana ina balozi kila nchi hivyo tafakari ilo,maendeleo na uchumi wa nchi ni matokeo ya kanisa katoliki

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 ปีที่แล้ว +1

    Elimu yako sifuri

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona unaongea UMEKAZA MISHIPA ya shingo , unatisha watu?

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว

      Ndo m/mme unataka aongee km dada yako

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      Na wewe kaza yako

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 ปีที่แล้ว

      Hamna Cha maana Cha Kufanya Zaidi ya kukaza shingo ? Tutajibizana mpaka umalize kamusi yako

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว

      @@epimackjohn461 Mazingatio ni hoja sio shingo acha kuongea pumba ww dogo

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 ปีที่แล้ว

      HOJA yako izingatie , ishikilie mwenyewe hoja za kuzingatia hazilazimishwi zingatia hoja zako ACHA wengine NAO wazingatie zao .SAWA?

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 ปีที่แล้ว

    nyie waisilamu tueleweshane tuelimishane tutapata faida gani mkataba una muda gani usalama wetu hapo bandarini tutawapaje bandari zote za maziwa na bahari wenzenu tec wamechambuwa mkataba acheni unafiki

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

      We nae usijijumuishe na waislamu,tuache

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi ปีที่แล้ว +1

    Yani nyie waislam hata hatui mnalalamika nini kwa.cni nyie mbona humjitambui hv hao wakristo kwani wanatetea nini na kwa manufaaa y nani acheni ujingaa endeleeni tu kuchokonoa wakristo kipumbavu afu muone watu wana haisira na rasilimali za nchi nanyi mnaogea utumbo

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 ปีที่แล้ว

    Unapamdikiza chuki wazi wazi. Maaskofu wametaja waislamu????