Kama unahitaji ushauri wa kitaalamu au una swali kuhusu maswala ya mzunguko wa hedhi, Uzazi au Afya kiujumla, tutumie message WhatsApp kwenye namba 0717 442 590
Naomba nisaidie mie nina mwez siuoni siku zangu pia nimejaribu kupima kupitia iko kipimo mara nne jibu ni negative alafu uwa najiesh uchoyo asubuh na uwa nalala sanaa, moyo kwenda mbio, kichwa kuuma, naweza kuwa mjamzito au pia kuna kifaa kingen cha kupima mimba tofaut na iko au kutumia chumvi
Habar dr pole na majukumu ya kuelimisha jamii samahi Dr naomba jibu la swali lang me nimefanya mapenzi ndani ya siku kumi na tano ya mzunguko wang inawezekana kutopata mimba ila siku zangu zipo vizuri hazina shida nisaidie kwa hilo
Habari yako Dr.Mimi niko nashida hapa.Naisi dalili za mimba ila nikipima na Upt inaonesha sina mimba ni mwezi sasa bado Upt inaonesha sina mimba.kiungulia.kuchefuka kuna mtikisiko kwenye tumbo la uzazi.Na kufanya kazi nzito pia siwezi nikifanya Nyonga zinanibana mno.Kiuno nacho kimetanuka kiasi kwamba hata nguo zakataa.nikivaaa nguo ya kubana tumbo linaniuma .Sijui naweza kuwa na shida gani.
Samàhan doctor me kabla xjapima nlikuwa bado nakishangaa kipimo kumbe nmekigusa sehem ya kuingiza kweny sample ya mkojo baada ya kupima ikaonyesha negative na chuchu zinauma na sijaona hedhi mwez wa 12 naomba unisaidie kimeonyesha majib sahh au ndo nmeharb kukigusa nmepima mkojo wa saa10 usiku
Habari na kazi maziwa yangu hujaa kwny chuchu Kuna wakati na huwa kama yanauma lakn nikipima mimba hkn miezi miwili Sasa lakn mwezi ulioisha nimeenda period kama kawaida ttz nn hl tu
Samahan doctor mim nifanya mapenz nikiwa katika siku za hatar lakin tokea apo nimekua sijielew tumbo langu inakua kama limejaa alaf linauma chin ya kitovu na leo nisiku ya 9 shida ni nini
nlipima Nikagundua km nna ujauzto japo mstar mmoja ulififia nikaztafuta dawa znaitwa miso nkaztumia ila niliishia kuumwa tumbo t ila dam haikutoka iv n wapi nmekosea🙏🙏
Dr Mimi last m.p yangu ilianza tar 8/04 na kwa kawaida mzunguko wangu huwa ni wa siku 28 but nowadays unasuasua Mara bleed itokee baada ya siku 24, Mara baada ya 26, Mara 27 au 28 kama kawaida. Sasa Mimi nilifanya hiyo tarehe,nawezakuwa nimepata mimba?
@@afyatips habari doctor Mimi napenda sana kukusikiliza na pia nina swali nimefanya mapenzi tar 30 na ilikua siku hatari nahisi dalili za mimba lakin nimepima inaonekana Hamna je nipime baada ya muda ganii tena?
Doctor nimekutan na mwan mke lkn hajaona dalili yoyte ya kuwa km mjamzito lkn hjapat siku zke nimepima lkn inaonesh hna mimb lkn sku zke hjapta bdo ttzo nn
Mm nilishiliki tendo mwezi wa 5 alfu nikapim mimba mwezi wa 6 tareh 1na 13 zote zikasoma negtive alfu nikaingia p tarh 15 na mwezi wa 7 nikaingia p tarh 14 na mwezi wa 8 tarh 14 na mwezi wa nane nilipima tena ikasoma negative mwezi wa 9 hadi leo cjaingi p kwaio na mimba au
Doct samahan Mimi natakiwa nione siku zang tar 12 mwez uuh lakn mpaka Leo tar27 sjaona sku zang nimepima leo hamna kit istoshe mgongo na kiuno vinaniuma sana nasio kawaida yang je tatizo litakuwa nn
Mimi nimezingatia ushauri na sasa ni mjamzito wa wiki mbili ila nama nikivaa nguo ya Kuban katumb kidog au nikiinama nasikia ka ka kitu kanapita je katot nikakubwa au maana sielew
Samahani dr naomba unisaidie nina mimba ya miezi 4 nimeenda kupima utrasound majibu yametoka nina mimba ya week 4 na siku 5 nini shida dr wangu maana ukweli nimechanganyikiwa nijibu tafadhali
Doctor samahan...mimi nilfanya mapnz cku za hatar na kila nikikaa nahc kma kuna ktu kinapumua apa chini ya kitovu na maziwa yanajaa na nnakua nahisi uchovu sana kila wakat na hasa nnapokalia kiti kwa muda mrefu ofisini nahisi maumivu ya kiuno lakin nmepima mimba cku ya 12 majibu yametoka negative... je, naweza kua nimeshika ujauzito?
Kuna uwezekano ukawa umeshika mimba au ikawa kitu kingine. Lakini kipimo cha mimba ndo kitakupa uhakika. Hapo fanya kusubiri kama siku mbili au tatu halafu urudie tena kupima. Na ukiwa unapima tumia ule mkojo wa asubuhi
naomba kujua ikiwa mtu kapata mimba arafu ikatokea akanywa frajiri ,akaja kunywa Redds,akanywa pepsi na huyo mtu anapata dalili kama za kuingia period namaanisha miguu kukosa nguvu ,tumbo kuuma ....je hapo kutakuwa na mimba kweli au ishavurugika coz nisiku 19
Doctor mimi nilikutana na mwanaume tarehe 27 mwez wa nane nkapima mwez wa tisa nikajikuta positive je hii mimba ina week ngapi na matarajio ya kujifungua yaweza kuwa ad mwez gani?? please naomba unijibu
Nunua kipimo kingine,,, Maaaana mstari mmoja huwa unakolea kwa sababu ni constant ,, ila huo wa pili unaweza ukakolea au laaa kullingana na kiwango Cha HCG kiilichozalishwa
Mim nilikutana na mwanaume wiki tatu lakini nikipima unakuja msitali mmoja afu wa pili unaonekana kwa mbali sana kama huna macho bas uwezi ona mana nikwa mbali snaa
Hapo hauwezi kuwa na uhakika kama una mimba au hauna. Cha kufanya subiri kama siku mbili zipite halafu urudie tena kupima. Na ukiwa unarudia, tumia ule mkojo wa asubuhi
Habar doctor naomba kuhuliza kwa mfano ulitoka kudate na mtu tarehe 23 then ukaja kupima mimba tarehe 26 je kipimo kinaweza kuonyesha mimba kma ipo au lah
Asante Doctor pia nina swali nimeona tare 10 za mwezi unaisha ila ivi sijaona huwa nikion ivo mwezi wakufatia nawez kuona 11 nipime au nisubir kwanza pls niambie
@@marryemmanuel9187 Inawezekana ukawa una mimba. Ili kupata uhakika fanya kurudia tena kupima baada ya siku 3, halafu ukiwa unapima utumie mkojo wa asubuhi.
Nilikutan na mwanaume mwezi wa 12 na alikuwa amevaa condom ilikuwa tarh 13 tareh 14 nikaanza kuona hedhi ilipoixha mpaka saiv sijapat tena hedhi je xhida itakuwa nn na nimeshapima na hicho kipimo kimenionyesha mstari mmoja
Naomba kuuliza nina watoto wawili nilipata ujauzito last month ila kwa bahat mbaya I miscarried ilikua kweny tarh tatu hivi but still nahis dalili za mimba na juzi nilijaribu kupima ikanipa majibu positive hii inakuaje kitaalam??
Kwanza pole kwa kupata miscarriage. Ipo hivi, mwanamke akipata miscarriage ile homoni ambayo inapimwaga kwenye mkojo huwa inaendelea kuwepo kwa wiki kadhaa- ndio maana umepima kipimo kikaonyesha bado una mimba. Lakini baada ya muda homoni itaisha na kipimo kitaonyesha negative
Dokta mie siku zangu naziona kama kawaida lakini kizunguzungu kinanisumbua nachagua vyakula nikikaa mda mwingine tumbon naona kama kuna kitu kinastuka lakini nilipima hakuna kitu hapo sijui nifanyeje
Mi nilipata period mara mbili ndani ya mwezi mmoja na mwezi huu sijapata kabisa leo ni ck ya 32 lakini period ya pili ilikuwa damu kidogo sana na ilitoka ck mbili tu nimepima kama mara 3 sina mimba je tatizo ni nini? Msaada
Tatu_abdalla_bakari mm na uliza nimpema nikaabiya nikae kilabaada yawiki bili lakini saivi naona kama dalili yaujauzito na ona matiti yana ja unakuwa je naomba ushauri
habari doctor natumaini mzm wa afya.. me na mpenzi wangu tulihitaji mtoto akapewa dawa ya clomiphene na akapewa maelekezo yotee ila jana amepima mimba ni negative na anabaadhi ya dalili ya mimba ni kwamba hiyo dawa imemchelewesha kupata hedhi au arudie siku nyengine kupima kwasababu bado siku 3 zimebaki uishe mwezi tangia atumie hiyo dawa tunaomba ushauri dokta
Doctor m nilipim sik yakwanz hospital ikaonesh misrt mili zikapita kam siku tatu nikapim ten nimeon mstr moj uwo mwingn unaoneka kwa mbal san yan shid nn apo
Sas mbon vengine unawez kua na mimb kam mwezi mmoja na unapim kinaonesha hamna ukiend kupima chengine yan spital nyengine unaambiw unayo hivi inakua Kwa nn iwe ivo wakat kipimo ndo icho icho kimoja cha mkojo
Kuna vitu vingi vinavyoweza kupelekea hii kutokea. Kwa mfano; usipotumia kipimo kwa usahihi kipimo hakiwezi kutoa majibu sahahi. Au kama kipimo kina shida au kimeishaexpire- kinaweza kisitoe majibu sahihi
Doctor Msaada wako plzz mtu anayejihisi mjamzito lakn akapima isionekane akaamua kutumia vidonge vya folic acid Kuna madhara pngne Kama mimba ilikuwepo itatoka?
Hata mimi hv hv nimenda hospital mimba ipo hila dawa inatoka nimeambiwa tulie nisitembe nikae tu kitandani mpaka nisubiri siku yangu ya clinic doctar hatajua tatizo lipo wapi nipo hp naomba mungu tu
Dr mi naomba kuuliza tangu mwezi wa 12 nilipoona hedhi sijaiona tena hadi leo nanina dalili zote za mimba ila nikipimwa kipimo kinaonyesha sina mimba.Naomba unisaidie ushauri
@@afyatips samahani Docta Mimi niliingia piriod tarehe 11ya mwz8nanika tumia kusex Siku ya ,12" 13" 14toka Siku iyo nao maziwa yana uma na kuwasha kuumwa kiuno kuchoka mala kwa mala na kuchagua chakula na kuwa na hasira na Mume Wngu jee naomba unisaidie ushauri kwanini napata hali hii
Dr.. Mimi mke wangu alienda kupima kipimo cha mimba hakikusoma kama ana mimba ila akakutwa ana U.T.I ila doctor alimwambia kwa dalili zake anaashiria kabisa ana mimba... Vip dr kuna uwezekano wa U.T.I kuzuia kipimo cha mimba kisisome mba ?????
@@afyatips doctor nimerud tena ulinambua nisubiri cku zake za hedh... Sasa wife siku zake zimefika ila imekuwa tofauti kwan anasema damu zimetoka kidogo sana tena asubuh baada ya kunywa chai ila hazijatoka tena siku nzima... Wakati siku zote huwa zinamtoka nyingi tu tena mara kwa mara siku nzima.... Na dalili zote za mimba anazo ila bdo hajapima tena kwa UPT vipi anaweza kuwa nayo ...
Docter nimepima naona mstar mmoja umekoza na mwingine umefifia na ila nina dalili za maziwa kuuma je naweza kuwa nina mimba saiv nina siku kama 14 since nimemaliza kukutana...
Dr kuuliza mke wangu anaenda mzunguzo sku 31 yaani kwa mfano tare he 24 had 24 ila mwez ulopita akaengeza mpka tare he 27 na mwezi huu mpka sasa hjapta period je anafaaa kupima au kwanza ajiangalie naomba unisaidie plz
Kama unahitaji ushauri wa kitaalamu au una swali kuhusu maswala ya mzunguko wa hedhi, Uzazi au Afya kiujumla, tutumie message WhatsApp kwenye namba 0717 442 590
Naomba unijibu nogopa sana au mazingaumbwe
Hy
@@habibajaldesa1124 hello
DALILI ZA MIMBA ZINAANZA KUJIONYESHA BAADA YA SIKU NGAPI TANGU MIMBA KUTUNGWA???
@@rozinamsigala3888 tazama video hii: th-cam.com/video/DM_vEFYZwW4/w-d-xo.html
Uko vizuri Doctor Asante kwa elimu❤
Natapika moyo unaenda mbio sana nalala joto kali lkn juz nime enda hospital nime ambiwa bado aija one kana bc asante
Asante nimejifunza
Mm nimepima leo kimeonyesha mstar mmoja t mwekund ,ila leo nd kwanz sik ya sita au nisubir siku kumi
Naomba nisaidie mie nina mwez siuoni siku zangu pia nimejaribu kupima kupitia iko kipimo mara nne jibu ni negative alafu uwa najiesh uchoyo asubuh na uwa nalala sanaa, moyo kwenda mbio, kichwa kuuma, naweza kuwa mjamzito au pia kuna kifaa kingen cha kupima mimba tofaut na iko au kutumia chumvi
Nenda hospital ukapime
Dr samahani nimejarib kupima mimba kipimo kimetokea control line nyekundu na ule mstari wa positive umetokea lakini mweupe kuna mimba kweli apo
Docta mim mwezi u sijapata damu ya period ila nilishirik tend siku za hatari ni muda gan sahh wa kupima naomba namba yako
Nisaidie Mimi nilifany siku y 12,zen nikfany siku y 17 il wanaume wawilitofauti, je mimba n yayupi pls doctor nisaidie
Habar dr pole na majukumu ya kuelimisha jamii samahi Dr naomba jibu la swali lang me nimefanya mapenzi ndani ya siku kumi na tano ya mzunguko wang inawezekana kutopata mimba ila siku zangu zipo vizuri hazina shida nisaidie kwa hilo
Samahani dokta mm nilipima baada ya siku sita ikaonyesha mstari moja je nimewahi sana
Habari yako Dr.Mimi niko nashida hapa.Naisi dalili za mimba ila nikipima na Upt inaonesha sina mimba ni mwezi sasa bado Upt inaonesha sina mimba.kiungulia.kuchefuka kuna mtikisiko kwenye tumbo la uzazi.Na kufanya kazi nzito pia siwezi nikifanya Nyonga zinanibana mno.Kiuno nacho kimetanuka kiasi kwamba hata nguo zakataa.nikivaaa nguo ya kubana tumbo linaniuma .Sijui naweza kuwa na shida gani.
Nenda hospital ukapime
Hbr doctor mimi nilifanya mapnz siku ya hatari alf asubuhi yake nikameza pitu leo siku ya saba tumbo linaniuma chini ya kitovu tu alafu naarisha
Kwahiyo dokta kipimo Cha upt kinaweza pitiliza miezi mitatu au miwili Toka tendo kisitoe jibu sahihi
Samàhan doctor me kabla xjapima nlikuwa bado nakishangaa kipimo kumbe nmekigusa sehem ya kuingiza kweny sample ya mkojo baada ya kupima ikaonyesha negative na chuchu zinauma na sijaona hedhi mwez wa 12 naomba unisaidie kimeonyesha majib sahh au ndo nmeharb kukigusa nmepima mkojo wa saa10 usiku
Shukran sana 👏
Habari na kazi maziwa yangu hujaa kwny chuchu Kuna wakati na huwa kama yanauma lakn nikipima mimba hkn miezi miwili Sasa lakn mwezi ulioisha nimeenda period kama kawaida ttz nn hl tu
Samahan doctor mim nifanya mapenz nikiwa katika siku za hatar lakin tokea apo nimekua sijielew tumbo langu inakua kama limejaa alaf linauma chin ya kitovu na leo nisiku ya 9 shida ni nini
nlipima Nikagundua km nna ujauzto japo mstar mmoja ulififia nikaztafuta dawa znaitwa miso nkaztumia ila niliishia kuumwa tumbo t ila dam haikutoka iv n wapi nmekosea🙏🙏
Yan wew mbingu utaisikia tu
Umetoa mimba jamn ihamishie kwangu
Jaman dada kwahy ulitoa mimba af wengn tunalilia kupata watoto😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Dokita niliingia 16-20 nikatoka 7 mwez was saba nikafanya 28-29mwez-7 je tayal nimeshika mimba na nipime lini ila sisikii dalil yoyot hike
Dr Mimi last m.p yangu ilianza tar 8/04 na kwa kawaida mzunguko wangu huwa ni wa siku 28 but nowadays unasuasua Mara bleed itokee baada ya siku 24, Mara baada ya 26, Mara 27 au 28 kama kawaida. Sasa Mimi nilifanya hiyo tarehe,nawezakuwa nimepata mimba?
Nimefanya mapenzi tarehe 20/04 na last m.p ilianza tar 8/04 .nawezakuwa nimepata?
Samahani eti kuna tatizo gani mtu kushidwa kuona xiku zake na kuumwa tumbo chini yakitovu
Asante sana daktari.
Karibu sana Dabo life
Asante sana doctar
@@esterrichard8352 karibu sana Esther
@@afyatips habari doctor Mimi napenda sana kukusikiliza na pia nina swali nimefanya mapenzi tar 30 na ilikua siku hatari nahisi dalili za mimba lakin nimepima inaonekana Hamna je nipime baada ya muda ganii tena?
@@irenevenance3762 Asante sana kwa kutufuatilia .
Asante nishaelewa ss
Karibu 🙏
Doctor nimekutan na mwan mke lkn hajaona dalili yoyte ya kuwa km mjamzito lkn hjapat siku zke nimepima lkn inaonesh hna mimb lkn sku zke hjapta bdo ttzo nn
Asante
Asante sana
Karibu sana.
Doctor et kipimo kama mwanamke mwenye uti akikitumia kinaonesha ana mimba??
Mm nilishiliki tendo mwezi wa 5 alfu nikapim mimba mwezi wa 6 tareh 1na 13 zote zikasoma negtive alfu nikaingia p tarh 15 na mwezi wa 7 nikaingia p tarh 14 na mwezi wa 8 tarh 14 na mwezi wa nane nilipima tena ikasoma negative mwezi wa 9 hadi leo cjaingi p kwaio na mimba au
Doct samahan Mimi natakiwa nione siku zang tar 12 mwez uuh lakn mpaka Leo tar27 sjaona sku zang nimepima leo hamna kit istoshe mgongo na kiuno vinaniuma sana nasio kawaida yang je tatizo litakuwa nn
Mimi nimezingatia ushauri na sasa ni mjamzito wa wiki mbili ila nama nikivaa nguo ya Kuban katumb kidog au nikiinama nasikia ka ka kitu kanapita je katot nikakubwa au maana sielew
Sasa unavaa nguo ya kubana ili iweje?
😂😂😂 dahhh
mimba ya wiki mbili bado damu kabisa ndg yng😂😂😂
Samahani dr naomba unisaidie nina mimba ya miezi 4 nimeenda kupima utrasound majibu yametoka nina mimba ya week 4 na siku 5 nini shida dr wangu maana ukweli nimechanganyikiwa nijibu tafadhali
Hebu jaribu kwenda kupiga ultrasound kwenye sehemu nyingine.. labda hiyo sehemu uliyoenda mwanzo wamekosea
Ahsant xana nimeelewa
Mimi Nina siku tano Alf tumbo linaniuma Kwa chin kdg ,nikila nahis kama chakula kinatak kulud na nilivyopima sna mimba kwahiyo hapo inakuaje
Samahan doctor eti unawez ukaw n mimb a then bad unaingia period kma kawaid
Mimi nimeshiriki na mpenz wangu siku ya hatari ila bad nikipima inaonesha mstari mmoja
Doctor samahan...mimi nilfanya mapnz cku za hatar na kila nikikaa nahc kma kuna ktu kinapumua apa chini ya kitovu na maziwa yanajaa na nnakua nahisi uchovu sana kila wakat na hasa nnapokalia kiti kwa muda mrefu ofisini nahisi maumivu ya kiuno lakin nmepima mimba cku ya 12 majibu yametoka negative... je, naweza kua nimeshika ujauzito?
Kuna uwezekano ukawa umeshika mimba au ikawa kitu kingine.
Lakini kipimo cha mimba ndo kitakupa uhakika. Hapo fanya kusubiri kama siku mbili au tatu halafu urudie tena kupima. Na ukiwa unapima tumia ule mkojo wa asubuhi
Nataka kuuliza nimeingia period tarehe 1 nimetoka tarehe 9 na nikasex tarehe 11 na 13 na 14 na 15 hipi hapo tarehe ya hatari
15
Doct mimi nimepima nina ujauzito wa wiki 3 lakini ninableed
Ahsante👏👏
🙏🙏
Samahani doctor eti mimba inatungwa baada ya siku ngapi baada ya kufanya tendo la ndoa?
th-cam.com/video/zU-LVIhqsj8/w-d-xo.html
Bofya hiyo link halafu tazama hiyo video ina jibu zuri la hilo swali lako
Ooh
Masaa72 baada ya sex
@@afyatips 4:48
naomba kujua ikiwa mtu kapata mimba arafu ikatokea akanywa frajiri ,akaja kunywa Redds,akanywa pepsi na huyo mtu anapata dalili kama za kuingia period namaanisha miguu kukosa nguvu ,tumbo kuuma ....je hapo kutakuwa na mimba kweli au ishavurugika coz nisiku 19
Mmh.. hebu niambie kwanza, huyu mtu alikunywa vitu vyote hivi kwa malengo gani?
@@afyatips kutaka kutoa i mean ihalibike ili aingie period
😂 😂 nimekuja hapa na matatizo yng ila nimejikuta nacheka sana
@@janethjohnson1437 😂yan mtu anaelezea kitu kingin kbs nawew unalet mada nyingine polee
Mimi naishi nikona mimba ila nimepima leo ni siku ya kumi tangu kuxex na imeonecha msitari moja na nkona crams mingi
Namm pia kimeonyesha hvohvo sijui na mimba
@@HadijaJuma-tb9slJe ukitumia p2 maziwa yanaweza kuuma kama mwenye mimba na ukipima hamna inawezekana
Nikipima asubui ya saa4 je kitanipa majibu sahihi
Mi nime funga tarehe kumi piriod na nikakutana meanaume
Doctor mimi nilikutana na mwanaume tarehe 27 mwez wa nane nkapima mwez wa tisa nikajikuta positive je hii mimba ina week ngapi na matarajio ya kujifungua yaweza kuwa ad mwez gani?? please naomba unijibu
Docta habar ninamiez miwili sijaona sikuzangu nimeendakuchukua kipimo kimeonyesha mstar mmoja hafifu haujakolea rangi
Nunua kipimo kingine,,,
Maaaana mstari mmoja huwa unakolea kwa sababu ni constant ,, ila huo wa pili unaweza ukakolea au laaa kullingana na kiwango Cha HCG kiilichozalishwa
I@@gabrielmoses6860
Mtalam mbn mim nilikutana na mwanaume kweny sku za hatar,pia sijaingia kweny sku zang . na nimepima kipimo kimeonyesha mstari1
Dakitari me nimepima sana na sipat siku zangu mbona nisaidia pliz
Niko na rafiki yangu anasema toka azaliwe hajawai ona period na ameolewa na anauliza kama anaweza pata mimba au laa????
🙏🙏🙏🙏je unaweza kupata mimba siku ya 10 na 11 kwa mzunguko wa siku 28????
icho kipimo kinauzwa bei gani?
Pharmacy nyingi huwa wanakiuza sh 1,000/=
ohms khatib 1000
1000/=
Mim nilikutana na mwanaume wiki tatu lakini nikipima unakuja msitali mmoja afu wa pili unaonekana kwa mbali sana kama huna macho bas uwezi ona mana nikwa mbali snaa
Hapo hauwezi kuwa na uhakika kama una mimba au hauna. Cha kufanya subiri kama siku mbili zipite halafu urudie tena kupima.
Na ukiwa unarudia, tumia ule mkojo wa asubuhi
Na je ulikua na mimba au
Doctor ck zangu sijaziona tangu nilivyoziona mwez wa Tisa mpk mwez huu wa kumi na moja nikipima cn mimba nn tatizo
Kuna sababu zingine zinaweza kupelekea ukakosa hedhi. Sio lazima uwe na mimba ndio ukose hedhi
th-cam.com/video/Rzn_A1Kqs-s/w-d-xo.html bofya link utazame hii inaelezea sababu mbalimbali za kukosa hedhi
Habar doctor naomba kuhuliza kwa mfano ulitoka kudate na mtu tarehe 23 then ukaja kupima mimba tarehe 26 je kipimo kinaweza kuonyesha mimba kma ipo au lah
Kama ulibakisha wiki moja ili uwingie period kunauwezekano wa kupata mimba
Samahani doctor ukisex na cku ya piliake ukanywa p2 unafanya kazi masaa mangapi?
Dokta mie naingia kwenm
Doctor
Asante Doctor pia nina swali nimeona tare 10 za mwezi unaisha ila ivi sijaona huwa nikion ivo mwezi wakufatia nawez kuona 11 nipime au nisubir kwanza pls niambie
Unaweza ukapima. Na kama majibu utapata negative au mstari mmoja umetoka hafifu basi unaweza ukarudia tena baada ya siku 2.
@@afyatips shukran sana
Mimi nlipima nkaona mstali mmoja uko MBL sana afu chuchu znaniuma sasa nashindwa jua ndo mimba ama
@@marryemmanuel9187 Inawezekana ukawa una mimba. Ili kupata uhakika fanya kurudia tena kupima baada ya siku 3, halafu ukiwa unapima utumie mkojo wa asubuhi.
Jeanine Hatungimana j
Mmmmm jameni
Doctor me nilipima ukaja mstari moja baadae masaa 3 mbelen unakuja mstari mwingne kwa mbali shida nin ap
Kipimo kinafanya kazi ndani ya dk tano tyuu..
Ukizidisha muda unaweza kupata majibu yasiyo sahihi!!
Je mwanamke akiwa na mimba huwa anadariri gan
Mm nahisi dalili za ujauzito lakini kijiti hakijaonyesha dalili zenjewe ni hizi kuchoka sana na hasira ss nina tatizo gani
Naombeni ushauri mimba unaweza kupima baada ya siku tatu na ukapata majib
Je kama umezaa mara moja alafu upata mimba Tena ni matatizo au?
Kwan mimba ukipma ndn ya siku 5 itaonekana
Nilikutan na mwanaume mwezi wa 12 na alikuwa amevaa condom ilikuwa tarh 13 tareh 14 nikaanza kuona hedhi ilipoixha mpaka saiv sijapat tena hedhi je xhida itakuwa nn na nimeshapima na hicho kipimo kimenionyesha mstari mmoja
Doctor nnadalili zote lakini mstari mmoja tuuu lakini dalili zote nnazo
Naomba kuuliza nina watoto wawili nilipata ujauzito last month ila kwa bahat mbaya I miscarried ilikua kweny tarh tatu hivi but still nahis dalili za mimba na juzi nilijaribu kupima ikanipa majibu positive hii inakuaje kitaalam??
Kwanza pole kwa kupata miscarriage. Ipo hivi, mwanamke akipata miscarriage ile homoni ambayo inapimwaga kwenye mkojo huwa inaendelea kuwepo kwa wiki kadhaa- ndio maana umepima kipimo kikaonyesha bado una mimba. Lakini baada ya muda homoni itaisha na kipimo kitaonyesha negative
@@afyatips Baada ya week ngapi Dr ukipima Upt kitaonesha negative baada ya kupata misscarriage
@@Future-ul4vibaada ya wiki4 mpk mwezi wengine🎉🎉
Mimi Nina uvimbe na ninahisi ninamimba lakini nimepima mstari umetoka mmoja
Huo uvimbe upo maeneo gani??
Na umekuanza kipindi kipi? Au kipindi hichi ulivyoanza kuhisi dalili za mimba?
mm ninalili za mimba lakini nilipima kinaonesha sin na mwezi huu bado sijaingia kwenye siku zangu
@@mambajafari8910 kama mimi pia nihivyo
@@mambajafari8910 th-cam.com/video/K5g620sn9mo/w-d-xo.html
Bofya hiyo link halafu utazame hiyo video
Dokta mie siku zangu naziona kama kawaida lakini kizunguzungu kinanisumbua nachagua vyakula nikikaa mda mwingine tumbon naona kama kuna kitu kinastuka lakini nilipima hakuna kitu hapo sijui nifanyeje
Maaa kapige altrasound mara uvimbe uo
Asante kwasomo zulii
asantee san
Je iko uwezekano kuwa niko na ujauzito kama nimeshiriki tendo la ndoa siku ya 16 baada ya hedhi zangu.
Ndio uwezekano mkubwa kabisa ndugu
Mm nimemaliza siku za hatali tareh 5-9 je nipime lini
Dokta mm natak kujuw dalili za kujuwa kwmba ujauzito una miezi mingapi ?? Jee kuna dalili za kujua bila ya kupima?
Thanks alot
You are welcome
Dokta mimba unaweza isionekane kwa njia ya mkojo? Nijibu plz
Mmh.. hapana. Mwanamke akiwa na mimba, na zikifika siku ambazo kipimo kinaweza kikaonyesha, akipima mkojo mimba inaonekana
th-cam.com/video/K5g620sn9mo/w-d-xo.html
Bofya hiyo link, halafu ucheck hiyo video
Dr mimba inaweza kuonyesha dalili ikiwa siku za hatari ulifanya?unaweza kuhisi dalili za tofauti hata kwa siku moja
@@hasnakimaro8494 Unamaanisha uone dalili za mimba siku moja tu baada ya kufanya sex?
Nina ujauzito wa siku kumi na sita lkn nahis Kama Kuna vitu vinatembea tumbon jmn ndo mtot anacheza au maana sielew...naomben majibu🙏
Mmh.. hapana hiyo sio mtoto kucheza. Mtoto hawez kuanza kucheza ujauzito ukiwa wa siku kadhaa tu
NI mtot anacheza
M nimepima mstar was chin umekolea wajuu haujakolea Ina maana gan
Imo
Mi nilipata period mara mbili ndani ya mwezi mmoja na mwezi huu sijapata kabisa leo ni ck ya 32 lakini period ya pili ilikuwa damu kidogo sana na ilitoka ck mbili tu nimepima kama mara 3 sina mimba je tatizo ni nini? Msaada
Hio ni dalili za mimba so tatizo
Nenda kapige utrasound
Tatu_abdalla_bakari mm na uliza nimpema nikaabiya nikae kilabaada yawiki bili lakini saivi naona kama dalili yaujauzito na ona matiti yana ja unakuwa je naomba ushauri
habari doctor natumaini mzm wa afya.. me na mpenzi wangu tulihitaji mtoto akapewa dawa ya clomiphene na akapewa maelekezo yotee ila jana amepima mimba ni negative na anabaadhi ya dalili ya mimba ni kwamba hiyo dawa imemchelewesha kupata hedhi au arudie siku nyengine kupima kwasababu bado siku 3 zimebaki uishe mwezi tangia atumie hiyo dawa tunaomba ushauri dokta
Fanya kusubiri halafu arudie tena kupima mimba.
Na hii clomiphene ndio mara ya kwanza kutumia?!
Doctor m nilipim sik yakwanz hospital ikaonesh misrt mili zikapita kam siku tatu nikapim ten nimeon mstr moj uwo mwingn unaoneka kwa mbal san yan shid nn apo
Dakital mimi mzunguko wangu wa siku 27 mimba naweza beba siku ya ngapi
Siku ya 13
Asante san daktar
Samahani mm nimepima vipimo vitatu vinaonesha mstari wa kwanza umefifia sana ktk vipimo vyote maziwa yanauma nikivaa nguo yakubana naumia pia je ipo
Naomb jib doctar
Je kipindi cha kupima mimba inaeza onyesha 3 weeks
Sas mbon vengine unawez kua na mimb kam mwezi mmoja na unapim kinaonesha hamna ukiend kupima chengine yan spital nyengine unaambiw unayo hivi inakua Kwa nn iwe ivo wakat kipimo ndo icho icho kimoja cha mkojo
Kuna vitu vingi vinavyoweza kupelekea hii kutokea. Kwa mfano; usipotumia kipimo kwa usahihi kipimo hakiwezi kutoa majibu sahahi. Au kama kipimo kina shida au kimeishaexpire- kinaweza kisitoe majibu sahihi
Doctor Msaada wako plzz mtu anayejihisi mjamzito lakn akapima isionekane akaamua kutumia vidonge vya folic acid Kuna madhara pngne Kama mimba ilikuwepo itatoka?
Msaada jmn
Mimi nina mimba ya miezi miwili ila mwezi wa tatu nimeona damu inaweza ikawa imesababishwa na Nini
Hata mimi hv hv nimenda hospital mimba ipo hila dawa inatoka nimeambiwa tulie nisitembe nikae tu kitandani mpaka nisubiri siku yangu ya clinic doctar hatajua tatizo lipo wapi nipo hp naomba mungu tu
Mimi ninaswali kama niliona mwezi 12 tare3 alafu inafika mwezi wa1sijaona naisi dalili zamimba lakini nimepima nimekuta sina mimba sijuwi nn sasa
Nenda Kwenye maombi
Dr mi naomba kuuliza tangu mwezi wa 12 nilipoona hedhi sijaiona tena hadi leo nanina dalili zote za mimba ila nikipimwa kipimo kinaonyesha sina mimba.Naomba unisaidie ushauri
th-cam.com/video/K5g620sn9mo/w-d-xo.html
Bofya hiyo link, utazame hiyo video.
Itakupa jibu la swali lako
@@afyatips samahani Docta Mimi niliingia piriod tarehe 11ya mwz8nanika tumia kusex Siku ya ,12" 13" 14toka Siku iyo nao maziwa yana uma na kuwasha kuumwa kiuno kuchoka mala kwa mala na kuchagua chakula na kuwa na hasira na Mume Wngu jee naomba unisaidie ushauri kwanini napata hali hii
Thanks
Karibu sana Ashura
Dr.. Mimi mke wangu alienda kupima kipimo cha mimba hakikusoma kama ana mimba ila akakutwa ana U.T.I ila doctor alimwambia kwa dalili zake anaashiria kabisa ana mimba... Vip dr kuna uwezekano wa U.T.I kuzuia kipimo cha mimba kisisome mba ?????
Hapana. Unajua hiyo mimba ni ya wiki ngapi?
Asije kuwa amewahi sana kupima
@@afyatips mimba ilikuwa ina siku kama 9 au 10 tangu nisex nae
@@castusjustus8789 inaweza kuwa mapema sana.
Fanya kusubiri kama siku mbili au tatu halafu urudie tena kupima.
@@afyatips shukran sana ngoja nisubir majibu toka kwake
@@afyatips doctor nimerud tena ulinambua nisubiri cku zake za hedh... Sasa wife siku zake zimefika ila imekuwa tofauti kwan anasema damu zimetoka kidogo sana tena asubuh baada ya kunywa chai ila hazijatoka tena siku nzima... Wakati siku zote huwa zinamtoka nyingi tu tena mara kwa mara siku nzima.... Na dalili zote za mimba anazo ila bdo hajapima tena kwa UPT vipi anaweza kuwa nayo
...
Docter nimepima naona mstar mmoja umekoza na mwingine umefifia na ila nina dalili za maziwa kuuma je naweza kuwa nina mimba saiv nina siku kama 14 since nimemaliza kukutana...
Cute911 Fashion yes hapo utakuwa na mimba...
Lakini fanya urudie kupima baada ya siku kama tatu ili uhakikishe
Naomba unisaidie matiti yanauma natumbo kuvurungika na nimefanya tendo katika siku za hatari naeza kuwa ni dalili za mimba
Docta me naxhida naend cku 4 mfano 20 had 23 apo atar n zp?
Hapo inabid ujue kwanza mzunguko wako ni wa siku ngapi.
Bofya hii link ujifunze jinsi ya kuhesabu siku za mzunguko wako th-cam.com/video/tGZXsa6FGuM/w-d-xo.html
Naujua wa cku 25
Shukrani
Dr kuuliza mke wangu anaenda mzunguzo sku 31 yaani kwa mfano tare he 24 had 24 ila mwez ulopita akaengeza mpka tare he 27 na mwezi huu mpka sasa hjapta period je anafaaa kupima au kwanza ajiangalie naomba unisaidie plz
Kwa sababu ile siku aliyokuwa anategemea kupata period imeishapita... anaweza akapima
@@afyatips ok asante
Mimi naswali hivi Ile tape ambayo tukienda clinic tunapimiwa mimba jee inasema ukweli kuhusu mimba na kimo Cha mimba
Dr Samahan Ivi Ni sahihi mwanaume akimwaga mbegu zake nje Sitaweza Kushika mimba?
Doctor please nisaidie niko na mimba lakini naona siku zangu kawaida
Mmh.. una mimba ya miezi mingapi?
@@afyatips mitatu