Samahan naomb unielekeze juu y mzunguko Wang mwezio huu 10 uliopit 8 wantuma ten 3 je mzunguko Wang wa CK ngap maan n naenda 6 je CK Zang za htr n zip???@@ramonawatoto
Kwema kaka, samahani kwangu mimi uwaga narudi nyuma siku mbili mfano mwezi april nikiingia tar. 9 mwezi mei ninaingia tar. 7 nashindwa kujua nini mzunguko wa siku ngapi. Ahsante
Ishu sio tar husika zimepishana, ila ishu ni kuangalia jumla ya siku za mzunguko ni ngapi kutokea siku ya kwanza ya hedhi, mpaka tarehe nyingine ya hedhi inayofuata, hapo utagundua mzunguko wako unasiku ngapi na ndipo utajua namna ya kupata ujauzito na namna ya kuuepuka huo ujauzito.....
Kwa kweli mimi nakushukuru sana Dr nimeelewa vizuri mnoo...kumbe mimi nilikuwa naziacha siku za hatari natafuta mtoto katika siku salama. Umetusaidia mnoo na Mungu Akubariki.
habar kaka, naomba unisaidie, niliingia kwenye siku trh 24/9 mpka kufikia leo bado sijaona siku zangu, mwezi wa 10 upepita pakvu, na nimepima mimba sina, sijui shida inaweza kuwa nini na mzungo wangu haueleweli,
@@NancyDaniel-xc2orhua unachukua mzunguko wa siku ngapi? ukijua hilo basi ni rahisi kujua siku za hatar na siku za usalama..... Mfano kama unaenda siku 28, maana yake siku zako za hatari zinaanzia siku yab10 tangia siku ya kwanza ulipoingia hedhi, na siku ya 14 ni siku ya yai kutokea yani ovulation day, ambapo kuna uwezekano wa kupata ujauzito kabisa, na mwisho wa siku za hatari ni siku ya 19, na kuanzia siku ya 20 na kuendelea mpaka mwisho wa mzunguko zinakuwa siku za usalama..... Sasa mzunguko wako hua unachukua siku ngapi ili usaidiwe..... Karibu
Hbr dr. Mm naitaj msaada pia wa kpt watoto aidha pacha au single. Lkn mzunguko wng ndani ya miez 3 natumia cku 28 lkn kufkia mwez wa 8 ukaanza kbdlika napata cku 30 nilipofika mwez wa 9 ukarud 28 lkn mwezi huu kutoka trh 22 ya mzunguko wa mwez wa 9 ndo nimeingia leo hii. Hivyo ni cku 35 wkt huo nilifata calendar vzr ili nipate ujauzito but sjapata ila dam inayotoka leo ni ya rangi nyeus, ina mapande hlf marenda haifahamiki wala hrf yake ni tofaut na ile nilozoea na sjawah kuumwa na tumbo lkn leo linanikata sn. Yaani naogopa hii dam ndo inanitisha mno.
Nzurii sana sasa Mimi naona nimejifunza lakini Mimi ndio Siku zangu hazieleweke kama ulivyo sema maana zinapita mpaka siku sita bado naona damu yanii kiujumla hazielewekii ila nimejifunza
Mimi naomba unisaidie mzunguko wangu hauweleweki mwez uliopita niliingia tr 4 mwezi huhuo nikapata tr 30 sielewi tr gani ya kupata mtoto wa kiume mwezi huu naomba msaada
Samahan Dr mim mzunguk Wang unanichangany nikiona ck zang mwez huu mwez unaofata naruka nitazion tena mwez ujao na tareh isiyojulikan naomb unisaidie kwa Hilo.
Mimi niliona tarehe 25 mwezi wa tisa na sasa nimeona tarehe 20mwezi wa kumi je dokta taree ya atare kwangu ni ipi maana nisharuadia kuangalia ata sielew
Asante dokta ila bado kichwa yangu ni ngumu naomba kuhuliza kwa maesabu yangu ya myezi sita nimepata 27,27,27 nkapata tena 28 ,28, tena nikapata 27 hiyo myezi sita nikapiga hesabu kama ulivyo sema nikaichukua hiyo ndogo swali langu mwezi huu wanane nimeingia 8 talehe kumi na moja nikawa mkavu je siku ya hata ni hipi maana naomba mungu mwezi huu nipate mtoto
Kk angu habari doctal mm nimeingiya trehe 23 mwezi was Saba nanikimaliz treh 26 lkin treh 28 nikakutana nayee na treh 30 na 5 trehe 5 ssa apoo sjaelewa kwamb ndioo siku z hatlii nilizokutanananyee au nisiku z kawaida
Habari kaka mm nashindwa kuelewa, mfano mwezi wa sita niliingia tarehe 13 mwezi wa 7,nikaingia trehe 17,mwezi wa 8,nimeingia 15 nafanyaje hapo na ninaitaji ujauzito sasa najuaje hapo siku yangu ya hatar
Umenitupa mbali,me mzunguko wangu , January 24hadi27, Feb 25hdi28much28hadi31 April 29 hdi2 may cikupata June 3hdi 6july 5hdi 8agust cikupata September 10 hdi 13 October cikupata je ni vp hapo naomba msaada
Samahani kaka mim kila nikiingia hedhi uwa tareh zinarudi nyuma mpak inakuja moja sasa naomba nisaidie nikiingia tareh 28 had 31 je siku yangu ya hatar ni ipi
Dr.samahani nilikuwa nauliza kama mzunguko wa pld. Unabadilika hauko sawa umeingia pld. Talehe 1/3/ sasa hapo utajuaje siku zako za hatali ya kushika mimba na mwezi ukiwa bado ujaisha ili uweze kuesabu ili ujue siku ya kushika mimba mana hapo nilazima uwingie tena pld.ndo uwanze kuhesabu umeingia siku ngapi
JazakaAllahu kher doct Allah akuzidishie kwa kutupatia elimu inshaaAllah
Waooo!! Mungu akubark sanaaa nmekuelewa vzur sanaa
Uko vizuri Dr Ramo Mungu akutunze kwa ajili ya yetu ubarikiwe Sana wewe ni mwalimu .
10:46 nimependa hii elimu me Kuna Jambo linanitatza
Kaka kazi nzuri nimeona mimi naanza kupata siku za hedhi tarehe kumi na tatu sisaidie kujua siku za hatari nisipate mimba
Asante sana Doctor nimejifunza kitu hakika umenifungua sana naimani kila kitu kitakaa sawa 🙏🙏🙏
Asante sana docror milikuw sijui hata maana ya mzunguko wa hedhi god blessing you.❤
Asanteee doct me nilikuwaa sielewiii kabisaaa ilaa Leo Somo lako limenifundish Mungu azidii kukupaa ufunuooo zaid na zaidiii🙏
Unaelezea vizuri sana Doctor barikiwaaa
Broo uko pouwa sana Mungu akupe Afya njema uzidi kutuelimisha zaid
Dr .nimekuelewa sana asante sana kwa elimu hii🙏
Nashukuru sana Dr nimeelewa kichwa ilikuwa ngumu kuelewa ila leo nimeelewa
Nimekuelewa Kaka ngoja niifanyie kazi ahsante kwa kutuelimisha
Asantee sana broo🍉🙏🙏nimepata kitu
Asante sana dr umenielezea vizuri sana hadi nimeelewa barikiwa Mungu akupe maisha marefu🙏🙏
Hongera sana kaka nimekuelewa
Dah nyie huyu kaka mungu ampe umri mrefu kwajili yawote tunaomhitaji 🙏🙏🙏
Allahumma Amiin 🙏
Samahan naomb unielekeze juu y mzunguko Wang mwezio huu 10 uliopit 8 wantuma ten 3 je mzunguko Wang wa CK ngap maan n naenda 6 je CK Zang za htr n zip???@@ramonawatoto
Asante kwa kutufundisha nimekuelewa sn kaka
Nimeelewa,,. Be blessed 🙏🙏
Asante dokta darasa zako ni nzuri leo nimefaham namna ya kuangalia cku zangu za hatari
Mungu atusaidie tuwe na mizunguko inayoeleweka
Upo vzuri saana doctor.
Mungu akubariki sana .somo adimu.wewe umejua kufata Kona matatizo ya wengi yalipo.Barikiwa sana.
Wow asant sna make wengin tulikuwa hatuelew kabis
Kwema kaka, samahani kwangu mimi uwaga narudi nyuma siku mbili mfano mwezi april nikiingia tar. 9 mwezi mei ninaingia tar. 7 nashindwa kujua nini mzunguko wa siku ngapi.
Ahsante
Ishu sio tar husika zimepishana, ila ishu ni kuangalia jumla ya siku za mzunguko ni ngapi kutokea siku ya kwanza ya hedhi, mpaka tarehe nyingine ya hedhi inayofuata, hapo utagundua mzunguko wako unasiku ngapi na ndipo utajua namna ya kupata ujauzito na namna ya kuuepuka huo ujauzito.....
Ubarikiwe saaana dr
Asanteh kaka nimeelewa
Asante mkuu hili somo nitalirudia rudia
Yani wew doctor unajuwa mungu akuweke unajuwa mpk unajuwa tena ❤❤❤❤❤❤
asante doctor nilikua sielew kabsa nashkuru
Mungu akutunze kaka,sikujua jamani oooh!!
Mungu akujaarie kila jambo ubarikiwe xan n umekua mwalim mzur xn yaan
Nashukuru kwa elimu dr ramo
Kwa kweli mimi nakushukuru sana Dr nimeelewa vizuri mnoo...kumbe mimi nilikuwa naziacha siku za hatari natafuta mtoto katika siku salama. Umetusaidia mnoo na Mungu Akubariki.
Ubarikiwe sasa nimeelewa
Asante san doctor
habar kaka, naomba unisaidie, niliingia kwenye siku trh 24/9 mpka kufikia leo bado sijaona siku zangu, mwezi wa 10 upepita pakvu, na nimepima mimba sina, sijui shida inaweza kuwa nini na mzungo wangu haueleweli,
Imenisaidia❤
Nashukuru kwa mafundisho
Kiukweli umenifungua asante saana
Doctor samahn kwanini tunatumia mzunguk mfupi kijuwa siku zetu za hatari na tusitumie mzunguk mrefu kujuwa sik zet za hatari? Plz naomba nisaidie jibu
Jmn ❤❤❤❤
Je naez pata ujauzito
Leo umenipa tumaini jipya Asanteee
Hapa nimekuelewa vizuri sana kwa namimi ni muhanga wa jambo hili🙏
Habar dokta
Mungu akubalik kaka umeelezea ukwer mtupu
Ramo ni mmoja tu😂🔐
Ni yeye
Unaelezea na kueleweka kwa urahisi 🎉
Asante nataka ni isabiye
Shkrn daktr Kwa maelezo yko mazr ,sasa nmeweza kuelewa🙏
Habali kaka mimi mzunguko wangu unabadilik na sielewi nifanye Nini naomba unisaidie
mimi nimeingia mwanzo wa mwezi yn trh 4 Je naweza kushika mimba tarh gan
@@NancyDaniel-xc2orhua unachukua mzunguko wa siku ngapi? ukijua hilo basi ni rahisi kujua siku za hatar na siku za usalama..... Mfano kama unaenda siku 28, maana yake siku zako za hatari zinaanzia siku yab10 tangia siku ya kwanza ulipoingia hedhi, na siku ya 14 ni siku ya yai kutokea yani ovulation day, ambapo kuna uwezekano wa kupata ujauzito kabisa, na mwisho wa siku za hatari ni siku ya 19, na kuanzia siku ya 20 na kuendelea mpaka mwisho wa mzunguko zinakuwa siku za usalama..... Sasa mzunguko wako hua unachukua siku ngapi ili usaidiwe..... Karibu
Naomba ushaiur
Shukran daktari nimekueĺewa vzr
Tunashukur kwa darasa zur nimeelewa .
Asante dokta umeeleweka sanaaa
Thanks for ur lesson Dr ramo
Asante saaana
Jamn duuuuuh yan sielew sjuii kwan hat nikihesabu inakataaa😭😭
Asante doctor
Vizuri Sana kaka
Shukurani doct
Ahsante nmekuelewa broo
Mimi June 27,July,29,agast 31 , Sept 28,October 30, November 30 hapo kwenye somo nimekuelewa
Hbr dr. Mm naitaj msaada pia wa kpt watoto aidha pacha au single. Lkn mzunguko wng ndani ya miez 3 natumia cku 28 lkn kufkia mwez wa 8 ukaanza kbdlika napata cku 30 nilipofika mwez wa 9 ukarud 28 lkn mwezi huu kutoka trh 22 ya mzunguko wa mwez wa 9 ndo nimeingia leo hii. Hivyo ni cku 35 wkt huo nilifata calendar vzr ili nipate ujauzito but sjapata ila dam inayotoka leo ni ya rangi nyeus, ina mapande hlf marenda haifahamiki wala hrf yake ni tofaut na ile nilozoea na sjawah kuumwa na tumbo lkn leo linanikata sn. Yaani naogopa hii dam ndo inanitisha mno.
Be blessed doctor shukrani 🙏
Karibu sana
Mungu akubariki unatuponya wengi
Shukran dr🙏🙏
Sijaelewa
Asante nimeelewa vzr
Thanks nimeelewa ss
Nimekuelewa
Doctor mie nauliza unaweza pata mimba sik moja baad ya kumaliza hedhi..kwa maan mfan nmemaliza hedh leo then kesho nikakutana na mweza wangu
Barikiwa sana nimekuelewa
Nzurii sana sasa Mimi naona nimejifunza lakini Mimi ndio Siku zangu hazieleweke kama ulivyo sema maana zinapita mpaka siku sita bado naona damu yanii kiujumla hazielewekii ila nimejifunza
Asante Sana nimeelewa
kazi zuri
Balikiwa
Samahani na vizuri kukaa miezi zaidi ya tano bila kuona siku zako
nimefulahi sana na nimelewa vizuli doct asnte umenisadia kutokutumia kondom kwa make wangu
Nimeelewa
Mimi naomba unisaidie mzunguko wangu hauweleweki mwez uliopita niliingia tr 4 mwezi huhuo nikapata tr 30 sielewi tr gani ya kupata mtoto wa kiume mwezi huu naomba msaada
Nisaidiye kaka mungu atakulipa ni meadika ivi memesha isabiya ila nauliza kama ni taisabiya mwezi kwa uyu nimeoneya 17/12 2023
Asante sana
Ubarikiwe kwasomo Doct
Samahan Dr mim mzunguk Wang unanichangany nikiona ck zang mwez huu mwez unaofata naruka nitazion tena mwez ujao na tareh isiyojulikan naomb unisaidie kwa Hilo.
Dah mi mzunguko wangu siku 17,18,,aah nachoka
kaka umenisaidia sana nilikua sijui kitu kuhusu hedhi
Mimi niliona tarehe 25 mwezi wa tisa na sasa nimeona tarehe 20mwezi wa kumi je dokta taree ya atare kwangu ni ipi maana nisharuadia kuangalia ata sielew
Nakushukuru docter
Asante dokta ila bado kichwa yangu ni ngumu naomba kuhuliza kwa maesabu yangu ya myezi sita nimepata 27,27,27 nkapata tena 28 ,28, tena nikapata 27 hiyo myezi sita nikapiga hesabu kama ulivyo sema nikaichukua hiyo ndogo swali langu mwezi huu wanane nimeingia 8 talehe kumi na moja nikawa mkavu je siku ya hata ni hipi maana naomba mungu mwezi huu nipate mtoto
Kk angu habari doctal mm nimeingiya trehe 23 mwezi was Saba nanikimaliz treh 26 lkin treh 28 nikakutana nayee na treh 30 na 5 trehe 5 ssa apoo sjaelewa kwamb ndioo siku z hatlii nilizokutanananyee au nisiku z kawaida
Habari kaka mm nashindwa kuelewa, mfano mwezi wa sita niliingia tarehe 13 mwezi wa 7,nikaingia trehe 17,mwezi wa 8,nimeingia 15 nafanyaje hapo na ninaitaji ujauzito sasa najuaje hapo siku yangu ya hatar
Mimi sijaelewa doctor😂
Umenitupa mbali,me mzunguko wangu , January 24hadi27, Feb 25hdi28much28hadi31 April 29 hdi2 may cikupata June 3hdi 6july 5hdi 8agust cikupata September 10 hdi 13 October cikupata je ni vp hapo naomba msaada
Kaka angu naomba unisaidie na Mimi nina tatizo la mzunguko wangu Mimi naingiaga badala ya miezi mitano kuja kuona mzunguko wangu tena naomba ushaur wako kaka angu
Samahani kaka mim kila nikiingia hedhi uwa tareh zinarudi nyuma mpak inakuja moja sasa naomba nisaidie nikiingia tareh 28 had 31 je siku yangu ya hatar ni ipi
ngoja nijaribu
Before sikujua ila now nimeelewa
Naomba msaada maana mm sielewi