Ooh yarrab hakika ni furaha isio kifani nampongeza sana hongera zake hyo jamaa Allah am bless zaidi apate mingi zaidi ya alichotoa nmelia kwa furaha😢😢❤❤❤
Huyu jamaa kweli anapenda misifa ila kwa hili alilofanya kwa watoto yatima mie nimemkubali nimemkubali mia kwa mia kwa hichi alicho kifanya mana wengine kazi kuwanunulia watu mapombe tu
Daah Kweli Tanzanian Tupo Nyuma Kwa Nchii Za Wezentu Ata Muwe Watu 200 Kma Mmenunua Vitu Kwa Pamoja Na Kma Mlipaji Ni Mtu Mmoja Risit Inatoka Moja Tena Fupi tu Leo Tanzanian Mlipaji Ni Mtu Mmoja Risit Zaidi Ya 90 😂😂😂 Tupo nyuma Sana East Africa 😂😂😂
Ni sawa Utaratibu wa Risiti unapo nunua bidhaa furn lazm waandik jin la bidhaa na ina gharam yak ya kodi sasa pal watoto wamechukua minor,viatu pipi imebd wafny hvo n sahihi tu
@@MsAggie5 Mim Niko Asia 🌏 Ata Uwende na Wtto 200 Kila Mmoja Achue Chake Kila Mmlipaji awe Mtu Mmoja Risit Itatoka Moja kisha Risit Iyo Itaorodhesha Kila items Bei Yko A Total Ya Vitu Vyote Kwa Pamoja Ila Kma England 🇬🇧 Iko Kma Tanzanian Sio Mbaya
Kuwapa au kumpa mtu furaha sio kitu cha kubeza hongera zake tena hongera sana sna
Mungu ambariki sana 🙏🙏🙏❤️
MUNGU akubarik kaka umefanya jambo jema sana watoto wamefurahi sana MashaAllah,
Jamno zuri mungu amlipe mana hiyo ni kazi ya mtume kuwakirimi mayatima
Ukipata lazima uwape wenzio furaha allah amzidishie rizki
Kwa ili mungu azidi kumzidishia zaid ya hapo❤
Mungu akubless kaka🎉
Mungu akubariki chief godlove
Safi sana kaka Hilo liko poaa sana sema wabongo ingekuwa vimbao kila mtu angepost ila jambo LA muhimu kama hili Huwa hatu.....
Ooh yarrab hakika ni furaha isio kifani nampongeza sana hongera zake hyo jamaa Allah am bless zaidi apate mingi zaidi ya alichotoa nmelia kwa furaha😢😢❤❤❤
Amepata wapi hela au kutoa wapi mwachieni mwenyewe 😂😂cha muhimu watoto wameenjoy nimependa😊
Safi sana
Be blessing mr Godlove
Ongera zake 🎉
Jambo nzuri sana
Allah atakulipa kwa furaha ya hawa watoto 😢leo wameona kama uwepo wa wazizi wao hapo walipo heshima kwako brother ❤️
Ni jambo nzuri sana kiongezi wewe ni mtu muhimu sana
Jamaa analindwa na gobole Daah😂😂👏👏
Wewe hata manat hujawahi lindwa nayo..😂😂😂❤
Eti gobole😂😂😂 yale ya kuulia tembo😅😅
😂😂😂😂we mjinga snitch sanaaaa
Hongera brothers.mungu akuongezee ulipopunguzaaa ukujaze Mara dufu
Ipo siku na mm nitafurahi na watoto yatima nitaenda kuwapa faraja
Hongera mkuu
Hongera sana chief godlove Mwenyezi MUNGU akupe riziki zaidi ya hapo
This is big , congratulation to him as he care and understand this kids need happiness and being given when they lack , this is blessing 🙏🙏🙏
Na mi nikipata mia tano nitawapa biskut Naam
Mapokezi ya kfc nimeyapenda🎉🎉❤
kfc wapo vizuri mno kwa customer care ❤
Unaweza kuchukulia poa lkn pengine ndo pepo yake iyo, Allah humpa amtakae
Mungu nimkumbwa sana
Mashaallah 🎉
God akuongezee zaidi na zaidi na akuepushe na mabala ya wanafki
Chief ni kijana mwenye moya ya kusaidiya
Huyu mwamba kajua kupokonya baraka😂hii sio kutafuta ila kupokonya kwamba upende usipende salio lake kwa Mungu limeshasoma.
family
He did it 🙏🙏
Sky umelipwa pesa ndefu sana kumpa promo huyu tapeli😂😂
Good Haert ❤
Hii sasa ndio kusaidia yatima... Sio wale sabuni mche Mmoja. Kamera 70
Misaada yenye maana kabisa umeshiliki nao kikamilifu mwanzo mwisho wengine wanatoa pesa nahaziwafikii wahitaji mungu akuongezee ulipopunguza kaka
Wewe unaongeya vibaya umesha Wayi ku saidiya ata jirani wako munaisha naye dollars 50, achani kuongeya vibaya wa Tanzania
Yakobo 1: 27 ❤
Kujipua kwaajili ya watu wengine ili waishi vizuri ndiyo mpya wa ushujaa ata Mungu atakuona pale utakapo kwenda motoni anaweza kukupunguzia adhabu
❤
That's Godlove
Sijui vyanzo vyake vya mapato, ila alichokifanya kwa hawa watoto ni mfano mzuri wa sote kuuiga kwa kusaidia yatima
Huyu jamaa kweli anapenda misifa ila kwa hili alilofanya kwa watoto yatima mie nimemkubali nimemkubali mia kwa mia kwa hichi alicho kifanya mana wengine kazi kuwanunulia watu mapombe tu
Wa kwanza
Sadaka nzuri ni ile ambayo unatoa bila kujionyesha kwa watu kwamba umetoa, toa kwa moyo na wala usitarajie kupata sifa kwa wengine.
Basi na ww toa sadaka ya takoo
@@payet_tz8805daah 😂
Hii ni motivation..... Acha wivu ... Pimbi ww
Acha makasiriko, hiyo ya bila kujionyesha wewe unetoa wapi?
Kwa alicho kifanya huyu leo kwa watoto atakae muongelea vibaya huyo anatakiwa akapimwe akili huenda akawa anaupungufu wa akili kichwani
😢😢😢 one love ❤️ sana ndugu yangu
Wadau wameanza kukuelewa tokeni mageton vijana😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hapo jomba nimekuelew Kwa mara ya kwanz
Huyu jamaa pesa ipo sio mchezo. Yupo vzr
Hebu tujuane kwenye like tulio kuaga tunamwona huyu mwamba mwanga😂😂
Nakereka ukiona mojito mzima unataka ipewe PESA BURE BURE tu
Unipolar piga hesabu vizuri utakuta umebambik8zwa
Kama mikeka ya kupet vile
Watotoo wawilii tuu kulishaa siwezii sasa timu yt iyoosindiio baraaa😢😢
Mmm, show off...
Hongera sana
Daah Kweli Tanzanian Tupo Nyuma Kwa Nchii Za Wezentu Ata Muwe Watu 200 Kma Mmenunua Vitu Kwa Pamoja Na Kma Mlipaji Ni Mtu Mmoja Risit Inatoka Moja Tena Fupi tu Leo Tanzanian Mlipaji Ni Mtu Mmoja Risit Zaidi Ya 90 😂😂😂 Tupo nyuma Sana East Africa 😂😂😂
Ni sawa Utaratibu wa Risiti unapo nunua bidhaa furn lazm waandik jin la bidhaa na ina gharam yak ya kodi sasa pal watoto wamechukua minor,viatu pipi imebd wafny hvo n sahihi tu
@@MsAggie5 Mim Niko Asia 🌏 Ata Uwende na Wtto 200 Kila Mmoja Achue Chake Kila Mmlipaji awe Mtu Mmoja Risit Itatoka Moja kisha Risit Iyo Itaorodhesha Kila items Bei Yko A Total Ya Vitu Vyote Kwa Pamoja Ila Kma England 🇬🇧 Iko Kma Tanzanian Sio Mbaya
ana postiwa sanaa sikuiz hyu tajir wa mbao😂
Sns yani sasahivi na nyinyi mmeanza kutuzingua kama hamnavitu vya kupost acheni
SNS mmekazana na huyu Godlove, anawalipa?😂😂😂
@@homeandaway2811 siyo Kazi yako wewe Choma Bando Tu 🙄
@@aediaygo8546😂😂😂 kwa kweli
😂😂😂😂sasa hiziii billii au mashuka mbona kama mashuka ujue
Ni jambo zuri ila hukutakiwa kwenda na camera,kutoa ni ibada na ibada nzuri ni kati yako ww na mola wako
Motivation
ukute kuna ndg kashindwa ata kuwasaid kutaka tu sifa mitandaono😮
Sifa kwa yatima si bora kuliko sifa bar? Ndugu wa afrika ndo hao unawasaidia leo wanakuroga na kusema unajidai
Kabsaa@@MsAggie5
Anavyoonesha kutoa msaada waziwazi angetumia nguvu hiyo hiyo kuonyesha kazi yake.
Wewe ni hater
Kwani nilazima 😂
Muza mbao uyoo ana mashamba ya mtipesq
Tafta pesa bro....
Aca wivu ndugu
❤
❤