LILITH ALIZAA NA ADAMU WATOTO 200 AKAWAGEUZA VIUMBE WA AJABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 201

  • @sublimesiribo6153
    @sublimesiribo6153 20 วันที่ผ่านมา +6

    Yesu Kristo tu ndiye Bwana na mwokozi wa dunia, atakaye mwamini ataishi milele

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza haya yote ya nini kitu kikubwa ni kumwamini YESU awe BWANA NA MWOKOZI na kuishi maisha matakatifu yatosha

  • @Gwakisastockscrypto-hz1oi
    @Gwakisastockscrypto-hz1oi 23 วันที่ผ่านมา +4

    Ufunuo wa Yohana 1:7
    [7]Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.

  • @mteuledavie5972
    @mteuledavie5972 11 วันที่ผ่านมา +2

    Wanaopinga habari hizi sio kwa kupenda kwao ndugu yangu hapo ndipo uelewa wao umefika na hawana haja ya kujua zaidi. Nami nilipingwa sana wakati nilikuwa nashare habari hizi.

  • @PaschalMjika
    @PaschalMjika 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanzo 2:18 Mungu anasema si vema mtu akaye peke yake , Neno linasema kabla ya Hawa Adamu alikua peke yake acha kudanganya

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi wa Mungu ni muhimu sana kusoma theolojia. Mtumishu, ukisoma mada ya Inspiration and canonization utagondua kuwa unachozungumzia sio maandiko.

  • @RahayirwaCelestin
    @RahayirwaCelestin 24 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mwalimu unatugengeya imani endelea kutusha mi nakuflow nikiwa Rwanda ❤❤❤

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 9 วันที่ผ่านมา

    Imani potofu hiyo ,pole sana kama lilithi ni roho basi na Adamu ni roho acha uongo,kasome thiolojia.

  • @DanielMollel-p9z
    @DanielMollel-p9z 21 วันที่ผ่านมา +4

    mimi namunga mkono uyu mwamba. Sisi binadamu atujui vitu vingi sana

    • @JoshuaAizack
      @JoshuaAizack 19 วันที่ผ่านมา

      Except sisi kenge tunajua mengi mno

  • @fabiaonamiva3430
    @fabiaonamiva3430 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna ulimwengu WA kiroho kwanza na WA kimwili.
    Adam ktk ulimwengu WA kiroho alikuwa na mke na alipokuja huku aliumbwa peke yake baadae alijisikia kuwa na mke mungu akamtengenezea Eva kutoka kwenye mwili wake

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 7 วันที่ผ่านมา

    ndugu kujuwa hishoria ya biblia siyo zambi tafazali niutafiti wa neno na maarifa kineno tafazali
    Mwalimu ,Benson iko sahii tafazali

  • @odemarypeter4935
    @odemarypeter4935 6 วันที่ผ่านมา

    I would advice you guys to centre on wwhat we know! What we dont know are not ours! Kumb 29:29 .Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.
    Yesu ni njia kweli na uzima Yohana 14:6, hilo lanitosha kufika mbinguni. Mengine nitajulia huko huko

  • @WilfridaMarika-qc5dp
    @WilfridaMarika-qc5dp 17 วันที่ผ่านมา +3

    Nashukuru MUNGU Kuwa injili iliyo katika biblia hii ya vitabu66 inatosha kunifikisha mbinguni,sioni umuhimu wa hizo historia.Mwanamke akisimama kwenye nafasi yake na mwanamume akijijua yeye ni nani na akasimama kwenye nafasi yake Dunia ni paradiso.Tusipoteze muda kwenye historia

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 10 วันที่ผ่านมา

      Ndiomaana sie waislam hatuelewani na wayahoud ni washenzi hivi hizo stori anazozitoa huyo hata nyie wakristo zinaendana na imaniyenu? Au mafundishoyenu?

  • @alexsinkamba179
    @alexsinkamba179 15 วันที่ผ่านมา

    NAKUELEWA SANA SANA MWL BENSON.ENDELEA KUTOA VITU ADIMU AMBAVYO WENGI HAWAJUI KUHUSU UKWELI HIO.UBARIKIWE SANA

    • @lutenganoclement9357
      @lutenganoclement9357 12 วันที่ผ่านมา

      mmmmh kama alisema sikuzalii watoto labda tuzae watoto wetu wote je hao 200 na zaidi aliwatoa wapi

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 23 วันที่ผ่านมา +3

    Hata Christmas nayo ya kishetani. Ndiyo maana rangi zao zile zile, nyekundu nyekundu.

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ina maana kitabu Cha Mwanzo ambacho ni miongoni Kwa vitabu alivyoandika Musa kutoka Kwa MUNGU vinasema uongo wapendwa tusome NENO LA MUNGU na kulitafakari la sivyo jehanam Iko nje nje

  • @DennisWaweru-ml4lf
    @DennisWaweru-ml4lf 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hata jamani haya mambo yote yote yanatusaidiaje sisi kama wakrsto mwanzo tunafaa kufuata yesu na yesu hafundisha vitu kama hivi

  • @JoshuaDavid-gl7hv
    @JoshuaDavid-gl7hv 23 วันที่ผ่านมา +3

    Shida waafrika sio watafiti hasa kwenye kusoma vitabu

  • @brunomastalae9750
    @brunomastalae9750 22 วันที่ผ่านมา +1

    Limited knowledge inatutesa sana

  • @emanuelmwihambi7994
    @emanuelmwihambi7994 23 วันที่ผ่านมา +3

    Kwahiyo neno la mungu limechakachuliwa

    • @JoshuaAizack
      @JoshuaAizack 19 วันที่ผ่านมา

      Ndio hutakiii!!???

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 19 วันที่ผ่านมา

      Ukweli uliopo bibilia imechakachuliwa sana wao Kila wakiona Kuna jambo lao litakwama wanabadili wanaleta nyingine vile wanachukuwa wanaficha ila Kuna baadhi ya mambo Yako sawa kwa asilimia 100% ila kwa anachokifundusha ndugu ni kufuru kuwa adamu alikuwa na mke kabla ya Hawa coz ata kwa wachakaxhuaji kwao aikua na madhara yyte mapaka kuficha ukweli na Kuna baadhi ya maandiko Yana shadiana kabisha na mafundisho ya kiislamu

    • @saidyande
      @saidyande 17 วันที่ผ่านมา

      Ndio

    • @sgjjkwbueow
      @sgjjkwbueow 9 วันที่ผ่านมา

      Na inaendela kuchakachuliwa, matoleo mapya ya bible Kila mara na hizo bible apps Kila mtu anaondoa na kuweka anachotaka.

  • @NehemiahSimtanda
    @NehemiahSimtanda 24 วันที่ผ่านมา +2

    Haya ndio yale alivyo yakataa Mtume Paul 1timotheo1:3-4; 4:6-8, 2timo2:16, Tito3:9.

  • @MtumishiTVn2l
    @MtumishiTVn2l 9 วันที่ผ่านมา

    Ni mwongo sana uyu baba

  • @NehemiahSimtanda
    @NehemiahSimtanda 24 วันที่ผ่านมา +1

    Haya ndio yale aliyo yakataa Mtume Paul 1timotheo1:3-4; 4:6-8, 2timo2:16, tito3:9

  • @frankjoseph6200
    @frankjoseph6200 8 วันที่ผ่านมา

    Hii mada mwasisi wake ni Kaini na kwa ufupi wa uelewa huyu mtu anasoma kitabu cha kinaitwa henoko ambacho si miongoni mwa mavuvio. Hadithi za kufikirika inasikitisha kuona zinapigiwa kampeni Mungu atusaidie uongo huu Yesu akija atauondoa

  • @NyariNyari-r6c
    @NyariNyari-r6c 8 วันที่ผ่านมา

    Hizo story bila Neno ni uongo

  • @MozesCostantino-cp3yv
    @MozesCostantino-cp3yv 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nimekuelewa sana mwalimu

  • @Zablon-y8n
    @Zablon-y8n 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anakera sana unatutoa kwenye ukweli ili tuuamini uongo

  • @Ben-kc1om
    @Ben-kc1om 23 วันที่ผ่านมา +2

    Acha kusimulia movies

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 10 วันที่ผ่านมา

    Sisi wanatheologia tunakuelewa na hujakosea upo sahihi sana

  • @Hondwa
    @Hondwa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Isayawewe Umebarikiwa kwa isokuwabaraka hauwezi kufafanunuwa hayamambo

    • @Hondwa
      @Hondwa 22 วันที่ผ่านมา +1

      Hiyihaieleweki lakini urudi kimaandiko ili tuelewe apana vitabu vya inoki semavita vile tunajuwa kwani Sisi tunategemeya hukumu kwenyevitabu ambanvyo tulipata juhumu haitakuwa kwamtu ambayehajuwimaandiko

  • @AlexBoniphaceKamomole
    @AlexBoniphaceKamomole 24 วันที่ผ่านมา +2

    BORA HAYO MAMBO YASIJILIKANE.YATAICHANGANYA DUNIA.

  • @MarthaJoy-lx2qk
    @MarthaJoy-lx2qk 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mwalimu mimi nime kuelewa vuzuri

  • @AutocomJapan-e3k
    @AutocomJapan-e3k 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mwalimu nina swali. Mwanzo 5: 2 . ADAM maana yake nini kama Mungu aliwaita wote ADAM.

    • @M9Jimmy
      @M9Jimmy 23 วันที่ผ่านมา +3

      Neno ADAMU kwa kiebrania maana yake ni mchanga au mavumbi

  • @aooshosho4255
    @aooshosho4255 14 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili lugha ngumu Sana Kwa wengi huyo Kiswahili hajui ndio maana anafundisha uongo.

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 19 วันที่ผ่านมา

    Kiumbe Mwanamke ni wahatari na mtu wa ajabu sana

  • @MaxwellTony-i9b
    @MaxwellTony-i9b 11 วันที่ผ่านมา

    It's real real,,,,very very true

  • @rogerwillibrod7825
    @rogerwillibrod7825 11 วันที่ผ่านมา

    Najalibu kumuelewa na hii ni ukweli usio pingika kwamba kuna mambo mengi ambayo biblia haizungumzi lakini ukiingia ndani ukatafakari unapata majibu, mfano kitabu cha mwanzo kinamuonesha adam akiwa yeye na familia ya watoto 2 na mke wake pekee lakini ukifika sura ya nne MWANZO 4:16-24 unamuona kaini anapo asi na kumwua ndugu yake na anafukuzwa na kwenda kukaa nchi ya nodi jirani na eden na huko anapata mke wanaoana na kuanzisha uzao wa wanadam. Sasa unajiuliza swali huyu mke wa kaini alitoka wapi? wakati dunia ilikuwa na wanadamu 04 pekee. Ndipo unagundua hawa ni miongoni mwa watoto wa mwanzo wa mzee adam kabla ya kaini na abel ambao biblia haisemi aliwazaa lini na nani lakini uhalisia jinkwamba tayali adam alikuwa na uzao mwingine kabla kabla ya huu tunao usoma kwenye biblia

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 13 วันที่ผ่านมา

    Lilith ni story ya kufikirika, haijavuviwa ndio maana haikujumuishwa kwenye neno la Mungu.

  • @jobsembuche3846
    @jobsembuche3846 21 วันที่ผ่านมา

    Simulizi za wayahudi haziwezi kuwa neno la Mungu. Hizo ni simulizi zisizo na uvuvio wa Roho Mtakatifu, ni hatari kupokea simulizi za historia ya wayahudi na kuzichukulia kama neno la Mungu. Hapo ndipo upotoshaji wa Biblia unapotokea.

  • @joramkyando9259
    @joramkyando9259 23 วันที่ผ่านมา +4

    Kama wewe umemchagua Yesu kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako, unabishania nini hapa? Mimi nazisoma na nazipenda historia zote na ziko sahihi sana tu ila hata miaka ile nikiokoka niliamua kubeba chenye umuhimu kwangu

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 10 วันที่ผ่านมา

      Ndo mulivyo wakristo wengi yan ukiambiwa Ibrahim ni baba wa imani unakubali ukurasa unaofuata ukiambiwa Ibrahim alikua mzinifu kamzaa Ismail kwa kuzini unakubali ili mlad tu manenohayo aseme mchungaj yani kusoma aaah hata biblia sie waislam tunaisoma kuliko nyie chungeni angrikan wameshatangaza ruhsa ya ndoa za jinsiamoja mutakuja kuambiwa muowane mtasema ni sawa tu

    • @joramkyando9259
      @joramkyando9259 10 วันที่ผ่านมา

      @mustafamsati9599 sijajua unanikadiriaje au umenielewaje, wewe sio wa kwanza kuamini unachokiamini(Mtume) maana wa kwanza kwa wanawake ni mkewe Bi Khadija, na wa kwanza kwa wanaume ni Abuubakari swidiq, hukuwepo.. Tazama umeichagua imani ambayo ina mnyororo mrefu sana ukweli wa mambo umeubeba moyoni mwako, process hyo hyo ndiyo nimeipitia mimi kumuamini Yesu Kristo hakuna Mchungaji wala Kiongozi wa dini kanilazimu ila ni kweli iliyo ndani yangu ambayo inanifanya kuexpress the reverence and adoration of deity.

  • @emmanuelmwaka6070
    @emmanuelmwaka6070 19 วันที่ผ่านมา

    Kumbe wanawake wanaodai haki sawa, wanaroho ya Lilith ndiomana kuachana kumetaladadi sana 😂😂 Lilith niachie my wangu

  • @MrNoah-gr7rq
    @MrNoah-gr7rq 11 วันที่ผ่านมา

    Nikweli hapa nakuba100

  • @saidyande
    @saidyande 17 วันที่ผ่านมา

    Tuko mbali sana na ukweli hii imeipenda sana

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 8 วันที่ผ่านมา +1

    Swali: Huyu jamaa naomba anijibu hii elimu aliipata katika Chuo gani ambacho wachungaji waliopo hawana na hawafundishi makanisani???

  • @KevineKataka
    @KevineKataka 23 วันที่ผ่านมา

    Amini 😂❤🇰🇪🙏👍

  • @GeneralLema-tx9pz
    @GeneralLema-tx9pz 10 วันที่ผ่านมา

    SIO KWELI KAKA...HAPA UNAPOTOSHA NA MITAZAMO YAKO😂

  • @geofreymwakasaka8025
    @geofreymwakasaka8025 15 วันที่ผ่านมา

    I wish ningekutanishwa na huyu ndugu kwenye media tu debate facts, huu ni upotoshaji wa kiwango cha lami

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 23 วันที่ผ่านมา +2

    JAMAA ANAELEZA UKWELI TU NASHANGAA WENGINE
    WANAMUONA MUONGO, AMESEMA DUNIA IKO MBALI SANA NA UKWELI.
    VITU TULIVYOAMINISHWA VINGI NI UONGO. BADO ZIPO ELIMU ZAIDI HATUZIJUI.
    VITABU VYA DINI NI VIZURI KUVIJUA LAKINI TAFUTA HABARI.

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh 22 วันที่ผ่านมา

      Kweli Yesu anaporudi atakuta wamesalia 25 tu wenye imani ya kweli wengine wengi mtakwenda kwa mafundisho ya uongo.
      Soma habari za ubatizo wa Yesu haswa baada ya kubatizwa pana ujumbe mkubwa sana pale, kisha kabla ya kuteswa akiwa Bustanini baada ya kugeuka sura pana ujumbe wa pili wenye njia ya kweli. Sauti iliyotoka kwenye wingu imetoa maelekezo.
      Sasa hawa mnaorudi nyuma kutengeneza historia zenu mtahukumiwa vibaya sana na adhabu zenu anajua anaekileza moto wa Jehanamu

  • @JosephMasinga
    @JosephMasinga 11 วันที่ผ่านมา

    Huu ni uongo kwa asilimia 100% Biblia Takatifu haijasema kitu kama hicho!!!😢😢

    • @cleophacekalilo2729
      @cleophacekalilo2729 10 วันที่ผ่านมา

      Siyo uongo ndo ukweri huo kila kiti hakijawekwa ndani ya biblia fungua ufahamu wako

  • @barakajosephmwangalika2603
    @barakajosephmwangalika2603 15 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wanalipwa ili kupotosha watu... Niwakati wenu sikuile nikifika yote yatakua wazi

  • @Noelkashilila
    @Noelkashilila 9 วันที่ผ่านมา

    Nisaidie baada ya lilithi kuolewa na Samuel je aliza nae watoto wangapi?

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 23 วันที่ผ่านมา

    Mwanzo 1:27 Inaeleza Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake. Mwanzo 2 inaelezea zaidi kwamba ilikuaje habari ya Lilith ni Uongo.

  • @hemedimsigwa6397
    @hemedimsigwa6397 11 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu unadanganya hakuna hicho kitu

  • @kalukwellajoseph5439
    @kalukwellajoseph5439 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa hawezi kujibu hilo swali, WAULIZENI WACHOKONOZI.

  • @Ba63828
    @Ba63828 11 วันที่ผ่านมา

    Ukweli ni kwamba hakuna Mungu

  • @NyariNyari-r6c
    @NyariNyari-r6c 8 วันที่ผ่านมา

    Huyo Lilith kaandikwa wp kwenye bblia?

  • @albansterwart1938
    @albansterwart1938 14 วันที่ผ่านมา

    Tupe maandiko ya Lliath kukataa kuongozwa na mwanamume!

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 22 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana kama kitabu chenu kimetafsiriwa mara 1148 😢😢😢kuna usalama kweli apo?

    • @MbogoSouljah
      @MbogoSouljah 22 วันที่ผ่านมา

      Its 1648 and not 1148 na hio sio tatizo

    • @JohnG-n8e
      @JohnG-n8e 22 วันที่ผ่านมา

      Hapo tumepigwa si unaona falme ya mashoga ndo imeandika bible ya mwisho tunayotumia

    • @Aisha-e3j1d
      @Aisha-e3j1d 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@JohnG-n8e😂😂😂

  • @DennisWaweru-ml4lf
    @DennisWaweru-ml4lf 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe leta hivyo vitabu uzisome, tuvione ,tuvichinguze hata waandishi achana na hekaya kijana

  • @masabarakizajustin5868
    @masabarakizajustin5868 23 วันที่ผ่านมา

    Asante. Na Goliath atakuwa ni miongoni mwa watoto/vitukuu vya Lilith?

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 22 วันที่ผ่านมา

    Sikia wewe unaepotosha mandinko Adamu wa Kwanza ni roho ndie alieumbwa kwa mfano wa Mungu Adamu wa pili ni mwili wa udongo ,unaopinga Mambo ya kiroho,wewe unapotosha watu Adamu na Eva ni yule yele aumbwa Mara mbili wakiroho na wa kimwili,
    Yesu kristo amekuja kumfanya mwanadamu azaliwe Mara ya pili kwa roho,maana mwili na damu havitarithi ufalume wa Mungu

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 19 วันที่ผ่านมา

    Na pia vipi kuusu Christmas 🎄 hii sikukuu imekaaje mkuu mbona ipo tofauti tuna taka kujua kuusu Christmas

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 16 วันที่ผ่านมา

    "King Henry VIII had several children from different women, but only three were legitimate and survived past infancy. These were King Edward VI, Queen Mary I and Queen Elizabeth I."
    Nimelazimika kusoma historia ya kizazi cha king Henry viii. Wewe mwenzetu umepata wapi historia kwamba king Henry viii alikuwa shoga na hakuwa na mtoto hata mmoja?

  • @cleophacekalilo2729
    @cleophacekalilo2729 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba utaratibu wa kuuliza maswali ili yajibiwe kwa njia ya video kama hii

  • @JoshuaDavid-gl7hv
    @JoshuaDavid-gl7hv 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nimewahi kusikia hii hadithi ni ya kweli

  • @PaschalMjika
    @PaschalMjika 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo Biblia ya kiyahudi mbona huisomi hapo

  • @ErickJosephmlay-kf2sy
    @ErickJosephmlay-kf2sy 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba za maswali jmn

  • @geofreymwakasaka8025
    @geofreymwakasaka8025 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu ametengenezwa kupotosha jamii kuhusu uhalisia wa maandiko matakatifu

    • @abdalahmwendafeysal9093
      @abdalahmwendafeysal9093 12 วันที่ผ่านมา

      Hayo maandiko uliokaririshwa ni machapisho ya watu wenye masilahi na hicho walichochapisha ndio maana ukaambiwa biblia unayoisoma leo imebadilishwa mara nyingi

  • @Zablon-y8n
    @Zablon-y8n 11 วันที่ผ่านมา

    Kesho atatuambia mwanadamu alikuwa nyani, sokwe,nk

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 23 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe isaya ni kichaa Sana unapinga biblia Adam mkewe ni Hawa wewe hachana na biblia wewe unapotosha jamii

  • @MartinMhina-z1c
    @MartinMhina-z1c 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe jamaa unadhani unaweza kutuongopea tukakubali yaani wewe ujue mambo ya hiyo dada ila manabii hata Mmoja asimtaje

  • @JohnG-n8e
    @JohnG-n8e 22 วันที่ผ่านมา

    😮kumbe bible tunayosoma imeandikwa na ufalme wenye mashoga ndani yao , haina haja ya kuiamin sasa

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 24 วันที่ผ่านมา

    Toa ushahidi

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 23 วันที่ผ่านมา +14

    KAKA UMEONGEA MAMBO MAZURI TU YA KIHISTORIA LAKIN NAKUPINGA KWA ASILIMIA 100 KUWA ADAM ALIKUWA NA MKE MWINGINE NA KUZAA WATOTO ZAIDI YA 200. KWANZA UELEWE PEPONI HAKUNA KUZAANA KULE NI STAREHE TU. ACHANA NA HISTORIA YA WAYAHUDI YA KUPOTOSHA UKWELI WA MWENYEZI MUNGU.

    • @acadaj
      @acadaj 23 วันที่ผ่านมา

      😂 kwa hiyo Adam
      alikua peponi??

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 23 วันที่ผ่านมา

      Yaani wewe ni mbumbu ktk masuala haya bora ungekaa kimya.

    • @makwayapasian4296
      @makwayapasian4296 20 วันที่ผ่านมา

      Eti unampinga Mwal huna ushahidi kaa kimyaa kenge mmoja,asiye elimu yoyote

    • @barakambuzeyonja6935
      @barakambuzeyonja6935 19 วันที่ผ่านมา

      Kenge tena mahali hapa ajabu hii

    • @lubegajosia973
      @lubegajosia973 19 วันที่ผ่านมา

      Naomba namba Yako ya simu.

  • @samuelbuyu2826
    @samuelbuyu2826 22 วันที่ผ่านมา

    Shida ya wakristo wengine ni kueleza mambo ingine na ujasir nikama yeye ndiye muanzilishi wa mambo ya mungu.sidhani kuna mkristo atakubaliana nawe hasa kuwa Adam alikuwa na mke mwingine.mwqnamke huyo kwenye studio naye kazi yake ni kupanua mdomo na kukubaliana na kila kitu

  • @joshualusato2099
    @joshualusato2099 23 วันที่ผ่านมา

    Usidanganye watu kwa lengo la Kuwapotosha.

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 7 วันที่ผ่านมา

    Unapo mupinga naweye hauna ufahamu nikama.unapoteza muda

  • @stanleymsoffe1627
    @stanleymsoffe1627 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe ni mmoja wa uzao wa nyoka!!! Ambaye ndie baba wa uongo wewe ni muongo pure!!! UNAPOSEMA TUPO MBALI NA UKWELI WEWE NDIE UKO MBALI.... Mimi nitabaki na Imani ya kuwa YESU kristo ni BWANA na mokozi wangu.wewe mfuate lilith

    • @Tanzaniayangu-g8v
      @Tanzaniayangu-g8v 15 วันที่ผ่านมา

      Ww ndo hutaki kuongeza uelewa wakutosha na hutaki kujifunza, kikubwa mwamini Yesu Kristo lakini katka kumuamini inabidi uelewe msingi na dunia ilikuwa imefikia wapi mpaka Mungu akaandaa mpango mwingine wa kumuokoa mwanadamu kwa kumtuma huyu mwanae. Mtu umezaliwa na kuzeekea kwenye wilaya hiyohiyo au nchi hiyohiyo na hujatembea kwenda nchi nyingine unaamini kile ambacho umekua unakisikia tu, tambua dunia ni pana, imani kuu za dunia hii zifuatilie kuna vitu utajifunza na kukuza kiroho zaidi.

  • @eliaskwizera34
    @eliaskwizera34 19 วันที่ผ่านมา

    Baba unadanganya kabisa

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 13 วันที่ผ่านมา

    Biblia ndio neno Mungu na biblia haina LILITH

  • @barakalawrence742
    @barakalawrence742 22 วันที่ผ่านมา

    Yalitabiriwa haya kuwa kutatokea walimu makundi makundi wenye kufundisha yaliyo yao wenyewe,acha uongo ,vitabu vyote tunasoma ila su kitabu ni cha kweli .

  • @KulwaFrancis-k8z
    @KulwaFrancis-k8z 21 วันที่ผ่านมา

    Je, nani ana makosa kati ya MUNGU aliyeziumba dhambi (uovu/mabaya) au shetani au ni adam&Hawa?

  • @Bahati47
    @Bahati47 23 วันที่ผ่านมา

    Haya nayo mapya 😂😂 Dunia Ina mambo hii

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂Khaa yaani hizi mitandao ya kijamii na youtube kuanzisha huu ujinga wa kulipa watu imekua shida sana.
      Mafundisho mengine yanatoka kwa dini za kishetani wasiomuabudu Mungu ambao wamekua wanapotosha mafundisho ya imani ya kweli na wajinga wanasomba tu nakujiona wanajua sana. Sababu kwa mafundisho ya mwelekeo huu mwisho wa siku unamkana Mungu na kuona imani ya Kikristo ni ya kutengeneza.
      Cheza na yote usije ukamkufuri roho mtakatifu tu.

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 23 วันที่ผ่านมา

    😢Duu kumbe biblia ni kitabu Cha uongo sio Cha mungu maana kimejaa uongo. Mnazidi kutufichua mengi
    Maana sisi ambazo hatujabahatika kujifunza mengi maana sisi tulikuwa tunaamini kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa😅

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 19 วันที่ผ่านมา

    Shetani yupo kazini.
    Biblia inapotoshwa waziwazi
    Na watu wa aina hiii shetani anawatumia kwa kiwango cha juu.
    Hizi ni siku za mwisho mujiadhari na watu kama Hawa. SOMENI mathayo 24:
    Anafundisha fundisho lisilo kwenye biblia.

  • @SamwelLotuno-xo1jy
    @SamwelLotuno-xo1jy 23 วันที่ผ่านมา

    Nitapataje hicho kitabu

  • @jamhurilukungu3233
    @jamhurilukungu3233 20 วันที่ผ่านมา

    Lilith mbona hakutajwa hapo?

  • @benhola2032
    @benhola2032 23 วันที่ผ่านมา +2

    Lilith mke wa Kwanza wa Adam alijigeuza kua roho, then Adam yeye alishindwa kujigeuza akafa 😂😂ni mtu asiyefikiri anaeweza kuamini Ujinga huu.

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Kuna ripoti nimeisikia kwamba inasemekana, katika watu 5 mmoja wao ana matatizo ya afya ya akili,😂😂😂 kwa kweli naanza kuamini sasa. Huyu jamaa, mmh akatibiwe tu

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 23 วันที่ผ่านมา

    Mwakilembe nipe email yako nina jambo la kukuandikia

  • @elizabethkimwemwe7847
    @elizabethkimwemwe7847 23 วันที่ผ่านมา

    Kipofu akiongoza vipofu wote watatumbukia shimoni

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 21 วันที่ผ่านมา

    Lilith sijawai kuisoma Kwenye biblia nipatie ni sura ipi Kwenye biblia hii

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa 13 วันที่ผ่านมา

    Wapuuzi na mafundisho yenu ya kishetani huyu ni mwalimu wa kuzimu wanasoma kitabu chao cha kuzimu Moral & Dogma acha kudanganya watu na baba yako Ibilisi

  • @FrankMwandenga
    @FrankMwandenga 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo lilith emeandikwa wap kwenye bible

  • @kennedyemmanuel30
    @kennedyemmanuel30 17 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo kubwa hapa ni kukosa ufahamu wa kiroho kwa ufasaha
    Kitabu cha mwanzo kimeandikwa kwa ufunuo wa rohoni mwandishi wa Kitabu hiki Nabii Musa aliandika kwa ufunuo na kama Kuna Huyo mwanamke Lirith angeandikwa kwa uwazi.
    Sasa Huyu ndugu anafafanuwa Biblia kwa farisafa ya kisayansi na history inayopingana na ufunuo HARISI na Ndiyo mbinu ya Shetani kutaka kupotosha nafasi za watu...
    Habari hii ni Sawa na Ile YA watu waliosema Yesu alikuwa na Girl friend yaani Mariam aliyemmiminia mafuta miguuni NK.
    Tuwe macho Sana hii ni elimu ya kuzimu!!!!

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 23 วันที่ผ่านมา

    Swali kwangu hii nimafudisho ya bibilia ama hii ni mafudisho ya mashetani ?

  • @DennisWaweru-ml4lf
    @DennisWaweru-ml4lf 18 วันที่ผ่านมา

    Amesema mambo kuhusu tafsiri inamaana kila alietafsiri ana bibilia ya kwake ama maandiko ni Yale yele yalioko kiunani na kihibirania?

  • @zxcvbnmmkh
    @zxcvbnmmkh 22 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 Nachofahamu walio wa Mungu sauti yake wanaijua na watanfuata. Haya lazima yatokee ili kondoo na mbuzi wajulikane.
    Ndii sababu hata uanzishe dhehebu la kusali bila nguo utawapata tu. Wengine lazima wapotee sababu njia zipo nyingi, watu wanajilazimisha kumfahamu Mungu kuliko hata Mungu anavyojifahamu yeye mwenyewe.
    Ndio sababu leo mnasikia ndoa za jinsia moja, masuala ya ushoga hii ni kwa sababu watu wamepotoka, ile Sodoma na Gomora unayoisoma ndio hii tuliyonayo sasa. Wana wa upotevu wapo tu nahiki ni kipindi chao kuzidi kutokomea kwa maarifa yao ili hukumu iwakute.

  • @Zablon-y8n
    @Zablon-y8n 11 วันที่ผ่านมา

    ACHA UONGO,HAYO NI MAWAZO YA WATU,FUNDISHA NENO LA MUNGU ACHANA NA MAWAZO .HUBIRI WOKOVU,KAMA NI HIVYO ANDIKA BIBLIA YAKO UINGIZE HABARI ZA LILITH....

  • @DaudMarco-zc7nu
    @DaudMarco-zc7nu 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa nini sabato inasisitizwa sana katika biblia katika katika agano la kale na agano jipya licha ya wewe kuelezea ya kuwa agano jipya ilitupiliwa mbali ,je kwa nini yesu sasa anasema kuwa imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU?

  • @benjaminyilika9626
    @benjaminyilika9626 7 วันที่ผ่านมา

    Majina ya watoto wa lilithi NI yapi? Na kizazi chake Niko wapi, Dunuan uraya au afrika.
    Wanafanya Nini?