mkono wa bwana na nakutuma wimbo ni nyimbo ambazo zinanifaliji sana na zipenda sana siwezikupitasiku sijasikiliza hizo nyimbo ulifanya kazi nzuli sana zina ujumbe nzuli sana zinafaliji sana kwa sidi tuko mbali mungu akubaliki
Japhet yalihopita yamepita sasa tugange yajayo Ni muda sasa umepita tumewamis tunataka nyimbo mpya na huo wimbo mpya ubebe ujumbe huu KUNA KITU MUNGU ANAFANYA. Nitabarikiwa sana kama ombi hili litapata kibali
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
mkono wa bwana na nakutuma wimbo ni nyimbo ambazo zinanifaliji sana na zipenda sana siwezikupitasiku sijasikiliza hizo nyimbo ulifanya kazi nzuli sana zina ujumbe nzuli sana zinafaliji sana kwa sidi tuko mbali mungu akubaliki
Mungu aendelee kukupa nguvu zaidi,mungu yu nawe japhet
Japhet yalihopita yamepita sasa tugange yajayo Ni muda sasa umepita tumewamis tunataka nyimbo mpya na huo wimbo mpya ubebe ujumbe huu KUNA KITU MUNGU ANAFANYA. Nitabarikiwa sana kama ombi hili litapata kibali
hata mimi mpaka sasa mkono wa bwana naipenda sana kila siku lazima niisikilize
Napenda majibu Yako japhet umewaweza wambea
Keep growing and glowing zabron singers ❤
Safi sana binafsi nawapongeza kwa hatua kubwa...polen pia
Poleni sana jamani mungu AENDELEE KUKUPA NGUVU msiba ni wetu sote Mimi binafsi nimeumia Sanaa . TUENDELEE kumuombea mwenzetu pumzika Amani daima
Kazi nzuri G,Big up mama
Songa mbele ❤❤❤
One thing have noticed, your interviews have been Soo consistent,the story of your success and Zabron singers is Soo inspiring, kudos@japheth-official
May grace cover you
Pacha unakipaji gani jmn 😂😂😂😂😂😂
Wamefanana kumbe ndugu
Yeah ni ndugu , cousins , wannapenda Sana Kama mapacha
Mtangazaji amekosa maswali
Mimi ndio mwenye pacha mtangazaji jmn
Waudakuu sasa😂😂