Dulla kwl anapenda kugonga😂😂😂😂Nan anakumbka kwenye"KAMA NINGEKUA DEMU"alisema angekua dem yy na dem ake mwiko kulala mana huo mchezo anaupenda kama chakula😅😅😅😅Ila dulla King wa Singel
Hii kitu nomaa sana yani dulla unaimba singeli ila unawafundisha kuwa singeli siyo mziki wa mayowee kama wengine unawaambia kwamba unaweza ukaandika na watu wakakuelewaa heshima kwako 👑
Hongera Bila makabila kwaku mpata mrembo ambaye Mungu amekupa . Hongera mke wa boss makabila. Jaliweni mbeleni. Tuna watakieni maisha mema nayenye Baraka 👏🤴👸🌹🌹🌁
Leo nimetembea klab zaii ya kumi Hadi kuelekea muda huu kutoka zanzibari ni dulla makabialla tuu sema kwelii amehiti nomo bonge la ngoma Kaka dulla we ni mfalme wa singeli baba 🤸🤸🤸🤸
DULA MAKABILA Kwenye nyimbo zako Umewazidi wenzako WA SINGELI Mambo manne zaidi. 1. Idea (story) 2. Mashairi na uimbaji wake haujakaa kihuni 3. Video 4. Mavazi KAMA UNAKUBALIANA NAMI LIKE NA REPLY
Kwa kweli dulla anajua kuimba singeli...pia gonga likes
Mistari yake nimejikuta nacheka tu...... Dulla bwana...
Kama umetizama zaidi ya mara moja gonga like tujuane
We fund mhh
Umeagiza kiroba unataka opener 😂😂 Vp Tena . like za dulla hapa👍👍
Aliye skia Nandy kapenda Ila Nenga syo muoaji!!! Gongq like twende sawa!!!
Kaolewa sasa😹😹😹
@@beatricegregory7134😂😂😂
Sijawahi kupata like hata 5 bas niacheni mimi mpeni king 👑 of singeli dulla makabila 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
@@emanuelymalley8602 good boy
@@emanuelymalley8602 I'm sure he is no way that you said
Wakenya pigeni like kali sana
ILa We Mtoto Makabila Unajua Hadi Unaboa, Leo Ndo Nimeamini Kwamba Wewe Ndo King Of Singeli
why are you coming with your own style you make me proud as a kenyan😭😭😭
Kama ushawahi kiona singeli kali kama hii ww ni mwongo ila makabila kaua kinoma
For the first time I'm in love with such a song(singeli) 😂😂😂yaani kayasema yote bila uoga.Dulla wewe mfalme wa singeli 👏🏻
😂😂😂😂😂😂😂
Sija wai kuku kubali ila kwa hii ngomaa baba umetshaaa... Saluteee sanaaaa
Boss sema kweli
Ali kiba anajua🔥
Dulla kwl anapenda kugonga😂😂😂😂Nan anakumbka kwenye"KAMA NINGEKUA DEMU"alisema angekua dem yy na dem ake mwiko kulala mana huo mchezo anaupenda kama chakula😅😅😅😅Ila dulla King wa Singel
Namuona mkubaa NAGWAAAAA mzee wa sura ya maJabuu dula makabila ngoma kalii
My favourite singeli musician,much love from 254 kenya.
Umesema ukweli kiba anajua kuimba asante ngoma nzuri
Mond anajua kuimba na kucheza
Yeoooooooh
Mond anakoroma kweny show
@@renatusrevocatus5286 kweli ila amzid kiba
Dulla foi tão criativo por lhe usar Ngoma Nagwa,from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Dulla Makabila amekuwa creativ kumtumiya Nagwa💪💪
Mzee wa mastory...🔥🔥🔥PRESIDENT OF SINGELI
Sijawahi pata hata likes tatu basi nipeni leo kwa king of singeli
Kutoka Kenya nataka likes zenu Watanzania
Makabila 🤝🤝
hatar na nusu
King🤴of singeli
Chiiiiibu dengaaaa
😂😂😂😂
Balaah tupu
Like wapi kwa watu tunaomkubal makabila king 👑 of singeliiiiii👍
Yaani huyu jamaa anajua kutunga Sana maana aidia zake sio za kufikirika👍
Oyoooooooooo team dula wapi keleee
Kusema kweli baba levo kwa uchawa anastahili taji Ila dula gonga like Kama umeipenda hii
😂😂😂
kama dulla hanampinzani kwenye singery gonga kile kama mbiei2😍💣💣
Jamani kama umeaikiliza mara mbili naomba gonga like tujuane
Naacha like yang ya ngv baada ya kuskia kiba anajua kuimbaa ♥️♥️😘
Safi sana Dulla, una ubunifu wa kipekee sana. Keep the spirit 👍👍👍
Hii kitu nomaa sana yani dulla unaimba singeli ila unawafundisha kuwa singeli siyo mziki wa mayowee kama wengine unawaambia kwamba unaweza ukaandika na watu wakakuelewaa heshima kwako 👑
Dah napitia koment tu🔥👑
Wapeeee vituuuu
Aliyeckia king kiba anajua kuimba like zenu hp
siwez kilala bila kugonga
😂😂😂
Oyo0o0o0o fire
Kwa mara ya kwanza naipenda singeri wimbo mkali sana
Aya madanga wa mjini imeshapigwa Chini na king of singeli😅😅,,Aya twende SEMA kweli
😳😁🤣😢Nimekuja hapa baada ya kusikia jina la king kiba👑
Sema kweli mimi Sio mpenzi wa singeliii
Ila dulla hii ngoma umeuaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera Bila makabila kwaku mpata mrembo ambaye Mungu amekupa . Hongera mke wa boss makabila. Jaliweni mbeleni. Tuna watakieni maisha mema nayenye Baraka 👏🤴👸🌹🌹🌁
Amina
Kiukweli wewe Ni king of singeli @dullamakabila kwasababu unaubunifu wa pekeako💥🔥
Leo nimetembea klab zaii ya kumi Hadi kuelekea muda huu kutoka zanzibari ni dulla makabialla tuu sema kwelii amehiti nomo bonge la ngoma Kaka dulla we ni mfalme wa singeli baba 🤸🤸🤸🤸
Sipendi mademu wabaya🔥🔥🔥
Big creativity 💪
Thanks a lot Dulla
Yani nimewatch mara ya nne sasa. Ila watz mnachamba kweli 😂😂😂😂😂. Creativity at its Best 🔥🔥🔥
Nimetoka kuisikia kwenye kishughuli flan kitaa, oya sio poa 🔥🔥🔥
TUNA IPELEKA TRENDING NAMBA MOJA LEO LEO LIKE TWENDE SAWA
Umejuaje kama nadanga like
Hongera sna mdogo wang
Sema kweli Kenya pamoja. Makabila king was sengeli
Jamaa ubunifu nakupa 💯💯💯King wa singeli🙌🙌🙌💥💥💥💯
Dulla Makabilla🔥🔥🔥sikuijuwa singeli hadi nilipokuja kusikiza ngoma za Dulla since then mimi na singeli tuko🤞🤞🤞🤞Dulla na singeli forever
We dulah ww duhh umeua king this type of music
Makabila nakubali sanaaa kelele moja kwa makabilaa wewwwwwwwweeee
Kam kunamtu kasikia baba lev kwauchaw anastaili tunzo gong like
Mziki bila kiki safi sana Dullah big up brother 👏🏼👏🏼👏🏼
Kama umesikia "KIBA kuimba anajua" Gonga Like💗
Nimeisikia iyo kiba unajua sio masialaaaa
Nakubal 💪💪💪
Vp sister
@@lichadingalalije5271 poa kwema
Pambeeeeee sana wap kiba weeeeeeee
"Hasira za Konde Sara ila Paula kawa sababu" gonga likes zake
Unajua Sana babueeeeee
Mechekaaa saan we kaka
Chukuwa like zangu maana umewaza vizuri wangapi tutampa like 🇹🇿🇰🇪
Kali sanaaa dulla makabila king of singeli wapi likes za 254 hapa tujuane
Mlio sikia
majizo na chibu hawapendani like zenu hapa
Wantanzania tunaweza
Hiii nyimbo Kama hatujaiyeka namba moja itakua watu wanaubinafsi na dulla usiona faidaa kusema kweli
They never DID MISTAKE WHEN THEY CALL YOU KING OF THIS THINGS
Baba levo kwa uchawa anastahili taji🤣🤣 kama umeusikia huu mstar goga like hapa
Ngoma nagwa kanogesha ngoma aise like kwake
Big up brother bonge la song kichupa pia kipo gud asante kwa mziki mzuri
Wow wow kwa mara ya kwanza kucoment kwa dullamakala
Durah 💥💥🙌🙌 sema kweli mpe like ata tano tu
this Dude is a next level artist, I don understand the lyrics ila uyu msenge kaua sana mamae ..!!
😀😀😀😀😀😀 fala sana
@@timothymihigo4460 oyaaa 😂😂😂
bonge la ngoma like tuendelee kusonga mbele🔥🔥🔥🔥🙌
Baba levo anastaili tajiii akiii 😂😂 www
Umetisha kwa kazi hii
Kama umeikubali hii ngoma sema kweli
DULA MAKABILA Kwenye nyimbo zako Umewazidi wenzako WA SINGELI Mambo manne zaidi.
1. Idea (story)
2. Mashairi na uimbaji wake haujakaa kihuni
3. Video
4. Mavazi
KAMA UNAKUBALIANA NAMI LIKE NA REPLY
Nikweli
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
2
All the way from Congo love ❤️ Tanzania 🇹🇿 love makabilaaa
Makabila ndo king wa singeli bhanaa
Dulla makabila umefanya nimependa singelu daah moto❤❤
Mwana king of singel vibaya mnoo💣💣💣
Kama umemuona muuni nagwa gonga likes
Kama kuna Mganda mwezangu huku gonga like tujuane. Naipenda sana mimi mzik wa singeli.
Ndi waano
Dulla king wa singeli uo ndo ukwel big up kwako
uuuuuwiii..... kumekuchaaaaaa
Kama unatazama mara kadhaa from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like awesome song
Kama umemuona ngoma nangwa gonga like tujuwane hapa
I speak english and i don't understand that language but dullah makabila huyu mtoto mamae ni fundi kinyoko nyoko kubaaaaabweeda.
😝🤣
Uyu mwamba nakubarigi ubunifu wake Kiba kuimba anajua,,, hapandi jukwaani bila kuroga😂😂😂 weka like tafadhali
Niko kenya kama nataka kuona dulla makabila naeza pata wapi tanzania
Nomaaa sana jamaa anajua anajua 💣💣
Hii ngoma ninoma bro ukiendelea hamn competition utakayo ipat unajua
makabila umetisha unajuwa kuimba soloot
@@hamzaally489 hi ubongoks
Aiisee singeli la kimaataifa ndio hili sasa yaani 🔥🔥🥰🥰
Kali jamani🔥🔥🔥🔥🔥KE 🇰🇪🇰🇪 ndani la jengo
Like kama zate kwa Dullay sema kweli kupanda stejini mpaka nikaloge atari sana
Bonge la kazi msee,,,haujahi kufeli makabila
HUYUU.. DIAMOND WAA SiNGELI HAKUNA WAA KUBISHA
Umejuaje Kama anadanga Kama hudanginae😂😂🤣🤣🤣 kama umependa ngoma hii gonga like hapa✅
Namkubli atali ila nixalma
Walio sikia jina la mfalme kiba gonga like apa🔥🔥🔥🔥
Dula ana jua sana pia napenda mziki uu ata kupafom naweza
Kumalamamayeeeeeee......oyaaa hili goma linabalaa aiseeee
Hakuna namnaa ni kuenjoy tuuu
Me nakupongeza sana bro,,,yaan upo katika list ya wasanii ambao wanafikiria sana kabla hamjaandika,,,me napenda kazi zako
Dah huyu fala anajua sana ubunifu on point as always, the king of singeli 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Nmependa sana ubunifu uliotumika humu,,, dulla makabila unaweza na ndo inavyotakiwa kufanya.
Soo creative big love toka 254 ..ila hapo kwa baba levo...
Unajua brother
Woooyoo.Mamae dulla makabia nakukubali sana yani😂😂
🤣🤣🤣🤣 na mitusi ju
Sjawahi pata like ata mbilii jaman..uko fitii dula