Kwa kawaida singel ni ngoma ilio changamka.sio ngoma za huzun.huu wimbo umeunyima mzik,tena mziki wake umetengenezwa kwa kiwango cha chin sana.ckiliza mzki kama wa kwenye wimbo wa miss buza, kabila lake,au hatuwez kwenda na ww hujaulamba.
Ivi munaifanyia mchezo kabisa mungu anaombwa hivo mungu ukimuomba unatakiwa uwepo sirias Tena uwombe kwa kunyenyekea,leo unaomba na mziki kha!!!! Cjawahi ona wallah
Nakuelewa makabila 🔥 🔥 🔥, ila hii umefeli mana unachelewa kutoa video tatizo lako, Ngoma ilishakiki kitambo ila sasa ni used iyo, Mana Ruge washamzika kitambo
Utofauti wa dullah makabila na waimba singeli wengine ni dullah m'bunifu sana unakitu utafika mbaliiii🤔
Kama unatazama hii singeli mwaka huu 2024
Gonga like hapa👎🏽✍🏽
Aliye rudia zaidi ya Mara tano hii ngoma gonga like hapo♥️♥️dullah
Daaaaah...jamani mkali ata ntaanza kufuatilia singeli naona kwa wall ya lava lava nkaguatilia...kumbe nzito...lots of love team🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254
Kang'ethe G 😂😂😂 th-cam.com/video/lNEpj55x2o8/w-d-xo.html
Diamond amtibie ruge waishi kama zamni
Uyu jamaaa anagusa mahali nzuri nzuri Sana aky point taken
Kama unakubali Dula makabila ndo fundi wa singeli gonga= =like hapa
makabila umenikoshaaaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ni leo najua kuhusu singeli. Gives an African feeling of music. Kazi safi, Watching from +254 🇰🇪
nimefurahi sana kuona video hii.ya rabi takabal dua, ilinifurahisha sana kusikia hiyo sentensi maarufu wewe umeitumia kwenye nyimbo
Mimi pika Stephen toka Kenya, namkubali kaka
NAIC makabilla Kenya nakuelewa
Nakukubali makabila na mm dua yangu kwako ufike kimtaifa zaid🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾
Makabila iwe fundi
Nakupa cheo rasmi we ndio mfalme Wa singeli huna mpinzani
Kama umemuona Mack zube kamaindi mshikaji wake dulla makabila kupondwa gonga like twende sawa
@@farajijuma9204 alie mpigia simu makabila kua hatoi ngoma
Mmmmh hii kalii nilikua sipendi singili ila kwa hi nyimbo kuanzia leo napenda singeri nzuri sana.team dulla makabila tupooooooo
Ngoma imetoka siku ya kuzaliwa mie ko lazima niipendeeee #Dua niishi miaka mingiii
aiiih as a kenyan this gene of music naikubali sana..... dulamakabila yo great
For de first time naanza kuelewa singeli kupitia hii hit song I salute you dullah
nikajua nimekuwa wakwaza maana sijalala kumsikiliza mnyaaa safi sana king wa singeliiii
Mie sio shabiko wa singeli ila bro nimekuelewa kichizi this my favourite song ya singeli much love from Dubai
Hata Mimi huwa siamin kwenye singel lkn hii ya Dua iko powa
@@samanyaswai6272 sana walai
Dulla
Yani hunishind mm
Bro uko vizuri
Wow wow muziki mtamuuu ❤️❤️❤️💕💜❤️👍🏿👋🏾👏🏾the area should be mombasa majengo greetings frm Switzerland 🇨🇭 nanime subscribed 💜
Like king'orani ..msa
Mashairi yenye funzo, hongera Dula Makabila
makabila mwamba nimekubali hii kazi balaaaaaaaaaa salute kwako DUA ISHAPKELEWA MWAMBA kimbizaaaaaaaaaaaa
alie furahia hii ngoma jua tuko pmj
👍👍
@@dullahcharles3814 [ uu
@@wizzymartial3478 ..
SL_ezzN...
Kama unamkubar dula makabila gonga like apa
harima
Yuko Good
martial media gd
Uko vzr dula
All the way from 🇰🇪🇰🇪 napenda vitu natural tamu kama hizi
Ngoma nliielewa since day one, ww nd king wa singeli na sio yule mtt wa nje ya ndoa, yule hamuwezi ata S.kide..
Nan mtt wa nje ya ndoa huyoo
Mombasa Kenya huku, tunamkubali sana mwana huyu, yani yuko vizuri sana maashallah.
Good singeli dulla makabilla👏 🇹🇿
Kwa sichoki ngoma zako yaani mda wote mm na makabila😄mzee baba unatisha Sana
Dua limfikie cteve nyerere ommy apone na atoe hit song khaaa dua lmefkaaaa kaumbuka kwel
Km wote tumekubali hii ngoma like kwake
Kama umemskia mlugulu apo gong like
Ubunifu wako unazunguka kwenye maisha ya wasanii especially wcb... Huo ni upungufu
Kama na ww ubekubal ngoma Kali njo
hapa I like
singel siipendagi ila jamaa na wimbo huu umenishangaza kwel unafanya music watu tumeanza kuuelewa big uppp
Dulla nmekubali mwanangu singeli wewe ndo king apa Kenya
Much love from India your amazing balaa gonga like hapa my people
Kwenye level ya singel wajna dullah respect
Dahh kumbe singeli high quality. Pure entertainment. This music ni icon ya tz.
Nimeikubali hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kali #dullamakabila hii ngoma huwa naielewa sana kwenye singeli
Toka 254 apa dulla mwanangu nakukubalii👊👊
Kwa kawaida singel ni ngoma ilio changamka.sio ngoma za huzun.huu wimbo umeunyima mzik,tena mziki wake umetengenezwa kwa kiwango cha chin sana.ckiliza mzki kama wa kwenye wimbo wa miss buza, kabila lake,au hatuwez kwenda na ww hujaulamba.
Hatariiiii faya hapo nishapiga henken zangu miuno tuuu yauzaziii
Ivi munaifanyia mchezo kabisa mungu anaombwa hivo mungu ukimuomba unatakiwa uwepo sirias Tena uwombe kwa kunyenyekea,leo unaomba na mziki kha!!!! Cjawahi ona wallah
mwanale leo ndio tayari umeshaona sasa
Inawezekana umezoea kuishi kwa mazoea
Bonge la singel wapi like za watu wa uswahilini
One love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Napenda sana singer mm dahaaaaa natamani niungane nanyie kwenye kucheza too
Jamani hingoma imetoka 2024 ausielew
Wakiinama unatamani maji ya kisima, wakiinuka unatetemeka mwilimzima mabaharia oyooooo
King kama king nakupendaa bleee kaka
Mzee wa idea nakukubali sana
😇😊all your songs are fire 😇😇i love it
Uko vizur nakupendaga Sana dulla unajua unachokifanya
Daah dula noma dua limepenya kwa mwarabu kigoma tuko naee
Bonge la Dua ila Apo kwa Mondi na Ruge too late so emotional 😭😭😭😭😭
Hii nyimbo ya kitambo before
@@Cyper255 Audio ilikua ya kitambo ila video ni new
Congratulations keep it up good job 🎉❤❤❤
dua song kali sana aseee bless you broo
Ndio eee king of singeli
Duh ngoma tamu Sana👏👏👏👏
Amina...dulla upo juu
#makabila
kinanda kimekaaaaaaa🔊🔉🎸🎺🎼🎶🎹🎻🎧🎤🎵🎵🎵
Ndugu yangu we ni noma ebu toa ningine lake for music
🇲🇿🇲🇿 hii ngoma noma sana hinatanba Mozambique
Hii ngoma imefika leo 31/1/2025
Ngoma kaliiii saana mzee baba
Brz nakubali ebu nawe pita huku...
Dulaa nakukubali mwanangu.
Much love for you makabila love from America ❤️❤️🌹
Noma sana hii dua
ila diamond akuwai kumsamehe ruge
NAKUELEWA SANAAA DULLAH
Dull mie
Napenda uhu wimbo
Hongera makabila nyimbo nzuri
Bonge la nyimbo mwana yanga dulla makabila big up
Nakuelewa makabila 🔥 🔥 🔥, ila hii umefeli mana unachelewa kutoa video tatizo lako, Ngoma ilishakiki kitambo ila sasa ni used iyo, Mana Ruge washamzika kitambo
Jamaa noma,ameumiza kichwa
Hii ngoma kalii sana bro nakukubali sana acha niongeze bia nizidikulewa
safi dula makabila safi sana🌷🌷🌷
Awwwww wimbo naukubali hatari 👌😘😘😘
Makabila hiii ngoma kila siku naisikiliza
Nakukubali mzee baba
Anasura ya mama ake ndo mana mekup imempendeza
Dulla nakukubali naninaniii moto
Daaaaaa hii kali ya mwaka bro
Dua litapenya hahahaaa
😀😀😀dunia inamambo hta Mama mjamzito anatapika miaka 4 analia kila kitu dua amiyn
Dua ndiokira kitu katika safar yamwanadam
Kumbe waimba singeli wanakuaga na akili nzuri muda mwngne
Yuko vizur
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😁😁
😳
Hili lijamaa linajua sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nampenda uyu Dulla Makabila yangu yote♥️
Tisha sana Mzee......!/
video iko poa brother safi
Huu ndo mziki wako mshkaji unaujua sana bwege wew
Saf
Jamani hiikali sana🕺🕺🕺🕺🕺👅👁️👀👁️👁️👁️👁️👁️🙄🙄🙄🙄
Dua 🤲 💃💃💃💃💃💃Steven nyerere aibikeeee💃💃💃💃🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️
Namkubal sana makali bonge la ngoma hatariiiii sana
Yan nimeisikia hii nyimbo jana wcb kwenye part ya ww na queen nimeitafuta leo tngu asbh ngoma kali sana hii
Noma sana
nani kasikia kama mm 4:50 maji tunauziwa kondomu tunapewa bure😂😂😂 hizo singeri ndo tunazotaka sasa 🔥🔥
Kwel ilo dua ni nomaaaa
Dua yangu pia kwa Ya Moto Band
Idea kalii kichiz kaka ...wimbo mkli pia
xaf xana xema kwa roma apo daaa umekoxea xema ngoma iko poa xanaaaa🔥🔥