GUMZO! WAZIRI MKUU AACHIA MADARAKA na KUONDOKA na BAISKELI TU BILA MSAFARA wa MAGARI ya KIFAHARI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • GUMZO! WAZIRI MKUU AACHIA MADARAKA na KUONDOKA na BAISKELI TU BILA MSAFARA wa MAGARI ya KIFAHARI...
    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi, Mark Rutte ameondoka madarakani baada ya kushika wadhifa huo kwa miaka 14 tangu 2010 hadi 2024.
    Kuhusu kumaliza kwake madaraka, kilichoibua gumzo ni namna ambavyo ameondoka kwenye jingo la Waziri Mkuu baada ya kukabidhi rasmi madaraka kwa mrithi wake, Dick Schoof.
    Kiongozi huyo hakuondoka kwenye jengo hilo akiwa na umri wa miaka tisini, wala hakuondoka kwenda kaburini, wala hakuondoka kwenda jela baada ya mapinduzi ya umwagaji damu.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 24

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi iendelee lets Work continue

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 2 หลายเดือนก่อน

    Mzalendo ❤

  • @EmmanuelMatogolo-l2y
    @EmmanuelMatogolo-l2y 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana huyu mzalendo kweli kweli, huku kwetu mpaka ifanyike kama Bukinafaso ndo sawa

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh Hii kali

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Huyu ni aina ya Kiongozi asiye penda makuu Huyu ni Kiongozi kutoka Nchi zilizoendelea kiuchumi tofauti na Afrika lakini alikabidhi madaraka na kuondoka ofisini kwa kutumia Baiskeli VIONGOZI wengi Duniani wajifunze kutoka kwake

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 หลายเดือนก่อน

    Apo saw

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok 2 หลายเดือนก่อน

    nice work well african people learn kwang

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wangekua hawa mahetan weus wasinge weza

  • @jamesnyamila2165
    @jamesnyamila2165 2 หลายเดือนก่อน +1

    Turudi bongo sasa

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 หลายเดือนก่อน

    Walio lizika na dunia

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa washamba wa kwetu wanajali sana magari hahahahaha utawauuaaaaa!!!!!!!!!!

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 2 หลายเดือนก่อน +3

    Waafrika watang'oka kwa bunduki na mabomu😂😂😂😂

  • @NchambiMaduhu
    @NchambiMaduhu 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo ndio tuamini nn sasa

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 2 หลายเดือนก่อน

    Daah uku kwetu kwaza izo V8 ana amsha nazo zinakuwa zake na account lazima zijae kibunda

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 2 หลายเดือนก่อน

    Waafrika wajifunze

  • @AthumaniKimwaga
    @AthumaniKimwaga 2 หลายเดือนก่อน

    Kwetu unabadirishiwa gari lenye hadhi ya chini ya hilo la waziri.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu nilifikira ni watanzania ningesherekea kumbe kwinginehuko

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 2 หลายเดือนก่อน

    Huku haachii na haondoki

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 2 หลายเดือนก่อน

    Like am freeee now😂😂😂😂

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania baiskeli mtapanda ninyi wakuu wanamipango yao