Mungu akubariki sana sababu nyote kwakweli umeyafunza nikama yananilenga ila naomba BABA wa Mbinguni anifungue macho ili nikajue penye nilikwama ,ninuke na nishike amri zake Mungu awe nawe na akuongenzee zaidi 🙏🙏🙏🙏
Ukweli pastor mmbaga mungu ujibu haraka sana maombi yanadhili I've been praying for two years wakati niliweka agano namungu hakika alijibu maombi yangu haraka sana
Nimejifunza mengi ambayo kuanzia leo yatanisaidia Maishani. Kumbe maombi yenye kuambatana na Nadhiri inayotoka moyoni hujibiwa haraka. Lakini kumbe siyo Kila maombi ni ya kufunga na mengine lazima ufunge.
Mchungaji unachoongea ni kweli kua vijana wana degree lakini hawana ziada ya walichokifanya. Ila zaidi sana sehemu ambapo tunakwama ni serikali yetu kutotuwekea mazingira ya biashara au wazo la kila kijana...mf. hicho ulichosema vijana wapo ila hivyo vijiti ukitaka wewe uweze kuvitengeneza utapewa masharti ambayo hakuna yeyote anaweza mwishowe unaondoka nlumenyongonyea.nchi yetu ni ina viongozi wa hovyo
Mchungaji kumbuka aliyeanza kuua watu wasio na hatia ni Hamas.Kuna haja kulaumu Israel? Je wewe hujui kubwa uzi ni siku za mwisho na hayo hayo hayana budi kutokea?
Mungu akubariki sana sababu nyote kwakweli umeyafunza nikama yananilenga ila naomba BABA wa Mbinguni anifungue macho ili nikajue penye nilikwama ,ninuke na nishike amri zake Mungu awe nawe na akuongenzee zaidi 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana pastor kwa somo zuri
Kuna uwekezaji,kuna kukombolewa,kuna kuona fursa pia kuna roho wa Mungu katika hili🙏
Amen ❤
Amen pastor mmbaga may God bless you everytime i watch your sermon I'm so much blessed 🙏
Ahsante kwa mafundisho mazuri pastor nimepokea
Asante Mungu kwa Baraka ya mtumishi wako hyu
Amen pastor barikiwa sana waaah umenitowa mahali 😄 nitaomba popote kimoyomoyo Asante sana kwaufahamu
Imeze hata kama ni chunu.
Napenda sana mahubiri yako baba. Kwetu Congo wanapenda sana akwavi.
Asante Yesu kwa mtumishi huyu ninabarikiwa mno
Barikiwa sana mtumishi, mimi nayafanyia kazi popote naomba ,na Mungu anajitwalia utukufu.
Pastor unanihubiri mimi
Hata mimi nataka kufunga na wewe kwa neema ya Mungu
Yaan mchungaji nabarikiwa Sana na mafundisho mazuri haya.
Ameen ❤
Asante Kwaneno mtumishi wamungu ubalikiwe
Aise ninabalikiwa sana na mafundishoyako
Napenda sana kuwa Tanzania sio Siri vyakula vyetu ni vizuri sana
Mungu akubariki sana Pr.
Asante Mungu Asante pastor Mbaga
Ubarikiwe sana mtumishi mahubiri yako yana nguvu ya ajabu
Amen.hakika nimebalikiwa na hili somo.Mungu azidi kukutumia na akujaze roho mtakatifu
Nabarikiwa na masomo haya Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu pr Mbaga
Ameeen ahsante Kwa neno unatujenga kimani sana ubarikiwe
Barikiwa sana kwa mafundisho yenye baraka
Naomba na mimi kufunguliwa macho na Mungu.
Amina, tunabarikiwa Pr.
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen ubarikiwe Pastor.
Nikweli ksbisa, vyakula vya kwetu afrika viko na ladha tamu saana. Mimi hapa German, nakula tu lakini havina ladha kapisa na tena viko gali.
Ameen
AMINA
Asante sana, Nabarikiwa nikiwa ZANZIBAR Unguja.
Unatusaidia kiroho na hata kimwili, Mungu akubariki,Tuchangamshe akili
Hakika
Amen
Amen 🙏
Blessings 🙏
P
L0
Pp
Hata ukifunga na dunia nzima kila siku, Mungu atakupa nguvu kila dakika na seconde.
Kweli kabisa
amen
Ukweli pastor mmbaga mungu ujibu haraka sana maombi yanadhili I've been praying for two years wakati niliweka agano namungu hakika alijibu maombi yangu haraka sana
Amen
Amen we need to change our god is faithful and truly be blessed pr
Nitafanyaje ikiwa nimesahau nadhiri yangu
That's truly, pineapple 🍍 ya hapa America is not the good like our Africa pineapple
Kwahi much. Nifueje nadhiri zangu ? Mañana sijatekeleza
Nimejifunza mengi ambayo kuanzia leo yatanisaidia Maishani.
Kumbe maombi yenye kuambatana na Nadhiri inayotoka moyoni hujibiwa haraka.
Lakini kumbe siyo Kila maombi ni ya kufunga na mengine lazima ufunge.
44:40 ❤
Ntafunguaje nadhiri zangu ?
🤔🙏
Kuna dada yangu anaumwa mukono mumuombee
Nafikiri title wametaka andika "unakwama" kuliko "Unakwana"
Thanks
Mchungaji ubalikiwe
Kwani maawaziri wetu huwa wanajibugi tuna hekta ngapi
Mimi mwanasaboto hatukungua coke
Mchungaji unachoongea ni kweli kua vijana wana degree lakini hawana ziada ya walichokifanya.
Ila zaidi sana sehemu ambapo tunakwama ni serikali yetu kutotuwekea mazingira ya biashara au wazo la kila kijana...mf. hicho ulichosema vijana wapo ila hivyo vijiti ukitaka wewe uweze kuvitengeneza utapewa masharti ambayo hakuna yeyote anaweza mwishowe unaondoka nlumenyongonyea.nchi yetu ni ina viongozi wa hovyo
Imeze hata kama ni chungu.
Mchungaji kumbuka aliyeanza kuua watu wasio na hatia ni Hamas.Kuna haja kulaumu Israel? Je wewe hujui kubwa uzi ni siku za mwisho na hayo hayo hayana budi kutokea?
Pastor naomba number yako ya what's up tafadhali