Gold TV
Gold TV
  • 1 171
  • 1 822 274

วีดีโอ

CHEREHANI AWAKUTANISHA WALIMU WA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI USHETU, AHIMIZA MSHIKAMANO KUTOKOMEZA ZERO
มุมมอง 1620 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHEREHANI AWAKUTANISHA WALIMU WA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI USHETU, AHIMIZA MSHIKAMANO KUTOKOMEZA ZERO
NEEMA YASHUKA USHETU MRADI WA SOLAR USHETU KUKOMESHA KATIKA KATIKA YA UMEME
มุมมอง 57วันที่ผ่านมา
NEEMA YASHUKA USHETU MRADI WA SOLAR USHETU KUKOMESHA KATIKA KATIKA YA UMEME
SIMANZI! MBUNGE CHEREHANI AOMBOLEZA KIFO CHA MWENYEKITI WA UWT KATA YA KISUKE USHETU
มุมมอง 11614 วันที่ผ่านมา
SIMANZI! MBUNGE CHEREHANI AOMBOLEZA KIFO CHA MWENYEKITI WA UWT KATA YA KISUKE USHETU
WATAFITI WAGUNDUA KUCHEZA GAME KUNAIMARISHA AFYA YA AKILI - DBASH
มุมมอง 1514 วันที่ผ่านมา
WATAFITI WAGUNDUA KUCHEZA GAME KUNAIMARISHA AFYA YA AKILI - DBASH
"MPANGAJI ANAKUWA KAMA MWENYE NYUMBA!!" WAPANGAJI WAFUNGUKA
มุมมอง 4114 วันที่ผ่านมา
"MPANGAJI ANAKUWA KAMA MWENYE NYUMBA!!" WAPANGAJI WAFUNGUKA
MTAALAMU WA AFYA AFUNGUKA MENGI KUHUSU FISTULA, MIAKA 24 KWENDA CHINI WAPO KWENYE HATARI ZAIDI
มุมมอง 2814 วันที่ผ่านมา
MTAALAMU WA AFYA AFUNGUKA MENGI KUHUSU FISTULA, MIAKA 24 KWENDA CHINI WAPO KWENYE HATARI ZAIDI
CHEREHANI AOMBA WAKULIMA WA TUMBAKU KUFUTIWA TOZO ZA MITI WAZIRI BASHE ATOA TAMKO LA SERIKALI
มุมมอง 18714 วันที่ผ่านมา
CHEREHANI AOMBA WAKULIMA WA TUMBAKU KUFUTIWA TOZO ZA MITI WAZIRI BASHE ATOA TAMKO LA SERIKALI
WAZIRI BASHE ACHACHAMAA ATOA SIKU SABA KWA KAMPUNI YA VODCELL KUILIPA HALMASHAURI YA USHETU MIL.362
มุมมอง 28814 วันที่ผ่านมา
WAZIRI BASHE ACHACHAMAA ATOA SIKU SABA KWA KAMPUNI YA VODCELL KUILIPA HALMASHAURI YA USHETU MIL.362
CHEREHANI AGUSA HISIA ZA WAOMBOLEZAJI MSIBANI ASIMULIA KISA KILICHOMTOA MACHOZI
มุมมอง 9714 วันที่ผ่านมา
CHEREHANI AGUSA HISIA ZA WAOMBOLEZAJI MSIBANI ASIMULIA KISA KILICHOMTOA MACHOZI
MIKUTANO ZAIDI YA 268 YA MBUNGE CHEREHANI CHACHU YA MAENDELEO JIMBO LA USHETU
มุมมอง 6714 วันที่ผ่านมา
#GoldDigital #PoseKizalendo
WAZIRI BASHE ATANGAZA NEEMA YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MKOA WA SHINYANGA | WAKULIMA WACHEKELEA
มุมมอง 29914 วันที่ผ่านมา
WAZIRI BASHE ATANGAZA NEEMA YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MKOA WA SHINYANGA | WAKULIMA WACHEKELEA
SAKATA LA UTEKAJI KATIBU MWENEZI SHINYANGA ATEMA CHECHE "KINACHOENDELEA NI KIKI NA DRAMA"
มุมมอง 14614 วันที่ผ่านมา
SAKATA LA UTEKAJI KATIBU MWENEZI SHINYANGA ATEMA CHECHE "KINACHOENDELEA NI KIKI NA DRAMA"
BILIONEA ELON MUSK NI TISHIO LA DUNIA, ANAMILIKI ROBO 3 YA SATELAITI ZOTE ANGANI
มุมมอง 37321 วันที่ผ่านมา
BILIONEA ELON MUSK NI TISHIO LA DUNIA, ANAMILIKI ROBO 3 YA SATELAITI ZOTE ANGANI
KUMBE X-RAY HAIPUNGUZI SIKU ZA KUISHI KWA BINADAMU, MTAALAMU AFUNGUKA A TO Z
มุมมอง 5321 วันที่ผ่านมา
KUMBE X-RAY HAIPUNGUZI SIKU ZA KUISHI KWA BINADAMU, MTAALAMU AFUNGUKA A TO Z
MWANAUME AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA USHETU
มุมมอง 3321 วันที่ผ่านมา
MWANAUME AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA USHETU
KIGOGO ANAYEUZA NGUO KAHAMA SAVCO AFUNGUKA "NAUNZA NGUO MPAKA UTURUKI WACHINA WANANIELEWA
มุมมอง 7221 วันที่ผ่านมา
KIGOGO ANAYEUZA NGUO KAHAMA SAVCO AFUNGUKA "NAUNZA NGUO MPAKA UTURUKI WACHINA WANANIELEWA
CCM YAWAPA FARAJA WAFUGAJI ZAIDI YA 500 USHETU | MONGELLA AELEZA
มุมมอง 2221 วันที่ผ่านมา
CCM YAWAPA FARAJA WAFUGAJI ZAIDI YA 500 USHETU | MONGELLA AELEZA
WANAUSHETU WAMKOSHA NAIBU KATIBU MKUU, AMNYOOSHEA MIKONO MBUNGE CHEREHANI
มุมมอง 3721 วันที่ผ่านมา
WANAUSHETU WAMKOSHA NAIBU KATIBU MKUU, AMNYOOSHEA MIKONO MBUNGE CHEREHANI
CHEREHANI AOMBOLEZA KIFO CHA MTOTO DENIS | ANENA MAZITO "TUSAIDIANE, TUSISUBIRI MPAKA MTU AFE"
มุมมอง 11321 วันที่ผ่านมา
CHEREHANI AOMBOLEZA KIFO CHA MTOTO DENIS | ANENA MAZITO "TUSAIDIANE, TUSISUBIRI MPAKA MTU AFE"
BODABODA CHANGAMOTO BARABARANI | MAGARI YA WANAFUNZI YAREKEBISHWE | TUFUATE SHERIA
มุมมอง 8121 วันที่ผ่านมา
BODABODA CHANGAMOTO BARABARANI | MAGARI YA WANAFUNZI YAREKEBISHWE | TUFUATE SHERIA
MKAZI WA KAHAMA USIACHE KUTAZAMA HII | KUNA UJUMBE WAKO HAPA
มุมมอง 17521 วันที่ผ่านมา
MKAZI WA KAHAMA USIACHE KUTAZAMA HII | KUNA UJUMBE WAKO HAPA
MCHEZA MPIRA KAHAMA AFARIKI DUNIA | HUZUNI YATAWALA KWA NDUGU NA JAMAA
มุมมอง 15028 วันที่ผ่านมา
MCHEZA MPIRA KAHAMA AFARIKI DUNIA | HUZUNI YATAWALA KWA NDUGU NA JAMAA
MWENYEKITI CCM KAHAMA ANENA NA WAJUMBE "CHAGUENI, LINDENI VIONGOZI SAHIHI NA WACHAPAKAZI"
มุมมอง 4328 วันที่ผ่านมา
MWENYEKITI CCM KAHAMA ANENA NA WAJUMBE "CHAGUENI, LINDENI VIONGOZI SAHIHI NA WACHAPAKAZI"
"MTU AKIOMBA RUSHWA YA NGONO FAINI IWE MILIONI 100" | MBUNGE AWASHA MOTEO BUNGENI
มุมมอง 10728 วันที่ผ่านมา
"MTU AKIOMBA RUSHWA YA NGONO FAINI IWE MILIONI 100" | MBUNGE AWASHA MOTEO BUNGENI
FAHAMU DALILI ZA MPOX NA JINSI INAVYOAMBUKIZWA | WALA MIZOGA KWENYE HATARI ZAIDI
มุมมอง 20028 วันที่ผ่านมา
FAHAMU DALILI ZA MPOX NA JINSI INAVYOAMBUKIZWA | WALA MIZOGA KWENYE HATARI ZAIDI
NYIMBO KARIBIA ZOTE USHAWISHI WA MARCO | ILIMUUMA TULIPOKOSEA | HATUKUAMINI
มุมมอง 11Kหลายเดือนก่อน
NYIMBO KARIBIA ZOTE USHAWISHI WA MARCO | ILIMUUMA TULIPOKOSEA | HATUKUAMINI
DUH! WAKENYA WADAI SIKU ZA MAOMBOREZO YA MARCO ZIONGEZWE | ALIYEWAKARIBISHA KENYA AFUNGUKA
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
DUH! WAKENYA WADAI SIKU ZA MAOMBOREZO YA MARCO ZIONGEZWE | ALIYEWAKARIBISHA KENYA AFUNGUKA
MUHIMBILI WATOA UFAFANUZI KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS
มุมมอง 2.5Kหลายเดือนก่อน
MUHIMBILI WATOA UFAFANUZI KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS
JAPHET ZABRON ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUULIZWA SWALI HILI... ":"
มุมมอง 147Kหลายเดือนก่อน
JAPHET ZABRON ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUULIZWA SWALI HILI... ":"

ความคิดเห็น

  • @AlexisMoïse-r6l
    @AlexisMoïse-r6l 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sn wandugu zangu

  • @JeancyKabeya-sl8es
    @JeancyKabeya-sl8es วันที่ผ่านมา

    Pôle maman

  • @christianbediako933
    @christianbediako933 3 วันที่ผ่านมา

    Take heart ❤️ great lady.God love you so do we 🙏🏾❤️

  • @christianbediako933
    @christianbediako933 3 วันที่ผ่านมา

    Sorry for the death of this great singer.May his soul rest in perfect peace.

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu anamfanana sana Marehemu

  • @ChristinaJaphet
    @ChristinaJaphet 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🤣🤣🤣🙌🙌

  • @ChristinaJaphet
    @ChristinaJaphet 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @emmanuelkennedy558
    @emmanuelkennedy558 7 วันที่ผ่านมา

    Yaani maelezo yote ya tukio sijaona hatua ya kumuombea badala yake eti mkampatia maji na kisha kumpeleka hospital 🏥 wakati hili lilikuwa shambulio la kiroho . Wana wa Mungu kuna jambo kubwa lakujifunza hapa !!!

  • @Asma-s3q
    @Asma-s3q 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu hawaonekanie wana zabron

  • @LetsTalk76
    @LetsTalk76 7 วันที่ผ่านมา

    Sad story nishai skiza

  • @RAELMONGARE
    @RAELMONGARE 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupee nguvu

  • @kalukabalimba
    @kalukabalimba 10 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kwa musiba wadugu wetu pole sana tena sanaa

  • @EmmanuelSimiyu-yx1rk
    @EmmanuelSimiyu-yx1rk 11 วันที่ผ่านมา

    Rip kiongozi ya mungu ni mengi

  • @mariajemutai2968
    @mariajemutai2968 11 วันที่ผ่านมา

    Pole sana japheth ma zabron singers

  • @IrineChepkoech-j6t
    @IrineChepkoech-j6t 12 วันที่ผ่านมา

    Kutoka. Kenya,rambi rambi zangu kwa familia ya kina Marco TZ ,,, it's Soo hard to believe but poleni sana

  • @IrineChepkoech-j6t
    @IrineChepkoech-j6t 12 วันที่ผ่านมา

    Kutoka. Kenya,rambi rambi zangu kwa familia ya kina Marco TZ ,,, it's Soo hard to believe but poleni sana

  • @MamaMalcolm523
    @MamaMalcolm523 13 วันที่ผ่านมา

    Sauti ya muziki ilikuwa juu sana hadi hatusikii mnachosungumza

  • @LukumaiShady
    @LukumaiShady 13 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana mungu awatie ngufu😭😭😭

  • @ماريماريا-ب2د
    @ماريماريا-ب2د 14 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢

  • @EstherAkile
    @EstherAkile 17 วันที่ผ่านมา

    Ooooh mungu ailaze roho yake mahali pema peponi mtumishi wa bwana,, sote tuwasafiri duniani hatuna mji udumuo.

  • @MzangwaCalvinMali
    @MzangwaCalvinMali 17 วันที่ผ่านมา

    May his soul continue rest in peace 😢ukufa

  • @ninaelswai7903
    @ninaelswai7903 18 วันที่ผ่านมา

    Pole sana Jafet usilie

  • @HectorCargill
    @HectorCargill 19 วันที่ผ่านมา

    I am sorry to here that may God , keep the family that they keep on trusting in the lord because one day there will be no more plain for that will be pass away

  • @Josephineayuma-w5t
    @Josephineayuma-w5t 20 วันที่ผ่านมา

    Pumuzika Kwa amani Marco mungu ailaze roho Yako mahali pema peponi

  • @judykemmy2436
    @judykemmy2436 20 วันที่ผ่านมา

    Background music iko juu

  • @irene-e70
    @irene-e70 20 วันที่ผ่านมา

    Sometimes we dont want our families to suffer by telling them what we are doing through

  • @ErfEff-k6w
    @ErfEff-k6w 21 วันที่ผ่านมา

    Jaman nawapenda Sana zabron Singer's Kwa mala ya Kwanza namuon huyu ni Kama nimemuona malaika nabarikiwa na nyimbo zao mungu mtie nguvu mke wa Marco ila tuna Iman na japheti atawafika pale Marco walitaman wafike watoto wake pumzika kwa aman Marco bukuru🙏🙏🙏🙏

  • @georgetteniyonkuru9060
    @georgetteniyonkuru9060 21 วันที่ผ่านมา

    Pol sana nduzetu🇧🇮

  • @RizikitDjuma
    @RizikitDjuma 21 วันที่ผ่านมา

    Poleni saana

  • @Godsinceday1
    @Godsinceday1 22 วันที่ผ่านมา

    In as much as inauma vipi you should not cry as thou you not christians who believe there is heaven

  • @FlorenceMusembi-t5x
    @FlorenceMusembi-t5x 22 วันที่ผ่านมา

    Pole the Zabron singers. Tumepoteza kweli. Mungu awatie nguvu.

  • @zik880
    @zik880 22 วันที่ผ่านมา

    Iyo ni kafara sidja kubali kabisa

  • @salomemoreri4550
    @salomemoreri4550 23 วันที่ผ่านมา

    I use to think they are brothers from same mother.

  • @MilycentMilycentomondi
    @MilycentMilycentomondi 23 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi lia nikisikia MTU Fulani ametuacha lakini zabron amefanya nikalia Sana Tanzania Ni mbali but Mungu awafunge mganda jamani.zamani pia Kenya tunalia poleni.

  • @MilycentMilycentomondi
    @MilycentMilycentomondi 23 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭tumepoteza kweli Mwimbaji mashuhuri oooh!!! tumepoteza😭😭😭 Mungu kumbuka kazi alikufanyia zabron.

  • @RhodaDamas
    @RhodaDamas 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu awape faraja jaman i

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 23 วันที่ผ่านมา

    tukopamoja sana ,kazabuti mida ndohiyo

  • @TimotheoSengasenga
    @TimotheoSengasenga 24 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @julietmmbone5889
    @julietmmbone5889 24 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana Wana zabron , Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa wakati mgumu kama huu 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @KilasingisiNkwabi
    @KilasingisiNkwabi 24 วันที่ผ่านมา

    Magambo mwenyew 😂😂nakubali kaka 🎉

  • @Avatar_2025
    @Avatar_2025 24 วันที่ผ่านมา

    My condolences. This layer of God's creation is truly immersive. Where those dreaming don't know that they are in a dream reality among infinite number of similar realities created by All there is or God in other words. Death does not exist in the true nature of things but in this reality, it seems to be real but it is not.

  • @CalcatyGeneral
    @CalcatyGeneral 25 วันที่ผ่านมา

    Mpaka Leo hii hakuna utekelezaji zaidi wameendelea kumilikishana viwanja vya wananchi na majizi hayo ya ardhi kufanyiwa mipango ya kurudishwa kazini ya endelee kutuibia ardhizetu kahama wananchi maskini na wanyonge tuna nyanyasika na hatujapata wakutufuta machozi

  • @marthabruckman5850
    @marthabruckman5850 25 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana jamani.Mungu awatie nguvu.

  • @JacquelineKinyonge
    @JacquelineKinyonge 25 วันที่ผ่านมา

    Umefanana na kaka yako, R.I.P marco

  • @ZuwenaStaphod-nr7hy
    @ZuwenaStaphod-nr7hy 25 วันที่ผ่านมา

    Poleni ndugu ,,

  • @نورةالشهراني-د2ن
    @نورةالشهراني-د2ن 25 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana ndugu zangu rambi rambi kutoka kenya mombasa

  • @DoricasJeremia
    @DoricasJeremia 25 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana wanafamilia wote

  • @lameckshow667
    @lameckshow667 25 วันที่ผ่านมา

    Nmelia sana

  • @AnnastaziaFrancis
    @AnnastaziaFrancis 26 วันที่ผ่านมา

    Polen sana ndg zangu mungu awatie nguvu ktk kipindi kigum

  • @MagdalineMigwi
    @MagdalineMigwi 26 วันที่ผ่านมา

    may his soul rest