From ma heart bila kuwa mnafiki naipenda hii kwaya na nabarikiwaga sana na nyimbo zenu but kwa kuwashaur huu wimbo ni mzuri sana lkn masololist wa mavaz wametuangusha Mungu awatie nguvu
Yes! the Nyakato A.I.C Choir Song titled Asante Yesu, is indeed blessing me all the time am listening to it. Am a Secretary for Zolozolo Singers in Malawi, northern region, Mzuzu City, so would like to be at friendship.
Hapana kwahayo mavaz c yakuyavaa kwenye nyimbo za injili no hapana tatizo siku hizi waimbaji wengi wa kwaya wanaimba kwa show off na si kwaroho na kweli kumtukuza MUNGU
Honestly, I love this song and I have been looking for it for a while. Nashukuru sana. Mnafanya kazi ambayo nikikaa naingalia na namshukuru Mungu kwa sababu nabarikiwa. Mnavaa kwa heshima na ujumbe ni unafariji. Thank you. Keep it up.
Dada lemi hongera unaimba vzr mungu awe nawe
Hii ni Zaburi ya shukurani kwa Mungu. Ni baraka Mungu awape Neema ya kubaki watoto wa Mungu
Awabariki sana A .I.C NYAKATO MWANZA NILIPATA maumivu mengi.
Nzr mnoooooooo m'barikiwe sanaaa!!
mko sahihi sana watumishi wimbo ni mesesji si mavazi na hata wimbo wenyewe hauhitaji mbwembwe za mavazi.
Sifa na utukufu apewe bwana,wakuheshimiwa ni yeye peke yake, barikiwa sana waimbaji
Lemi na menzako mungu awalinde sana mnanibaliki sana IMC your
From ma heart bila kuwa mnafiki naipenda hii kwaya na nabarikiwaga sana na nyimbo zenu but kwa kuwashaur huu wimbo ni mzuri sana lkn masololist wa mavaz wametuangusha Mungu awatie nguvu
Jamani masorl mungu awatangurie na wenzenu wotee🙏🙏🙏
Mwanikosha kwa moyo jamani mbarikiwe Sana 🙏🙏
Mungu awabarik sana nyimbo nzur
Jaman napenda sana beat zenu na sauti nabarikiwa sana na masol
my favourite song ....... asante HMC for uploading this song. wananyakato Mungu wa mbinguni awabariki na awainue zaidi na zaidi . nawapenda
I am blessed.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Soo blessed... I love your voices. Soists mko sawaa kabisaa
Fungueni huu wimbo tunatakiwa kudownload msi base Sana kwenye biashara hi ni injili
Amen Mungu awasaidie safali yambinguni wote wamuone mungu mbinguni
I mis u remi sollo wangu Mungu akulinde ......waimba vyema ....i love u dears
Kiukweli nmebarikiwa na nyimbo zenu A.I.C Mungu awabariki
Wimbo mzuri sana ila waongozaji wajitahidi next album kwenye mavazi.
Nice
Hakika mungu hatedi bure
The best
Nawapenda sana
Bigup sana sololist wetu lemi nakukubali sana pia nakulove sana kwa jinsi unavyo imba na kutowa voco nzuri. Mungu azidi kukuinua zaidi daah nirahaaaa
Mungu awambariki
mko vizuri mno AIC Nyakato Bwana awabariki zaidi kwa kuifanya kazi yake kwa ukakamavu
simple song with the same ideal
so blessed..story of my life..thankyou Lord
Wimbo unabariki,👏👏👏 !!! Kasoro ni uvaaji wa masolorist
Jamn mwenye wimbo wao kwaya unaoitwa tutetee Mungu anisaidie link niupate
Mbarikiwe sana nawaelewa
Ninabarikiwa na huduma yenu siachi kuwaprnda jamani mungu awabariki sana
Mungu awabariki kwa uimbaji! Ila mavazi mjitahidi iliyaendane nauimbaji! Hata Mimi nimwimbaji!: tuzingatie mavazi wapendwa.
Mko vizuri
AM very much blessed by the gospels in you tube keep up
Ameee nabarikiwa
The song is blessing 👼🙏❤️.... Keep the fire 🔥️🔥️🔥... Blazing with new songs..... And about the dressing nothing bad.... Just fine.. F🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
Mbarikiwe
Mungu awabariki
Nashukuru mungu Niko salama na nimeachiliwa
Mmpendeza na mavazi mlovaa except for the second soloist....kuna mavazi mengine haya mbariki Mungu, hata wanadamu.
Yes! the Nyakato A.I.C Choir Song titled Asante Yesu, is indeed blessing me all the time am listening to it. Am a Secretary for Zolozolo Singers in Malawi, northern region, Mzuzu City, so would like to be at friendship.
nyimbo nzr sana mungu awabark sana
Be blessed watumishi
Mnaosema kuhusu mavazi acheni unafiki Mbona wakovizuri
Hapana kwahayo mavaz c yakuyavaa kwenye nyimbo za injili no hapana tatizo siku hizi waimbaji wengi wa kwaya wanaimba kwa show off na si kwaroho na kweli kumtukuza MUNGU
@@hekimamgeni131 mavazi nizro
@@hekimamgeni131 wanatkiwa kuwa mfano wakuigwa has a madada zetu hao
Asante kwa upload wimbo huu...mko vizuri aic nyakato...be bless...
oooooh now our song is better for our own benefit
Hongereni sanaaaa aic nyakato
Mungu awabariki sana
woow...Asante HMC na Nyakato kwa huu wimbo.. Mungu ibariki Nyakato Choir
wapenzi wa raggae kama mimi tnaenjoy zaidi , vindu vikali kutoka nyaaaaaaaaaaaaakato choir
Yaaani ni shidaah!!
Ludovick Mseka
mungu awatie nguvu katk uimbaji
Ludovick Mseka mh
Honestly, I love this song and I have been looking for it for a while. Nashukuru sana. Mnafanya kazi ambayo nikikaa naingalia na namshukuru Mungu kwa sababu nabarikiwa. Mnavaa kwa heshima na ujumbe ni unafariji. Thank you. Keep it up.
Wimbo uko sawa
Half wanavaaje hivyo au ndio baraka za kuketi na wakuu
Huu wimbo siuchoki jamani mbarikiwe wapendwa😘
Nipo huru kweli.blessed Nyakato
Viz
Mungu awabariki sana
wekeni na zile nyimbo zilizopo kwenye album ya Popo
Hellen Stephen
Hellen Steph
nice song
nimewapenda
Safi sana
daaah! nyie watu mnanikonga nyoyo
h
Wimbo mzr sana mbarikiwe watumishi
jaman mnaimba vizuri sana has a Remy tatizo mavaz aliyovaa huyo sollo mwingine sio ya kumtukuza Mungu
naipenda huduma yenu ya uimbaji
Na barikiwa sana pale napoutazama wimbo huu
Mungu azidi kuwatia nguvu katika kumtukuza yeye
Peruz Lukas nawaelewa sana nyakato
Mko vzr...wimbo ni mzur
sifa Na utukufu Ni kwa Mungu wetu
mavazi Jamani duu
Anga
Lia moyo
Bwege wew acha ushamba
umenoga
Choir hii watumaji wanavaa vibaa
Dada lemy nope namba yakoo
mbona kàvaa vizur jaman
Wapendwa mpoo mbona skuiz hatupat nyimbo mpya natamani nije mwanza niwasaalimie
God be with nyie
mungu awalinde
mp vzr sana kwel
Jmn hawa wanakula ni nini? Mbona wanene sana
Sato na sangara
mjitahidi kwenye mavazi sololists
Unapendeza sana
O'Yaba- Mr Music Man beat.....................shame on dont do it ........
Nzr mnoooooooo m'barikiwe sanaaa!!
Nice song