SHIDA UFUPI TU, PESA HAZISUMBUI SANA, HALAFU KUJIELEZEA KUNAKUANGUSHA SANA - HELLO MR. RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 45

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 8 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢dharau nyingi mbwa nyinyi umemtusi mkaka wa watu khaaa hamna Adabu madadazi

    • @franksaga3413
      @franksaga3413 8 หลายเดือนก่อน

      Hahahaa ebu kwanza ncheke...😂😂
      Hawa ni malaya, wanatakiwa either wakaombe kazi na waache kutegemea wanaume kupata maendeleo au waende maeneo ambayo malaya hukaa kusubiri wanaume wawape nafuu za maisha, haya ni matangazo yanayotazamwa na kila rika.

  • @SuzanaMlawa-by2vj
    @SuzanaMlawa-by2vj 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂aje kwangu jamani aniowe Duh wanawake unadharau Sana duuh

  • @berthabahati7329
    @berthabahati7329 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sion mke wakuoa hap wt nishid tu pol kk yangu jmn mungu atakupatia mke mwema

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ika sahv mr right ni kujichoresha maana vijisababu havina maana watu wanatoa kauli chafu yan

  • @YusufHassan-tf1iw
    @YusufHassan-tf1iw 4 หลายเดือนก่อน

    usikat Tam bro Wanamaker ni wachache wenye his hisiy kwenye mahusiyan hajuw nn maana yamahusiyan😅😊

  • @user-qm3ov7mj6u
    @user-qm3ov7mj6u 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yani johari na Zarish sio wife material maskini bora ata msiwaguse😂😂

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hamna mwanamke hapo...kuna madada poa.

  • @monicapeter9065
    @monicapeter9065 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman dada Diva jarbu kuvaa nguo zenye kustir dada yang nguo zako mara nying unavaa ovyo sana
    Jua kuwa nakupend san ila mavaz dad yang umebugi jaman

  • @mishnjambikinyajui2543
    @mishnjambikinyajui2543 8 หลายเดือนก่อน

    Namuobea sana dayana akapate mweza...natamani sana kumuona mweza wa dayana niko hapo dayana nakufuta pia nakutazama from 254

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 8 หลายเดือนก่อน

    Demu mwenyewe kajaa masugu halafu kavaa kishamba shamba mfyuuuu baya 😂😂😂😂😂

  • @montanaprime
    @montanaprime 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂 Kweli saundi kasheshe hapa

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wanawake mngekuwa mnatafuta mwanasaikolojiya kuwa mafunzo ya kuongea kiungwana.
    La sivyo kuna siku mtu atakula ngumi apo ao kofi

  • @nedmonad1175
    @nedmonad1175 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shenz Sana wewe mwanamke mwanaume hata Kama humpend huwez mjibisha hivyo ukiendelea hivyo utaolewa na baba ako mbwa wewe😏

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yan uyo zaylish ndo ana 21 watu saivi wanakuwa harak utasem ana 25 ivi😂 afu uyo zay ni mweusi sugu kam zote ukwel umemuum😂 kaongea kama anachamb

  • @JladyKadzo
    @JladyKadzo 8 หลายเดือนก่อน

    Si ak ningempqta mimi nikatulie mana anakaa mpole😊

  • @user-vk9bq5cq1n
    @user-vk9bq5cq1n 7 หลายเดือนก่อน

    Zarish anaonekana ni msichana ambaye alishawahai kupigwa tukio katika mahusiano maana sio kwa nyodo hizo😂😂😂😂

  • @AdolophinaKato
    @AdolophinaKato 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmm aseee nimeona aibu mimi kama vile nimimindo napewa ayo maneno🤔..

  • @user-qm3ov7mj6u
    @user-qm3ov7mj6u 8 หลายเดือนก่อน

    Eti bas inatosha😂😂😂😂

  • @jumalikonwa8078
    @jumalikonwa8078 8 หลายเดือนก่อน

    Zaurishi??? hongera sana aliyewaza hii kitu nikweli kabisa itawasaidia hao waliobomelewa madunguro yao, naamini kupitia hii show watapata mitaji na connection itakaowafanya wasirudie kwenye kazi yao, eti mfupi huyu jamaa hana ufupi wwt just ni kimo cha kati tu... we angalia ziwa lake lilivolala yaan hiyo sa 12 jioni kabisa.. wateja wamelivuta mpk kwenye sidiria ukivesha linapenyea chini..

  • @user-li1fl4jp3r
    @user-li1fl4jp3r 8 หลายเดือนก่อน

    Makubwaaa 😂😂😂 huyu MWanaume nae hajielew

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mrefu mweupe ,, kazae wwe unayemtaka.

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mchora tatu mpaka matakoni ndio daktari...?mwanaume mwrnye akili hawezi kwenda hapo..bora ubaki bila kuoa kuliko kuchagua mshezi hapo

  • @user-zr5rg5ul3q
    @user-zr5rg5ul3q 8 หลายเดือนก่อน

    Wanawake zarau sana

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan ufupi ni ugonjwa? Ndo maana hamuolewi

    • @user-yq2hv2bq5j
      @user-yq2hv2bq5j 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 hao hawana heshima kabisa

  • @erickothegreat8353
    @erickothegreat8353 6 หลายเดือนก่อน

    Hao watangazaji wanakaa nusu uchi hadi raha.

  • @user-ox9zz7zk5h
    @user-ox9zz7zk5h 8 หลายเดือนก่อน

    Naomben pepsi

  • @HemediOmar
    @HemediOmar 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani hichi nikipindi Cha ngono kumbe

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 8 หลายเดือนก่อน

    Wamtusi Mr right na hata hakufai wewe dada wewe mwenyewe kajifunze kuoga mwanzo ndio utusi wenzako

  • @MariaSalus
    @MariaSalus 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nanyie waongozaji, munaharibu show,

  • @wamadenzatv4174
    @wamadenzatv4174 8 หลายเดือนก่อน

    Yan wadad wengi ni madad wa maelekezo

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 8 หลายเดือนก่อน

    Nyi malaya tu mnajiuza hapo na wenye wako kwnye hio show wanaangalia malaya pia gara B pia we malaya

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 8 หลายเดือนก่อน

    Zarish ni dada poa huyo hakuna mke kwa Zarish hapo

  • @krayna5122
    @krayna5122 8 หลายเดือนก่อน

    Oya wanangu mue mnawachana hao madada poa mbona wanawaaibisha Yani Wana tabia za kimaraya

  • @muna1165
    @muna1165 8 หลายเดือนก่อน

    Akuna mwanaume apo

  • @tausisaidi2096
    @tausisaidi2096 8 หลายเดือนก่อน

    Mc galabii na luludiva mnaharibu kunavijineno mnawakosoa hao vijana hadi warembo wanaahirisha kumkubali mistarite

  • @lenakassian-pr3dy
    @lenakassian-pr3dy 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu dsa ana taka kumnyodoa mkaka wawatu wakati nywele kabana na uzi😂😂

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂hapo sasa yan nikimuangalia majigambo maneno mashauz wala hatoshei

    • @user-xh3bp4il8j
      @user-xh3bp4il8j 2 หลายเดือนก่อน

      Nimechekaaaaaaaaa​@@subrynerysegerow1323

  • @user-ec9nn1kt2w
    @user-ec9nn1kt2w 8 หลายเดือนก่อน

    Daaa tatzo fup

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mziki mnatukeera sana hatusikii

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mc kama gara B Tanzania

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo zarish kakasilika kisa kuitwa mweusi kwanza anaringa wakati ana sugu mikononi aibu unachagua bwana umejichubua chubu