0763199165 AIC NYAKATO CHOIR / HAKUTENDA DHAMBI STUDIO SESSION / WIMBO WA PASAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • B/ the scene wakati wa kurecord audio studio katika studio zetu call 0763199165

ความคิดเห็น • 107

  • @janethpetro6705
    @janethpetro6705 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nawaelewa. Sana watumishi wa mungu

  • @rosewaridmanimba6561
    @rosewaridmanimba6561 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli hua nabarikiwa sana na uimbaji wenu! Sololist bonge nakupenda mnoooo!! Naninakuelewa sanaaaa!!!! Natamani sana kufikia ulipo!

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 2 ปีที่แล้ว +1

    Fantastic my nyakato choir 😍😍😍😍 love you all , mama G Mungu azidi kukuinua zaidi

  • @masalidanjashi4134
    @masalidanjashi4134 ปีที่แล้ว

    Thanks Nyakato kwaya! Kwaya ya kanisa langu la kuzaliwa, huwa nafarijika sana! Barikiwa Lemmy unaitendea haki kwaya tangu enzi za kina mama ikeresho wewe umekuja kuziba pengo

  • @mohamedmpume9726
    @mohamedmpume9726 4 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda mnoo,nitawaalika siku moja asee kwenye kwaya yetu mtupe maarifa kidogo,huyu Dada Lemi jamani Mungu akulinde ilikuwa utoe chote alichowekeza kwako kwaajili ya kanisa lake,chunga kiburi,shuka kabisa Mungu azidi kukutumia,nawapenda sana

  • @annapendokusekwa3616
    @annapendokusekwa3616 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Awabariki sana Kazi nzuri mnafanya

  • @samogutu4709
    @samogutu4709 2 ปีที่แล้ว +2

    Absolutely excellent! Proud of you Lemmy... And the entire Nyakato choir.
    Seriously looking for producer Warez.

  • @christiankyungai5366
    @christiankyungai5366 ปีที่แล้ว

    So nice msalimien mwalimu Jacob mwambie n God wa meru

  • @williamjoseph8967
    @williamjoseph8967 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda jaman

  • @VeronicaJibunge-ph7gd
    @VeronicaJibunge-ph7gd 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda lm na sauti yako Mungu akupandishe kiwango

  • @davidkanyililitz2003
    @davidkanyililitz2003 2 ปีที่แล้ว

    Big up sana kwa mwalim wa hii kway kama walim wot wa kway ya aic wangekua kam huy ingependeza san

  • @gifftygabriel8784
    @gifftygabriel8784 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyakato nawakubali huyu Lemi George ninomaaaa

  • @margaretmayaka5270
    @margaretmayaka5270 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauti nyororo job,,,,lemiiiiiii salimika

  • @UpendoMgalla-vc6pb
    @UpendoMgalla-vc6pb 10 หลายเดือนก่อน

    Dada lema uko vizuri mnooo natamani kuonana na wewe dada nataka kujifunza kitu kwakooo

  • @sarafinasala6038
    @sarafinasala6038 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana nyakato mungu awabarki,lemii upo vzur dada yangu mungu akutangulie sana mwaaaaaaa

  • @andersonaloyce4235
    @andersonaloyce4235 4 ปีที่แล้ว

    Jaman lem unanikosha kumoyo kwa voice nzuri na ujumbe mzuri sana mungu awalinde nyote

  • @saraphinaenos1559
    @saraphinaenos1559 4 ปีที่แล้ว

    Najitahidi kurudia nakutafuta mwingine Sion Jaman Mungu awape kibali mtoe mwingine tena Lemi hiyo sautu imeshachuujwa na Mungu akaiweka mahali pake mbarikiwe sana jamani

  • @jacksonkalaki8399
    @jacksonkalaki8399 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda nyakato kwaya nimebarikiwa Sana na ujumbe mzur wa kuadhimisha mateso ya Kristo mungu azid wainua kila iitwapo leo!

  • @elavinaclavery1426
    @elavinaclavery1426 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unanibariki sanaaa aiseeee

  • @cnm554
    @cnm554 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli yesu anatupenda. May you all be blessed.

  • @dinnahmalongo1839
    @dinnahmalongo1839 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na utumishi wenu,Mungu awainue daima,mmependeza pia

  • @mohamedmpume9726
    @mohamedmpume9726 4 ปีที่แล้ว +1

    mnanibariki sana aisee,nawaombea sana msiachane kamwe mzidi kuwa na umoja

  • @franksamike174
    @franksamike174 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya uimbaji wenu. Nimebarikiwa sana na wimbo wenu wa pasaka. haleluya !!!!!!!!!!

  • @ElishaStephano-sy1yk
    @ElishaStephano-sy1yk ปีที่แล้ว

    Jamani kazi nzuri inasisimua

  • @philipojoseph4192
    @philipojoseph4192 2 ปีที่แล้ว

    Hongeren Sana kwa ujumbe mzuri

  • @sarahmagilemshigwa8950
    @sarahmagilemshigwa8950 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja nimeipenda mubarkiwe

  • @polyjoh549
    @polyjoh549 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sanaa kwa kaz njema

    • @japhetmajadalaah4838
      @japhetmajadalaah4838 4 ปีที่แล้ว

      Mungu awabariki sana nyakato mtalipwa msipo zimia roho

  • @josephphilipo5671
    @josephphilipo5671 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki sana aic nyakato

  • @jamesochieng8697
    @jamesochieng8697 4 ปีที่แล้ว

    sauti nzuri sana. twalibariki jina la Yesu

  • @wilsonmutinda1545
    @wilsonmutinda1545 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri wana Nyakato,watching u from Nairobi

  • @neemammbaga5248
    @neemammbaga5248 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana...!!

  • @mosesmuinde821
    @mosesmuinde821 4 ปีที่แล้ว

    kazi njema jamani Mwenyezi Mungu na akazidi kuwabariki na kuwainua ...

  • @lameckmanshol3938
    @lameckmanshol3938 2 ปีที่แล้ว

    Nmekosa kizuri cha kuandika ila Mbarikiwe sana

  • @williamjoseph8967
    @williamjoseph8967 2 ปีที่แล้ว

    Lemi unatisha sana na Mungu azidi kukubarik

  • @janemusyoka6125
    @janemusyoka6125 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana,naupenda huu wimbo,

  • @rashidbakhari9656
    @rashidbakhari9656 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada lemi mungu akulide Sana kwa kaz kubwa Kama hyo

    • @jacksonkalaki8399
      @jacksonkalaki8399 4 ปีที่แล้ว

      Yaan lemi🔥🔥🔥🔥

    • @godfreyshali3277
      @godfreyshali3277 4 ปีที่แล้ว

      Huyu Dada Lemi kwa kweli Mungu kambariki na sauti na yeye anaitumia vzuri, Mungu awainue

    • @upendomichael7969
      @upendomichael7969 4 ปีที่แล้ว

      Naipenda sauti ya huyu Dada Mungu azidi kumtetea

  • @jastinruhele4229
    @jastinruhele4229 4 ปีที่แล้ว +2

    Joyous 23 : ~ Ingumlilo ( Lento)........Safi nimependa Utulivu wa Vocal..!

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว

      Jastin Ruhele I figured too😊

    • @silanzuki8627
      @silanzuki8627 4 ปีที่แล้ว

      Napedaga wimbo huo Kaka ... wa londiwe cele from JC23

  • @emmanuelbaribarira1992
    @emmanuelbaribarira1992 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada ananibariki

  • @evalinalushinge5628
    @evalinalushinge5628 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana

  • @pastordorcasmuthama8347
    @pastordorcasmuthama8347 4 ปีที่แล้ว

    Hi, wimbo mzuri Sana. Unabariki moyo wangu

  • @janewanja6145
    @janewanja6145 4 ปีที่แล้ว

    Jameni wimbo mtamu nyakato mwanibariki

  • @vincentkipngetich2735
    @vincentkipngetich2735 4 ปีที่แล้ว +1

    NYAKATO MPO JUU SANA HUKU KENYA NYAKATO MAMBO SAWA MAY ALMIGHTY GOD LEAD YOU THROUGH AMEN AMEN

  • @clintonmutisya4070
    @clintonmutisya4070 4 ปีที่แล้ว +1

    LOVES TO LISTEN YOUR SONGS THEY MENTOR ME MUCH@KENYA THIKA

  • @scolanalle7503
    @scolanalle7503 4 ปีที่แล้ว

    Waooooh mbarikiwe jamani muwe na viwango vya juu

  • @omynateomary2800
    @omynateomary2800 4 ปีที่แล้ว

    Nawapendaa moakaa naihisi kuumwa

  • @director_benrich
    @director_benrich 4 ปีที่แล้ว +1

    Great work wazee safi naona mnachange game la gospel

  • @neemakasanda7781
    @neemakasanda7781 4 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwai nua

  • @Goodmelodystudio7981
    @Goodmelodystudio7981 4 ปีที่แล้ว +2

    Love this choir ----good voice

  • @evelynmalims
    @evelynmalims 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @andersonaloyce4235
    @andersonaloyce4235 4 ปีที่แล้ว

    Jaman LM mungu akubaliki sana

  • @Gosplemusictanzania
    @Gosplemusictanzania 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kweli mwanza mnaipa haki yake

  • @shilagasamson5087
    @shilagasamson5087 ปีที่แล้ว

    wimbo una baraka nyingi

  • @clintonmutisya4070
    @clintonmutisya4070 4 ปีที่แล้ว

    CONGRATS NICE SONG MAY GOD CONTINUE TO UPLIFT YOU MUCH

  • @JoshuaSimbani-kt4vu
    @JoshuaSimbani-kt4vu ปีที่แล้ว

    Uyu sololist anaitwa nani?

  • @marthamesha3345
    @marthamesha3345 4 ปีที่แล้ว

    Hakuwa na hatia mwana wa mungu🙏🙏🙏🙏

  • @elizamichael1708
    @elizamichael1708 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada iyo sautiiii lemii 😍

  • @dnponlinetv8092
    @dnponlinetv8092 4 ปีที่แล้ว

    Iko vzur

  • @Lemi_George_Official
    @Lemi_George_Official ปีที่แล้ว

    Amen

  • @eliafoomagumu6319
    @eliafoomagumu6319 3 ปีที่แล้ว

    Mpo vzr

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 2 ปีที่แล้ว

    Beautiful. Glory to God

  • @ubuzimabwaclaudine9798
    @ubuzimabwaclaudine9798 4 ปีที่แล้ว

    napenda nyimbozenu zinanibariki

  • @VicentSteven-dp2bz
    @VicentSteven-dp2bz ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @stevengodwin630
    @stevengodwin630 4 ปีที่แล้ว

    nawakubali sana

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @ChefSteveExcchef
    @ChefSteveExcchef ปีที่แล้ว

    Haaaapo

  • @omynateomary2800
    @omynateomary2800 4 ปีที่แล้ว

    Hongerenil

  • @vijanachoiranglicankanisak7076
    @vijanachoiranglicankanisak7076 4 ปีที่แล้ว

    Imeshutiwa kigalilaya...iyo inaitwa anonymous shots

  • @charlesadhola
    @charlesadhola 2 ปีที่แล้ว

    Who is this lady with a powerful voice?

  • @hamzamakililo2089
    @hamzamakililo2089 3 ปีที่แล้ว

    Penda sana uimbaji wenu hususani mdada wewe jamani duuh penda sana uimbaji wenu

  • @carolynekanaiza
    @carolynekanaiza 4 ปีที่แล้ว

    Love you guys may God bless you 🙏 all.

  • @onesmoswai7350
    @onesmoswai7350 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda paka naumwa

  • @RahmaIbrahm-jz3hp
    @RahmaIbrahm-jz3hp 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞

  • @vijanachoiranglicankanisak7076
    @vijanachoiranglicankanisak7076 4 ปีที่แล้ว

    Location n super sana

  • @mohamedaboalkasem3522
    @mohamedaboalkasem3522 4 ปีที่แล้ว

    Sweet ,, lovely

  • @Goodmelodystudio7981
    @Goodmelodystudio7981 4 ปีที่แล้ว

    Good my kaka

  • @meshackmuthamamulinge4661
    @meshackmuthamamulinge4661 4 ปีที่แล้ว

    Mziki mtulivu

  • @daudijohn8156
    @daudijohn8156 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda nyakato Mungu awasamamie

    • @evesadick7228
      @evesadick7228 4 ปีที่แล้ว +1

      Aminaa mbalikiwe

    • @rodamaduka5173
      @rodamaduka5173 3 ปีที่แล้ว

      lemi.nakupenda bule.huwa natamani niwe mwimbaji km wewe huwa unanibaliki sana na sauti yako.mungu akupe uzima.kalibun bwanga

  • @salumuandrew6775
    @salumuandrew6775 3 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo imebadiliki jamani

  • @juniorjunior412
    @juniorjunior412 4 ปีที่แล้ว

    Motoooooooooooooo

  • @markomasele3696
    @markomasele3696 4 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @nyanzalangwina6840
    @nyanzalangwina6840 4 ปีที่แล้ว

    Niwapenda pamoja na Neema kwaya

  • @reginashija4362
    @reginashija4362 4 ปีที่แล้ว

    You Tube

  • @janethpetro6705
    @janethpetro6705 6 หลายเดือนก่อน

    Nawaelewa. Sana watumishi wa mungu

  • @josephphilipo5671
    @josephphilipo5671 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki sana aic nyakato

  • @sarahmagilemshigwa8950
    @sarahmagilemshigwa8950 4 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja nimeipenda mubarkiwe

  • @lazarojameskitasa7353
    @lazarojameskitasa7353 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana nakuja uko tuko pamoja

  • @evaristoficiallsebastian2230
    @evaristoficiallsebastian2230 4 ปีที่แล้ว

    Nice song