Kafanya mengi hata hivyo inabidi afanye biashara zingine soka basi tena. Wachezaji weusi wanaishiaga hivi 7bu mara zote wanapitia magumu sana huko ulaya.
Hii nikwajifupi history yake ama. Maana kombeladunia alitwaa pia kablaya hili lajuz walilochuka akina mess mtetez alikua ufaransa, ambapo wakati ufaransa wanatwaa kombehilo pogba alikuwemo. Nanadhani aliwahi pita Madrid if am not sure. Anamengi kafanya huyu mwamba
Kwa namna yoyote ile ukweli utakavyokua kuhusiana na tuhuma hizi nzito na hali ya matokeo ya vipimo vya awali (sample A), mimi binafsi nadhani hatimaye Paul Labile Pogba amefikia ukingo wa usakataji wake wa kandanda kitaaluma.
Kosa la Pogba ni pale alipojihusisha mganga wa kienyeji na kumtupia jini balaa Mbappe. Yaani kweli unamroga mchezaji mwenzako ili wewe ndo uwe star number moja.Sasa yamemrudia yeye.Mungu ampambanie. Maana tukiziungama dhambi zetu na kuziacha yeye ni mwingi wa Rehema.Atatusamehe makosa yetu na kuyasahau.
Duuh 😥 pole nyingi kwa paul labile pogba allah atamuwekea wepesi
Mnajua sana hawa wazungu wa wivu
Wazungu Hawakopeshi Hapo Wanataka Kumumaliza Kiaina tu
Dah aisee inauma sana
Pole sana pp
Hila na fitina baada ya mafanikio nakubwa😡
Mungu awe nawe pp
Kafanya mengi hata hivyo inabidi afanye biashara zingine soka basi tena. Wachezaji weusi wanaishiaga hivi 7bu mara zote wanapitia magumu sana huko ulaya.
Aende Saudia hao wazungu hawana hela mbele ya waarabu
Acha kujidanganya ww...
@@hopechideraMASTAA WOTE WAPO HUKO WANALIPWA KULIKO ULAYA VP UNAPINGA???
Mungu atampa wepesi
Hujuma za Soka
Mtu mweusi mpaka ataftiwe sababu hizo mpaka kesho etoo pia ywandamwa mpaka leo
Ogopa sana hawa wazungu wanakuweka karibu ili wakupoteze daah
Watu weusi utajiri wenu ni lawama tu...
@@hopechideraWAZUNGU NI WABAYA WAKIKUCHUKIA.
Ukikataa baadhi ya vitu wanavyovitaka ufanye,basi figisu zinaanza kukuandama hawa jamaa jinsi wanavyocontrol ihi dunia daah!!
SIJUI KWA NN HAWA WACHEZAJI HUISHIA HIVYO DAH😢
Duh
Wamemuwekea kwenye kinywaji au chakula bila mwenyewe kujua
Nae Pogba amjui Mwamposa😂
Uwongo uwoooo....leo ndo mnagunduwa kwamba anatumia dawa ?
Ajiendeye ku timu ya warabu
Very sad 😢
Sky tufanyie Kanye west jameni!, Good work though💯
Happ sijui lama atapata hata chakuondokea
Jamani mimi nampenda sanaa Paul angekuwa dar ningempa bure
Kwann usinipe mimi niko hapa jirn
@@jwisetv4833 we sio mrefu shida ndo ipo hapo
sisi ndio ndugu zako kwann ustupee🤣
Village mentality so what you can offer best ni punani tu 😂
Kumbe huwa unauza,,weka namba
Wa zungu bwana watu wahovyo sana
Kwani si ni mwili wake mwenyewe, akidhurika si ni yeye mwenyewe, sasa shida iko wapi?
Hawa wazungu hawatupendi..
Hapo hakuna Cha wazungu Kama kakosea anafaa apitie majuto
Duh tuhuma zinamuanza akiwa bado jank dah
tenda kosa anapaswa kuadhibiwa tusitete uwovu kisa mweusi akiadhibiwa ho wazungu awatupendi mlitaka adekezwe nawakati kafanya kosa lililo pigwa malufuku apo ni adhabu tu
WAZUNGU WASHENZI WANAKUFANYIA WAO WENYEWE KISHA WANAKUTANGAZIA KUWA UMETUMIA HAWA WATU NI WABAYA SANA.
@@salimmalaka256 we kwa nini ulikubali kutumia
Hakuna kosa hpo kosa hpo nikuondoka Manchester ivo wamemtengenezea zengwe
Freemasons ukiwakatalia tu wanavyotaka wao wanakuundia uwongo unaofanana na ukweli na wanakumaliza
Mwambieni aachane na wadawa za kuvunja sheria za inchi za watu...
✌✌
NA MWANAMICHEZO ANAWEZA KUPEWA DAWA HIZI BILA KUJIELEWA????
WAKIKUCHUKIA WANAKUPA WENYEWE HALAFU WANADANGANYA DUNIA WAZUNGU WASHENZI SANA.
Hizo dawa anae taka nipo nazo ila unatakiwa uwe unafanya mazoezi na bei yake sio rahisi
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🔥🔥🔥💯
Misukosuko
Maskini shughuli yake ndo imeishia hapo hawezi kutoboa hiyo ishu kuzidi ni mtu mweusi
Aende uarabun atoke huko
Uarabuni ndo hakuna sheria?
From Rombo nakupata sawia✌
Umetisha Sana mzee
Rombo is paradise ✨
Au sio, pamoja wa nyumbn
Hii nikwajifupi history yake ama. Maana kombeladunia alitwaa pia kablaya hili lajuz walilochuka akina mess mtetez alikua ufaransa, ambapo wakati ufaransa wanatwaa kombehilo pogba alikuwemo. Nanadhani aliwahi pita Madrid if am not sure. Anamengi kafanya huyu mwamba
Hajapita Madrid huyu
ni hujuma tu hizo,yaani tangu aanze kucheza leo ndo wamegundua anatumia madawa.
😂leo ndo kanaswa,siku ya mwizi ni siku 40...
Kwafaida yako ulaya wachezaj hupimwa kila baada ya muda fulan wakat ligi zinapokuwa znaendelea niutaratibu wao
napenda sana 360 hasa sauti ya sky inaladha nzuri
Mtihani mkubwa aema Mungu atamsimamia mwana
Hajafanyakitu uonevutu
Waafrica atuna nafasi
they have to support you and finish so what they want for him guys guys that is why i have to stay poor money is evil
We jamaa unajua kuelezea hadi unakera
Yani ndugu mpaka wamehakikisha kazama ase😢😢😢😢
Wapili
Wameishamtumia hayondio malipo hichokikundi kiyasana wamemshusha utaskia sakata la mmke
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌。
😢😢😢 mtu mweusi ughaibuni jamanii
Kwann mtu mweusi . Kwan wazungu hawafanyi hayo
Waafrica mnavunja Sheria mwisho WA siku kusema tunaonewa hakunaga mtu.mweusi bhana Africa siyo weusi unaijua black wewe
😢😢😢
Uyo Jamaa Hana Mwili wa Steroid Kabsa An
😢
Kwa namna yoyote ile ukweli utakavyokua kuhusiana na tuhuma hizi nzito na hali ya matokeo ya vipimo vya awali (sample A), mimi binafsi nadhani hatimaye Paul Labile Pogba amefikia ukingo wa usakataji wake wa kandanda kitaaluma.
Hizo dawa zinajulikana kwa jina gani ndugu mtangazaji?
Unazitaka?😂😂😂
NI VITAMINS ZA KUONGEZA NGUVU MWILINI.
Aende uarabun wazungu wajinga tu
Wazungu hawataki wajinga...
@@hopechideraWAZUNGU WANATAKA WAJINGA KAMA WEWE.
Mganga wa mbappe alegeze kamba kwa jamaa...
Rangi na dini vmemponza ila yuko na allah
Hapo unamaanisha rangi na dini yake havina utiifu kukeuka maagizo kwa kutumia madawa zinazopingwa kutumiwa kinyume na sheria.
😂havihusian jamani
@@hopechideraKUNA UWEZO WAMEMFANYIA WENYEWE KWA CHUKI BILA YEYE KUJUWA.
Waislamu wanapigwa sana vita
Hii Timu inaweza kuwa ugomvi wa ndugu . Mtu mweusi tuna roho mbaya Sana 😢
Hata watu weupe same same
❤❤❤❤❤😂😂
Wajinga tu hao,,,they don wanna see us shinning
na akwende kirusi 😂
Acheni ujinga kisa mweusi ndo ata akivunja Sheria isifuate mkondo wake uo ni utumwa wa kifikra
Komenti yako tu ndo ya mtu mwenye akili timamu🤝kunywa mirinda nitalipa...
😂 haswaaaa umenena
Atimkie zake Uarabuni
Kwan uarabuni ndo wanavunjaga sheria ovyo ovyo?
@@hopechideraARABUNI HAKUNA CHUKI ZA OVYO OVYO.
Tatizo ni mtu mweusi
Hapana alikosea mwenyewe, Team zima France weusi sasa weusi wake ndo umezidi nin jmn
WAZUNGU WAKIKUCHUKIA WABAYA SANA.
Kosa la Pogba ni pale alipojihusisha mganga wa kienyeji na kumtupia jini balaa Mbappe. Yaani kweli unamroga mchezaji mwenzako ili wewe ndo uwe star number moja.Sasa yamemrudia yeye.Mungu ampambanie. Maana tukiziungama dhambi zetu na kuziacha yeye ni mwingi wa Rehema.Atatusamehe makosa yetu na kuyasahau.
Huna akili Kwan wapo team moja ao position moja wala kabla yakuongea
WAZUNGU WASHENZI WAKIKUCHUKIA KILA MAVI WATAKUPAKA
Tatizo ile interview yakusema kuukata ukafiri na kwenda kua Muslim Njo tatizo kubwa
Ndio uwezo wako wakufikiri ulipo ishia🤔🤔
Ukafiri haukutaka aende kwa wanafki,ndo akome atajuta kilichompeleka kwa wanafki,
Aliamua kuwa gaidi pengine
@@vincentcharles4385GAIDI KAMA WEWE 😂😂😂😂😂
Bado ajasema😂😂😂😂😂😂lana zetu wapenzi wa United 😂😂😂😂😂
Why he did that to him self 😢
Shida ya weusi tunapenda kuvunja sheria nakukiuka taratibu.
Kwan wazungu hawakosei mbona wanamagereza yalihojaa wafungwa .akili yako Ni Kama mavi ya kuku tu
HAYO MADAWA AKITUMIA WANAE MTAKA KAWAIDA WANA MUACHIA NA WAPO WENGI SANA HATA OLYMPIC MAMBO YAO NI HAYO HAYO TU WAZUNGU WASHENZI SANA.
Yaliyo mkuta emanuel adebayor ndo yanayo mkuta pogba kiukweli hawa viumbe weupe sio kabisa
Tatizo lenu watu weusi mnapenda sana kuvunja sheria za wazungu..,