Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa ‪@changamkiafursa‬
    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni rahisi sana, na kila anaye vutiwa kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji anatamani kufanya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa njia ya kisasa.
    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa njia ya kisasa hauna faida kwa sababu zifatazo:-
    1. Gharama ya uendeshaji iko juu sana ukizingatia unapaswa kuwahudumia kwa kila kitu
    2. Usipo walisha chakula chenye virutubisho vyote muhimu watapunguza uzalishaji na vifaranga hawata kuwa vizuri
    3. Kuku wa kienyeji wakifugwa kwa njia ya kisasa wapata msongo ambao pia hupunguza uzalishaji wa mayai.
    #changamkiafursa2021 #kukuwakienyeji

ความคิดเห็น • 62

  • @changamkiafursa
    @changamkiafursa  2 ปีที่แล้ว +3

    *OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
    TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
    wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1

  • @MKULIMASMART
    @MKULIMASMART 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana.

  • @VivianOcieng
    @VivianOcieng 21 วันที่ผ่านมา

    Mm naomba nijue vjfaranga unawapa chakula gani?

  • @DanielManyangu-sq9bt
    @DanielManyangu-sq9bt หลายเดือนก่อน

    Umenishawishi japo Nina balance ya sh.elf 50 nitaifanya Kam mtaji wa kutafut kuku japo watatu3

  • @nickkeiter2000
    @nickkeiter2000 3 ปีที่แล้ว +6

    Hili ni kweli kabisa nimekua nikiwafungia kuku wangu matokeo wanakua polepole Sana Ila nilianza kuwafungulia mwezi uliopita Sasa nafurahi na sijutii.
    Somo zuri Sana asantee

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa mrejesho

    • @MarySinaibu
      @MarySinaibu 2 หลายเดือนก่อน

      Nisaidiye kuku umoja uaweza kutotolesha malangapi

  • @DoriceInnocent-bc6df
    @DoriceInnocent-bc6df ปีที่แล้ว +1

    Mbn namba haipatikan

  • @utv5488
    @utv5488 2 ปีที่แล้ว +2

    Poa sana

  • @lazorojilondi3292
    @lazorojilondi3292 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni mradi mzuri sana, nitajiumga nikirudi nyumbani mwezi wa kumi nitaanza ufugaji, nitahitaji maelekezo mengi, natumaini mtanielimisha zaidi.

  • @masatujustine-vh9xs
    @masatujustine-vh9xs 4 หลายเดือนก่อน

    Hapana hata wakila nn wanakuwa vizuri na wako poa

  • @VictoriaJames-o9u
    @VictoriaJames-o9u 3 หลายเดือนก่อน

    That is good

  • @SaidKhamis-gm5kq
    @SaidKhamis-gm5kq ปีที่แล้ว

    Sawaaa

  • @samuelbarasa2249
    @samuelbarasa2249 3 ปีที่แล้ว +1

    Am from Kenya naomba kujiunga na whataupp yenyu

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      My what's app namba 0752209073
      Darasa litaanza tarehe 9 mwezi wa 8

  • @charmetyroboss-te7vk
    @charmetyroboss-te7vk 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo walimu mm naitwa Charme tyro SAIDI nilikuwa naomba nipete Namba ya mmoja kati ya walimu WA changamukia fursa

  • @nasrajamila1534
    @nasrajamila1534 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchanganyiko wa concetreit na pumba kinafaa kwa vifaranga wa kienyeji?au nikwa kuku wakubwa tu?

  • @MajidGoa-ny9xk
    @MajidGoa-ny9xk 3 หลายเดือนก่อน

    Danolod

  • @azardboniphace2205
    @azardboniphace2205 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilituma hela na majina wala hukuniunga na namba yako ilikua haipatikani Kwa siku 3. Ikabidi nirudishe muamala

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana, karibu darasa la mwezi ujao

  • @ShudyKiduko
    @ShudyKiduko 13 วันที่ผ่านมา

    Samahani si,inawezekana nikawa wakubwa wakashinda nje na wadogo wakawa ndani maana mazingira sio rafki

    • @ShudyKiduko
      @ShudyKiduko 13 วันที่ผ่านมา

      Naomba namba

  • @kassimkombo3186
    @kassimkombo3186 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu mbona unifanyii mbadala wa hili jambo sasahiv sion text za whatsap

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Pole, unachangamoto gani?
      Nicheki what's app 0752209073

  • @frankMbembera
    @frankMbembera 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka ukowapi urikofugewa

  • @brancadeus708
    @brancadeus708 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi kukuwangu wadonoana jaman adi vidonda kumaliza manyoa

  • @elianaeliana7261
    @elianaeliana7261 2 ปีที่แล้ว +1

    Congrats 👏👏👏

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini hao jogoo wako hawapigani

  • @kasturv7602
    @kasturv7602 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba jina ya hiyo chanjo ya tatu Kwa Moja tafadhali.

  • @paulineshitandi1864
    @paulineshitandi1864 ปีที่แล้ว

    Thanks for the teachings l wanted to start the project too

  • @VictoriaJames-o9u
    @VictoriaJames-o9u 3 หลายเดือนก่อน

    That is good

  • @barakaluoga1281
    @barakaluoga1281 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante! Ivi ni kwel kuna mahuxiano kati ya kufuga kuku na mikono ya watu? Yani kuna watu wanamkono wa kuku na wengine hawana!! Ivi ni kweli???

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว +2

    Salam kaka. Mimi shida yangu no ugonjwa wa ndui kwa week moja au week mbili wanashikwa naugonjwa wa ndui sijue nifanyeje?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว +1

      Kama wanapata ndui wakiwa na wiki 2, wape chanjo ya ndui wakiwa na wiki 1

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Pole sana pia

    • @ramayasly4584
      @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa asante

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Pamoja

    • @ramayasly4584
      @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa safi sana. Nashukru. Nauliza je kama waanza ugonjwa nifanyeji?

  • @sameersaid5058
    @sameersaid5058 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hio kusema ukiwa na banda dogo na huna nafasi ya kuwacha wazunguke ufugaji hautaezekana?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว +1

      Unawezekana, ila kwa tabu sana

    • @sameersaid5058
      @sameersaid5058 3 ปีที่แล้ว

      Hii ndo sababu kubwa inayonikosesha mafanikio itabidi niache tu maana najitahidi sana lakini sifanikiwi kukuza vifaranga wengi

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว +1

      Kama unamtaji fuga chotara

  • @leticialaulian6391
    @leticialaulian6391 7 หลายเดือนก่อน

    Ni semina nzuri ya ufugaji

  • @IssaHusseni-or1hb
    @IssaHusseni-or1hb 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka upo sahihi kabisa yaani

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 3 ปีที่แล้ว +1

    Vitamin gani nzuri kwa vifaranga vya kienyeji?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Chick formula inavitamin na antibiotiki

  • @eliadimsaki9754
    @eliadimsaki9754 3 ปีที่แล้ว

    NAHITAJI mbegu hiyo nitampataje.?

  • @LameckMachemko
    @LameckMachemko 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubari

  • @nhandpeter349
    @nhandpeter349 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 2 ปีที่แล้ว

    Shingapi

  • @tumwebazeamon2643
    @tumwebazeamon2643 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @daktariwamauzo
    @daktariwamauzo 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba namba ya simu

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Namba ya simu nimetoa

    • @nassorally5434
      @nassorally5434 3 ปีที่แล้ว

      Hapana sio kweli mm ndio kuku ninao funga Tena nafunga kisasa na wananilipa sana

  • @joycehusein2985
    @joycehusein2985 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nauliza hawa kroila (SASO)wanataka?

    • @agneseliud9856
      @agneseliud9856 2 ปีที่แล้ว

      Bei gani na wana umri gani . Wanapatikana wapi?