Hutaamini alivyo Binti wa Kimasikini toka Ethiopia, aliechukuliwa na ANGELINA JOLIE miaka 18 ilopita

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว +23

    Angelina Mungu amubariki sana😢

  • @fatinaselemani9859
    @fatinaselemani9859 ปีที่แล้ว +12

    Huwezi kumfundisha mtu maana ya maisha sio kuwa wema hataki mtoto yeye ana Siri kubwa kifuani atajuana na Mungu wake

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 ปีที่แล้ว +21

    Mapenzi ya mtoto kwa mzazi wake hujengwa ktk umri wa kuanzia miaka mitatu kuja mpk umri wa miaka kumi na tano mzazi ukiwa mbali na malezi na mwanao ndani ya kipindi hiko usitegemee huyo mtoto kuja kua na mapenzi tena na wewe mzazi wake.

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Ndo hivoo, alushindwa kumlea mwanae akiwa kichanga na kukitupa sahiv anajuta😂😂😂 mpuuz San mamake Zahara na Kam mm ndo Angelina jolie simtoi maisha

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

      Umeongea point

    • @Angependo9141
      @Angependo9141 ปีที่แล้ว

      Nami nikisikia kwamba ulinitupa siwezi kukuongelesha kwasababu wakati nilikua nakuhitaji umeshapita sasa uchunge nimekomara kwa bahati uje kureta maneno mbere yangu unajua uchungu mtoto anakuwa nao wakati anasikia yeye ni yatima??
      Mimi Baba yangu mzazi kaniacha kwa kambi ya Tanzania Nduta akasema ameenda Mwanza Tanzania na leo sijamuona kwanzia 2002 sijui kwamba yiko alikua fundi anae jenga nyumba nzuli sasa leo akipatikana nitaanza kumuhoji ninaelea binadam tunakosea lakini huo binti amuhiji kwanza ndio ampokeee.

    • @marijanitwaha526
      @marijanitwaha526 ปีที่แล้ว

      Point kubwa san

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +16

    Sashv Dunia nzima inamjuw ZAHARA kam mtot wa Angelina Jolie

    • @lelaiddy6856
      @lelaiddy6856 ปีที่แล้ว

      Hata mi nilijuaga hivo

  • @leahvictorine5571
    @leahvictorine5571 ปีที่แล้ว +16

    Ila story ukisikiliza wakati mwingine na machozi yanatoka Trust me 😢😢😢

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 ปีที่แล้ว +78

    Dada yetu wema sepetu unafeliwapi?kwanini usiige huu mfano?nabadala yake unalea mbwa na kumpa matunzo zaidi ya binadamu😢

  • @ramsrafiki1212
    @ramsrafiki1212 ปีที่แล้ว

    Naomba historia ya Queen zinga

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +3

    Simulizi nzuri sana

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x ปีที่แล้ว +4

    Bahati hiyo ongera mtoto😊😊

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter ปีที่แล้ว +4

    Huyo mwanamke alificha ukweli akidhani itakuwa hivyo milele.

  • @iamdjgunz1414
    @iamdjgunz1414 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akilita mtoto analeta na sahani yake

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa llah

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 ปีที่แล้ว +5

    Nenda kazi

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +2

    Good story

  • @ratankalita8495
    @ratankalita8495 ปีที่แล้ว +1

    Humanitarian. jobs. are. good. jobs. for. the. people. of. world. so. i. chose. humanitarian. jobs. .

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 ปีที่แล้ว +9

    Maisha haya,MUNGU akikupa nafasi ya kama hii ni jambo la kumshukuru sana

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Kwake yy ni maangamizo. Mana bora uwe masikini lkn uwe na uisilam/dini ya haq kuliko uwe na kila kitu lkn uwe kafiri.

    • @peterjonas1993
      @peterjonas1993 ปีที่แล้ว +2

      @@Fear_Allah394 kafiri yupoje ndugu maana me toka zaman nasikia hilo jina ila sijui makafiri wakoje

    • @winfridapeter9455
      @winfridapeter9455 ปีที่แล้ว

      @@Fear_Allah394 kafiri ndo nani

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 ปีที่แล้ว

      ​@@peterjonas1993
      Kafiri ni mpinga Kristo kama waislam yaani wanajisema wenyewe
      Kafiri ni Mtu yeyote asiyeamini IMANI fulani…kafiri Katika Biblia ni mtu yeyote asiyeuamini Ukristo, Ukafiri hauna tofauti sana na upagani, Mtu yeyote asiyemwamini Bwana Yesu Kristo kwamba alikuja, na kufa kwaajili ya dhambi za ulimwengu mtu huyo ni kafiri.
      Mtu yeyote asiyeshika njia za Bwana Yesu Kristo na kumkana mtu huyo kafiri.
      Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@winfridapeter9455asiye amini Mungu ni mmoja na aliyeumba kila kitu

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 หลายเดือนก่อน

    Niliitafuta sana hii'

  • @ayshaahnad4472
    @ayshaahnad4472 ปีที่แล้ว +1

    Watu wenyewe wanafanana kama ndugu vile yaani mama mzazi na mama mlezi

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 ปีที่แล้ว +11

    Huyo mama aliterekeza mtoto alipoona mtoto yupo ushuani ndo akajitokeza🤣🤣

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 anjelina kamlia ngumu mana alisha ambiwa uyu hana mama 😂😂

    • @richardmagasa4900
      @richardmagasa4900 ปีที่แล้ว

      Elewa simulizi ndo uone kama alimtelekeza kweli au laa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +4

    Huyo mtoto mwenyewe kashalishwa maneno mazito hawezi kumpenda daima mama yake . mfano mdogo tu mtoto ukimpa bibi yake amle tangu udogo basi amini hawezi kumpenda sana mzazi wake kama atakavyo mpenda bibi yake sasa tafakari huyo ametwaliwa na kulelewa tangu mdogo zaidi tena katika malezi ya kitajiri na akapewa upendo mkubwa wakupitiliza sasa je unafikiri atampenda huyo mama yake wakumza ? 🤣

    • @mohdhamza8175
      @mohdhamza8175 ปีที่แล้ว +2

      Mama yke kamtelekeza saiv ashakuw mkubwa ndo anajitok , hkn atakaempend hat km ni mam mzaz

    • @MarthaCosmas-dk9cq
      @MarthaCosmas-dk9cq ปีที่แล้ว

      Mzaz ni mzaz

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 ปีที่แล้ว

    @fetychina usimhukumu mrembo wetu wema sepetu hata akifuga mbwa ndio furaha yake, sio lazima amuige huyu anjelina Joly kila mtu anacho kitu akipendacho MANUNU ndio furaha yake ilipo. MWACHE!

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 ปีที่แล้ว +2

    Angelina jolie

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp ปีที่แล้ว +4

    Maisha Na Wakati

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 ปีที่แล้ว +1

    Uyoo mama yake akubalii alisha ibiwaa 🤣🤣😂

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 ปีที่แล้ว +1

    Mi najiulizaga kwann wema jaydee kama hawez zaa kwann wasiend kuchukua watt yatima wanawachukuq kwqnziq wadgo

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 ปีที่แล้ว

      Hawana huo moyo wakuwaachiaa uridhiii

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว

    Nice 👍

  • @josphatkimondio2795
    @josphatkimondio2795 ปีที่แล้ว

    Waafrika awawezi kufanya hvyo

  • @maryobiero6782
    @maryobiero6782 ปีที่แล้ว

    Only God

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 ปีที่แล้ว

    😢😢😢

  • @pauloflansisco5006
    @pauloflansisco5006 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee unyama

  • @zebrongondwe
    @zebrongondwe ปีที่แล้ว

    Inamaana walidanganya ili apokelewe kwenye watoto yatima😔😔

  • @NadhraAbdallahKhatib
    @NadhraAbdallahKhatib ปีที่แล้ว

    Heri inatoka ktk matumbo ya shari

  • @pilotclassic4468
    @pilotclassic4468 ปีที่แล้ว +1

    Mmesahau story yangu... namimi nimeasiliwa na Rambo niko vetinam sahivi

  • @kellybreezytz2491
    @kellybreezytz2491 ปีที่แล้ว +3

    Naomba Kujua Historia ya Gervonta Davis kama Utaki nijbu Niku unifollow

    • @muranisalim3572
      @muranisalim3572 ปีที่แล้ว

      Una force au sio 😂 6:54

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 ปีที่แล้ว

      Hiii ovyoo 😂😂 unfollow hawana shida na ka follower kamoja

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

      🤣🤣We nae acha hizo

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr ปีที่แล้ว +1

    Paparazzi accessories 😆✋

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊👍🙏.

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

    Yaan ujinga aloufany mamake zahara ni unyama kabisa,

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 ปีที่แล้ว

    Wema unalea mbwa

  • @ErickAziz-dd2ze
    @ErickAziz-dd2ze ปีที่แล้ว +1

    Cyo Ethiopia ni Malawi