@@allyderossi9742 Yaani niatari kweli....napenda filamu anazo Tafsiria vibaya mbovu....natamani hata nipate g-mail yake niwe na mpa hata ' Hi'' Mahana na Mkubali saaaaaana kwenye kazi yake
@@feezdidthis2220 sitaki kupingana na wewe katika statement yako ,ila hata Mimi nilikuwa hivyo hivyo,lakini Kuna movie zikawa zinanipa mashiko kuzielewa yaani kujuwa maZingir coz unakuta Kuna movie Yani mwisho ndio mwanzo yini zinakuwa zinachanganya changanya Sasa hata lungha yako inakuwa unaelewa tu Nini wanasema ,Ila Ila sio kuzichimba,Kuna movie ngumu ndugu,watu wanatumia akili unaweza angalia mwanzo mwisho lakini usielewe kitu sio lugha aaaah Yani kuilewea movie kiundani ,najuwa lugha nne , lakini sio kitu kwangu na nikaacha huo ujuaji ety kisa najuwa kingerezaa, kihindi au kikorea kitanisaidia ,so niliacha ujuaji wa watu wanionapo nangalia movie ambazo hazijatafsiliwa nionekane kwamb lugha naijuwa ,Ila sometimes huwa nazingalia ambazo hazijatafsiliwa , just to improve my languages ,Ila movies zao nazipenda zile chumvi zao yeah.
*_Big Up Sana Bro Kiukweli Big Up Sana Binafsi Mimi Nikikuta Picha Aijawekwa Sauti Yako Sichukuii Unajua Sana Movie Gani Wanaume Tunapenda Mungu Akupe Umri Kupata Jina Na Kupendwa Ni Kazi Kubwa Sio Swala La Kuchukulia Poa_*
Serikali iwaangalie hawa watu wanatupa brudani sana sio kwamba muvi zetu atuzitak ila kila mtu anakitu anachokipenda mm sizoni unitoi kbs Mungu akujalie dj nakukubalikinoma
Jina lake kamili ni ahmada abrahman abllah hamad kijiji alichozaliwa babayake kinaitwa kiziwani shungi mark dj hiyi nidam yangu kabisa ila nyumbani tunakutamani sana hatujakuona sku nyingi yani wwe ninoma sanaa
Napajua apo magengeni karibu na bakwata nyuma karibu na chama waapi mabomba nane kwakina kasbizo na pizo gonga like Kama unapajua yombo kwa wabishi ww!!
Timu dj mack gonga like hapa.
Kama wewe bila movie kutafsililiwa na Dj Mack huangalii kama mimi gonga like tujuane
Hujui kingereza ww ttz lko
yombo kwa limboa yuko bombaaa sanaaa ni kwa Mara nyingine tena mhhhh mhhh mixture mluzi wauweee
Unatisha brother
Tatizo sio kujua ama kutojua lugha ya kingereza sema utamu wa nakshi ya maneno ya mbwembwe ndo watu tunapenda
@@stephanohamisi7199 Namkubal xana
nani alikuwa anamini kama mimi kuwa hujamaaa kwamba huyu mwamba ni mwembamba
Daaah mwanangu me nlikua najua mwembamba flani hivii...halaf mrefu
officialyoctan yavani mim hap
mi nilijua kachalii kadogo
@@u-tv7050 kumbe pandeee la mtu
@@josephdionizy2868 kumbe ni pande la mtu
Kusema kweli ndo mara yangu ya kwanza kumfahamu Dj mack
Kiukweli na zipenda saaaana filamu anazo zitafsiri Dj mack🎤🎤🎤🎤🎤
Young Bampo;;Hata mm jamaa yng ndo hivyohivyo,,yani mwanzo nilivyomzania alivyo wala cvyo,,ila jamaa ana kipaji sanaaaaaaaaaa.
@@allyderossi9742
Yaani niatari kweli....napenda filamu anazo Tafsiria vibaya mbovu....natamani hata nipate g-mail yake niwe na mpa hata ' Hi''
Mahana na Mkubali saaaaaana kwenye kazi yake
Young Bampo lola
Ndy mra ya kwanza kumchek DJ Mack km ww uko km mm 2juaneh hp
Ata mie aisee 😀😀😀,,, Kukaa kote town apa ndo namwona leo jamaa pia namkubar sana.
Namkubali Sana ACHECHE ACHECHE hasa kwenye mambo ya kizombes
Acheche anazingua sana
😂😂😂 daaa wanang nimewakubal,watoto wakishua hawaelew hiz wamezoea Game Of Throne..hawajui utam wa hiz mmbo.gonga like km wew mtt wa kiswaz
Kama unaelewa kingereza ni vgumu kuzikubali movie za aina hii
Rich Wayne hili goma la kiswazi halihitaji mapozi
@@feezdidthis2220 sitaki kupingana na wewe katika statement yako ,ila hata Mimi nilikuwa hivyo hivyo,lakini Kuna movie zikawa zinanipa mashiko kuzielewa yaani kujuwa maZingir coz unakuta Kuna movie Yani mwisho ndio mwanzo yini zinakuwa zinachanganya changanya Sasa hata lungha yako inakuwa unaelewa tu Nini wanasema ,Ila Ila sio kuzichimba,Kuna movie ngumu ndugu,watu wanatumia akili unaweza angalia mwanzo mwisho lakini usielewe kitu sio lugha aaaah Yani kuilewea movie kiundani ,najuwa lugha nne , lakini sio kitu kwangu na nikaacha huo ujuaji ety kisa najuwa kingerezaa, kihindi au kikorea kitanisaidia ,so niliacha ujuaji wa watu wanionapo nangalia movie ambazo hazijatafsiliwa nionekane kwamb lugha naijuwa ,Ila sometimes huwa nazingalia ambazo hazijatafsiliwa , just to improve my languages ,Ila movies zao nazipenda zile chumvi zao yeah.
KAMA UNAAMINI DJ MACK NDIYE BINADAMU PEKEE TANZANIA KUTAZAMA FILAMU NYINGI ZAIDI, GONGA LIKE TWENDE SAWA.
Huyu jamaaaaa hatareeee
So kweli
😂😂😂😂😂 daah umewaza
Yupo vizur ata filamu ikiwa mbayaa
Hahaha😂
Aisee huyu alinifanya nitembee kwa mguu kutoka school ili nauli iwe kiingilio cha kwenda kuangalia move ya mazombie aliyo tafsir huyu jamaa
😁😁😁
Veronica poaenergy hahahahaaaaaaa,ulitishaaaaaaaaaaa
Veronica poaenergy mm niliiba hela ili nikaangalie movie zake
Hahahahahah we umetisha
Pamoja
huyu jamaa ni talented@dj mack
Bila saut ya huyu jamaa siangalii movie asee,Chechen production
Dj mack naitaj group lako kama unalo
Company hataree sana hii .wengine wanazingua tu
hakuna kuna ommy dj wa arusha huyu mack anakaa
@@ramadhankassimurassa946 we unaakili Kweli jamaa,muulize huyo DJ wako mack anamchukulia kama nan ndo uje ucomment
Kabisa
Alie angalia move ya DJ mack Leo yoyote ile gonga like twende sawa
Kwa Mara ya kwanza kabisa kumwona DJ mack aisee. Hongereen 24 kwa exclusive hiyo
Shout out to Bily Duke aka DJ Mark.👍👍you made my day hommie as I was waiting to c your interview
Big up
Kumbe mpemba mwenzangu huyo, haya wazenji nipeni like zenu, kwa ajili ya dj mack anae tizama movie nying tanzania..
Dj mack nakupenda sana jaman me sahuti tu nazimika 💕💕💕 so much from +968
Mariamu Mariamu habar za Oman dia
@@shadutavy8148 Mimi je
Waaaao mery
Mariamu Mariamu hhhhhh haya Dada
Mariam naomba namba zako na mim niko hapa muscat
DJ mack ni nomaaaa sana movie anazotafsiri ziko qonky sanaaaaaa gonga like yako hapaaaaaaaaa
Namkubali sana mzee full respect family ache che production
Mtangazaji uko vizuri sana, maana ni moja ya watangazaji wanaotumia weledi mkubwa maana hujakurupuka.
Atali jama
Naa nyakati ni za usikuu usikuu
Yoyot anae amini huyoo boss anajua asipitee hapa bili like
Nakubali mack & mtangazaj unauliza maswali ya msing sana big gp xan
TEAM Rufufu tujuane hapa
Wakongwe woote wa zaman
Tujuane
Sijawai kukuona DJ Mack Leo kweli nimekuona kazi nzuri sana kaka
Kutoka ndani ya acheche production mimi ni Dj mack jijijijiiii mashineeeeee!!!!! Nakukubali sana kakaa
Wazanzibar tunajivunia vipaji tunavo Alhamdulillah 🙏🙏🙏
Kwan hapo wamesem wanaongelea utaifa acha ubwege ww
Ww mbwa unasemj kwn bweg c ni wew na...pumbv
mbn hafanyii kazi zanzibar
Acheni ubwege uo, Kwani pesa ya bongo na znz zina utofauti gani???? Ubaguzi tu
*_Big Up Sana Bro Kiukweli Big Up Sana Binafsi Mimi Nikikuta Picha Aijawekwa Sauti Yako Sichukuii Unajua Sana Movie Gani Wanaume Tunapenda Mungu Akupe Umri Kupata Jina Na Kupendwa Ni Kazi Kubwa Sio Swala La Kuchukulia Poa_*
Mm mwenyewe move za dj mack hata iwe mbaya naangalia tu maana unanikosha sana kiufupi unajuwa hakuna kama dj mack
vokko za kivampaya idara ya acheche production nakukubali was moves uko vizuri
Adi mm movie bila DJ mack siwezi kuitazama
Kwel kabisa lakin uyu jamaa namfahamu kitambo anaishi buza
bila kupepesa maneno jamaa wewe ndio zembwela ujae unajuaaaa sana broo soba
sana tu DJ mark ambae yuko na mark like here
Serikali iwaangalie hawa watu wanatupa brudani sana sio kwamba muvi zetu atuzitak ila kila mtu anakitu anachokipenda mm sizoni unitoi kbs Mungu akujalie dj nakukubalikinoma
Nakubali sana happy to see him.
Dj mack nakubali kazi zake na nina bonge la move nataka nikuletee Dj
Dah mack wew ni noma sana Mzanzibar halisi nkubali san kaz zko big up
Jembe from zenj nikwetu wakilisha Tz big up brother upate day ujekula Shok Shok Zanzibar
Mkali wet tunampenda xana sasa tutafutie na DJ Raja tumfaham mzee wa hiyo hapo namuuu kama unaungananamim gonga like twende sawa
dj mack mashinee nakukubali sana mzee baba kazi nzuri mwandishi fanya maarifa umpate na dj M mzee wa hutokaa uamini dj safi sana huyu
Always I watch translated movies , bila ivo siangalii. Serikali inabidi iwajali watu hawa wanaotafsiri
Nakukubali pia dj black manizo fo shizoooo 😍 asantey sana dar24 kwa kutuonesha hawa watu munastahili pongezi kwakweli
Salha Salim uko juu
Oyoooooooo! Nakubali sana DJ mack like kubwa
namkubali sana asa pale in into the badland
Wanao tamani kumfahamu dj Murphy , Msati ,Hero Bm na wengine wote naomba tujuane hapa
Wazeee WA mazombiiii a.k.a wazee WA mdebwedo wanakuuuuuujaaaaa fiifiiiyuuuuu hatariiiiiii wanaumeeeeee,,,
Oya ww apo sio powa yaaaaaan
Mdebwedo hatari hakianza tu acheche acheche
Safi sana kaka
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Xpecial appreciation to Dj mark nakubali sana kazi zako
Umwambiye dj Mack aitafsiri film 🎦 ya #Rango yote kwaujumla
baba d.j maki wanakuuuujaa hasa jagwa poll
DJ MARCK kiboko anatisha sn na namkubali mbaya wala usimfananishe na yyte anayetafsiri film anajua sn
DJ afro
namkubali sn dj mack,mbali n kutafsri movie anazijua vizuri movie haraf uongo uongo hana hat ukiangalia subtitles yupo sawa
Kama kawa kama dawa kama kawaida
Ni kutoka idara ya acheche production nawaletea bonge la dubwana hili hapa yeeeba
😂😂😂😂😂😂
Anae kubaliana nami kama uyu jamaa anaweza ad anaboa agonge meza
Ok DJ mack nimikupende kwa utakasaju❤❤😮 ok. Mack
Wanakujaaaaa 😂 dj mack nakukubali sana yani movies hata ikiwa mbayaa ukitafsiri wewe lazima ibambeee big up bro we love u ❤
Nakubali sana dj mack ji mashine mzee wa acheche production nakubali bravoooo brooo una jua sanaaa 🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Namkubar sana dj Mack 100%✓
DJ mack mm nakupenda sana nipenamba yako ya whatssap nikutafute nakupenda kwa utangazaji wko mm nishabiki yko sana tena sana
*HUYU JAMAA NAMKUBALI NA NIMEKUWA NIKIIGIZA SAUTI YAKE MPAKA KAZINI*
😀😀😀 umetisha kijana
😂😂
Hah hah hah
Nakukubali sana DJ Mack babuuuu muvi uliyotafasiri wewe lazimaiwenzurituuu ninoma mimi ni dj mack team by msakatonge
DJ mack nakukubali san sauti yako naipenda San kwa ilo ongera san
KAMA WW NI MZANZIBAR BASI TUJIVUNIE KWA KUA NA JEMBE LETU HILI AMBALO LAWAKILISHA TZ
gonga like lako hapa
Kwakweli...
Muungano wetu tukufu udumu.
Big up DJ mack..
Aisee dj mack nakubali kazi yako 100% uko vzur xana
Kiufupi kaka uko vizur sana tena single movie -ata iwe mbaya ukiitafsirii tyuu inakuwa kalii
Acheche production huyu jamaa noma sana sisi huku Mbeya huyu jamaa tunamwitaga Acheche
Alhamdulilah nakumbuka alkuja kitaan kwetu mwaka2013 kutafasili muve napia nakumbuka alipaisha kwenye hyo muve.nakukubali mnoo J mashineee achechee babake
Asanteni Dar 24. Kwa kutufamisha uyu jamaa
Baba dj mack huna mpinzani hongera baba nakukubali zaidi ya unavo elewa💯💯💯👍
ELFU 5,000 NI KDG..NI zaid ya hapo m2 mzima MACK.
Daaa.....me nilijuaga jamaa atakua mwembamba daaa asee salute sana mwamba me ndo first time nakuona Mark
Namkubal xna DJ Mack big up bro...!!
Jumungggggg ebhn huyu jamaa dah we Acha tu bro mungu akupe maisha marefu bro mwenye TANZANIA YAKO kwenye yalE mamb yeTu ✊🌴📢👉🙏♠
Sauti yake ndo full stop duniani kama unahamini hivo ngonga like twende sawiya 👍
Jamaaa anatuburudisha alafu anasauti nzuri.big up sana DJ mark
#HAKunA km uYo mwbA wacha uhodae wake piA ametokA nazo mbali san tok. Hazipwendwe pk now nd habar ya mjini #gudworkbro love work 🙏🙏🙏🙏🙌
DJ mark a.k. kikuku
Toka ndani ya acheche production gonga like
mack wangu jaman bora Leo nimekuona live roho yangu imetulia, we kaka nakukubali sana.
Izi computer zita tuvunjaa mbavu yaan alipomaliza kumwambiaa nipeleka kwa DJ mack Yaan walivokimbizana tu so poaa
Nacheka peke yng duuu mbio Kama zote
Kutoka Kenya namkubali sana.
Mzee wa acheche producshizo
dah huyu jamaa nilijuag ni kamtu kembamba kam saut yake but pamoj mwamba💪💪
Kama na Wewe ulikuwa huamini kuwa ni yeye mbaka umsikie live gonga like 👍
Fikilia zile sauti zake anavyozitengeneza muda mwengine zinakuwa kama ina mwangwi
Mfano kama ile picha ya ANACONDA aisee huyu mtu ni hatari sana
Jina lake kamili ni ahmada abrahman abllah hamad kijiji alichozaliwa babayake kinaitwa kiziwani shungi mark dj hiyi nidam yangu kabisa ila nyumbani tunakutamani sana hatujakuona sku nyingi yani wwe ninoma sanaa
Dj Mack hatali sana
mzee we ni moto zaidi ya moto...ila saivi kazi zenu zinaingiliwa na wahuni hawajui hata kutafsili movies
Mtangazaji unajitahidi sanaaa bigup kwako utafika mbali?
Kwa Mara ya kwanz na muona ukweli DJ mack yupo vizur na mkubali kinoma sana
DAR24 Nimekubali kazi yenu Big up sana.
Kama wewe kweli unamkubali huyu jamaaa gonga like hapa dah huyu jamaaa noma
Aisee nifaham Dj mack Ni modo Kumbe mzee bonge la mtu.
Kama unamkubali DJ mack piga like ili ajue kama wanamsaport kz zake
Daah huyu jamaa namkubali sana kuliko madj wote, yupo vizuri saana
Namkubal sana dj mark kuliko dj mwengin yoyot 👍👍👍
Kwa malaya.kwanza ndo Namfaham DJ Macki
*Tutafutie na Juma Khan au chikongwe*
Ntalifanyia kazi hilo
Mshikaji namkubali sana yani. Hakuna zaidi ya MACK BAÀNA. CHEZEA MACK WEWEEE!!.
Napajua apo magengeni karibu na bakwata nyuma karibu na chama waapi mabomba nane kwakina kasbizo na pizo gonga like Kama unapajua yombo kwa wabishi ww!!
Hahaah nyumban Kiembe samaki
@@romyrae_tz587 nakubali baba Romy rae
Duh....
Nilikua nadhani ni kamsela
Kumbe ni Mwamba kweli😁😁😁
Jamaa anajua sana aisee
Dah heshima kwako Mark ndugu mtangazaji naomba namba yake ya simu
Namba yake ya nini au unamtaka tena
@@fatmanasornasor9047 😂😂😂😂😂😂
Yani mm mack unankosha kunogesha movee uwiiiii yaan achecheeee
Dj mack kidumeeeeeeeeeeeh nilkuwa cmjuw aiseeeeh
movie bila dj mack sawa na mboga bila chumvi from mozambique
Huyu ni Mkalimani sio Mtafsiri
ally jamshidi Nini tofauti baina ya mkalimani na mtafsiri
@@maheralmuayqily1900 Ukipata Jibu la Tofauti ni Copy Asee
Daaah! Mwamba anatisha saaana aisee! Kiufupi huyu ndo Chaguo langu kbx💪💪💪
Mtafute na dj Omary au Ommy D, utakubali pia kazi zake
Kama unamkubali ommy d gonga like
Namkubali Sana Ommy D
Uko vizuri mtangazaji