Wimbo wa Neema yako uwe wimbo wako wa shukrani siku zote. Kudownload au kustream compilation yangu mpya yenye pia hii nyimbo iko ndani:🙏🔥 snd.click/glmqrfp
Wimbo mzuri sana na ninaupenda sana,,,,, Ila hapa kwenye "sikwamba Mimi ni mtakatifu" palifaa pawe "si kwamba Mimi nilikuwa mtakatifu". Maana ukishamwamini KRISTO kama Bwana na mwokoz wa maisha Yako, unafanyika mtakatifu, si kw wema wako Bali Kwa neema yake unaitwa mtakatifu kupitia kazi ya YESU msalabani
'Si kwamba Mimi nimetenda wema sanaaaa,si kwamba mi ni mtakatifu sanaaaa, si kwamba Mimi ni mnyenyekevu sanaaaa, si kwamba Mimi niko sawa sanaaaaaaaa'.........this part is my favourite ❤️
Chilambo wewe kwenye tasnia hii unajua Sana,Ila naomba zile Eng subtitle kwenye nyimbo zako uendelee kuweka ,KWa sababu zinafanya nyimbo zako kusikilizwa na watu wengi nchi nyingine pia, Jamani like za kutosha kwake
Ni muhujiza mimi kuamka leo salama Ndugu zangu muhujiza sio mpaka ununue gari, uowe au kuolewa, ujenge gorofa au uwe Na pesa nyingi. PUMZI ULIO NAYO NI MUHUJIZA KUBWA Ubarikiwe sana Chilambo
2 Corinthians 12:9 But He said to me, “My grace is sufficient for you, for My power is perfected in weakness.” Therefore I will boast all the more gladly in my weaknesses, so that the power of Christ may rest on me.....on repeat mode... love always Kenya.
« Ni muujiza kuwa hapa Leo » Wengi wana poteza maisha ila mimi na wewe tupo hapa leo ni kwa neema ya Mungu si kwamba sisi ni wazuri kuzidi wale walio lala ila ni kwa neema na upendo wa Mungu kwetu. Mshukuru Mungu kwa pumzi aliyo kupa. Wengi walitamani kuhiona siku ya leo ila awaku pata iyo neema ulio pata wewe leo. Kwa nini usichukue dakika yako 1 ku mshukuru Mungu kwa neema yake God bless you
Kweli ni neema yako baba kwakuw bado ningari haii kunawalio lala usingizii WA milele Asante yesu kwa neema yako Barikiwa kaka Chilambo kwa nyimbo nzuri🙏🙏
Subscribe to never miss a song by me🔥🙏
th-cam.com/channels/DoWsW3lwKjVyOO2uf3VKhA.html
Congratulations brother , so sweet.
Wimbo wa Neema yako uwe wimbo wako wa shukrani siku zote.
Kudownload au kustream compilation yangu mpya yenye pia hii nyimbo iko ndani:🙏🔥
snd.click/glmqrfp
💪🏾
The ultimate goal is not to be the best, but to always keep improving.. #keepgoing #neemayako
God's grace upon you my brother may God truly use you for His glory
True brother
Mungu awe pamoja na wewe
@@okinyisav5487 Ameeen
@@ability_wilbard_off1720 🔥🔥
Wimbo mzuri sana na ninaupenda sana,,,,, Ila hapa kwenye "sikwamba Mimi ni mtakatifu" palifaa pawe "si kwamba Mimi nilikuwa mtakatifu". Maana ukishamwamini KRISTO kama Bwana na mwokoz wa maisha Yako, unafanyika mtakatifu, si kw wema wako Bali Kwa neema yake unaitwa mtakatifu kupitia kazi ya YESU msalabani
Uuuuiiii ni neeema yako bwana God bless you bro
Amen. God bless you 🙏
Walter kama Walter ... Kazi nzuri kaka
Asanteeee 🔥
Nimekuja baada ya kuona Kwa Gala b wimbo huu umenibariki sana
Ata mm
Me pia
Amen🙏🙏🙏🙏
At Mimi niliuskia kwa arusi moja hapo,Wimbo mwema
Wewe kaka mweeeeee umejua kunifurahisha
Asanteeee. Mungu akubariki sana 🙏🔥🔥
Kwa kweli MUNGU ni mwema hongera bro
Asanteee 🙏
Napenda nyimbo zako sikumoja tutafanya kazi nawe...maombi yangu...neema imenifanya nasonga
Kweliii.. Mungu akubariki sana
Huyu kaka napenda nyimbo zake sana❤️❤️❤️
Asanteee.. Mungu akubariki sana
Tuendelee kusikiliza nyimbo za kumtukuza yesu
Jamani nineema ya mungu 👍👍
Ni Neema ya Mungu 🙏🙏🔥
Ni Neema yako bwana siyo kwamba me nimtakatikafu sanaaaa nyimbo nzuri sanaaaa
Ni Neema ya Mungu wetu 🙏
Ni neema yako Bwana
Ni Neema ya Mungu wetu 🙏🔥🔥
Ni Neema yako tu Bwana Yesu ndio imenifikisha hapa Leo ....I'm a living testimony 🎉
'Si kwamba Mimi nimetenda wema sanaaaa,si kwamba mi ni mtakatifu sanaaaa, si kwamba Mimi ni mnyenyekevu sanaaaa, si kwamba Mimi niko sawa sanaaaaaaaa'.........this part is my favourite ❤️
It's my favorite part for me too🔥🔥
Amen🙏🙏
Thankyou Lord 🙏🙏 I was unable to hold my tears 😭😭😭 this part is very uplifting God bless you Kaka
Wangapi tumekuja kucheki nyimbo baada ya kuona ile harusi bwana harus alifanyiwa suprise 😍😍😍😍😍😍nyimbo n nzuri
Karibu sana😊
Chilambo wewe kwenye tasnia hii unajua Sana,Ila naomba zile Eng subtitle kwenye nyimbo zako uendelee kuweka ,KWa sababu zinafanya nyimbo zako kusikilizwa na watu wengi nchi nyingine pia,
Jamani like za kutosha kwake
Tutazidi kufanya English captions.. Only You right now ina English subtitles
Ni kwa nehema yako bwana🙏🙏🙏thankyou for life💕💕💕💕
Neema Yako Mungu. Amen
Hata huu uhai tulionao ni Kwa neema tu
We all Saved by Grace of Jesus.. God bless you brother
Amen. Thank you 🙏
Ni ukweli ni neema yako Bwana,ndio nimefika nilipo saii am grateful to God..
Amen
Ubarikiwe 🙏 napenda nyimbo zako mnooo
Amen. Asantee
Ni muhujiza mimi kuamka leo salama
Ndugu zangu muhujiza sio mpaka ununue gari, uowe au kuolewa, ujenge gorofa au uwe Na pesa nyingi.
PUMZI ULIO NAYO NI MUHUJIZA KUBWA
Ubarikiwe sana Chilambo
Afya nzuri ni Muujiza kubwa sana.. Neema ya Mungu ituzingire muda wote
always blessed, kila wimbo wako ni kama ushuhuda. always keep blessing us.
Ameeen. I will
Mi naitwa elasito feto naifulaia Sana uduma yako
Naupenda mno umenikumbusha mungu aliponitoa
Hakika ni neema ya Bwana kuwa hata hapa tulipo, maana wengine sijui tungekuwa wapi asee. Big up brother, may our almighty God lift you up 🙏🙏
Amen. Mungu aendelee kukulea, kukuchunga na kupandisha hatua za juu kwa career yako na maisha yako
Finally!! Ubarikiwe sana kaka’ngu 🔥🔥🔥🔥❤️🙏🏾🙏🏾
Ameeeen
Nyimbo nzuri sana ❤️🙌🙏
Asanteee 🙏🙏
Walter chilambo nyimbo zako ni maji kama jina lako na ndani yake zina a lot of blessings to call you Perfect preture through music 👏🏾👏🏾👏🏾
Go Go Go Gooooooooo Brother
Amen 🙏
Ninaona ajabu hukunipungukia Yesu.
Amen
Oooooh!my!one and only my mentor Nakupenda sana ,Napenda kazi yako ,good music......may God bless me nipate pesa za video,...me too am a gospel artist
Are you in Kenya?I can help.
@@collinsngilah2456 yes l am
Mungu akubariki..
@@WalterChilambo AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN, I RECEIVED IN THE NAME OF JESUS CHRIST
@@rachelpaulofficial2539 Amen
Ni Neema ya Mungu tu ndio maana nasimama🙏🙏🙏
Amen.. Neema ya Mungu iwe nawe muda wote
Amen
@@FerraidFerraid Amen
Nimuujiza mm kusimama tena😭😭
Amen
You will always be my number one,Your biggest fan from +254🇰🇪...Hata leo si ugonge ka like jamani🤪
Asantee sana
Ni Neema yako BWANA 🙌🙌🙌
Amen
Yaani wewe jamaa wewe dah,Mungu akubariki sanaaa 🙏
Amen. Asante 🙏
Kwa kweli ni nema yako bwana MUNGU akutie nguvu my brother
Amen.. Asantee
Mungu akubariki sana 🙏🔥
Ni muujiza mimi kufika hapa. Hallelujah
Ni muujiza.. Neema ya Mungu wetu 🙏
Kaz nzuri sana kak ..nimebarkkiwa Mungu azidi kukuinua viwango hadi viwango
Amen.. Asantee sana ndugu 🙏🔥
@@WalterChilambo ahsante pia kak ..napenda sana kaz zakooo
@@yustergeorge894 Barikiwa sana
@@WalterChilambo Amna kak
@@yustergeorge894 Thank you
It is a miracle to be loved by You Jesus🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Amen
Ni neema mtumishi @walter chilambo
Neema ya Mungu wetu 🙏
Kila nyimbo yako ni kama maono unapewa, barikiwa sana kaka katika shughuli zako za kila siku
Nyimbo zako hunisongeza zaidi na Yesu Asante sana
Bwana asifiwe.. Nimepata baraka yangu kupitia comment yako
@@WalterChilambo Amen barikiwa zaidi
Ni muujiza Mimi kuwa hai🥰🥰
...Ni Muujiza kupendwa na wewe Yesu🙏
Ni muujiza mimi kufika hapa then ni neema yako Bwana, Amen for this.
Amen
Ni neema yako Tu atatukilia Kwa vifo tunavyoona Mungu turehemu lots of love from Kenya
Mungu ni mkuu muda wote.. Kwa wakati wetu wa raha na wakati wa uchungu
Kazi nzuri kazi kubwa kazi ya kuishi 💥💥💥💥💥💥
Ameeen.. Asantee sana
Si kwamba nimetenda wema ni neema yako bwana,hongera kwa kazi zako mzuri na balikiwa
Asanteeee.. Barikiwa sana Naomi 🔥🔥
Amina
Finally here(neema tu kwa hakika) , good things worth waiting for hata ichukue mda , still alive with love music production 👏👏🔥🔥🔥
Asanteeee Sana.. Mungu akubariki sana 🙏🙏🔥🔥
Asante Yesu mana ni kwa Neema yako Tu
Ni kwa Neema Ya Mungu wetu 🙏
Naipenda sana
Mon ami WALTER ❤ SOIT BENIT AU NOM PUISSANT DE NÔTRE SEIGNEUR JESUS CHRIST 👌🙏
Amen. Que Dieu te benisse
Fundi wa Yesu Hakika Umebarikiwaa 👏👏👏 nyimbo nzurii sanaaaa brow NATAMAN NIANZE KUIMBA GOSPEL NOW
You're welcome.. Amen
Ni NEEMA yako bwana bwanaaaa leo tunamlilia baba yetu magufuli lkn Neema yako itatubeba wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿may his soul rest in peace😭😭😭😭😭😭😭
Mungu atukumbuke sisi.. Na atulinde 🙏
Jumbe zako huwa zinanibariki Sana ubalikiwe
Amen
Mungu azidi kutubariki ndugu yangu 🙏🙏
Ubarikiwe sana ❤❤❤❤
Duuuh kk ww nibaraka sana kwangu aisee nasikia sauti ya Mungu ikisema n mm kupitia hii wimbo 👉@neema yako. Barikiwa mno broo wangu
Amen. Asantee sana
Neema yako bwana
Ameen
Utukufu kwa MUNGU aliye hai: yesu akupandishe viwango vya juu sna kaka
Mungu akubariki sana wimbo ume nigusa kabisa
Ameeen. Asanteee sana
Sijachelewa watumishi wa Mungu
Amen
Ni seme tu ni Neema yako Bwana.Akuna cha zaidi na weza❤️❤️❤️❤️🙏
Amen
Am still waiting
Soon! 🔥🙏
Huu wimbo unanibariki sana🙏
2 Corinthians 12:9 But He said to me, “My grace is sufficient for you, for My power is perfected in weakness.” Therefore I will boast all the more gladly in my weaknesses, so that the power of Christ may rest on me.....on repeat mode... love always Kenya.
I'm blessed by your comment Sylvia. God be with you always
« Ni muujiza kuwa hapa Leo »
Wengi wana poteza maisha ila mimi na wewe tupo hapa leo ni kwa neema ya Mungu si kwamba sisi ni wazuri kuzidi wale walio lala ila ni kwa neema na upendo wa Mungu kwetu. Mshukuru Mungu kwa pumzi aliyo kupa. Wengi walitamani kuhiona siku ya leo ila awaku pata iyo neema ulio pata wewe leo.
Kwa nini usichukue dakika yako 1 ku mshukuru Mungu kwa neema yake
God bless you
Ni Neema yako tu bwana nimeona siku ya leo.This song hits my heart diffrently
Amen. God bless you
From Kenya 🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
Asante Victor.. Mungu akubariki 🙏
Barikiwa Sana muinjilist
God bless you my brother
Ameen 🙏🔥
Kweli ni neema yako baba kwakuw bado ningari haii kunawalio lala usingizii WA milele Asante yesu kwa neema yako Barikiwa kaka Chilambo kwa nyimbo nzuri🙏🙏
Amen. Mungu akubariki 🙏
Am in love with this song,,may God give you favours
Amen.. Thank youuu
Barikiwa sana chilambo.
Amen. Pia nawe Barikiwa sana
Hongera sana
More grace brother... You are a blessing 🙏
Amen. Thank youuu
God bless you 🙏
Naitaji kukuona
Niko available.. Niambie
Ubarikiwe sana kaka mkubwa
Ameen
Mungu akubariki xana walter thanks for blessing me🔥🙌😀
Amen.. Thank you 😊
Hii nyimbo ninzuri Sana mungu akubariki
Omg!! Dah kweli nimuujiza 🙏
Ameen🙏
Ni miiujiza mimi kufika hapa, Thank you Lord for your endless love Dadie. Thank you lord
Amen kk barikiwa sana
Asantee. Amen
So happy I found this song,Mola azidi kukutumia mtumishi🙏
Amen.. Mungu akubariki
Amen🙏
Sure ni neema yako......
Ni Neema Yako Mungu 🙏🔥
boss hii kitu ni moto
Asanteeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Brother congratulations
Thank youuuu🙏
Be blessed bro
Amen 🙏
Asante Yesu
Amen.. Mungu akubariki sana 🙏
Nyimbo zako zinanibariki san❤️🙏
Amen. Asante Sana🙏
Who think this guy he's the new G. O. T? Press that like
Kwel nimuujiza mtumishi
Amen🙏
Nice one. I love your songs. Keep it up. More grace
Amen.. Thank youuuu🙏
Mungu niwa NEEMA SANA. Thank you brother Walter
Amen. Asante 🙏
Ninaona ajabu hukunipungukia Yesu...Chilambo nice song there.Aiyelele lelelel
Aiyelele lelelel.. Ni Neema ya Mungu wetu 🙏
Mungu ni mwema kwa kweli mungu amefanya njia kwako we nimbarikiwa
Wwoh the waiting os over. ..
Yeaaaaaaaaa🙏🔥🔥🔥
kila nyimbo yako kwangu mimi huwa ni bora, all teh best brother
Thank you Lord ni kwa neema tu, You never disappoint brother Walter
Asantee.. Mungu akubariki 🙏🙏
Neema yako 🙏🙏🙏🙏
Amen