Hapo mchungaji nimekuelewa kuliko siku zone yaani nakupenda ,nkweli heva hakuzini bali alipokea mafundisho yauongo .Mungu akubariki sana azidi kukutumia. Amen
@ Mungu ni Roho mambo yake yanaonekana kwa roho ukiweka ubinadamu humpati Anaposema mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni torati iliyokua kwa mkono wa musa Adamu aliposikiliza hio akatambua dhambi kwa njia ya torati
asaaa kumbe YESU HATUPEEEENDI KUMBE *Asije akaona akanyoosha mkono akachuma tunda la uzima wa milele* KUMBE WANAPENDA TUFE....KWANINI ASITUFANYE TUISHI MILELE
😅😂😂😂😂leo ndio nimeamini kwamba kuna watumishi wa shetani wanamtetea kwa siasa kibao kama ukweli vile kumbe ni hatar sana. shetani sio wakutreñdisha hivyo:
@@StephenMwangi-h5z sikiliz nikuambie ndugu yangu nuru na giza havitawez kukaa pamoja milele ndio maana inapo fika jion jua linakimbia na inapo fika hasbh giza linakimbia shetani atakbali kua baba wa uongo milele kwa mjib wa bible aijàlishi anaijua vipi mbingu...chunguza san pia maubioi yakumtetea shetani huo ni ushetani tu.
Ndo maana shetani alimwendea IPM akamwambia aende gym atengeneze body awe na mwonekano flani nayeye akaona nisawa kabisa ona baada yakutengeneza body Sasa anaonekana Kama mtu flani kipofu mpeleka watu motoni,anajua anachokifanya huyuu mjinga,ndo maana wasipotubu YESU KRISTO atawakomesha nakiburi Chao.
Shetani palepale alisema uongo,Mungu hakumwambia Adam. Asile matunda ya miti yote kama alivyosema shetani,alimwambiia asile matunda ya mti mmoja tuu.soma vizuri wewe mtumishi njaaa.
Mwanzo 3:1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Marko 4:10_12 neno la mungu ni mafumbo wasio wa ufalme wa Mungu hawawezi kuelewa .ili wasije wakatubu wakasamehewa .nyoka ni fumbo sio nyoka wa mwituni .mchungaji kakosa hekima ya kimbingu
The concept is true. the devil spoke the truth but not for good. Eg He told Jesus in Matthew 4:6 that "it is written...." Which is true..... [6]And saith unto him, If thou be the Son of God, cast thyself down: for it is written, He shall give his angels charge concerning thee: and in their hands they shall bear thee up, lest at any time thou dash thy foot against a stone THE DEVIL IS A LIER.. HE USES THE TRUTH TO LIE HE USES THE TRUTH TO CAUSE PAIN AND DESTRUCTIONS AS HE DID IN EDEN.
Yohana 8:44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
Mwambie huyo kipara awache kudhanganyana maana ninajua vitu viwili tu kwamba mungu awezi kuzini tokea mwanzo na shentani awezi kutenda jambo njema kabsaa
Kueni kiroho jaman shetan ni BABA wa uongo kweli lkn ana mbinu zinazo fanana na kweli ila kuna kitu ana winda angalia kwa YESU alivyo kuja baada ya kutoka kufunga alimwambia ukwel lkn ndani yake kuna jaribu
Unafundisha ujinga mzee.. Mafundisho ya kipepo haya.... Siku yenu inakuja . Shenzi sana nyny.. All BENIN , Nigeria e.t.c products mtaangamia vibaya sana with your shrines na ushoga wenu.. Pumbavu.
angalia sentensi ya Mungu aliyomwambia eva .afu angalia sentensi ya shetani...afu angalia sentensi ya eva akimwambi shetaniii....ndo utajua kuwa shetani anatumia hila yan uongo unaoendana na ukweli

@@nwntz😂😂 daaah Mungu atusaidie sana, tatizo binadamu ni wazito kusoma biblia Warumi 14:11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Umepewa mkataba Wa kusifia kisa magari na manyumba ila nafsi umeuza inaongozwa na mnyama. Yesu kristo aliyehai atashinda hii vita Kwa kishindo tujiandae kwani yu karibu kuja kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha ufunuo hilo jicho la tatu hakika litatoboka
nimejiuliza sana hili swali.. Yani kwann shetani atake kumtoa binadamu katika hali ya kutojitambua yani kutokujua mema na mabaya na kukaa uchi??? shetani ni kama alitu upgrade binadamu kutoka katika hali ya unyama zaidi. Mungu akawa anataka binadamu aendelee kutojitambua. ILE STORY LAZIMA HAIPO SAWA. LAZIMA NIJE KWENYE ILI KANISA
Nikweli waifundisha biblia LAKINI kwa habari ya ibada unazofundisha watu kuchinja wanyama umepoteza uelekeo na kupitia mafundisho haya ya kutoa kafara za wanyama unawapeleka watu wengi jehanam. Tafadhali rudi ukaulizie njia harisia ya wokovu kwa wenzio kwa kufuata neno la Mungu.Yesu baada ya kuja Duniani sadaka zote za kafara za wanyama zilikoma .
Huyu jamaa niwaz kuwa yeye niwakala wa shetan namafundisho yake nikinyume namatakwa ya Mungu napiah hata iman yakikirsto hayapo kabisa isee Mungu atuhulumie sana😢😢
@@ramamakomola2739 Mwanzo 2 16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Maandiko yanasema watu wangu wanapotea Kwa KUKOSA maarifa na maarifa ya kiMUNGU yanapatikana katika katika roho wa MUNGU ambaye anayo maarifa ya kiMUNGU lakini pia maarifa ya kidunia yanapatikana katika ndimi za watu WENYE kukupenda ulimwengu huu
🇹🇿MABALOZI WA SHETANI WANAMUWAKILISHA SHETANI NA KUMTETEA BADALA YA KUMTETEA YESU!WATU AMKENI MTAWEKEWA MAROHO YA KILA MAMNA! MAWAKALA WA SHETANI HAWA!!
Wanadamu wanadamu wanadamu kuna nini? Kwani mpaka lini mtakuwq tayari kumuomba MUNGU na kupitia ROHO MTAKATIFU awafundishe ile kweli? Huyu ni wakala wa shetani, ni kizazi cha ibilisi kinadanganya sana, anamsaidia shetani kupeleka watu kuzimu na kuwaweka mbali na MUNGU wao, wanawachafua kwa amfundisho yao ya uongo
Huyu Mchungaji Mahubiri yake yako beyond zaidi, ni ngumu kueleweka kwa makondoo ambao wamekaririshwa vifungu vya biblia pasina kuwa na ufahamu wa ndani juu ya vifungu hivyo.. Huyu Mchungaji ana ufahamu kama wangu kabisa kweli binadamu ni wawili wawili..
Rudia kusoma mwanzo 1 na 2 zote utajua uongo wa shetani. Kwanza alimsingizia Mungu sababu aliyetoa sharti ni Bwana Mungu yeye akamwambia mwanamke ati Mungu amesema..... Tafuta kwanza kujua tofauti ya Mungu na Bwana Mungu.
Pastor your too straight "!🎉🎉🎉
IPM Leo nimekuelewa
Hapo mchungaji nimekuelewa kuliko siku zone yaani nakupenda ,nkweli heva hakuzini bali alipokea mafundisho yauongo .Mungu akubariki sana azidi kukutumia.
Amen
Yesu mwenyewe alisema shetani ni Muongo tokea zamani 😁😁😁😂😂😂😂😂 Muongo wewe Tapel tu
Some ueleweee
@ umeshadanganywa kabisa ndo maana
Huyu anatafsiri fikra zake za kibinadamu tu usijaribu kuweka fikra zako kwenye ishu za imani
@ Mungu ni Roho mambo yake yanaonekana kwa roho ukiweka ubinadamu humpati Anaposema mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni torati iliyokua kwa mkono wa musa
Adamu aliposikiliza hio akatambua dhambi kwa njia ya torati
MUNGU akubariki 🎉
Uko sahihi mtumishi. Sisi wanateolojia tunakuelewa vzr.
THE PROPHET OF GOD 🌎
NITAKUPENDA MI LELE BABA❤️🇨🇩💰🙏
Which god r u saying
Jamaa yupo kimwili na sio KIROHO.
Mpotoshaji
Ayaa ujiitaye IPM 😢😢😢 utajilaumu badae YESU ngoja aje utaona vya moto mtete sana huyo shetani utalia wewe😢😢 haya
Shetani ni Muongo na hayo sio maneno ya mwanadamu ..SHETANI NI BABA WA UONGO. Kusema kwake ukwel Mara nyingine hakumfanyi sifa yake ya uongo ifutike
Amina mtumishi
Wew kweli mbulula huna lolote wafundishe mbulula wenzio
Hatari sana mwamba IPM
asaaa kumbe YESU HATUPEEEENDI KUMBE
*Asije akaona akanyoosha mkono akachuma tunda la uzima wa milele*
KUMBE WANAPENDA TUFE....KWANINI ASITUFANYE TUISHI MILELE
Speech Kali Asante ipm
Ukim skiza vizuri ndo utaelewa....kitu apo.🙏🙏🙏
Hivi iraq ni Africa?
Nipo hapa kumuomba admin apost hyo audio ya huo mziki, naipenda adi basii
Wewe ndiye muongo, Bwana Yesu mwenyewe alisema, shetani ni muongo, wewe ninani
😅😂😂😂😂leo ndio nimeamini kwamba kuna watumishi wa shetani wanamtetea kwa siasa kibao kama ukweli vile kumbe ni hatar sana. shetani sio wakutreñdisha hivyo:
Kuelewa kwako ndio batili kabisa
@@StephenMwangi-h5z sikiliz nikuambie ndugu yangu nuru na giza havitawez kukaa pamoja milele ndio maana inapo fika jion jua linakimbia na inapo fika hasbh giza linakimbia
shetani atakbali kua baba wa uongo milele kwa mjib wa bible aijàlishi anaijua vipi mbingu...chunguza san pia maubioi yakumtetea shetani huo ni ushetani tu.
Aliposema tu shetani sii muongo hapo tu kashawapoteza@@StephenMwangi-h5z
Kwahio wee ulikuwepo kipindi huyo babaaako akisema ?
Ndo maana shetani alimwendea IPM akamwambia aende gym atengeneze body awe na mwonekano flani nayeye akaona nisawa kabisa ona baada yakutengeneza body Sasa anaonekana Kama mtu flani kipofu mpeleka watu motoni,anajua anachokifanya huyuu mjinga,ndo maana wasipotubu YESU KRISTO atawakomesha nakiburi Chao.
Duuu mungu akuongoze watanzania bado tunakuitaji
Shetani palepale alisema uongo,Mungu hakumwambia Adam. Asile matunda ya miti yote kama alivyosema shetani,alimwambiia asile matunda ya mti mmoja tuu.soma vizuri wewe mtumishi njaaa.
Mwanzo 2:16
Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo 3:1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Marko 4:10_12 neno la mungu ni mafumbo wasio wa ufalme wa Mungu hawawezi kuelewa .ili wasije wakatubu wakasamehewa .nyoka ni fumbo sio nyoka wa mwituni .mchungaji kakosa hekima ya kimbingu
Kwann mungu awanyime maarifa
Huyu siye mtumishi wa Mungu, Huyu ni shehe kutoka uislamu, ana elimu ya uislamuhuyu
Wewe ni mwislamu wajificha kwa ukristo
Mkewe mwenyewe akiri akimjibu Mungu,ni shetani ndiye alinidangnya
Mchungaji uko sahihi kwa 100%
The concept is true. the devil spoke the truth but not for good.
Eg He told Jesus in Matthew 4:6 that "it is written...."
Which is true.....
[6]And saith unto him, If thou be the Son of God, cast thyself down: for it is written, He shall give his angels charge concerning thee: and in their hands they shall bear thee up, lest at any time thou dash thy foot against a stone
THE DEVIL IS A LIER.. HE USES THE TRUTH TO LIE
HE USES THE TRUTH TO CAUSE PAIN AND DESTRUCTIONS AS HE DID IN EDEN.
Amina mungu abariki sauti Yako izidi kupaa mataifa yote wasikie sauti ikihuburi neno la MUNGU 🙏
Elewa kinacho semwa apo eti shetani si muongo ama?
ndunda gani iyo iliyo tuleteya mauti Mungu awezi kuuwa mutu ju ya chakula apana muchungaji
Amen🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🧎🏽♂️
Yohana 8:44
Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
@@samsonmabula umeiona sasa hio sentensi inavomtambulisha Shetani
IPM ameupiga mwingi
@@samsonmabula yes baba wa uongo
Point!!
Ombi! Tutengenezee watumishi kama ww maana mafundisho yako yanatufungua akili san
hii vita haituhusu sisi watu wa Proud to be😂
Nyoka alianza na uongo ati hivi ndiyo alivyosema Mungu, msile matunda ya MITI YOTE YA BUSTANI? MWA 3:1, rejea MWA 2:16-17
MUNGU ANASEMA "HAKIKA MTAKUFA!" NA NYOKA ANASEMA "HAMTAKUFA HAKIKA!"- Uongo wa dhahiri wa shetani uko hapa
Dah nilikuwa nakukubali lakin kwenye hili umealibu wew sio mtumishi wa mungu wew ni mtafta hela
Mungu alisema mm sifundishwi na ninyi mmmmmm😮
Mwambie huyo kipara awache kudhanganyana maana ninajua vitu viwili tu kwamba mungu awezi kuzini tokea mwanzo na shentani awezi kutenda jambo njema kabsaa
YOHANA 8:44- "...wala hakusimama katika kweli, kwa sababu hamna hiyo kweli ndani yake.!"
Ubarikiwe
Wait whaaaat!..... But kaka, yule nyoka arikuwa Shetani
Kueni kiroho jaman shetan ni BABA wa uongo kweli lkn ana mbinu zinazo fanana na kweli ila kuna kitu ana winda angalia kwa YESU alivyo kuja baada ya kutoka kufunga alimwambia ukwel lkn ndani yake kuna jaribu
Mungu akubariki tu maana mm sio mtoa hukum
Wait whaaaat!..... But kaka, yule nyoka arikuwa Shetani. Eti Mungu kuogopa kwahiyo Adam na Eve, walibadirika kama Mungu😂😂😂
Maandiko matakatifu yako wazi, shetani ni muongo hakusema kweli. Mwanzo 2:17; Mwanzo 3; Mwanzo 3:4-6 Shetani ni muongo, Yoane/Yohana 8:44; Ufunuo 12:7-12; Ufunuo 2:1-2,10-15
😂😂😂Wakati mwengine watumishi wa shetani wanachekesha, Muongo huyooo mtumishi ni washetani
Yeye ni Muongo na Baba wa Huo...
DA NIMESHANGAA TU SHETANI KUITWA "mwamba"
APO KWENYE KUMTAMBULISHA YESU AAAH PATAM NYIEEE
Mwamba ni mungu pekeyake
Nyoka tunao ndan mwetu kwenye ndoa kwenye biashara Maombi Yawe mengiiii jamani 😂😂😂
Ukishindwa kumuelewa IPM unamatope kichwa
Uongo wake ni pale aliposema mkila matunda hamtakufa.. sasa walipokula hawakuanza kufa!??? Acha kupindisha ukweli wa maandiko... Shetani ni muongo
Unafundisha ujinga mzee.. Mafundisho ya kipepo haya.... Siku yenu inakuja . Shenzi sana nyny.. All BENIN , Nigeria e.t.c products mtaangamia vibaya sana with your shrines na ushoga wenu.. Pumbavu.
Unanishangaza sana mafundisho ya kipepo kivip?? Biblia ni ya mapepo mbona vyote alivisoma ndani ya biblia..... Acheni kufuru bila kujuwa
Kuna watu tunafumbuliwa macho kupitiya haya mafundisho asante IPM
safi sana hivi vitabu hua tunasoma spidi kali bila kutafakari na ni watumishi wachache wenye kipawa cha uchambuzi kama wewe IPM. Asante
angalia sentensi ya Mungu aliyomwambia eva .afu angalia sentensi ya shetani...afu angalia sentensi ya eva akimwambi shetaniii....ndo utajua kuwa shetani anatumia hila yan uongo unaoendana na ukweli
@@PhimoniMwakalili uongo upi? ule ni umbea
Kumbe wewe pia umekubaliana na shetani
Yohana 8:44
Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
@@nwntz😂😂 daaah Mungu atusaidie sana, tatizo binadamu ni wazito kusoma biblia
Warumi 14:11
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Huyu naye ni mchungaji au muigizaji wa bongo movie?
Wewe ni mpinga kiristo Mungu alisema msile shetani aka sema kuleni je nani muongo hapo
mtumishi hapa umenena nimekuelewa haswa
Wewe mwenyewe mtumishi wa shetani
Hatari hii Dunia ni ngumu kuelewa mungu ni yupi kwa maana Kila mtumishi anamafundisho yake sasa mm huyu hata afanyeje siwez kumuelewa hata kidogo
YOHANA 8:44 "Asemapo uongo,asema yaliyo yake mwenyewe;kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo.!"
Mbona huu pasta anakufuru apa anamaanisha mungu akujuwa anacho kifanya 😂😂
Mungu wa Ukristo na Uislam hajui mambo mengi tu.
Wewe ni nani kuutangua neno last Mungu
Jaman kumbe iraq iko africa na hamsemi😂😂😂😂 duh
Huyu jamaa mbona kama simuelewi
Shetani alichanganya ukweli na uongo.
Shetani alilaniwa pamoja na waliowake
Nionavyo Mimi roho wa Mungu hayumo humo maana ndie hutuongoza kwa kutafakari neno
MAPEPO YAMEINGILIA MANABII WAMEGEUKA KUWA WATUMISHI WA SHETANI
MANENO MATUPU NA UPUMBAVU MWINGI SANA
Wewe ni mkora
Wenzetu wanatengeza simu na nyuklia sie daily ni stori tu
Umepewa mkataba Wa kusifia kisa magari na manyumba ila nafsi umeuza inaongozwa na mnyama.
Yesu kristo aliyehai atashinda hii vita Kwa kishindo tujiandae kwani yu karibu kuja kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha ufunuo hilo jicho la tatu hakika litatoboka
Inawezekana nawew nishetani ila watu atujui tu😢
nimejiuliza sana hili swali.. Yani kwann shetani atake kumtoa binadamu katika hali ya kutojitambua yani kutokujua mema na mabaya na kukaa uchi??? shetani ni kama alitu upgrade binadamu kutoka katika hali ya unyama zaidi. Mungu akawa anataka binadamu aendelee kutojitambua. ILE STORY LAZIMA HAIPO SAWA.
LAZIMA NIJE KWENYE ILI KANISA
Story ya kutungatu haina ata maana ina makosa mengitu
Unajua tungekuwa tunaendelea kuishi kama wanyama ingekuwa raha sana! 😅
@paschalinahharis9604 siamini hizo maandiko ata ni za kutungatu hazileti maana kabisa
@@paschalinahharis9604 MH hapana angalia wanyama wanavyo ishi😄
Tungekuwa kama makaika wema yaani tungejitambua ila tusingefanya uovu na kufa.
Pia unaweza tafuta kitabu cha yashari kina deep story
Hakikaaa
Iv ilo kanisa lina waumini?? Maana Kama unaelewa vzr mambo ya rohoni unakaa apo unasikiliza nini sasa apo
😅😅😅
Illuminati huyu na freemason..
Alidanganya alipo kanusha kwamba hawatakufa Mungu alikua amesema watakufa
Nikweli waifundisha biblia LAKINI kwa habari ya ibada unazofundisha watu kuchinja wanyama umepoteza uelekeo na kupitia mafundisho haya ya kutoa kafara za wanyama unawapeleka watu wengi jehanam. Tafadhali rudi ukaulizie njia harisia ya wokovu kwa wenzio kwa kufuata neno la Mungu.Yesu baada ya kuja Duniani sadaka zote za kafara za wanyama zilikoma .
Huyu jamaa niwaz kuwa yeye niwakala wa shetan namafundisho yake nikinyume namatakwa ya Mungu napiah hata iman yakikirsto hayapo kabisa isee Mungu atuhulumie sana😢😢
Bro huyu jamaa anatoa kichwani ? Au hayo maneno hayapo?? Au we ndio husomi ukaelewa Bali waishi na imani tuu
Mungu amesema Mtakufa hakika, shetani akasema Hamtakufa hakika. Badooo sio Muongo?
@wilkinssimkoko7920 mzee ule mti wa uzima ambao waliambiwa hawatakufa hawakuugusa, ndio mana tunakufa,
@wilkinssimkoko7920 kasome tena uelewe
@@ramamakomola2739
Mwanzo 2
16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Chetan siku zote anaga kweri
Jamaa anampenda shetanina kumwamini mpaka kumwita mwamba
Sasa mbon mnamsema Ipm yy mbona anaelezea tu story ilivopale mwanzoo kosa lake nini ebu nielekezenii😂
Maandiko yanasema watu wangu wanapotea Kwa KUKOSA maarifa na maarifa ya kiMUNGU yanapatikana katika katika roho wa MUNGU ambaye anayo maarifa ya kiMUNGU lakini pia maarifa ya kidunia yanapatikana katika ndimi za watu WENYE kukupenda ulimwengu huu
Amina ❤❤
🇹🇿MABALOZI WA SHETANI WANAMUWAKILISHA SHETANI NA KUMTETEA BADALA YA KUMTETEA YESU!WATU AMKENI MTAWEKEWA MAROHO YA KILA MAMNA! MAWAKALA WA SHETANI HAWA!!
Kwa hiyo maandiko ni ya shetani au we hujui kuelewa??
Wanadamu wanadamu wanadamu kuna nini? Kwani mpaka lini mtakuwq tayari kumuomba MUNGU na kupitia ROHO MTAKATIFU awafundishe ile kweli? Huyu ni wakala wa shetani, ni kizazi cha ibilisi kinadanganya sana, anamsaidia shetani kupeleka watu kuzimu na kuwaweka mbali na MUNGU wao, wanawachafua kwa amfundisho yao ya uongo
1 Timotheo 2:14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Shetani ni Muongo haijaloshi mtatuambiaje
Shetani aliondolewa mbinguni , huyu porojo
SHETANI NI MUONGO
IPM, are you sure??
I sometimes like the way you teach but some of your teaching I get confuse lol
Usipo mwelewa lpm mwingine hautamwelew anafafanua vema kbsa
Walio sikia mpaka mwisho wamejifunza.
Kwa hiyo, uongo dio ulifanya kazi ya kuleta matengano kati ya Adamu na Hawa
Huyu Mchungaji Mahubiri yake yako beyond zaidi, ni ngumu kueleweka kwa makondoo ambao wamekaririshwa vifungu vya biblia pasina kuwa na ufahamu wa ndani juu ya vifungu hivyo.. Huyu Mchungaji ana ufahamu kama wangu kabisa kweli binadamu ni wawili wawili..
Rudia kusoma mwanzo 1 na 2 zote utajua uongo wa shetani. Kwanza alimsingizia Mungu sababu aliyetoa sharti ni Bwana Mungu yeye akamwambia mwanamke ati Mungu amesema..... Tafuta kwanza kujua tofauti ya Mungu na Bwana Mungu.
Wengine ndo hatuamini katika mungu tupo tupo tu
Hyo nimeikubali,nilikuwaga naisoma juujuu tu
Na mijitu imekaa tuh kwa viti mkiskiza upumbavu huu
Watu wamekazana mchungaji ni muongo ni muongo kumbe wao ndo wameulaza ufahamu wao hawataki kujifunza na kuelewa
Huyu ni wakala wa shetani