Bonjour mosali ya nzambe ngai nazali mamanya 64 ans nafandi na Congo kinshasa nzambe apambola yo ya mingiiii po na kosambela po na mboka na ngai RDC Nzambe azala nayo tango inso merci papa
Ee Baba, najua kwa hakika kwamba nafsi haijui itafia katika nchi gani, kwani mwanadamu ameumbwa katika ardhi, anaishi katika nchi, na anakufa katika nchi karibu nanyi. Basi rejeeni kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu akurehemuni na akusameheni madhambi yenu yaliyopita.☝☝🤲🤲☝☝
Mimi nina uhakika vyote vinavyo fanyika upande wapili wameiga kutoka kwaMingu,wambingu nanchi,upande wapili wanaelewa sana habari yanyota,wana wamungu ukiwaambia habari yanyota mtagombana,ojamani wana wagiza niwananja kuloliko wana wanuru
Juzi nilikuona maeneo ya barabara ya Goba nikakuangalia sana maana wewe ni mpotoshaji mkubwa.... nilitamn usimame nihojiane na wewe kidg.... Weee endelea kufanya kazi ya shetani.... Yesu anarudi
Ewe baba mtukufu, ninaapa kwa yule ninayeapa kwake, na nakuapia kwa kila kitabu alichoteremsha Mwenyezi Mungu, ikiwa ni pamoja na Taurati, Injili, Furqan, Zaburi na Qur'ani Tukufu niliyo nayo. si kulewa vileo wala mvinyo, na Mwenyezi Mungu na Malaika wakubwa ndio mashahidi bora. ☝️😭☝️⚔️🤲⚖️🤲⚔️☝️
Watu kama Hawa ndio utawakuta makanisani na familia zao kila Leo wanalia mungu nisaidie kama mitume na manabii wa mungu tena aliowapenda walitoa kafara wewe nan kwa mungu
Bwana YESU asifiwe. Hii clip Hujamtendea Haki Yesu. Watu wanataka kumjua YESU zaidi kuliko hayo uliyoyafafanua.Habari za YESU sio za siri hata uwaambie wakutafute wakati za shetani umezimwaga bila gharama. Walioiandaa clip wamheshimu Mungu aliye hai.La,mungu wako ni wakificho,hatakiwi kujulikana na wote. Kwa maneno mafupi,muda mwingi kwenye clip kapewa shetani na MUNGU aliye hai kagusiwa gusiwa tu.Unamalizia Nitafute.Binafsi naona kuna mahali mmeteleza kwenye maandalizi. By Waabuduo Halisi
He NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUKAE TAYARI KUMLAKI ITAKUSAIDIA NINI UKAPATA ULIMWENGU WOTE UKAUKOSA UZIMA WA MILELE BORA UINGIE MBINGUNI MASKINI KAMA RAZALO UKAKAA KIFUANI KWA IBRAHIM KULIKO KUUKOSA UZIMA WA MILELE MWENYE SIKIO NA ASIKIE SHALOOM SHALOOM
Mungu aturehemu, Hivi sasa platform za social media kuna mafundisho yasio stahili yanapata sauti na umbali...serious Huyu Bwana sijamsikia akisoma Biblical Reference ya hiki anachokisema...this is Pure Whitchcraft. Ukristo wanaohubiri ni utajiri na sio kumjua Mungu wala utakatifu....Damu ya Yesu iturehemu....Hata hii tone imekaa kimtaa sana,
Laakin mpaka MwenyeziMungu apende/atake na si Vinginevyo 🙌 Kufanya Tiba/Maombi (Dua/Kafara na Sadaqa) za Kishirikina ni Mtihan ni Kharamu Kwa yeyote🙌 Zama tulizonazo hakuna. Mume Wala Nabii. Hawa/hao Mitume ,Manabii na Mashariff wa Sasa ni Matapelin
Yani umeweka bayana ya upande wa giza afu vya upande wa Mungu umevificha ili anayekutafuta alipe au maana yake ni kutaka kuwachochea watu wafanye vya upande wa giza. Haiko sawa.
mm muislam huy Ipm alikua muislam na kwa nia bado ila ameona njaa huku kwetu manake hatukubali upuuzi kwan vitabu vetu tunavijua na hakuna pesa ya kizembe tutaoa kwan huyo ni kam mm na ww hana uchungaji kaona wachungaj wengi wapo kidili ndo mana hata mfatilie kweny kuhubir kwake anaongea had kiarabu huwez kua pande zote na uongoze.huwez serve two masters at the same tym.aise huyo kaja huko kutafuta kuwapiga hao wasiotembea na roho wao wa mtakatif na kutojua huyo siyo mchungaj nd man antajirik huku waumin wake wanachechea na ziki tu.
Damu ya Yesu ndiyo dhabihu ya kweli..kwa imani tunaamini inaweza kubadili chochote....mambo ya kafara za kuchinja nk ni mambo ya agano la kale...tuliishatoka huko..kwa mafundisho haya wengi watakwenda kutafuta nguvu za giza...Lakini Mch IPM asinenewe mambo mabaya kwa sababu hadi kuwa Mkristo kweli kweli ni mchakato..ametoka mbali kuwa hivyo kwa yeye katika ukristo ni hatua kubwa sana,mimi nami nilikuwa upande wa mama mdogo lakini leo nimeijua kweli.
Amen kubwa ndugu...hiyo ni kweli kabisa, ninafurahi sana kwa ushauri wako lakini pia kwa ushuhuda wako mfupi kuwa ulikua upande wa pili, lakini sasa uliipata neema hii kubwa ya wokovu...🙏🙏
IPM ni mganga wa kienyeji, wa kawaida tu. Hapo hapana mchungaji wala mjuzi wa biblia. Yaani kafara itajirishe badala ya elimu, kipaji, juhudi katika kazi na umakini katika maisha, tuwaze kukimbizana na makafara! Akina Anthon Lusekelo wanazidi kuongezeka. Haya mnaopenda kuliwa pesa mtafuteni awapige.
HUJUI chochote huu ulimwengu una kanuni zake na hiyo ELIMU unayosema wewe kama kigezo cha kufanikiwa ni upumbavu TU wazungu na wachina wanatumia Siri hizo kugundua vitu na teknolojia na Kwa bahati mbaya sana NGUVU hizo za ASILI mkoloni aliwadanganya eti ni ushirikina wakati wao wanatumia wewe ukaletewa DINI feki na ELIMU feki 🚮
Acha uchawi wewe. Leo hii unaongelea kafara ya wanyama? Je! Unadharau kazi ya Yesu Msalabani? Acha kupoteza nafsi ambazo Mungu alizigharimia kwa gharama kubwa. Pole sana.
Mie wakichwan kwangu hapendi kusikia mambo Ayo anapenda kusikia Quran na pia kufanya kisomo ndiyo ananipushi kwenye mambo yangu ila ukiongea habari za shirki hataki kusikia atanifanya niumwe kama nikipanga kwenda
Ila maelezo yako mengi yame-base kwenye kafara ya giza kuliko nuru. Kwa nini uoande wa Mungu(nuru) unataka utafutwe kwa simu wakati kwenye upande wa giza umeongea vitu vingi?
Wewe ludi uislamu ukaendelee kuchinja mbuzi zako! Tunayo damu ya YESU aliyomwaga msalabañi kama kafara ya dunia ya ukombozi! Tena ushindwe kwa jina la YESU pepo.
Heheeeeee.........IPM. kumbe wewe mwenyewe ni mchawi na mganga kwa kuamini Kutoa kafara za kuchinja wanyama cyo Mtumishi wa Mungu wa kweli biblia inasema damu ya yesu inatosha kwasababu alitufia msalaban wote wenye dhambi
Unachosema nikweli kabisa makafala yapo pande zote pili asilimia 95 hakuna asiekwenda Kwa mganga kwaajili ya Hilo na wengi kanisani wanafuata miujiza sio mungu.
Wilred huyo qlikuwa muislamu usimshangae ametokea huko mpaka kuwa mkristo siku hizi Biblia imekuwa biashara wajinga ndiyo waliwao wanaitumia sanaaaa hovyo huoni kila mtu anafungua kanisa na kujiita Nabii
kwani watu wa Mungu walokole wenye biashara kubwa sheli , mabasi ,, maapatiment,, kwa jina la Yesu hawapo? na kafara kwa Mungu wa Abraham isaaka na yako ni ipi baada ya KAZI ya msalaba,, mbona agano la kale limekataza kwa habari eti Ibrahim alimtoa isaka JAMAni na hili andiko je kumbukumbu torati 18 9-14 Mungu anasemaje kuhusu kafara?
Wasiwasi wangu kwa mafundisha haya wengi hata kama walikuwa hawana mpango wa kufanya kafara watajikuta wanafanya kafara hizo za giza..watu wangapi tayari watakuwa wamefanya? umewaelekeza!
Unachosema ni ukweli mtupu atae bisha ni uelewa wake ni mdogo na kama anabisha awe anaomba Kwa kukesha kama ataokota fulushi la pesa .kiukweli tuache ujinga
Kanuni imasema makanisa ni ombaomba hivyo pesa inayotoka kwenye biashara haitakiwi kuipeleka kanisani kwa huwa hujaiomba ukapewa bure hakikisha unanunua kitu hata Kama n kanisani ukitoa hakikisha unarudi na bidhaa nyumbani sio unatapeliwa kizembe
Sijawahi kusikia hili kwa yeyote, natamani ningejua haya mapema. Ubarikiwe sana
Huyu alikuwa shehe akaokoa
Bonjour mosali ya nzambe ngai nazali mamanya 64 ans nafandi na Congo kinshasa nzambe apambola yo ya mingiiii po na kosambela po na mboka na ngai RDC Nzambe azala nayo tango inso merci papa
THE PROPHET OF GOD🌍
NITAKUPENDA MI LELE BABA❤️🇨🇩💰🙏
Bwana Yesu ni mwisho wa kafara za wanyama, damu yake inatosha.
Asante.
Ee Baba, najua kwa hakika kwamba nafsi haijui itafia katika nchi gani, kwani mwanadamu ameumbwa katika ardhi, anaishi katika nchi, na anakufa katika nchi karibu nanyi. Basi rejeeni kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu akurehemuni na akusameheni madhambi yenu yaliyopita.☝☝🤲🤲☝☝
Nakupenda sanah baba yangu naamini mungu yuko na ww
Kafara ilitolewa msalabani mnawapiga sadaka watoto wa Mungu nyie mnatajirika
Kwani sadaka ni ndugu yangú
Pole sana
pole sana
Mimi nina uhakika vyote vinavyo fanyika upande wapili wameiga kutoka kwaMingu,wambingu nanchi,upande wapili wanaelewa sana habari yanyota,wana wamungu ukiwaambia habari yanyota mtagombana,ojamani wana wagiza niwananja kuloliko wana wanuru
Juzi nilikuona maeneo ya barabara ya Goba nikakuangalia sana maana wewe ni mpotoshaji mkubwa.... nilitamn usimame nihojiane na wewe kidg.... Weee endelea kufanya kazi ya shetani.... Yesu anarudi
Asante pasta kwamafundisho yenye ukonatoa
Amina🙏🙏🙏😮😮😮nimejifunza kitu hapa💪💪
Aksante mtumishi wa Mungu ❤
Ewe baba mtukufu, ninaapa kwa yule ninayeapa kwake, na nakuapia kwa kila kitabu alichoteremsha Mwenyezi Mungu, ikiwa ni pamoja na Taurati, Injili, Furqan, Zaburi na Qur'ani Tukufu niliyo nayo. si kulewa vileo wala mvinyo, na Mwenyezi Mungu na Malaika wakubwa ndio mashahidi bora. ☝️😭☝️⚔️🤲⚖️🤲⚔️☝️
Ukweli mtupu barikiwa sana baba
Mnatuchanganya. Sana
Aisee huyu jamaa ni kichwa sana yani haya maneno hakuna mchungaji yoyote atakaesema🤝🤝🤝🤝
Umetisha IPM
Kaka Mm nimepanda sana bila kafara yoyote acha siasa ni uongo huo
Yaan hapa kama una Mungu wa kisurisuri hueleweki unaenda na Maji mafundisho ya ovyo sana hayaaa.....Hamna Mchungaji hapa
Hakuna ukijuacho nyamaza
Watu kama Hawa ndio utawakuta makanisani na familia zao kila Leo wanalia mungu nisaidie kama mitume na manabii wa mungu tena aliowapenda walitoa kafara wewe nan kwa mungu
Ulimwengu una kanuni zake na ni lazima ujiunganishe NAO ndo maana wahindi kwenye biashara zao huwa wameweka picha za BABU ZAO
Bwana YESU asifiwe. Hii clip Hujamtendea Haki Yesu. Watu wanataka kumjua YESU zaidi kuliko hayo uliyoyafafanua.Habari za YESU sio za siri hata uwaambie wakutafute wakati za shetani umezimwaga bila gharama. Walioiandaa clip wamheshimu Mungu aliye hai.La,mungu wako ni wakificho,hatakiwi kujulikana na wote.
Kwa maneno mafupi,muda mwingi kwenye clip kapewa shetani na MUNGU aliye hai kagusiwa gusiwa tu.Unamalizia Nitafute.Binafsi naona kuna mahali mmeteleza kwenye maandalizi.
By Waabuduo Halisi
Ukweli uyo Baba yangu 🙏 Barikiwa
God bless you
Barikiwa mtumishi
mtumishi ukipigiwa hupokei
AMEN AMEN AMEN kweli
Qur aan 39:36
"Mungu hamtoshi mja wake?"
Amen Amen Mtumishi
Work smart tu na fuata principles na Trust God in Truth n spirit unatoboa....acheni mafundisho nja nja haya
Wewe ujielewa sana kaka
Kafara nikujitoa kwakua na
Displine dedication and
Trust in GOD
Ukweli mtupu
unasema kweli pastor
Nina Damu ya YESU sihitaji kingine
He NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUKAE TAYARI KUMLAKI ITAKUSAIDIA NINI UKAPATA ULIMWENGU WOTE UKAUKOSA UZIMA WA MILELE BORA UINGIE MBINGUNI MASKINI KAMA RAZALO UKAKAA KIFUANI KWA IBRAHIM KULIKO KUUKOSA UZIMA WA MILELE MWENYE SIKIO NA ASIKIE SHALOOM SHALOOM
Mungu aturehemu, Hivi sasa platform za social media kuna mafundisho yasio stahili yanapata sauti na umbali...serious Huyu Bwana sijamsikia akisoma Biblical Reference ya hiki anachokisema...this is Pure Whitchcraft. Ukristo wanaohubiri ni utajiri na sio kumjua Mungu wala utakatifu....Damu ya Yesu iturehemu....Hata hii tone imekaa kimtaa sana,
Kwani wewe Huyo anajiita PROPHET humjuii mbona ukweli uko wazi
Sanaaaa usemayo hata hao Manabii wanashinda kwa waganga kuchukua Chuma Ulete wanaweka Maadhabahuni
Laakin mpaka MwenyeziMungu apende/atake na si Vinginevyo 🙌
Kufanya Tiba/Maombi (Dua/Kafara na Sadaqa) za Kishirikina ni Mtihan ni Kharamu Kwa yeyote🙌
Zama tulizonazo hakuna. Mume Wala Nabii.
Hawa/hao Mitume ,Manabii na Mashariff wa Sasa ni Matapelin
Yani umeweka bayana ya upande wa giza afu vya upande wa Mungu umevificha ili anayekutafuta alipe au maana yake ni kutaka kuwachochea watu wafanye vya upande wa giza. Haiko sawa.
mm muislam huy Ipm alikua muislam na kwa nia bado ila ameona njaa huku kwetu manake hatukubali upuuzi kwan vitabu vetu tunavijua na hakuna pesa ya kizembe tutaoa kwan huyo ni kam mm na ww hana uchungaji kaona wachungaj wengi wapo kidili ndo mana hata mfatilie kweny kuhubir kwake anaongea had kiarabu huwez kua pande zote na uongoze.huwez serve two masters at the same tym.aise huyo kaja huko kutafuta kuwapiga hao wasiotembea na roho wao wa mtakatif na kutojua huyo siyo mchungaj nd man antajirik huku waumin wake wanachechea na ziki tu.
I accept....uko sawa.
Hapa mchungaji hamna hapa!!!
Kafara tena waaaah 😮😮
Jesus is Lord.
Damu ya Yesu ndiyo dhabihu ya kweli..kwa imani tunaamini inaweza kubadili chochote....mambo ya kafara za kuchinja nk ni mambo ya agano la kale...tuliishatoka huko..kwa mafundisho haya wengi watakwenda kutafuta nguvu za giza...Lakini Mch IPM asinenewe mambo mabaya kwa sababu hadi kuwa Mkristo kweli kweli ni mchakato..ametoka mbali kuwa hivyo kwa yeye katika ukristo ni hatua kubwa sana,mimi nami nilikuwa upande wa mama mdogo lakini leo nimeijua kweli.
Amen kubwa ndugu...hiyo ni kweli kabisa, ninafurahi sana kwa ushauri wako lakini pia kwa ushuhuda wako mfupi kuwa ulikua upande wa pili, lakini sasa uliipata neema hii kubwa ya wokovu...🙏🙏
Nip nmb yko dada
Watakatifu wa Mungu kuweni
Macho Ibrahim alimtoa mwanae sadaka
Sasa na nyinyi mtaambiwa mtoe watoto sadaka kwa Mungu
Kweli kabisa bi Hellen!!
Hakumtoa Mungu alimjaribu Imani yake..na alimchinja kondoo
Kweli kabisa ipm
Damu ya YESU inaweza yote.Vyote vijazavyo ni Mali ya Mungu.Ambia watu wamwabudu Mungu aliye hai
Umeongea kitu sahihi sana mtumishi
Duh na huyu jamaa naye anawafuasi eti😂.
YESU ATUSAIDIE
Ubarikiwe sana
IPM ni mganga wa kienyeji, wa kawaida tu. Hapo hapana mchungaji wala mjuzi wa biblia. Yaani kafara itajirishe badala ya elimu, kipaji, juhudi katika kazi na umakini katika maisha, tuwaze kukimbizana na makafara! Akina Anthon Lusekelo wanazidi kuongezeka. Haya mnaopenda kuliwa pesa mtafuteni awapige.
Dunia Ina mengi tusiyoyajua,hata dini tumeletewa ingawa nguvu zake ni kweli,kila nguvu hutafutwa
HUJUI chochote huu ulimwengu una kanuni zake na hiyo ELIMU unayosema wewe kama kigezo cha kufanikiwa ni upumbavu TU wazungu na wachina wanatumia Siri hizo kugundua vitu na teknolojia na Kwa bahati mbaya sana NGUVU hizo za ASILI mkoloni aliwadanganya eti ni ushirikina wakati wao wanatumia wewe ukaletewa DINI feki na ELIMU feki 🚮
Pana watu hawaamini katila Mungu Wala shetani na wamefanikiwa bila kafara unasemaje
Hao waliofanikiwa bila Mungu bila shetan wamefanikishwa na Mungu imeandikwa.yy.ndie.anaenyeshea mvua wema na waovu
@@festinamwakipale3919safi sanaaaa
Wakristo hawatoi kafara Wana toa dhabihu
Kafara ni nini bro
Amen
Acha uchawi wewe.
Leo hii unaongelea kafara ya wanyama?
Je! Unadharau kazi ya Yesu Msalabani?
Acha kupoteza nafsi ambazo Mungu alizigharimia kwa gharama kubwa.
Pole sana.
mafundisho.manyonge sanaa hayo ningeshauli ufungiwe kanisa
huyu ni shetan
Mmh👀
Unaeleza jinsi ya kutoa kafara pande wa pili wa shetani ..Eleza jinsi ya kutoa kafara pande wa Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kweli baba
Hapo umesema ukweli mtupu ambao sio rahisi watumishi wengi husema.
Hiyo dhabihu ni kafara ya mwili wako yaani ujiue mwenyewe
Mie wakichwan kwangu hapendi kusikia mambo Ayo anapenda kusikia Quran na pia kufanya kisomo ndiyo ananipushi kwenye mambo yangu ila ukiongea habari za shirki hataki kusikia atanifanya niumwe kama nikipanga kwenda
Nafanyqje na mimi mwalimu wangu wa kichwa anionyeshe apendacho ili anifungulie mambo yangu maana hali si hali
Ila maelezo yako mengi yame-base kwenye kafara ya giza kuliko nuru. Kwa nini uoande wa Mungu(nuru) unataka utafutwe kwa simu wakati kwenye upande wa giza umeongea vitu vingi?
Wewe ludi uislamu ukaendelee kuchinja mbuzi zako! Tunayo damu ya YESU aliyomwaga msalabañi kama kafara ya dunia ya ukombozi! Tena ushindwe kwa jina la YESU pepo.
Kinachoniumiza mimi ni kuwa watu hawakuelewi, ila binafsi nakuelewa mno na currently nakufwatilia mno mno! Waafrika hatutaki ukweli
watu wengi ni maskin
Hakika
Kafara unaitoa vipi na nyama utapeleka wapi
Heheeeeee.........IPM. kumbe wewe mwenyewe ni mchawi na mganga kwa kuamini Kutoa kafara za kuchinja wanyama cyo Mtumishi wa Mungu wa kweli biblia inasema damu ya yesu inatosha kwasababu alitufia msalaban wote wenye dhambi
Upande mmoja una madhara mwingine utajiri wake hauna madhara
Kweli tumechinja mbuzi mambo yanaenda
Nielekeze, maana hizi mambo zinachanganya
Tuelekeze nn Unafanya
Umenifungua kichwa
1 timothee 4:1 mafundisho ya mashetani.poteza ao ao wa umini wako.
Wewe utapata tabu sana
Kwa nini usiseme hapahapa hadi utafutwe kwenye simu? Huo nao ni wizi kama wizi mwingine.
Unachosema nikweli kabisa makafala yapo pande zote pili asilimia 95 hakuna asiekwenda Kwa mganga kwaajili ya Hilo na wengi kanisani wanafuata miujiza sio mungu.
TANZANIA inahitaji msaada wa wahubiri .this is maddness😂😂😂😂
Hakuna mchungaji hapa umejaa ushirikina
Macho yako yanadhibitisha jinsi ulivyo kiuhalisia umefundisha ukweli kwa walio duniani lakini kwa waliomuamini Kristo imeshafanyika
Kwaiyo unalinganisha uchawi na nguvu za Mungu, wewe si mchungaji Bali ni wakala tu
Mh hapa shida ni úelewa
Hakuna kafara kwa yesu yesu ndio kila kitu kwa neno lake yaani agano jipya sio la kale
Vp Range unazo ngapi?
Range sio mafanikio ya maisha
Omba msamaha wakristo kwa haya mafundisho yako usitupotoshe
Truth itakua na yeye Anaenda😅
Wilred huyo qlikuwa muislamu usimshangae ametokea huko mpaka kuwa mkristo siku hizi Biblia imekuwa biashara wajinga ndiyo waliwao wanaitumia sanaaaa hovyo huoni kila mtu anafungua kanisa na kujiita Nabii
Umeniumiza ubongo 😂😂😂 wewe kweli kabisaa
MTAYUMBISHA WATU HATA LINI. KAFARA INAYOTOSHA NI KIFO CHA YESU KRISTO MSLABANI
kwani watu wa Mungu walokole wenye biashara kubwa sheli , mabasi ,, maapatiment,, kwa jina la Yesu hawapo? na kafara kwa Mungu wa Abraham isaaka na yako ni ipi baada ya KAZI ya msalaba,, mbona agano la kale limekataza kwa habari eti Ibrahim alimtoa isaka JAMAni na hili andiko je kumbukumbu torati 18 9-14 Mungu anasemaje kuhusu kafara?
Alianza kusifia uislamu sasa anajifunua watu wa dar mnakazi
Huuu ni ukweli kwa asilimia 98
Umeongea. Ukweli
Sasa Si shetani aliongeza maarifa yeye anataka kafara ya mwanadamu sio mbuzi mbuzi Ni mwanzo tu
Ukweli
Kweli mtumishi
Hao waganga wangekua wakweli waisilamu KIBAO wasingekuja Kwa Mkristu Mwamposa washapita huko ikashindikana😅😅😅😅😅
Wasiwasi wangu kwa mafundisha haya wengi hata kama walikuwa hawana mpango wa kufanya kafara watajikuta wanafanya kafara hizo za giza..watu wangapi tayari watakuwa wamefanya? umewaelekeza!
Kafara si ni agano LA kale mtumishi ?
Jamani ulimwengu wa Giza unashangaza😮ee Mungu tulinde
Ww Prophert wa upande gani!
Me mwenyewe bado simuelewi kbs mafundisho yake yapo upande gn
Unachosema ni ukweli mtupu atae bisha ni uelewa wake ni mdogo na kama anabisha awe anaomba Kwa kukesha kama ataokota fulushi la pesa .kiukweli tuache ujinga
Inaonekana mchungaji ulikuwa mganga make mtililiko wa madawa daar
Kuna siku utasema kwa sababu ibrahim alimtoa mwanae basi na wewe kamtoe mtoto wako kafara. Very soon
Ndugu tumia akili za kujiongeza dunia inamengi sana ya mejificha jamaa aongey uongo yote anayo Sema ni ivvyo';
Makonda
Huyu ni mganga nguli
Nilikua natoa buku10 badal ya jero
Kanuni imasema makanisa ni ombaomba hivyo pesa inayotoka kwenye biashara haitakiwi kuipeleka kanisani kwa huwa hujaiomba ukapewa bure hakikisha unanunua kitu hata Kama n kanisani ukitoa hakikisha unarudi na bidhaa nyumbani sio unatapeliwa kizembe
Ongea kwa uelewa na upeo wako lkn usiongee as if wewe pekee ndio unaujua kuliko wengine.
that is true muongo hajui chochote
Maneno ya kweli hayo bora kusema ukweli kuliko kuficha ficha
😂😂umenistua akili
Kabisa
Njia ya giza inapewa maelezo marefu ila njia ya mungu utafutwe kwwnye simu mkuu
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO WATU WATATUMIA MAPOTOFU KUWAPOTOSHA WATU
Hujaanza kutafuta hela unatafuta pesa za kula