Special dedication to my wife, sweet mama kijacho. Kumbuka mbali kabla ya ndoa hadi sasa miaka mitano ndani ya ndoa. Still fresh, Allah atujaalie kila la kheir katika maisha haya. Kila neno kuntu. Old Goldie
Ishara niliziona,mwanzo nawe kukutana Habib hukujiona tukaanza kupendana Si leo wala si jana,ni zaman tena sana Wazaz walipo ona shauri wakapeana Pande zote kukutana nikkahh na kuoana Sasa ni bibi na bwana,raha kufurahiana
Nakumbakaah wakati ule mwanzo wa mahaba yetuuu Sito sahau enzi zile awali ya raha zetu Wewe na mim vile vile hatukuvunja utu wetu Tulingoja mpaka pale hakhi na halali kwetu
Bibie na bwana ndivyo tunavyoitana Tamtam kila namna daima tunapeana Hakuna katu hakuna kama wewe sijaona Roho yake Maulana makaa yako mwanana Iyaa mshaharu na sinina,maneno maneno na kugombana Pendo bado latuona si sababu kutengana
❤❤❤4REAL ATA WENYE KUCHEZA HIZI ISTRUMENT ZA TARABU NI WAKALI
Special dedication to my wife, sweet mama kijacho. Kumbuka mbali kabla ya ndoa hadi sasa miaka mitano ndani ya ndoa. Still fresh, Allah atujaalie kila la kheir katika maisha haya. Kila neno kuntu. Old Goldie
@ABUBAKARI ALLY It's true I was singing for her this when we was about to be married. I feel like it was yesterday
Ishara niliziona,mwanzo nawe kukutana
Habib hukujiona tukaanza kupendana
Si leo wala si jana,ni zaman tena sana
Wazaz walipo ona shauri wakapeana
Pande zote kukutana nikkahh na kuoana
Sasa ni bibi na bwana,raha kufurahiana
❤😊
Special vocals Special sounds hakikah ni wimbo mzuri sana.............pendo bado latuona si sababu kutengana ❤ my has B
❤❤❤❤❤ishara niliziona mwanzo na we kukutana❤❤❤❤❤#####OLD IS GOLD ###pambeeeeeeeee❤❤❤
Masha Allah a special dedication to my Hubby 5 years in marriage ALHAMDULILLAH
Sura zimeshafanana nyonyo zimeshashibana
Penzi lililoshikamana tuenzi ya Rabbana
Wow I'm from Somalia 🇸🇴 I like ❤️ Tanzanians People's 🇹🇿 and love Taraab of Zanzibar
MashaAllah ❤️
Bibi eeh naaam bwanaa
Ndivyo tunavyoitana
Doh utaniua mm
Sura zimeshafnana nyoyo zimeshibana penzi lililoshikamana tuenzi ya rabbana heee mazuri hayo
Mashallah Allah old iz gold ilove swabaha songs iz perfect mashallah Allah like yangu from Kenya
Taarab itabaki kuwa juu...mashairi yamepangika na sauti nzur, ujumbe unafika inavotakiwa....sabaha unasauti nzur mamaang😍
Mashaallah mashair mazur kusikiliza kwa wale waliopata wanaowapenda sisi wengine tunasindikiza tu 😔
sema nilete posa😊
Pole sn😮
❤
In memory of my late second wife Zawadi
Nakumbakaah wakati ule mwanzo wa mahaba yetuuu
Sito sahau enzi zile awali ya raha zetu
Wewe na mim vile vile hatukuvunja utu wetu
Tulingoja mpaka pale hakhi na halali kwetu
Bibie na mbwana ndivyo tunavyoitana tamtam kila namna daimaa tunapeana
Viva Old Is Gold Taarab Zanzibar
Ahsante Shangaz Sabah Muchacho
Ahsante Dada Nuru Muchacho
Naipenda sana we acha tu inanitouch
Maashaallah..! namshkuru m.mungu kwa kumpa afya mke wangu kipenzi Amina. leo miaka 11 sasa ktk ndoa bado tunapendana
MashaAllah... Love is always Love!!! Maneno matamu yaliopangika vyema!!!
🔥
Habibty inta mashaalla mashaalla from Muscat love yuu always💋💋💋💋💯💕💙
Mama n wakat wa kumrudia mola wako dunia ndo inakuacha mkono tartibu....tubia mamaang ukakutane na mola wako akiwa radhi na ww!
Ebu tuondolee upumbavu…rudi wewe ambae una muda wakuandika upuzi badala ya kuskiza mawaidha ama kufanya ibada…jilinganie wewe kwanza
Ndugu kukumbushana kupoo...ucmkarapie mwenzio ivoo...
Kweli sanaaaaa😢
NYOTE MOLA AWASAMEHE MAKOSA YENU NA AWAONGOZE KTK NJIA ILIONYOOKA AMEEN❤ KWANI HAKUNA MKAMILIFU
Kweli
Mashallah old taarab are so good ♥️Na nzuri mashallah 😘
Iiiii nyimbo au wimbooo
Utaishi kwenye Ubola mkubwa
Nikwamuda wote wadunia .je wafahmuu
Sauti kaliiiiiii
Nimaisha yamziki
Yanayo tugusa watu wadunian
Nakupenda mume wangu ☺️☺️
Classic taarab, we need more of these
yesssSS
15 years of pure 💕💕 Love u darling husband😘😘
Yaani ninapockiliza hii nyimbo hadi akili zinanisisimka jamani
Mashaallah Sabaha Salum unasauti nzuri sana
Asanta mama wimbo huu niliupenda sana hadi nikamshauri cameraman wang aueke Kwa video yng ya harusi
She's an amazing woman with golden voice Mashallah
Always
Hapo sasa msanii wetu sabaah.. namskizaa sana nikiwa mombasa
Mashallah mamangu🎉 mungu atakabalie kipaji chako🙏
Nampenda huyu mama jmn mashair yanachoma mpaka moyo
Mpenzi chocolate habiby lozy
Ishara nmeziona 🥰🥰
Bibie na bwana ndivyo tunavyoitana
Tamtam kila namna daima tunapeana
Hakuna katu hakuna kama wewe sijaona
Roho yake Maulana makaa yako mwanana
Iyaa mshaharu na sinina,maneno maneno na kugombana
Pendo bado latuona si sababu kutengana
Mashallah haya mashairi yananikumbusha mbali all the way from 🇦🇪🩶
Favourite song
Umeukosha moyo wangu Santana
Mashallah. Kitu roho inapenda
Yaani taam saana hii song
Habiby lozy mpenzi chocolate nakupenda sanaa❤️
Mapenzi ya dhati inshaallah Hadi mile🌹💞love you forever baby
This song taught me how to love passionately ❤...Swabah Mchacho
Bibie naam bwana ndivyo tunavyoitana tam tam kila namna mahaba tunapea hakuna katu hakuna
Like her poet..👌
Hi nitumie
It's reminds ma late husband ❤
Nitumie hii nyimbo yaitwaje
Inaitwa Tunapendana
mashallah mashallah i love it😍
The words🤗😍
❤❤❤❤❤❤❤ Mammas die 💥💥💥 enigste 🥰🥰 die 👏👏 Mens water
Mama anaimba sana❤
So nc 😍😍🥰🥰❣️❣️❣️❣️❣️🥰😍😍😍
❤
🥺❤️
nyiee 😍🥰😇
Eeee rararara wewewe nono jaman
2022😭🌊🌴💓
I love you my husband 😘
ISHARA😊
Dahari tutapendana,pendo kwetu ni dhamana
Huruma kuoneana,imani kuzidishana
Aalraii-noor-hasaanaa ama kweli twapendana
Aalraii-noor-hasaanaa ama kweli twapendanaaahhh
Hongera
Special dedication for my loml❤️🥰
😍😍😍😘
Nice song
Mashaallah
I love you Nuru Sehel 💗💗💗
Haki sinamaneno naiyonyimbo huwainanigusa tu sana
❤️❤️❤️voice
Namuenzi uyu mama
Maashallah
Wataka nn eeee raha
A❤🎉🎉
Yasalaam
Ama kwel twapenda
💓
😍
👏🏿👏🏿🎉
Nani yupo wa kunena tumsute kiaina
Tunasemwa kwa mapana jinci tunavyopendana
Mfano uliofana kwa kila anotuona
Mwenye kujua bayana ni ambari na zinduna
❤❤
🥰🥰🥰
Pendo letu ni dhamana
Nini bado
VMware 6 I⁸⁸
Ngom qll
🥰🥰🥰🥰
morden tarabu
nzur sana
KILICHOCHEMA NI CHEMA HAKIBADILI TABIA
th-cam.com/video/QSRdvEgww8w/w-d-xo.html
Nice song
❤