KWANINI UNAROGWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- WATU WENGI WANAJIULIZA KWANINI WANAROGWA, AU SABABU ZA KUA NA MAISHA MAGUMU, KUNA SABABU NYINGI LAKINI HII NI MOJA YA SABABU AMBAYO INASABABISHA WATU WAKUFANYIE UBAYA, BILA WEWE KUWAFANYIA UBAYA FUATILIA MAFUNDISHO HAYA KUTOKA KWA PROPHET IPM.
KARIBU IPM TV.
HUDUMA HII YA EMBASSY OF GOD FOR ALL NATIONS INAYOONGOZWA NA PROPHET IPM INAPATIKANA DAR ES SALAAM TANZANIA MBEZI BEACH MBUYUNI UKIFIKA ULIZIA KWA PROPHET IPM. AU PIGA SIMU
+255 757 672 666
+255 714 284 419
You have spoken very true and reality we are going through a lot may almighty protect us😢
Ipm nakuelewa sana me ni muislamu ila nakufatilia sana,maneno yako yana nielimisha sana❤
Wakristo hawapaswi kujipamba kwa nje.
Wanapaswa kuwa nadhifu na wasafi pekee wasiongeze Urembo wowote miilini mwao hata kusuka, kunyoa visivyo kawaida mfano denge, kujicreem, Kuongeza Ukubwa wa Makalio, kuvaa hereni, bangili, mikufu, wanja na mengineyo yanayofanywa kwa lengo la kutafuta kuonekana mzuri au Bora machoni pa watu
1 Timotheo 2:9-10
[9]Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
[10]bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu
THE PROPHET OF GOD🌍
NITAKUPENDA MI LELE BABA❤️🇨🇩💰🙏
Mafundisho vitendo baba 🎉🎉🎉🎉 deep sana hii blood.
Uyundo ipm
Mtihani saana
Amen
Ipm mungu akubaliki ndivyo ilivyo hasa Africa ni shida kubwa ,kote duniani lakini Africa zaidi sanaa
Mara nyingine jitahidini sauti ya muziki (ala) iwe ndogo tafadhali
Duuuh Ila life
Mutihani mukubwa, mungu unatosha kwa yote.
Mungu with capital M
Baba nimekuelewa mzazi msema kweli
Uyu mtoto atakuwa msumbufu
Nimecheka sana😂😂😂
Mpaka nimesubscribe mimi
Unaeleweka ila stori nyingi sana
Mzee usiwe unaongea sana negative kuna watu awaelewi mpaka wafundishwe kwa stail hiyo usiwe na wivu sana jifunze
@@Lameckjoh, kongolee 🥳 mwenzangu kwa kumjibu sahihi😊
IPM HIZO RASTA SIO IMANI YA KIKRISTO, MAANISHA INJILI UNAYOIFANYA
Walokole wa siku hiz mna shida sanaa
Wewe nenda kwenye mafuta usisumbue watu hukuuu 😂😂 watu wamelazwa sana
Acha zako Imani haipo kwenye kichwa
Mlokole huyo muulumieni amekalili rasta
@@ImaniMwegenya 1 Petro 3:3-4
[3]Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
[4]bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.