woow kitu cha Vita....Asante Mungu kwaajili ya Sweety voice ya Shemeji yangu mama Shalom,Mama meshack na Mambo admimu ya mama yangu mama Mshoni....Mungu azidi kuwainua...
Mungu awabaliki zaidi Nabarikiwa sana na uimbaji wenu pia huduma yenu nzuri sana inaganga mwoyo na kufariji Amani ya kristo ipitayo hakli zetu itawale mwoyoni mwenu na hudumani mwenu Kwani najifunza mengisa kupitia huduma yenu Mungu, awatie nguvu viongozi wenu wote -Washauri,Walezi,wazamini, M/kiti wa kwaya, katibu Na viongozi wengine wote pamoja na Wana kwaya Kwa ujumla.
Asante yesu Kwa watumishi wako ujumbe mzr
Namubarikiwe. Sana
Amina saana watumishi..
Mungu utuhurumie
Mko vizuri Aic Nyakato huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu,Mungu aibariki huduma yenu
Bora vita vyakibinadamu kuliko dhoruba ya Mungu be blessed
Mungu Fanya mguso kwa watoto wako wanaojitoa kwa kukuimbia
Mbarikiwe na Bwana wimbo mzuri sana
Amina
Daah mmeimba aisee mungu awabariki
Soloist wa stanza 2 yuaitwa Nani?Jamani anaimba vizuri kabisa! Ni kweli mwenye kunyenyekea atakuwa heri na mungu!😊
Nyakato Mungu awasaindie kwaujumbe mzuri
Mungu awabariki watu wa Mungu, uimbaji wenu usiwe bure bali mjaliwe kuuona ufalme wa Mungu.
Mungu wa mbinguni awatangulie kwa utumishi wenu,msije mkajiinua ,Mungu atawainua kwa viwango vya juu
Nimekuona dar IAC barikiwa uko vizuri sana
MUNGU azidi kuwainua zaid na Zaid watumishi wake♥️♥️♥️mkubwa MUNGU 🙏🙏
hua sichoki kuangalia wimbo huu mungu awabariki wapendwa
nawakubali sana watumishi wamungu
Safi San kwa wimbo wenu mzur Mungu awabariki.
woow kitu cha Vita....Asante Mungu kwaajili ya Sweety voice ya Shemeji yangu mama Shalom,Mama meshack na Mambo admimu ya mama yangu mama Mshoni....Mungu azidi kuwainua...
Mbarikiwe sana watumishi wa Bwana wetu Yesu kristo
Asantn kwawimb
nawapenda nyakato ..mwanibariki aisee
Hongereni sana wana wa Mungu kwa wimbo mzuri
Barikiweni kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe
Jaman nawapendni xna nice song mung azidi kuwainua kwa viwang vya juu xna tpo pmoja
nawapenda sana jamani mob love
Nawapenda
wow I Just love Aic Nyakato.. mbarikiwe..
Nausikiliza wimbo huu kila siku
Aisee big up this song is best to me
Amina
mpo Vizuri Mungu aendelee kuwapa maelewano kwenye kikundi chenu- msiruhusu kiburi, majivuno, mafarakano kwenye kikundi chenu- mdumu kwenye maombi.
Mbarikiwe wapendwa
mungu awabaliki watumishi
Mbarikiwe na bwana kwa uenjilishaji wenu wapendwa.
Nyimbo zenu zanibarik kwa kwel, I love u all
Asante Mwokozi maana amani yako inatawala!
Step zenu tuuu raha
mbalikiwe sana
Mungu awabariki watumishi wa Mungu tupo pamoja
Mungu awabarki
amina kwa wimbo mzuri
I'm so blessed right now
jina LA mungu libarikiwe
mungu atalipa watumishi
Love you all be blessed
Good song❤
Amen
nice song be blessed sir magulu
Ame
My no 1 choir.. shinyanga na changombe kando sasa
Tom Mwaiwa hatushindani tambua unae mtumikia fikisha ujumbe ukoa wengine
@@mariamhinda9692 umemjibu vyema sana
good work , mbarikiwe zaidi na zaidi
Asanteni kwakazi nzuri
Mungu awabariki sana nawapenda
nice
wimbo huu nimeupenda
MOSES NDAMBUKI Jamani mi Niko Tabora ,naitaji mpiga biti huyu anaewapigia Nina kazi ya audio CD ,nisaidieni huyu mpiga biti naomba sana,0782484801
Donward
pamoja saana mbarikiwe
barikiw
Powerful praise
I love your songs. am in Kenya where can i get a copy?
mambo VP ruth
Hlw
Sahii ako changombe
Utazipata kwa kassangas shop in town. Google upate direction
U can get through software
Feeling blessed.
Nyakato shikamoooooo👍👍firefire
mbon.mnatoa video moja moja hamtoe zotr
mubalikiwe na mungu
ahsante
Nambarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awaogezee baraka
mungu awainue zaidi zaidi nyakato
amina kwa wimbo mzuri
Mungu awabaliki zaidi
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu pia huduma yenu nzuri sana inaganga mwoyo na kufariji
Amani ya kristo ipitayo hakli zetu itawale mwoyoni mwenu na hudumani mwenu
Kwani najifunza mengisa kupitia huduma yenu
Mungu, awatie nguvu viongozi wenu wote
-Washauri,Walezi,wazamini,
M/kiti wa kwaya, katibu
Na viongozi wengine wote pamoja na Wana kwaya Kwa ujumla.