Dulla Makabila - Nikizipata (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ย. 2021
  • Available On
    Audiomack: audiomack.com/dullamakabila/s...
  • เพลง

ความคิดเห็น • 769

  • @YothamuMadinda
    @YothamuMadinda 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unatazama hii singeli mwaka huu 2024
    Gonga like hapa👎🏽✍🏽

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv 2 ปีที่แล้ว +18

    Mwenye
    Roho ngum apite bila likes kwa dulla

  • @PendoPaul-jq9kb
    @PendoPaul-jq9kb 6 หลายเดือนก่อน +9

    Dulla katulia anaimba hatoki jasho we sikiliza mistar❤

  • @kivumbidejunior9375
    @kivumbidejunior9375 2 ปีที่แล้ว +5

    We bwana unajua mpka unaboa fala ww ngoja nizipate nakuachisha mziki uje uwaimbie kuku wangu

  • @theresekwizerimana4044
    @theresekwizerimana4044 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hi imeeenda❤❤🙋

  •  2 ปีที่แล้ว +23

    Hii ni Moto🔥💥 Aisee Wapi Likes kwa Dullah

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa ombeni mungu nisizipzite mana mtajuta mnao nipenda na msio nipenda wapi kelele ya wa Kenya 💃💃💃💃💃💃😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kelvinmwaka4188
    @kelvinmwaka4188 2 ปีที่แล้ว +28

    Dulla ni bonge Moja la msanii kwenye tasnia ya singeli bongo namkubali Sana kwa uandishi wake cleartivity.

  • @eddirahmayor2389
    @eddirahmayor2389 ปีที่แล้ว +47

    Kwa kweli "Pita huku" ndio nyimbo imefanya nikapenda Dulla....its a bang bro much love from 🇰🇪

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 2 ปีที่แล้ว +114

    Humoo Humooo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-hz5nf8qp5w
    @user-hz5nf8qp5w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Team dula ndo mm from 001

  • @robertmbatha8188
    @robertmbatha8188 2 ปีที่แล้ว +157

    Wakenya tunaompenda dulla mko wapi?💯💯

    • @paulinemailu7543
      @paulinemailu7543 2 ปีที่แล้ว +2

      Tuko area kama bacteria 🦠😂😂

    • @onesmomgaya9973
      @onesmomgaya9973 2 ปีที่แล้ว +2

      Humohumo

    • @eunicethoya6021
      @eunicethoya6021 2 ปีที่แล้ว +1

      2po

    • @omar-bu4jg
      @omar-bu4jg ปีที่แล้ว +1

      Sanaa kenya 🇰🇪 ❤❤❤✌👍💪💯

    • @hamadibente2718
      @hamadibente2718 ปีที่แล้ว +4

      Tuko hapa, nkizipata namroga Ruto na Raila😂

  • @evansmakokha88
    @evansmakokha88 2 ปีที่แล้ว +26

    Yaaah,Dullah! Hii umeifanya vyema Sana hamuna kucheza chura. Hizo zingine hauwezi ona hata na wanao. Endelea hivi Dullah toa chura kabisa.

  • @evens5554
    @evens5554 ปีที่แล้ว +2

    Team Kenya oyeeeee

  • @hamchilla_ke1998
    @hamchilla_ke1998 2 ปีที่แล้ว +18

    Daaah kweli king of singeli, jamaa anajua mbaya sanaaa

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 8 หลายเดือนก่อน +5

    Never Dissapoint Makabila 🎉🎉🎉🎉

  • @karissamashauli8859
    @karissamashauli8859 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyo jamaa mfupi namfaham sana ananifrahisha sana

  • @VianeyShimirimana-c1k
    @VianeyShimirimana-c1k 27 วันที่ผ่านมา

    Naikubal il peleka gali kituoni il neno hamekokea ajali akafa deleva na mdogo akapon mcepuko burundi 🇧🇮oyeeeeeeeeeeee

  • @josephombaka
    @josephombaka 2 ปีที่แล้ว +23

    Kwa Mara ya kwanza naipenda singeli ya Dulah makabila good kijana coma lina maana coz waliozipata tunaona wanavyotusumbua hadi sasa

  • @evaomega6740
    @evaomega6740 2 ปีที่แล้ว +3

    Mboso Khan na baba levo atawalipia operation ya pua 😂😂😂🙌

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huu mziki Kufanya ni rahisi sana mana waongea chochote hauna vina hauna chochote

  • @jovinmajor8440
    @jovinmajor8440 2 ปีที่แล้ว +6

    dulla unajua kinomaaaa nakubali sana ngoma zako hii na ile ya dua na ile ya sema kweli unaubunifu atar

  • @braysonyakuza5959
    @braysonyakuza5959 2 ปีที่แล้ว

    Kabila Tisha Sanaa 📸

  • @vivianakizehe2885
    @vivianakizehe2885 2 ปีที่แล้ว +7

    Hapo kwa mkatoliki🔥🔥🔥

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah we muuni nomaa unajuw mpka unakera unamtimua mpka mo simba dah

  • @naylesh5212
    @naylesh5212 2 ปีที่แล้ว +1

    Ati humtafuti mke wa pili Kumi na wawili na ka haitoshi....baba umeweze mistari zako nazo....,,,,,,

  • @Ulasi_Jr
    @Ulasi_Jr 2 ปีที่แล้ว +2

    Mboso Khan na baba levo utafanyajee🤣😂🤣😂

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂🎉😂kulachumaaaaa💃💃💃💃💃🤸🤸🤸kweli nikizipata mtanikomaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂 kommet kamazoteeeee kwadulaaaaaa

  • @julaynicholaus5474
    @julaynicholaus5474 2 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa unatisha ndo maana ukajiita KING wa singeri we ni creator aisee!!???

  • @neemamhadisa4988
    @neemamhadisa4988 2 ปีที่แล้ว

    Mkorf san et opalaxhen y pua baba levo n mbosso 🙌😂

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 2 ปีที่แล้ว +60

    Hii ndio Singeli ya Kwanza kuiona ya brother Dullah na zingine bila vile vijora jora vyao mwishoni mwa nyimbo...
    🔥🔥🔥

  • @PendoPaul-jq9kb
    @PendoPaul-jq9kb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makabila hakosei huna baya unatupa Raha

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 2 ปีที่แล้ว +3

    Uyo aliyevaa element kwenye kikao ni noma😇

  • @dickikahese9681
    @dickikahese9681 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana mwamba dula makabila

  • @shangaziwataifa8675
    @shangaziwataifa8675 2 ปีที่แล้ว +2

    Oparesheni ya mbosso na baba levo puani jamaniiii kerooooooooo

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 ปีที่แล้ว

    Safi congregation

  • @jumannelamadhan7703
    @jumannelamadhan7703 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwezi kuzipata kwa matumizi ayo ata Mungu kashakusikia matumizi yako na kashakutoa kabisa kwenye foleni kwa ufupi utapewa tu pesa ya kula

  • @nassoromchoya2370
    @nassoromchoya2370 2 ปีที่แล้ว +2

    Twasubili sisi wakaz wa stakishari uje kupavunja tununue izo kuku

  • @skmelody4551
    @skmelody4551 2 ปีที่แล้ว

    Daaah mbosso Khan na baba Levo wapigwe operation za pua

  • @alertflavour1404
    @alertflavour1404 2 ปีที่แล้ว

    dulla hii Ngoma imenikosha sio Poa umetisha kisenge

  • @wesongaboston5949
    @wesongaboston5949 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Dula makabila napenda nyimbo zako sana. Ebu link up with me uje middle east upige bonge la show kweli.

  • @amourbenjaminmlindimla3151
    @amourbenjaminmlindimla3151 ปีที่แล้ว

    Unazidisha ugomvii dulla watu wameshaachana Bado unawataja kina moze kusa .unt na rubby

  • @purityangle
    @purityangle 2 ปีที่แล้ว +5

    Love your songs Dullaaaaa weeeeuweeeee 😘😘😘😘😘😘😘🇰🇪tunakukubali bro

  • @yusramchande6503
    @yusramchande6503 ปีที่แล้ว +2

    Wallah wimboo uko vizuriiii

  • @baghary1official879
    @baghary1official879 2 ปีที่แล้ว +1

    Faken Umeupiga Mwingi yaani naamanixha Unyama Sana mzee mwenzangu

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 ปีที่แล้ว +2

    KAMA PERNCE KADO VILE ❤😂❤😂

  • @lomyjames1564
    @lomyjames1564 2 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa ni fundi

  • @leonardkabuti6932
    @leonardkabuti6932 2 ปีที่แล้ว

    Tza huu ndo muziki tunapaswa kuusappoty sio hizo mapiano

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua msengeee ni nomaaaaaaa

  • @maryhosea3845
    @maryhosea3845 2 ปีที่แล้ว

    Ukizipata kwelii utupe sasa hela na sisi mashabiki zakoo😂😂😂

  • @shangaziwataifa8675
    @shangaziwataifa8675 2 ปีที่แล้ว +40

    I think dulla is underated..let's give him 200k subscribers

    • @benjaminulanga6749
      @benjaminulanga6749 2 ปีที่แล้ว +1

      nimerudia kuangalia tena kwaajiri yako ili nihakikishe kama kweli vijora akuna😁😁

    • @naylesh5212
      @naylesh5212 2 ปีที่แล้ว

      Amejaribu sana kwa kweli

    • @aminamwivita7690
      @aminamwivita7690 2 ปีที่แล้ว

      I like this song 🇰🇪🙏❤️🌹

  • @mejurashid628
    @mejurashid628 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan dulla weww big up

  • @abdalhmanmasongelah4716
    @abdalhmanmasongelah4716 2 ปีที่แล้ว +3

    Oi bro shelia Sana iyo ndio ngoma sio semaa kweli wala moton nakukubal mdau madegah hapa home boy

  • @alexanderpascal7412
    @alexanderpascal7412 2 ปีที่แล้ว

    Gomakali aisee

  • @rithamsechu7220
    @rithamsechu7220 2 ปีที่แล้ว +1

    Nachez tuu hapa

  • @bokaloty5475
    @bokaloty5475 2 ปีที่แล้ว

    Buza utawafanyia nini ukizipata😉wapelekee boksi za kondom

  • @khadijahadam466
    @khadijahadam466 2 ปีที่แล้ว

    Funika xana ngoma hii bg up piga kazi.

  • @yusramchande6503
    @yusramchande6503 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri kaka

  • @MariamHamisi-og1um
    @MariamHamisi-og1um 3 หลายเดือนก่อน

    Love you dulla😘...yani hii hapa uliweza..from🇰🇪

  • @aswimjuomaly6415
    @aswimjuomaly6415 2 ปีที่แล้ว

    Yaan maneno yote ayo baada ya kufukuzwa ........@@@umeuwaaaa

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 ปีที่แล้ว

    Singer sio mpka wat wanyonge viuno mbona hii nzuri kuliko hata zile za viun na majora

  • @MariamHamisi-og1um
    @MariamHamisi-og1um 3 หลายเดือนก่อน

    Love you dulla 😘.. hapa uliweza.. from 🇰🇪

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 2 ปีที่แล้ว +10

    Tofauti na waimba singeli wengine huyu jamaa anakujaga na Idea kali, na anazitendea haki. Kazi nzuri

  • @wimawendo2630
    @wimawendo2630 2 ปีที่แล้ว +6

    I love ❤️ you from Congo 🇨🇩 and your song 🎧 is so good

  • @zainamussa7440
    @zainamussa7440 2 ปีที่แล้ว +1

    Dulla wakele kdogo

  • @kessyally6939
    @kessyally6939 2 ปีที่แล้ว

    Hii bonge la nyimbo mkubwa hongera

  • @paulitila7950
    @paulitila7950 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri brother

  • @mohammedmndolwa4215
    @mohammedmndolwa4215 2 ปีที่แล้ว

    Dura we nooooooma Sana baba

  • @yonakuko3357
    @yonakuko3357 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajua had nashindwa chakusema

  • @Epidiusi
    @Epidiusi 2 ปีที่แล้ว +9

    We msenge unajua san asee🙌🏻🙌🏻 big up san

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Dsm ni kijiji vijumba vidogovidogo

  • @sumayejumbe4112
    @sumayejumbe4112 2 ปีที่แล้ว

    Gar za mondi zitakuwa tax nmechemka Sana hiiii💪

  • @abudharimussa169
    @abudharimussa169 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh umeua dulla king utatamba

  • @nanjaboy232
    @nanjaboy232 ปีที่แล้ว

    Nikizipata police wote nawavutisha bangi 😎🚔

  • @suleymaniabdallah4446
    @suleymaniabdallah4446 ปีที่แล้ว +2

    Dullah ni 🔥🔥🔥🔥sana kaka kipaji unacho pambana bro!!!

  • @hamadimtizi8801
    @hamadimtizi8801 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali mzee ,. Stua hapa

  • @erickymweta2871
    @erickymweta2871 2 ปีที่แล้ว +2

    Good Music anajua sna hyu jamaaa 😁😁😅😅🙌🏾

  • @oziliozili6124
    @oziliozili6124 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndo singeli sasa sio wale chura mnao tuwekeaga

  • @hancebaga5990
    @hancebaga5990 2 ปีที่แล้ว

    Singeli yakwaza kuisha vizurii bila ujinga

  • @ahmedkwacha5638
    @ahmedkwacha5638 2 ปีที่แล้ว

    Kwani mbosso na lava wanna mapua makubwa

  • @kamikazejoseph8799
    @kamikazejoseph8799 2 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😃😄nagundua kumbe mwana alikua anahama

  • @Shirleyhoward.
    @Shirleyhoward. ปีที่แล้ว

    Pita huku ikanifanya ni watch huu wimbo

  • @barakamhokole993
    @barakamhokole993 2 ปีที่แล้ว

    HI video mbovu tena sama dulla hapa umeboronga na umeboa

  • @fahadothmanjuma2063
    @fahadothmanjuma2063 2 ปีที่แล้ว

    Naomba na mm nipate nazan homa der

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 ปีที่แล้ว

    hongera sana bro upo vizuri

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 2 ปีที่แล้ว

    Mwenye singeli yake sasa, 😂😂😂😂😂😂 hiyo mistari sasa khaa
    #Singeli isiyo na kelele

  • @aloysiusrwehumbiza2229
    @aloysiusrwehumbiza2229 2 ปีที่แล้ว +6

    🙌tutajuta kweli yaani,nyumba iko baharini na mlinzi getini 😁😁😁

  • @mkayotheboss2289
    @mkayotheboss2289 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndy nyimbo sasa dulla

  • @saumujawa3817
    @saumujawa3817 6 หลายเดือนก่อน

    tuko wa kenya wewe wewe ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @PendoPaul-jq9kb
    @PendoPaul-jq9kb 10 หลายเดือนก่อน

    Dula huwa ananifanya nipende sengeli

  • @justjustn3502
    @justjustn3502 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikizipata watajuta wahuniiii

  • @easydogo871
    @easydogo871 2 ปีที่แล้ว +1

    Dulaa nina deal ...kenya .....

  • @user-sq6os6sr6m
    @user-sq6os6sr6m 10 หลายเดือนก่อน

    Kali sana napenda iwembo

  • @richlymo
    @richlymo 2 ปีที่แล้ว

    Konde friii wi-fi

  • @airrising5632
    @airrising5632 2 ปีที่แล้ว

    Acha usenge Shetani mbwa we were
    Katiwe na kiwembe shenzi type...

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 2 ปีที่แล้ว

    Nimeenda vijora hamuna hongeraa

  • @TheHunterTz
    @TheHunterTz 2 ปีที่แล้ว +5

    Makabila tena 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @hadija846
    @hadija846 4 หลายเดือนก่อน

    Dulla we noma❤🎉😍💯

  • @blissvibaclassic
    @blissvibaclassic 5 หลายเดือนก่อน +1

    Babalevo nitamfanyia operation ya pua😂😂😂

  • @shadiaally2217
    @shadiaally2217 2 ปีที่แล้ว

    Singeli bila vijora Kumbe inawezekana