KIJANA WA KITANZANIA AJENGA UWANJA MKUBWA WA MPIRA,RAIS WA TFF ASHANGA BAADA YAKUFIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 266

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 ปีที่แล้ว +47

    Huo uwanja upewe jina la aliyejenga na TFF muingie nae mkataba hata wa miaka 20 wa kumlipa kwa alichokianzisha..(mawazo yng)

    • @festovenas502
      @festovenas502 2 ปีที่แล้ว

      Wamlipe Nini 🤣🤣 kiwanja kajenga mwenyewe apo ajenge majukwaa Kisha TFF ikisajil kitumike ligi kuu kijana awe na asilimia zake za mapato

  • @Dr_Heart.
    @Dr_Heart. 3 ปีที่แล้ว +2

    Tujuane tuliokuja huku baada ya kusikia simba wanakuja huku kumalizia pre season. Gonga like twende sawa

  • @noelmadalla8660
    @noelmadalla8660 4 ปีที่แล้ว +16

    This stadium is next level. Bravo bro

  • @UteleNetworks
    @UteleNetworks 4 ปีที่แล้ว +37

    Muwe mnaandika description au muwe mnafanya intro kuelewa tukio limerekodiwa wap

  • @fredysamizi9877
    @fredysamizi9877 4 ปีที่แล้ว +12

    pitch zote za viwanja vyetu vingekua hvyo 🔥🔥🔥🔥

  • @taanimedia6489
    @taanimedia6489 4 ปีที่แล้ว +1

    uwanja tuujengee majukwaaa utapendeza sana na utapata rank nzur sanaaa ... maashaalah vijana tujikaze

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +35

    Hizi ndy Habari tunazotaka kusikia, syo kila siku mnatuletea mmb ya lokole, shilole etc

  • @zahirallyzorro5305
    @zahirallyzorro5305 4 ปีที่แล้ว +27

    Millard hii Habari Itangaze Ki-Mataifa. Apate wa kumsaidia Huyo Kijana!

    • @skm1143
      @skm1143 4 ปีที่แล้ว

      Kamsaidie itapendeza

  • @HeadFundi
    @HeadFundi ปีที่แล้ว

    Anatutakiamema huyo kijana wakitanzania❤❤

  • @davidadammssika3374
    @davidadammssika3374 4 ปีที่แล้ว +48

    Huyo Karia anaongea mambo mengi ya kisiasa, huyo dodgo amefanya makubwa sana kuliko yaliyofanywa na TFF

    • @qadinacci
      @qadinacci 4 ปีที่แล้ว

      ha ha ha ha

    • @burudanitv874
      @burudanitv874 4 ปีที่แล้ว

      Braza realky

    • @lutulalihim1585
      @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว

      Kajibu upuuzu mtupu Brother

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 4 ปีที่แล้ว +1

      Bra bra hatutaki kusikia jinga kabisa wameshindwa kujenga viwaja vya kukuzia vipaji kule Tanga anakazi ya kupiga piga kelele ti

    • @TheTemba1
      @TheTemba1 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakubaliana na wewe Kaka Karia Ni failure icon mkubwa tu ndani ya shirikisho ndio maana anaogopa challenge

  • @tanzaniayetu6973
    @tanzaniayetu6973 4 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana Nickson ww nimfano wakuigwa Tanzania tunakuelewa sana kwa kweli mm nimiongoni mwa watu nilio wahi kufika kwenye shule yako ya black rhino kwakweli unajituma pongez unastaili

  • @mcmellostyles4335
    @mcmellostyles4335 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana ,huyu jamaa ni mfano mzur kwani kuna watu wenye uwezo zaidi yake na wameshindwa.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 ปีที่แล้ว +2

    We jamaaa unaongea sana toa pesa za kujenga majukwaa sio bla bla nyingi raisi magufuli awatizame awa TFF pia Kuna majipu yatumbuliwe pia. Big up brother umefanya la mahana kuliko uyo maneno mengi👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @dastancleophace2031
    @dastancleophace2031 3 ปีที่แล้ว

    Kama mdau wa Soccer👉💪💪💪💪

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +7

    Safi kijana kwakazi nzuri

  • @loemaisaack2238
    @loemaisaack2238 4 ปีที่แล้ว +8

    Karatu ni next level

  • @daffstar6339
    @daffstar6339 4 ปีที่แล้ว +15

    Wanang w karatu 🔥🔥🔥🔥🔥 this is next level

  • @emmanueldrawerhq7526
    @emmanueldrawerhq7526 4 ปีที่แล้ว +8

    Tatizo la kuwa na viongozi wampira waliokosa nafasi kwenye vyama vya siasa ndio hili. Badala ya kuweka wazi kuwa atatoa shilingi ngapi ili uwanja upate majukwaa, maneno yanakuwa shazi

    • @Tino_Official_tz
      @Tino_Official_tz 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa ingetakiwa iwe hivyo ila hiyo TFF yenyewe inajikongoja kiuchumi. Vyanzo vya vya mapato ni shida. (Hawana meno hayo si ungeona viwanja vya ligi vingeboreshwa 😊😊)

  • @lucasshayo9705
    @lucasshayo9705 4 ปีที่แล้ว +1

    Raisi wa TFF huoni aibu.... Kijna kaweza kujenga....nyie mnakwama wapi?

  • @kaizamandike8771
    @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana lakin muwe mnataja sehem gan uwanjan upo

  • @farealapple7962
    @farealapple7962 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwahy uyu mwamba kaizidi hadi timu ya wananchi

  • @Nicolas-tz7lq
    @Nicolas-tz7lq 4 ปีที่แล้ว +10

    Karia acha siasa ww bwana Fanya maendeleo tuone sio porojo utujengee hata kiwanja cha mazoezi. Hela zipo lkn zinaishia kwa watu

  • @edwinsanga6995
    @edwinsanga6995 4 ปีที่แล้ว

    Amina hongera sana

  • @filbertabdallahmdee2676
    @filbertabdallahmdee2676 3 ปีที่แล้ว

    Ongera kwake na tz kwa ujumla

  • @ndembwamponda7674
    @ndembwamponda7674 4 ปีที่แล้ว +5

    Wow! This is amazing.

  • @nicksonshoo6828
    @nicksonshoo6828 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaa 🙋🙋🙋🙋kwauyu mwamba

  • @rickiefisher1085
    @rickiefisher1085 4 ปีที่แล้ว

    Yani shirikisho haliwez ila mtu wa kawaida tu kajenga

  • @emmanueljoseph3292
    @emmanueljoseph3292 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii Tanzania tukiwa Kama hivi ambavyo mwenetu amechukua hatua Kama hyo hakika hatutakuwa na sababu za kutumiwa na watu wasio na malengo mema juu yetu .hlw magufuli is a motivator to us Mungu ibariki Tanzania Mungu bariki viongozi wetu wawe na Nia ya kweli na sio kueneza migogoro .

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว

    Kuna wa Tanzania wana vision

  • @selestiandamas7762
    @selestiandamas7762 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Nickson

  • @255kwetu8
    @255kwetu8 4 ปีที่แล้ว +10

    Asee nimefurahi sana kuona kiwanja kingine Cha kiwango Cha kimataifa.

  • @nebyink1415
    @nebyink1415 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa kwelii Mtanzaniaa

  • @salummwanyiro9418
    @salummwanyiro9418 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwenu Black Rhino. Hakika umeonesha mfano, na kama tukiwa na viwanja na academy nyingi kama hizi mpira wetu utapanda juu.

  • @begaca
    @begaca 4 ปีที่แล้ว

    Apo Sawa Hii Itatusaidia Sana Kupata KIPATO katika NCHI YETU

  • @Midupa
    @Midupa 4 ปีที่แล้ว +1

    hongera yake kafanya makubwa mana kuna timu kongwe bado zinatumia viwanja vya wanafunzi.

  • @abdulrisassy2488
    @abdulrisassy2488 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana broh dickson

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera ndugu

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Uwanja kama huu Angejenga Mo Dewji tusingekaaa bongo make yangekuwa mengi sana kumbe kuna watu wana hela Mo chamtoto

  • @randochannel8633
    @randochannel8633 ปีที่แล้ว

    Tff hamuoni aibu

  • @kisaswebe6234
    @kisaswebe6234 4 ปีที่แล้ว +8

    Aisseee kumbe tunawez watanzania

    • @johnoscar1721
      @johnoscar1721 4 ปีที่แล้ว

      Sio tunaweza anaweza mtanzania

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 ปีที่แล้ว +11

    Hawashindwi Bali wanakula tu pesa Hakuna mwenye wazo la uwanja pale yanga kila wakati Taifa tu

    • @borisssop119
      @borisssop119 4 ปีที่แล้ว

      Kwani tff kazi Yao Ni kujenga viwanja?au mnaongea tu

    • @rashidramadhan4129
      @rashidramadhan4129 4 ปีที่แล้ว

      @@borisssop119 usimfokeee

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eeeh tff Kuna majipu kibao yatumbuliwe.

  • @revocatusjohn651
    @revocatusjohn651 4 ปีที่แล้ว

    Na ninyi TFF mjenge viwanja Bora sio kubabaisha

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 4 ปีที่แล้ว

    Ndio tunataka vitu Kama hivi yaani TFF Ni mazuzu Sana wamebakia pale karume wanakodoa macho tu, hata Rais mwenyewe Ni incompetent he is now stuck uwezo mdogooo

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 4 ปีที่แล้ว

    TFF nyny kazi yenu kula pesa tu hapo mngejenga nyny huwo uwanja hela zake zingekuwa nyingi sana mjitasmin.

  • @chusahamisi6374
    @chusahamisi6374 4 ปีที่แล้ว

    Tusaidie watanzania waliyokuwepo ulaya waje kusaidia taifa leo tusiwe tunawanga'ang'ania wachezaji wasiokuwa na faida kwenye taifa letu

  • @ibramollel4196
    @ibramollel4196 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kaka

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 ปีที่แล้ว

    Simba na yanga club kongwe africa hawana hata robo ya hiki kiwanja.

  • @kakuruishuza3662
    @kakuruishuza3662 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzur

  • @abdalamakara7338
    @abdalamakara7338 4 ปีที่แล้ว

    Arusha wilayani karatu

  • @youtub8320
    @youtub8320 4 ปีที่แล้ว

    Kama hats pata sapoti atapata hasara ya milele

  • @borisssop119
    @borisssop119 4 ปีที่แล้ว +4

    Hit jamaa kswashinda utopolo

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 ปีที่แล้ว

    Safi hongera sana bro

  • @reportstime187
    @reportstime187 4 ปีที่แล้ว

    Yanga Ndio club ya kwanza Tz kumiliki uwanja binafsi wa club na ukapewa jina la Kenneth Kaunda mpigania Uhuru wa hapa Africa kwa wanaofaham historia.. Kwa sasa Uwanja huo umeharibika na eneo ulipo kumekua na changamoto kubwa.. Walianza Azam kufanya inestiment kubwa na vilabu vingine wakajaribu hatimae tuna huyu kijana mwenye maono ya mbali aliyeleta chachu kubwa kwenye maendeleo ya soka.. Hongera kwake ila msizdharau waliomtangulia na kuhakikisha wanalinda heshima ya soka la Nchi yetu mpaka leo mpira unapewa thamani ya hali ya juu.. HONGERA KIJANA KWA JITIHADA, UMETUONGEZEA MZUKA NA NGUVU YA KUJIAMINI.. VIJANA PIA TUPO TAYARI NA TUNAWEZA..

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 ปีที่แล้ว

    Okay kumbe mko wa Arusha wilaya karatu

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 4 ปีที่แล้ว

    Sema hii habari hajajaa mngeanza hata maelezo

  • @kebo2155
    @kebo2155 4 ปีที่แล้ว

    Nyie TFA ni lazima muanze kutenga maeneo ya Wazi iki kuweka viwanja vingi vya michezo Tanzania - free of charge... Ni aibu kumtegemea kiwanja kimoja ... 🇹🇿

  • @JustinMwashilindi
    @JustinMwashilindi 6 หลายเดือนก่อน

    Pongezi sana kwake uyu jamaa

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 4 ปีที่แล้ว

    Uwanja mzur sana yanga wanakwama wapi.

  • @pablozuu7446
    @pablozuu7446 4 ปีที่แล้ว

    Mtengeneza kiwanja ni bora kuliko KARIA NA TFF

  • @ezekielsangari9675
    @ezekielsangari9675 4 ปีที่แล้ว

    Hichi kiwanja kiko Arusha

  • @kastorkidumu6579
    @kastorkidumu6579 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @views-qk4fr
    @views-qk4fr 4 ปีที่แล้ว +8

    This is news! With elections on process the results to come are yet to amaze us more.

  • @WestChoma01
    @WestChoma01 4 ปีที่แล้ว

    Karia ni matako tu sijui kaongea nini hapo

  • @ibramollel4196
    @ibramollel4196 4 ปีที่แล้ว +4

    Ila nakushauri panda miti ili pawe na mazingra mazuri zaidi

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 4 ปีที่แล้ว

      Inawezekanaa kuna plan ya muda mfupii yakujenga majukwaa

  • @athuimansaid1369
    @athuimansaid1369 4 ปีที่แล้ว

    Acha mbwembwe kwani hela umepewa na serikali

  • @enockbryson8167
    @enockbryson8167 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh aisee kunatimu imefakamia uwanja wa wanafunzi toka enz za mababu haina hata chandim

  • @scottgeorge5677
    @scottgeorge5677 4 ปีที่แล้ว

    Yanga yetu wanawaza kuifunga simba tu hata kiwanja chetu hatuna hata cha mazoezi tu hatuna

  • @abdillahiabdallah4882
    @abdillahiabdallah4882 4 ปีที่แล้ว

    hongera kwake

  • @mathewalfred9364
    @mathewalfred9364 4 ปีที่แล้ว

    Yangaaaaaa mnakwama waapii

  • @ankotwaha4598
    @ankotwaha4598 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukooo wp uwooo uwanja

  • @amiabillity1635
    @amiabillity1635 4 ปีที่แล้ว +11

    aibu sana kwakweli,clabu kongwe hapa tz hazina hata alama za viwanja lakini mtu mmoja tu ametengeneza kiwanja.mmmh bongo bhn!

    • @mathiasnchimbi6493
      @mathiasnchimbi6493 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kinachoshindikana sema kila anayepewa nafasi ya kuviongoza anaenda na shida zake . Ndiyo maana maendeleo hakuna

    • @shedrackmwaipopo7253
      @shedrackmwaipopo7253 4 ปีที่แล้ว

      Simba tayari alama ipo

    • @jazboyclassic4743
      @jazboyclassic4743 4 ปีที่แล้ว

      @@shedrackmwaipopo7253 ule uwanja ni wa mo sio wasimba

    • @shedrackmwaipopo7253
      @shedrackmwaipopo7253 4 ปีที่แล้ว

      @@jazboyclassic4743 kwa akili yako inavokutuma razima useme ivo unajua ule uwanja nan alinunua

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 ปีที่แล้ว +2

      @@jazboyclassic4743 Uwanja ulinunuliwa na Mzee Dalali umejengwa kwa pesa za udhamini zaid ya 250M wa Mo extra na Mo energy ambazo zinakaa kwenye jezi za Simba
      Kwa hio uwanja 100% ni wa Simba umejengwa kwa pesa za ndani za Simba
      Umeelewa utopolian

  • @shaabanmasoud4827
    @shaabanmasoud4827 4 ปีที่แล้ว +1

    Dogo kamshinda Mo maana mikiwa wamewekewa nyasi bandia hahaha.

  • @kabumbabarongo787
    @kabumbabarongo787 4 ปีที่แล้ว

    Ww karia jinga sana sijui ni nani aliyekuchagua ww msomali, hufai nenda uongoze mkia, umeharibu mpira umeiñgiza usimba mpaka umefikia hatua ya kutumia Nguvu zako kupoka mchezaji wetu Morrison ulaaniwe

  • @samir_platnumz
    @samir_platnumz 4 ปีที่แล้ว

    Uwanja mzuri

  • @benizakariah4023
    @benizakariah4023 2 ปีที่แล้ว

    uwanja wake huuu hii Ni kuzuga🤣🤣🤣

  • @chriskinyaga1620
    @chriskinyaga1620 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yenu nikuletee mtoto

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 4 ปีที่แล้ว +5

    M/MUNGU amlipe alipotoa

  • @yunusswai7556
    @yunusswai7556 4 ปีที่แล้ว +1

    Mim nimemuona director wang wa karatu college

  • @mohamedamaan6264
    @mohamedamaan6264 4 ปีที่แล้ว

    Wabongo lawama tu.. badilikeni

  • @noellykomba2333
    @noellykomba2333 4 ปีที่แล้ว

    Dah yaani huyu jamaa sijui hata nimpe sifa gani.

  • @jonathannzagamba5253
    @jonathannzagamba5253 4 ปีที่แล้ว

    saf sana kjana

  • @learningkiswahili5daysstre367
    @learningkiswahili5daysstre367 4 ปีที่แล้ว

    Vinatakiwa viwe ata ishilini Tanzania nzima

  • @hasanikajembe8848
    @hasanikajembe8848 4 ปีที่แล้ว +1

    Karia hatutaki kuona viwanja vibovu kweny ligi yetu.jitathimin

  • @MrBm369-h1p
    @MrBm369-h1p 4 ปีที่แล้ว

    Ametisha na anamoyo kweli hiyo Kazi sio ndogo maze

  • @kelvinbeautus1335
    @kelvinbeautus1335 4 ปีที่แล้ว

    Wana yanga jamani tuna kwama wapi tujenge uwanja wetu jamani tuna aibika ivi kwel

  • @abubakarmudir1147
    @abubakarmudir1147 4 ปีที่แล้ว

    TFF oneni aibu

  • @emmanuelmhando5062
    @emmanuelmhando5062 4 ปีที่แล้ว

    Kiendelezwe kitunzwe kidumu

  • @allysalim9822
    @allysalim9822 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtu binafsi kaweza nyie mnashindwa nn mbona aibu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 ปีที่แล้ว

    Huyu kijana ni mzaalendo sana, sasa TFF wanatakiwa nao wajitahidi waache kutumikia matumbo yao. Tanzania inao uwezo wa kuwa kiwanda cha kutuletea wacheza mpira wengi na wanariadha kama ilivyokuwa miaka ya 1970 na 1980.

  • @youtub8320
    @youtub8320 4 ปีที่แล้ว

    Imekula kwako hiyo

  • @abdulshaban866
    @abdulshaban866 4 ปีที่แล้ว +7

    Tff jau kwelii sasa wamekuja kufanya nn yaan wanaona raha kuzunguka utafikir wamejanga wao

    • @cleofasnyoni3836
      @cleofasnyoni3836 4 ปีที่แล้ว

      Saw nmkuelew

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 4 ปีที่แล้ว

      Kwani ni kiwanja gani cha mpira kule uingereza kimejengwa na shirikisho la soka la uingereza?.fikiria kwa kutumia akili siyo kazi ya shirikisho kuzijengea Tim viwanja

  • @emanueliandrea2211
    @emanueliandrea2211 4 ปีที่แล้ว

    karatu hiyo

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว

    Woow safi sana nyas kijaniii Yan kinavutia asee kikowap hicho kiwanja

  • @mentythegemini405
    @mentythegemini405 4 ปีที่แล้ว

    Katisha Sana.5

  • @shijacs23
    @shijacs23 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyo Karia anatakiwa aone aibu, hiyo project ilitakiwa tff ndio wafanye sio wengine nyie muongelee kuleta timu kucheza, jengeni vyenu sio kula hela tu na matumbo yenu

    • @hussenissa5092
      @hussenissa5092 4 ปีที่แล้ว +2

      Tuacheni ujinga,watanzania Shilikisho la,soka,watanzaje,kujenga,viwanja,nyie hebu kuweni waelewa,hv ushasikia,chama,cha,mpira,England wanauwanja,au chama,cha,soka,span au Italia nk hebu tuache kulaumu kila,siku

    • @hussenissa5092
      @hussenissa5092 4 ปีที่แล้ว +1

      Viwanja vyetu vyote ni vya,CCM tuache Ushabiki mbona,malizi na,Hao waliopita,hawakujenga,hivyo viwanja,tuache ujinga

  • @jsmastory5770
    @jsmastory5770 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @ismailmohammed8418
    @ismailmohammed8418 4 ปีที่แล้ว +3

    Hogera sana !

  • @jacobtandila2019
    @jacobtandila2019 4 ปีที่แล้ว

    Utopolo igeni mfano huo.

  • @lucasjoseph1554
    @lucasjoseph1554 4 ปีที่แล้ว

    Mkali wo

  • @yasinabdala9283
    @yasinabdala9283 4 ปีที่แล้ว

    Hicho kiwanjani kipo mkoa gani jamani tujuzane