Baada ya RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Kufariki WAZUNGU wataficha SIRI HII ili usijue UKWELI! inauma sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • Baada ya RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Kufariki WAZUNGU wataficha SIRI HII ili usijue UKWELI! inauma sana
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #RipMagufuli
    #MazishiMagufuli
    #Msiba

ความคิดเห็น • 220

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

    Utata wa KIFO CHA DMX Akutana na SHETANI FREEMASON wampa umaarufu Amrudia MUNGU Apoteza NAFSI YAKE
    th-cam.com/video/Emw3_CdZDR8/w-d-xo.html

    • @jorgelionel4241
      @jorgelionel4241 3 ปีที่แล้ว

      i realize it's kinda off topic but do anybody know a good site to watch newly released movies online?

    • @kennethjesiah9946
      @kennethjesiah9946 3 ปีที่แล้ว

      @Jorge Lionel I would suggest FlixZone. You can find it on google :)

    • @douglasdorian770
      @douglasdorian770 3 ปีที่แล้ว

      @Kenneth Jesiah Yup, have been watching on Flixzone for years myself :D

    • @jorgelionel4241
      @jorgelionel4241 3 ปีที่แล้ว

      @Kenneth Jesiah Thank you, I went there and it seems to work :) I appreciate it!

    • @kennethjesiah9946
      @kennethjesiah9946 3 ปีที่แล้ว

      @Jorge Lionel No problem =)

  • @Star-qf7ls
    @Star-qf7ls 3 ปีที่แล้ว +41

    Am a kenyan and Magufuli was my Hero. R.I.P

  • @hopesteven9732
    @hopesteven9732 3 ปีที่แล้ว +15

    Umezungumza fact sana, kiukweli Binafsi nitamkumbuka sana JPM katika maisha yangu, sijawahi ona kiongozi kama Huyu, Creative and Intelligent person.. Mwenyezi Mungu akaibariki Tanzania ifike mbali sana, katika kipindi hiki kigumu Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na neema atuvushe salama..

  • @hopesteven9732
    @hopesteven9732 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamani hii habari inatakiwa iwe number 1 kwenye trending news ni muhimu sana kila Mtanzania kuisikiliza...

  • @shyakaclement2645
    @shyakaclement2645 3 ปีที่แล้ว +51

    Mimi ni munyarwanda lakini magufuli he was my president by heart true hero i'm not suprise at all bcoz he was fighting against white agendas RIP

  • @rashidkeke9462
    @rashidkeke9462 3 ปีที่แล้ว +13

    Siku zote chema hakidum, ila namuombea Mwenyezi Mungu amjalie pema peponi pamoja na watakatifu wake ,sote niwamwenyezi Mungu nakwake ndio marejeo

  • @morymaria7700
    @morymaria7700 3 ปีที่แล้ว +9

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa kumpoteza shujaa from kenya

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Sally Grace,maana ndiyo watatumaliza na chanjo zao. Msimamo uleule Tanzania after Magufuli.

  • @isaymbwam6781
    @isaymbwam6781 3 ปีที่แล้ว +28

    Maraisi wazur wanoa tokea Africa hawa dumu mda mrefu wabaya ndo Wana dunda tu

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว +17

    Aki mi siyo mtz but kiswahili sio lunga yangu mungu diye ali mleta duniani tena akamchu kuwa yediyo ajuwaye tum muobe mungu am weke pazuri venye naskia story zake ika nifanya niliye lakini poleni watazania magufuli rest in peace baba wa taifa 😭😭

  • @lilianmwenderanimwenderani1409
    @lilianmwenderanimwenderani1409 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu airehemu roho yake mahali pema peponi alikua kiongozi mwema Bara Africa hakukua mfisadi kama awa viongozi wetu wa kenya😢😢😢

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 ปีที่แล้ว +18

    Nawasihi watanzania wng hata iweje msikubali vaccines ya aina yoyote!! Nawapenda watanzania wenzangu🙌

    • @malugukushaha6764
      @malugukushaha6764 3 ปีที่แล้ว

      Sitakubali chanjo yeyote ya Corona kutoka ulaya kwa aina yoyote ile hata ni kwa kugarimu maisha yangu.

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 3 ปีที่แล้ว

      Ujumbe mzuri Sana watapata taabu Sana hawa mawakala wa ibilisi na kiongoz wao Bill gates.

  • @kerosenealimasi8019
    @kerosenealimasi8019 3 ปีที่แล้ว +19

    Kwaheri magufuli we love u

    • @erastokatimbuka3595
      @erastokatimbuka3595 3 ปีที่แล้ว

      Under

    • @annajohn179
      @annajohn179 3 ปีที่แล้ว

      Rip rais wangu nilikupenda sana Ila mwenyezi mung alikupenda zaidi

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu alikuwa amejotoa kwa wananchi jamani tutamkumbuka na tutamkosa mnoo. Mungu atuinulie mwenye hofu na upendo wa nchi kama huyu baba yetu Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 ปีที่แล้ว +13

    Matumain yangu huend uko mbelen angewapa ujasir Marais na viongoz wengine kwa a Afrika kubadilika kuwa na ujasir kuwa na maamuz magum mbele ya iz nguruwe 😭haleluja tutaonan my Prez da❤️🇹🇿

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 3 ปีที่แล้ว +3

    💔💔💔 rest in peace Baba umefanya Mambo Makubwa Sana ya kishujaaaa
    Shujaaaaa shujaaaaa
    Shujaaaaa shujaaaaa juhudi zako zinaishi daima

  • @rajabmsinzia7921
    @rajabmsinzia7921 3 ปีที่แล้ว +22

    IPO SIKU UKWELI UTAJULIKANA TU LET'S WAIT

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

    VIONGOZI KUMI WA AFRIKA Waliojitoa SADAKA na kuandika HISTORIA KUBWA DUNIANI hawa hapa!
    th-cam.com/video/YETj6FP4kcU/w-d-xo.html

  • @zamamilia9892
    @zamamilia9892 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa kazi nzuri mzee magufuli, nilikupenda lakini mungu Kaku penda Zaidi.. Msikubali chanjo ya covid wa tz fateni maneno yake

  • @dullahsamir1555
    @dullahsamir1555 3 ปีที่แล้ว +10

    Rest in paradise baba

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 3 ปีที่แล้ว +2

    Am a Kenyan Damu, pure Kenyan But John POMBEY Magufuli was My Hero Though i have never met Him, I have been his follower Since the day he was Being Elected to take presidential party. MAGUFULI WAS A HERO, A HERO WHICH I CAN NEVER FORGET IN MY LIFE. REST DOCTOR JOHN POMBEY MAGUFULI. 😭😭🙏🙏

  • @marthavugutsa7374
    @marthavugutsa7374 3 ปีที่แล้ว +5

    Im a Kenyan bt i loved President of Tz bcoz of the truth na kuwasaidia wanyonge, hawezi linganishwa na maprezo wengine Africa nzima, may your Soul R. I .P

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

    SIRI NZITO Nyuma ya MAISHA YA BRUCE LEE nani ALIYE MUUA na Chimbuko la LAANA YA FAMILIA Part 1 th-cam.com/video/xTaLssx1kp8/w-d-xo.html

  • @mucci_AI
    @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว +7

    mungu wa wazungu hajawah kutuones huruma waafrica wako wapi mashujaaa wa africa kila anae jitokeza kubadilisha maisha yetu anafanyiwa figisu had kuuliwa

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +2

      Mimi nachuma dhambi tokanisikie kafa nasa wamemuuwa jamani mtanisamehe inawezekana wengine hawapendi maendeleo

    • @mucci_AI
      @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว

      @@julihanjosephyjs6361 inauma sana kaka daah

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +2

      Sijuwi Rais wainagani anatakiwa ukiwa fisadi kelele,ukiwa mkweli taabu uwongozi unakazi mmmhh watu wanaweza kufanya figisu kama vile uwanja wa ndege akitaka kujenga chato yatafanyika kweli

    • @mucci_AI
      @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว

      @@julihanjosephyjs6361 mambo meng hayatafanyika

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +1

      Wazungu wamefanyaje kaka

  • @hopesteven9732
    @hopesteven9732 3 ปีที่แล้ว +2

    True Legend JPM is living inside our hearts, inside the Tanzanian hearts... That's true Legend Hon. Doc JPJM

    • @makhanguwakhutu2408
      @makhanguwakhutu2408 3 ปีที่แล้ว

      Magufuli ni shujaa wa afrika sio Tanzania hata hapa kwetu Kenya tulihuzunika Sana kumpoteza shujaa wa afrika

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunamshukuru Mungu kwaajili ya izo siku chache alizokuwepo pamoja nasi, alitakiwa awepo ili tusishuhudie malaki ya watanzania wakifa kwa corona. Amemaliza kazi aliyokuwa ameitiwa.

    • @linessndelwa2876
      @linessndelwa2876 3 ปีที่แล้ว +1

      Imeniuma jamani, mazuri yake, upendo, kujitoa na kututetea watanzania hakika tutamkumbuka. Shujaa wetu was kujivunia kutoka Africa. Pumzilka kwa Amani rais wetu Magufuli.

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว

      Inama na tuta endelea kuumia

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    Revolutionary leader in Tanzania and Africacontinent R.I.P

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani kwa mikono ya Mungu.
    Kazi umeifanya Mungu umemtangaza kwa vitendo.

  • @peoplepeople416
    @peoplepeople416 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunda nzuri halikai kwenye mti. RIP my hero.... ❤️🙏

  • @jmeliasshanelle4303
    @jmeliasshanelle4303 3 ปีที่แล้ว +5

    Ingekuwa Africa yote kuna PRESIDENT kama Magufuli, Africa ingekuwa Paradise. Kifo chako sio bure Mwenyezi Mungu atakilipiza. Msikubali Vaccisine au chanjo

  • @evanjoki5799
    @evanjoki5799 3 ปีที่แล้ว +2

    Very true,ukweli kabisa,may he rest with angels

  • @suraya536
    @suraya536 3 ปีที่แล้ว +1

    Definitely we lost a good man and honest president may he rest in peace I am British from UK

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

    KAMA MUNGU ni mwenye UPENDO na mwenye NGUVU Kwanini ANAACHA TUTESEKE JIBU HILI HAPA
    th-cam.com/video/oWrINN1KOvI/w-d-xo.html

  • @ruadruad1073
    @ruadruad1073 3 ปีที่แล้ว +1

    RIPS shujaa magufuli jirani wetu kenya 😭😭😭👏👏🙏🙏🙏

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 3 ปีที่แล้ว +1

    Afadhali nife kuliko kuchanjwa korona,,,,nikikubali chanjo ina maana sina Imani na MUNGU wangu,,,,,,

  • @JKGJICHOMAKINIONLINE
    @JKGJICHOMAKINIONLINE 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana unavyo fafanua ata ukiongeaje mi nakubali sauti iko good

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 3 ปีที่แล้ว

    Ttricod media,Asante sana

  • @edwardlucas8912
    @edwardlucas8912 3 ปีที่แล้ว +7

    R.I.P magufuli pumzika kwa amani

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 3 ปีที่แล้ว +4

    Iv kumbe ndo uyu mzee alitrendi kwa kujua idadi ya samaki baharini alitisha kipindiiko dah😢

  • @ndayisabashadia8282
    @ndayisabashadia8282 3 ปีที่แล้ว +5

    Hata sijui nielezee vipi gisi ninaumia. R.i.p Mr hero may your soul rest in peace. amen and amen

    • @sallygrace1495
      @sallygrace1495 3 ปีที่แล้ว

      Thank you sis 🙌

    • @monisham6092
      @monisham6092 3 ปีที่แล้ว

      Jmni kma n siri nyinyi mlijuaje ebu tuache siasa tuombe mungu amueke pema peponi

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 3 ปีที่แล้ว +25

    Yaani kila nikibadilisha Chanel nakutana na majonzi siwezi kuangalia TV Yangu chozi linanitoka kila nionapo sura ya rais wangu JPM it's so painful

    • @allanokeke8547
      @allanokeke8547 3 ปีที่แล้ว

      Poleni

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว

      Wallah me hata kutazama picha naona uchungu natamani hata wasitoe picha mana msiba hauishi

    • @kassannita888
      @kassannita888 3 ปีที่แล้ว +1

      I’m a Congoles but I lived in TZ, John Magufuli make me crying 😭 I loved him so so much but God decided we can’t stop him 🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️😭😭😭😭😭😭

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 3 ปีที่แล้ว

      Moyo wa huzuni nikikmbuka, akisema tufunge kwa kusali ili Corona ipishe mbali ili hali viongz wa dini ndiyo lilkuwa jukumu lao. Cha ajabu haya madhehebu maarufu Wala hayakumpongeza wazwaz.

  • @aminashabani2850
    @aminashabani2850 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila nikuanapo picha zako najikuta machozi yakinitoka😭😭😭😭

  • @chudabad6539
    @chudabad6539 3 ปีที่แล้ว +9

    Mbele yake nyuma yetu amen

  • @peterlukali9649
    @peterlukali9649 ปีที่แล้ว

    Baba umeacha watoto shujaa Na wataendelea ulipo achia Amen

  • @narcissusmakenge4710
    @narcissusmakenge4710 3 ปีที่แล้ว +2

    May the Almighty God grant him internal Peace. Amen

  • @lightnessntaganyila1667
    @lightnessntaganyila1667 2 ปีที่แล้ว +1

    Kizuri hakidumu...hii kauli inauma lakin ni kweli..Mungu atusaidie tu 😒

  • @hamisiselemani9777
    @hamisiselemani9777 3 ปีที่แล้ว +4

    Yani hatuitaki hiyo michanjo yao hata moja kuingia humu nchini kwetu waache watumie wengene

  • @mimitijara4806
    @mimitijara4806 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm huwa napenda kukuckilza xana mungu akubariki na akupe umri na maishi maadui wackuone

  • @jothamkibona2919
    @jothamkibona2919 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi sana bro watu wanaropoka sana wanasahau kwamba wangekua ndani wasingepata huo mda wa kuropoka

  • @cyrabrown8609
    @cyrabrown8609 3 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli hangekaa sana maana alikua mkombozi pia wa Africa

  • @florahshisia2567
    @florahshisia2567 3 ปีที่แล้ว +2

    Inauma kwakweli daah

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hata ukisimulia Hayaishi mungu amrehemu nimakubwa kafanya

  • @isaymbwam6781
    @isaymbwam6781 3 ปีที่แล้ว +8

    Kizur hakidumu

  • @dennisodhiambo8008
    @dennisodhiambo8008 3 ปีที่แล้ว

    hongera baba

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    Magufuli was the most world thinker of ourtime

  • @khanakwasarahlydia2190
    @khanakwasarahlydia2190 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 3 ปีที่แล้ว +5

    Tamaa zapesa zimetupotezea kiongozi wetu shupavu magufuli umetuuma sn uliokua awakupendi wenye ubadilifu wapesa maela wakua nayo mengi lkn hawalizik mungu tunakuomba usimamie ili na ujb

    • @rosersanka1115
      @rosersanka1115 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu anasababu ya kuruhusu hili litokee yaani alitupa zawadi na ameichukua Tena hivyo mungu ndo mwamuzi hatuna budi kushukuru kwasababu kazi ya mungu haina makosa jina la bwana libarikiwe, moyo wangu vumilia Sana japo maumivu nimakali Kama Moto we vumilia.

    • @hgffhhbty3053
      @hgffhhbty3053 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @cosmastigiya4226
      @cosmastigiya4226 3 ปีที่แล้ว

      @@rosersanka1115 Inauma Sana

    • @theopistamwayeya1764
      @theopistamwayeya1764 3 ปีที่แล้ว

      @@rosersanka1115 Amen

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 3 ปีที่แล้ว +3

    Afrika tunaliya sanaaa😭😭😭RIP mukombozi wetu

  • @marymata8977
    @marymata8977 3 ปีที่แล้ว +4

    Doha inn he was r precious stone safiri salama mungu atarida watu wako

  • @johnsam4942
    @johnsam4942 3 ปีที่แล้ว +6

    Anaetuharibia ni Lissu anatuchafua sana ebu tupe historia ya lissu

    • @mushyenock6975
      @mushyenock6975 3 ปีที่แล้ว

      Mpaka afe

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 3 ปีที่แล้ว

      @@mushyenock6975 na hata yeye kama akifa historia yake itakuwa nzuri mpaka utashangaa

  • @agustinoalex132
    @agustinoalex132 3 ปีที่แล้ว +3

    Amin bro nimekusikiliza sana nanaamin ulichokiongea najua bado atakua nassi sikuzote japo hatokua ana oonekena

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 3 ปีที่แล้ว

    Africa Africa💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @reginanelly4492
    @reginanelly4492 3 ปีที่แล้ว +3

    So tuseme freemason wamehusika kumaliza magufuli, pole watanzania from 🇰🇪

  • @emanuelsamson778
    @emanuelsamson778 3 ปีที่แล้ว

    ✊✊✊👍👍👏

  • @labolabo8875
    @labolabo8875 3 ปีที่แล้ว

    Let us protect our Africa

  • @sadickkalinga7888
    @sadickkalinga7888 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunapaswa sisi waafrika ndio tutunze historia yake na sifa zake wazungu waandike zakwao

  • @ibrahimmawee9837
    @ibrahimmawee9837 3 ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wa kiafrika munapasa muige mfano wa Magufuli ili Africa iheshimike

  • @KasindiPapi
    @KasindiPapi 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli Baba, mbona umeondoka wakati tungali tunakuitaji mfalme wetu wa Africa? Kwanini unatuacha wachanga hivii baba? Je, tutalelewa nanani mzee wetu? Africa yote tunakulilia baba, ingelikuwa heri urudi, ao kuzaliwe mwengine basi kama wewe.
    Tanzania, je!! mlishindwa kweli kumlinda Magufuli ili andumu wala amalize mda wake kweli? Yaani najiuliza maswali mengi nakosa jibu, sijuwe nitapata jibu wapi. Nilikupenda sana Mzee wangu, baba, babu, rafiki wawote, Raisi wa Tanzania, pia wa Africa yote.
    Yaani..inaniuma sana.
    Je, Mungu! Uko hai kweli? Mbona waliowako awandumu nawakati unasema wewe niwa jana, leo na kesho? Tupe jibu kama uko Mungu uliye haii..najibu iyo tanataka kwako ni kwamba utupe mwengine kama yeye Magufuli.

    • @febbycosmas6298
      @febbycosmas6298 3 ปีที่แล้ว

      Usikufuru Mungu yupo hai na kampumzisha mtumishi wake nasi atatulinda Wala taifa halitateketea

  • @transmontana6412
    @transmontana6412 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭

  • @gerishombarasa1693
    @gerishombarasa1693 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amukubuke

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

    Wamarekani niwabaya sana

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +1

    Khaaaaaa kaka nilikusubiriya kwahamuuuu

  • @ezraedwini5098
    @ezraedwini5098 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja kaka upo vizuri kwenye kutuhabarisha

  • @immingoso
    @immingoso 3 ปีที่แล้ว +1

    Twawapata pamoja sana ,
    R.i.p Mweshimiwa JP Magufuli🙏.

  • @omwami9071
    @omwami9071 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkenya hapa. Lala salama gwiji

  • @franktadei3082
    @franktadei3082 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nljua tu kuhusu hzo cku kufanana kwa kifo bhas kuna k2 sio bure sasa tuchambulie

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 3 ปีที่แล้ว +1

    My hero, hakuwa Mwizi kama ma rais wengi bara la Africa.

  • @kinademello
    @kinademello 3 ปีที่แล้ว +1

    "Aliweza, aliweza aliweza" inatumika vibaya kaka mtangazaji

  • @aminashabani2850
    @aminashabani2850 3 ปีที่แล้ว

    Baba mkombozi wetu jembee letu umetuachia mpini tu tufanyaje 😭😭😭😭😭😭🙏

  • @mulangilakabwarebenson5128
    @mulangilakabwarebenson5128 3 ปีที่แล้ว

    Tunasubiri maana ya namba. 17/2/2021 na 17/3/2021

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 ปีที่แล้ว +4

    Sio mbaya lazma first born wangu nitamuita Magufuri

  • @naimatmussa8746
    @naimatmussa8746 3 ปีที่แล้ว

    yaarby😥😥😥😥😥😥😥

  • @georgeshigela3643
    @georgeshigela3643 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna baadhi ya watu nawachukia kwa sasa sipendi hata kuwaona yaani toka rais wetu mpendwa ametutoka nimejawa na chuki ya ajabu

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Watu gani tena jamani?

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli anaishi nasi milele

  • @faraolion6822
    @faraolion6822 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa Amani mpambanaji wetu, tutakukumbuka daima milele

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭🙏🙏🙏kweli kabisa tutamukumbu kasana apumuzike kwa amani tumepoteza sana tumekosa kidume kwakweli ni majozikilasiku nikuzidi kumuhombeya sana nasisi bimebaki tujitambuwesana tusiju kupoteya maneno yake yawe kazi kwetu na bijuku byetu tuant mbiye babauetu alitu pigani akajitowa sadaka kwetu magufuli wetu tutakukumbukasana kila tuki kumbuka tutaliya sana tumepoteza😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว +1

    Agreat son of Africa hatutapa kama magufuli

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aipokee roho yake mbinguni wazungu ni kweli maadui ila wanawatumia waafirica wenzetu kuwaangamiza wezetu ila wasio na akili kama lissu nawenzake watumika. Mzungu hawezi kuuingia dani ya nchi kama hakuna mwafirika kuwaongoza ni vibaya lakini kumbukeni kwamba hata yuda iscarioti aliye msaliti yesu. Yeye alijinyonga?.je lissu na wenzake wataishiaje? Na hao mabeberu wao?

  • @edwardmolell1233
    @edwardmolell1233 3 ปีที่แล้ว +1

    😪😪😪🤤

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 ปีที่แล้ว

    😪😪🇹🇿🕯️

  • @brendakerubo7283
    @brendakerubo7283 3 ปีที่แล้ว

    😪😪😪😪

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🙏

  • @wasilgym6081
    @wasilgym6081 3 ปีที่แล้ว +1

    rest

  • @sadahgullam8228
    @sadahgullam8228 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni world war without weapon

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

    Wazungu walishiriki sn .hawapendi tuwe na viongozi wazuri

  • @shauritangaferuzi
    @shauritangaferuzi ปีที่แล้ว

    Mimi naumia Hadi leo Ila machozii yetu hayata Toka bulee tutalipyaa tu watanzania hasa wale wanyongee

  • @oswaldacleofas2803
    @oswaldacleofas2803 3 ปีที่แล้ว +1

    Drop namba yako hapo chini chief

  • @mucci_AI
    @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว +2

    mapema tu nakubal kaka

  • @chudabad6539
    @chudabad6539 3 ปีที่แล้ว +4

    Umesahau stendi ya mbezi

  • @agustinoalex132
    @agustinoalex132 3 ปีที่แล้ว +2

    R i p mutakatifu wetu mukomboziwetu natukipata ma rais kama hawa kumi Africa inakomboka katika mikono ya wazungu