PENZI JIPYA | NAMPENDA KWASABABU MWALIMU | ANAONEKANA MTUMISHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 55

  • @user-ul9kp8zq1k
    @user-ul9kp8zq1k 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka yupo smart sana yani imependeza

  • @offset-yu2pg
    @offset-yu2pg 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mishy mrembo sana,hongera, ila ntamiss sana tabasamu lako

  • @VabraJerome-fy6nf
    @VabraJerome-fy6nf 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kwan wakotoka apa wanaoana mtuoneshege

  • @user-vu6pd7pg9e
    @user-vu6pd7pg9e 7 หลายเดือนก่อน +4

    Inapendeza sana❤❤❤❤

  • @omarsakwa-zs2zy
    @omarsakwa-zs2zy 7 หลายเดือนก่อน +7

    I love the hosts of this show

  • @johanesjunnior3359
    @johanesjunnior3359 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naitaka bulet

  • @gladodadishwavinya5826
    @gladodadishwavinya5826 7 หลายเดือนก่อน +3

    Glady katafute mume kwenye mahakama basi😂😂😂

  • @user-wv9wc6yr1u
    @user-wv9wc6yr1u 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli dada lulu hayo maswali hayana maana asha mwambia anapenda kusikiliza music haijalishi ni wapi

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yn apa ni umalaya ulio na tbs umjui Mtu ,ujamchunguza,Mtu ujui ana marazi au ana mnachukuana tu km maembe Yalie tikiswa juu ya mti kweli izi ni nyakati za Mwisho tuombe Sana na tuombe kizazi chetu na uzao wetu na MUNGU utupe Maarifa na Ekima ktk hili 🙌

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 หลายเดือนก่อน

      👍👍👍🌹

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx 7 หลายเดือนก่อน

      Huwez kumjua mtu kabla hujaishi nae muhimu ni kuomba Mungu huyo unaempata muwe mnaendana na kusikilizana lakin kuhusu magonjwa mtapima baada ya hapa. Ukumbuke kuna wanaopata magonjwa wakiwa ndani ya ndoa na kuna wanabadilika baada ya kuoana, muhimu ni kuomba Mungu tu

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 Yani saiv mnawapa mpk na mcongo jamani khaa hii nchii ngumu sana msitake tushindane na tulikotoka tutajiraani wenyewe

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy หลายเดือนก่อน

    Yaan hamjuani kwa lolote then unambeba t ukikutana na mchawi 😅😅😅😅

  • @levinerdewano1597
    @levinerdewano1597 6 หลายเดือนก่อน

    MC Gara B you're doing amazing job keep it up 👏👏Mish I wish you all the best with your man girl 😊 Because who find a wife find a good thing and indeed love is a beautiful thing 😘Am from 🇰🇪and I just love this show, Dr Lulu, Gara B and Aaliyah you guys are doing a great job👌 Keep the 🔥 🔥 burning. Mob 😘😘

  • @MourineMushie
    @MourineMushie 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka amechangamkãa❤❤😂

  • @esthermalamsha2847
    @esthermalamsha2847 7 หลายเดือนก่อน

    Aaiseeeeeeeeee…. Inasikitisha sana tunakoelekea….😢

  • @DeboraJems-zs7fr
    @DeboraJems-zs7fr หลายเดือนก่อน

    Dada anakera kwa maswal yake yakijinga

  • @SarahFidelis-gk1zy
    @SarahFidelis-gk1zy 6 หลายเดือนก่อน

    Upend hauchagui ❤❤❤

  • @annastaziafaustine1176
    @annastaziafaustine1176 3 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mr

  • @tausimohammedy
    @tausimohammedy 7 หลายเดือนก่อน +1

    lulu upo sawa ilo so swali😮

  • @user-xz9zg2yk6m
    @user-xz9zg2yk6m 7 หลายเดือนก่อน

    Kwali huo ni umalaya uliopigwa marufuku mpaka na shetani yani msivyo na aibu mnawapa mpaka mafuta ya kuendeleza uzinzi kweli ndo maana mungu anakasirika kwasababu ya matendo machafu ya wanadamu

  • @edwinnziku7817
    @edwinnziku7817 7 หลายเดือนก่อน

    Demu ni mtu wa clab huyu mlevi😂😂

  • @lameckjulius8946
    @lameckjulius8946 7 หลายเดือนก่อน

    Wew unatafuta mwanaume au unatafuta starehe hahaha bado utoto upo kweli

  • @Felister330
    @Felister330 7 หลายเดือนก่อน +1

    Must beautiful couple

  • @geselaoscaremanuel6481
    @geselaoscaremanuel6481 7 หลายเดือนก่อน

    Leo doctor kajitaidi kuvaa maana anavaaga uchi sana ujilekebishe bhana

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 7 หลายเดือนก่อน +3

    WANAWAKE JINSI WALVYOKUA WANGI DUNIANI BADO MNAMWAGA MBWEMBWE POLENI 😂😂😂😂

    • @janetnyanchera1252
      @janetnyanchera1252 7 หลายเดือนก่อน

      Wacha company za makeup zifungwe bro utajua wanaume n maradufu yetu😢.Alafu anza kutafuta wife material ndo utajua so all my gender are wife material 😂

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน

      Mbwembwe gan? na unatak kumfahamu mwenziwako zaidi sio vibaya

  • @danmwendwa6236
    @danmwendwa6236 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo bullet inaweza patikana wap? Na niko kenya

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 7 หลายเดือนก่อน

    Hio Bullet imethibitishwa na Tbs au idara ya madawa ile maana tusije jichanganya mambo ya upinde.Asking for a friend in a good way though...

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 6 หลายเดือนก่อน

    Garab❤❤❤❤❤

  • @jumambwambo
    @jumambwambo 7 หลายเดือนก่อน

    Kinacho endelea hapo ni kujiuza kwa njia ya TV wadada wa hapo wote nguo wanazo vaa ni zakishetani tu

  • @onlineusa
    @onlineusa 7 หลายเดือนก่อน

    tamaa mbaya san mbona mnatuwekea vi clips vya dakika 3? kwa nini msituwekee episode nzima?

  • @user-qz5yh1dl1n
    @user-qz5yh1dl1n 7 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wanamidomo saana wawe wanatoa profile zao nao kwanza

  • @user-gh2xf6st6q
    @user-gh2xf6st6q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mishima Hana hakilii

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 7 หลายเดือนก่อน

    Wengine wanazima taa mwishowajambo wanaanza kukodoa macho msichoelewa Nini

  • @patrickpatrick6386
    @patrickpatrick6386 7 หลายเดือนก่อน

    Huku tumepiga jamani mishi

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 7 หลายเดือนก่อน

    Unaenda kutafuta mume umevaa uchi!alafu amevaa kistaalabu we umevaa kistaalabu

  • @RenzoJofre-my9lz
    @RenzoJofre-my9lz 3 หลายเดือนก่อน

    Nauliza munawapima au

  • @Given-Norman
    @Given-Norman 5 หลายเดือนก่อน

    Huku ni kuhalalisha uzinzi na uasherati

    • @BillMos-mt3ts
      @BillMos-mt3ts 4 หลายเดือนก่อน

      Sio ivoo but aya mambo yalikuepo toka mwanzo yanajirudia to na hatiwezi kuyakataa ndo ulimwengu mpyaa huuu

  • @RizikiMakame-ec1jv
    @RizikiMakame-ec1jv 2 หลายเดือนก่อน

    mh

  • @marthamsoloka6381
    @marthamsoloka6381 7 หลายเดือนก่อน

    YOHANA

  • @juniarjr-ed9ke
    @juniarjr-ed9ke 7 หลายเดือนก่อน +2

    na mimi nitafanyaje ilio nifike hapo?

    • @BonifaceJr
      @BonifaceJr 7 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣

    • @user-sm9ox3qz1q
      @user-sm9ox3qz1q 7 หลายเดือนก่อน

      mm nauliza kufika hapo inakuaj❤❤

    • @sylviabaha2266
      @sylviabaha2266 6 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa kaka 😂😂😂😂

    • @sylviabaha2266
      @sylviabaha2266 6 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa kaka 😂😂😂😂

    • @juniarjr-ed9ke
      @juniarjr-ed9ke 6 หลายเดือนก่อน

      upo kama haupo@@sylviabaha2266

  • @C7Christian
    @C7Christian 7 หลายเดือนก่อน +3

    Izo magoti drama mbwa nyie😂😂

  • @christinajisena2634
    @christinajisena2634 7 หลายเดือนก่อน

    Marudio hua ni lini jaman

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 7 หลายเดือนก่อน

    Washenz drama tu

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh huyu dada cjui choko maswali ya kijinga kweli yaani unataka mpnz halafu unaulizia et unapenda kusikilza mziki wap