Jamani wa kwanza mimi leo hembu acheni like zenu kama zote kwangu kama tupo pamoja kumkubali nasma h kidogo enzi zake za uhai R, I, P nasma hamisi kidogo kitambo sana bado tunakula ngoma zako siyo za kipolepole ❤️❤️❤️
Nakumbuka mwaka 2000 Mtangazaji wa redio one wakati huo charles Hillary kwa kipindi chake wimbo huo lilikuwa chaguo lake mungu akuweke mahali pema peponi
2024....bado tunasikiliza R.I.P mama yetu 😢
Jamani wa kwanza mimi leo hembu acheni like zenu kama zote kwangu kama tupo pamoja kumkubali nasma h kidogo enzi zake za uhai R, I, P nasma hamisi kidogo kitambo sana bado tunakula ngoma zako siyo za kipolepole ❤️❤️❤️
2024... Tunasikiliza bado pumzika kwa Amani Mama
2023... bado tunasikiliza r I p mama yetu
Daah nmekumbuka .bal sana mpk choz limenitok, those old good days
Mmhh uyu mama alikua atari mungu amrehemu
Nilikua nautafuta wimbohuu yani huyu mama mm nampenda mpaka B's mungu amsamehe makosa yake
Kitambo sana mwaka 20000 tunaingia taoni
Kijembe hicho alipigwa Hadija kopa
Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi amina
Nakumbuka mwaka 2000
Mtangazaji wa redio one wakati huo charles Hillary kwa kipindi chake wimbo huo lilikuwa chaguo lake mungu akuweke mahali pema peponi
OLD IS GOLD 😍👌🏾
Nani ana wimbo wake na khadija kopa wa sina haja na mumeo
kutoka kilwa kivinje tunajivunia
kivinje Moja
Jamani nlikuwa nauliza Nasma Khamis Yupo Nipeni Jibu Jaman
JAMANI KWENYE ALBUM HII KUNA NYIMBO INAITWA SI MZIZI SI HIRIZI JAMANI UTUMENI NA WENYEWE
Upo huo wimbo ninao
Mungu akutangulie mama etu kipenzi
Mahala pema peponi inshaalah
R.i.p mama
Allah amrehemu
Pumzika kwa amani
Kitambo
Hapo sasa......
❤mambo yako huku
Akuna wakujibu ilo fumbu r.i.p mam
Pumzika kwa Amani
2024 naisikilizia jamani
Zamani sanaaaa
❤❤❤❤
Unkumbuka wapo
Namkubali sana
Daaa
Taarabu ipo naona mambo yako huku 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Da pumzika bwana ameto na bwana ametwa jinalake limidiwe 2024 bado tunakukumbuka mama yetu
Rip mama
We be
Naomba tu nipate back ground
Yake nyota huyu
😂
Daah nmekumbuka .bal sana mpk choz limenitok, those old good days