Ukiangalia wasanii wengi wakorofi hawakulelewa na wazazi wao na ndio hapo wazungu wanataka kuleta ushoga ili watoto wasiwe na wazazi na kuaharibu familia
Tafiti zinaonesha asilimia tisini ya wahalifu inchini Marekani ni watu weusi na hilo halipingiki. Unapoamua kuishi maisha ya kibabe basi jua hautaishi miaka mingi duniani. Rest in peace King von.
😂😂 WABONGO TUACHE UJUAJI HIZO NI STORI ZA KUZUSHWA TU ALIEPIGA RISASI ANAJIJUA MWENYEWE MAANA ILIZUKA SINTOFAHAMU NDO RISASI ZIKAFYATULIWA ZIKAMPATA JAMAA
Unknown99 We umesikia wapi....risasi ikafyatuka tu yenyew....lazima Kuna mtu aliibeba...na hakuna mtu anayeitwa Jamaa....kupata habari ya kinachoendelea duniani cyo Ujuaji...Ni Dunia....
Wewe pia hakuna kitu unajua NBA YB hakuwepo pale ule usiku wa tukio ila beef yake na lil durk ilianza tu baada ya yeye kumdiss Von kweny ngoma yake iitwa bring the hook pia YB amemSign quando kwenye lebel yake na quando anahisiwa kuhusika na kifo cha von, kinachokuchanganya ni beef ya NBA na durk
Sisi Watu Weusi Sijui Niwatu Wa Dizaini Gani Walio Nchi Za Ulaya Wanapigana Risasi Ukija Afrika Ndio Kabisa Kuuwana Kila Siku Kwanini Waafrika Tinafeli Wapi Wazungu Wanaunda Bunduki Zenye Kuuwa Cha Ajabu Sisi Waafrika Tunatumia Silaa Izo Kuvimba Tunajikuta Kubaya
Ukiongelea Storyteller kupitia hip hop basi King Von 👑 Anathimulia story hadi unahisi kama na wewe ulikuwepo 🙌 kasikilize hizi 👇 1 Craz story pt 3 2 Took her to the O block 3 why he told
Aliiga kwa durk , durk ndo hatari kwakutembea na beat ya trap huku anausimulia mtaa na vimbwanga vyake, anasema nimekulia kwenye mtaa ambao ukifanikiwa niggaz wanakugeuka wanakua killers
Ukiangalia wasanii wengi wakorofi hawakulelewa na wazazi wao na ndio hapo wazungu wanataka kuleta ushoga ili watoto wasiwe na wazazi na kuaharibu familia
Tafiti zinaonesha asilimia tisini ya wahalifu inchini Marekani ni watu weusi na hilo halipingiki. Unapoamua kuishi maisha ya kibabe basi jua hautaishi miaka mingi duniani. Rest in peace King von.
Siku hizi mziki huu umekuwa wa watu wa ajabu ajabu wasio jua mziki ndo maana umeamia kwenye mauaji tu.
Sijawahi kumfahamu kabla ya leo, kweli mziki wa marekani hauna nafasi bongo kama zamani
Wengi wameaga Ivo juu ya wizi. Na wivu
Hata mm sijawahi kumfahamu 😂😂mziki wa marekani hauna nafasi bongo
NYINYI NDO HAMFATILIII HIVI KUNA MTU HAWAJUI MIGOS AU KUNA MTU HAMJUI TRAVIS SCOTT AU DREK HUKO MBALI CHRIS BROWN JE? KAENI KITAARAMUU
Ila watu weusi mungu anatupendaga japo tumezidi ukorofi 😁😁😁😁😁😁 any way r.i.p king von
😂😂
😂😂😂😂
Yb better
Tuletee story ya watu wa Brazil walifanya sherehe ya shetan na baadae wakakurana na zoruba
History ya uwongo kabisa king Von kauwawa na NBA YOUNG BOY
Pia cuando Lando anhusika pia
Ata ww muongo tu...king von aliuawa na lul tim..rafiki yke Cuando rondo
😂😂 WABONGO TUACHE UJUAJI HIZO NI STORI ZA KUZUSHWA TU ALIEPIGA RISASI ANAJIJUA MWENYEWE MAANA ILIZUKA SINTOFAHAMU NDO RISASI ZIKAFYATULIWA ZIKAMPATA JAMAA
Unknown99 We umesikia wapi....risasi ikafyatuka tu yenyew....lazima Kuna mtu aliibeba...na hakuna mtu anayeitwa Jamaa....kupata habari ya kinachoendelea duniani cyo Ujuaji...Ni Dunia....
Wewe pia hakuna kitu unajua NBA YB hakuwepo pale ule usiku wa tukio ila beef yake na lil durk ilianza tu baada ya yeye kumdiss Von kweny ngoma yake iitwa bring the hook pia YB amemSign quando kwenye lebel yake na quando anahisiwa kuhusika na kifo cha von, kinachokuchanganya ni beef ya NBA na durk
Sisi Watu Weusi Sijui Niwatu Wa Dizaini Gani Walio Nchi Za Ulaya Wanapigana Risasi Ukija Afrika Ndio Kabisa Kuuwana Kila Siku Kwanini Waafrika Tinafeli Wapi Wazungu Wanaunda Bunduki Zenye Kuuwa Cha Ajabu Sisi Waafrika Tunatumia Silaa Izo Kuvimba Tunajikuta Kubaya
Jamaa nilikua namkubali Sanaa🔥🔥🔥
My favorite rapper of all the time
Ila watu weusi tuna fujo kishenzi
Shukran brooh 🙏🙏
Good story ❤️
Good jobs 👏🏻👏🏻👏🏻
King von is my favorite rap
The GOAT 🕊️
My fav song is "get it done" OMB Pleezy and exposing me with memo 600 O Block for life💯
Twende kazi
Hapo kwa Garika ni uongoo😅😅😅 ni Gakirah Barnes
Took her to the 0 , One of my favorite song from king von rip king von
Sasa twende kaz me wa Kwan jmn😅😅😅
Nah he lien 😂😂
Nama
😢😢😢😢htari hii
😂😂😂😂 wanaume weusi wemba nyinyi mbiguni mna sehemu yenu
😀😀 nipe number zakoo.
@@sekondianacletus4537 😂fursa
❤❤❤❤❤❤❤
Leteni like leo watu wangu
hya zchkue
OTF for life ,we love king von
They kicked lil durk..not gon say OTF would do this if oblocks reaper🔫 was around
😳jmn U S kunalana gani kwnn vita vyoo lazima risasi
KULE BUNDUKI UNANUNUA KAMA KAROTI TATIZO NDO LINAANZIA HAPO
Umejitahd but u donn much bout dis man..,
Mshamba kwa pop smoke uyo
King von
Duuuh
King vin was better that lil durk 💔💔
Rip
Duuuu
R.I.P
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
Tupe na Story ya Lil Durk nasikia Rappers wanamuogopa Sana
Ni gangster nouma usijaribu, kuna NBA young boy, Quando rando, usipime ujue umeenda kwa Mungu
Quando Rando haezi Enda nje juu ya Lil dark juu anataka kulipisha kisasi ya king von Chicago O block nikunoma sana kaka
LIL DURK ROHO YAKE NA FACE YAKE NI VITU TOFAUTI NI NYANG'AU YULE CHALII ALFU ANASURA YA KICHUMBA.
QUANDO RANDO AKITOA PUA TU AMEENDA NA MAJI CYO UTANI
"King Von is my favorite Rap"❤
Raper
Is rapper
Brother sijakuelewa King Von ndo alimsaini Lil durk or naona kama ujaiweka sawa apo
Lildurk ndo aliasing kingvon
Ukiongelea Storyteller kupitia hip hop basi King Von 👑 Anathimulia story hadi unahisi kama na wewe ulikuwepo 🙌 kasikilize hizi 👇
1 Craz story pt 3
2 Took her to the O block
3 why he told
Alikuwa hatari
Aliiga kwa durk , durk ndo hatari kwakutembea na beat ya trap huku anausimulia mtaa na vimbwanga vyake, anasema nimekulia kwenye mtaa ambao ukifanikiwa niggaz wanakugeuka wanakua killers