Yani napenda sanaaaa jinsi unavyotufundishaaa Mimi ni mwanafunzi wako mkubwaaa sanaaaaa yani duuuuh nakupenda sanaaa mamaa yangu unanipa ajira kubwa sasa na kuniongezea maharifa zaid
Mashaallah yani dada huwa nakufwatilia Sana juu napenda Sana mapishi yako uko Sawa na kila nkijaribu naona nenda Sawa kbsa shukran Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelemisha
MashaAllah ni vitamu sana.... nimevipika kama mara tatu hivi kwa utamu..Allah akuweke Aunt Fathiya na azidi kubariki kazi ya mikono yako.. GIFTED HANDS
shukran sna aunty Allah akuzidishie ujuzi ni mara yngu ya kwanza kuvipka visheti hivi na nimetumia recipe zko ckutegemea km vtatoka km nilivyokua nikila znz
Robinah Nandala napenda sana vishet na napika vizuli kazi inakuja kwenye kuweka shila nikiweka inaganda ukila inashika kwenye meno wapi nakosea nisaidie tafadhal
Yani napenda sanaaaa jinsi unavyotufundishaaa Mimi ni mwanafunzi wako mkubwaaa sanaaaaa yani duuuuh nakupenda sanaaa mamaa yangu unanipa ajira kubwa sasa na kuniongezea maharifa zaid
Ma Sha Allah,mapishi mazur,ngelipenda kukujua
hhbyrt
Masha allah, Raha ya visiwani ni Mapishi wee na marashi ya karafuu am so proud,
Thank you for your support dear
Mashaallah yani dada huwa nakufwatilia Sana juu napenda Sana mapishi yako uko Sawa na kila nkijaribu naona nenda Sawa kbsa shukran Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelemisha
Shukran, nimefurahi kujua kwamba yanakuendea sawa. Hongera. Ahsante kwa dua njema, amin
Lazima niweke.nazi baking powedar huweki@@aromaofzanzibar
MashaAllah ni vitamu sana.... nimevipika kama mara tatu hivi kwa utamu..Allah akuweke Aunt Fathiya na azidi kubariki kazi ya mikono yako.. GIFTED HANDS
Mashallah, nimefurahi sana
I like it.verry nice.old is gold.i Remember my mom about visheti
Ohh shukran habbty na umenukumbusha mbali vitu vyote viwili visheti vya nane vya shira na huo ungo walahi namiss sanaaaa 😘😘
Shukran dear, namie pia nna miss
Allah akuweke na akulipe kheri ,unatufunza wengi tunakupenda
Amin kwetu sote, shukran
Aroma of zanzibar Asante anty navipenda sn nitamuomba mungu lnchallakh nipike
Inshallah
Mashaallah asante mumy nimeipenda sana nitajaribu kuipika in shaa Allah
Inshallah
Maa sha Allah nimejifunza nilikuasijui vina sokotwavip
maashaallah ama kwe kweli swahilini,raha,looh matamanio,nayo
Mashallah nipo hapa na jaribu kupika inshallah vitoke kama vyako
Mashallah ,nimepanda mapishi yako, Jamila kutoka kenya
maa shaa Allaah..one day ntajaribu hivyo vya sukar ya kung'ara..shukran fathiya
Afwan dear
Duuh ad watu wamenisifia sana Dada asante
mashallahu umetukumbusha nyumbani inabidi tujaribu unataka na vileja vya chumvi
Nilikumbuka mbaali nikavitamani x
wow!!! Thank you so much for sharing this recipe! I am so impressed by your talents!! WOW!!! mashallah!!! kweli nashukuru sana.
Thank you for your support x much love
Mungu akubariki. Nimejaribu leo vimetoka vitamu sana
hongera kwa jitihada yako
Aroma of Zanzibar ubarikiwe kwa muongozo mama
Mashaallah. yaan kwa huo ungo kweli umenidodeshea
haha!!
yaan hapa naingia jikoni kuanza kuandaa. nimekuwa mpishi hatari
Allah akulipe dada angu.
Amin kwetu sote
Kumbe mambo si mabaya
Dada asante sana nimemaliza juvipika sasa hivi ni vitamu sana yaani namshukuru Mungu akupe maisha marefu
Aroma of zanzibar sometime natamani nitizame video zako alafu chakula kikiwa tayar na mm nionje wallakh jamani mashallakh Allah atuwekee
Amin ya rabb, shukran
Maa Shaa Aallah.
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan.
Mashaa Allah habpt Allah azidi kukupa afya njema
Amin
masha'Allah.ndio kwaza kuona visheti za nane... zaka Nivitamu sana shukran
mmmmh....I'll sure give it a try..u r a good teacher n I never thanked u for teaching me how to make mahamri...Thanks
You are welcome dear, pleasure is mine x much love
Daah an Hakka umenibadirisha mnooo kwa mmb ya jkoo
sijabadili sana
Maa Shaa ALLAH! Mate yanidondoka 😂
mashaallah ninependa inshaallah na mm nithajaribu
nimependa snaaa
delicious thanks for sharing my dear
Kumbe nimepitwa ni Vitu vitamu vya kunywea chai au hata kahawa,Asante sana Aroma of Zanzibar
Shauri yako, karibu mpenzi
+Aroma of Zanzibar hahahaha nipo kwa sasa nakufuata pole pole ukipost kitu tuu nipo angalau nijue mapishi.
Leo jioni ntavifanya.... Bila ya machicha lkn na tui peke ake😋😋😋
Vimekua vizuri tuu bila nazi lakin nilichelewa kupika😅😅
Ubibi hodari sana kwa upishi, visheti vizuri sana. Umepata wapi ungu huko America?
Ahsante, ungo ni kutoka Tanzania
mashaallh dada nipishi yako mazuri
Shukran dear
Masha allaah ukhti caziizah
😆😆😆yaan nimekumbuka zaman mama was kambo alikuwa anavifanya akiuuzia watt wa skuli ilove home Zanzibar❤️
Those were the days
Ooh woow ongera
mwenyezi mungu azidi kukupa ubunifu zaidi coz kupitia wewe nasi tunafaidika
Shukran mm shape ndio tatizo ila nimeangalia unavofanya shape nimeona ni simple
njoo Dubai uwe neighbour wangu ....santa dadangu keep it up
Nimeondoka Dubai since 2006, would love to come back , I miss my family and friends
mashaallah ant yumyum tufundishe mkate wa ajem😃
Inshallah
Shukran Sana kwa Elimu ya Mapishi
Ahsante sana
Ulipokata nlimeza mate😋😋 Allah allah mashallaaah.... tunasubiri donuts zile za kiswahili na mkate wa sembe🙏🏿🙏🏿
N Khanjari Inshallah nitajitahidi
Mashallah hufundishi kupka
Sifundishi kupika??? sijafaham
Waooh Asante jaman 😘😘😘😂😂😂
Mashaallah nice visheti
AA.Dats gud no eight mashaAllah lakini mm ninezijulia kama mitai mombasa hupikwa exactly kama hizo but in diamond ama round shape
Nafaham kama Mombasa zinaitwa Mitai, Tanzania tunaita visheti , they come in different size and shapes and one of them is 8. Thanks for stopping by
Mashallah mwenyez mungu akizidishie kwa mapishi
yummy mashaAllah....mummy nifunze donuts
Waoo vizur san vinavutia
Asante dadangu ubarikiwe! Nitakupa mrejesho dear
Nangojea....
maanshaallaah mungu akubarikie
Amin
Masha Allah stability ni uimara maana yk
Shukran
Aunt Mie ntafanya Leo visheti nlikuwa sijui nimejifunza kwako shukran
Afwan, usisahau kunijulisha matekeo
Hongera my
Asalamu Alaykum Shukran sana kwa mafundisho jee unaweza ukatia mayai kama unataka
Wa aleikum musalamm, mimi sijawahi kama unatak jaribu uone vipi itakua
@@aromaofzanzibar In shaa Allah Shukran
Mashallah....I must try it....
Mashalah very creative .with coffee at 4pm.
.
Sante habibty kwa maujuziiii
Asante sana recipe Zake nzuri
mashaallah, ahsantee kwadarasa
Maashallah habibty
shukran sna aunty Allah akuzidishie ujuzi ni mara yngu ya kwanza kuvipka visheti hivi na nimetumia recipe zko ckutegemea km vtatoka km nilivyokua nikila znz
Shukran, nimefurahi kuwa umejaribu hii recipe na umeipenda, thank you for your support
Mashaalah kwa mapishi bora ubarikiwe
Hi aroma
Tuletee receipe ya visheti via chumvi
Inshallah nikipata fursa nitaleta
That looks so Yummy darling Ma Sha Allah 😘😘😘
Thanks dear, welcome back
Mashaallah😆😆😆
vizuri sana my mam nkpnda kukufatilia kila unacho kifanya lkn ningepnda niwe Malibu na we nifuate nyendo zko napenda sana niwe mpishi kma ww
Aroma of Zanzibar thx so much sweetie 😘😘😘👏🏽👏🏽👏🏽
Da aroma nahitaji kuja kujifunza huko uliko nahitaji kujua zaid.... Nasubir jibu
Thank you Bi Aroma napenda sana vishete
wow napenda mapishi yako.
Salam aleikum Anty,Mashallah visheti vizuri,Anty pls nifundishe kupika mkate wa ajemi.shukran😘
Alkm salaam, Inshallah kidogo kidogo mambo yatakuja
Aroma of Zanzibar ok habibty
mashallah asante kwa mapishi matamu 💖💖💖👌
Ongera asante
Mashaallah aunty
unafundisha vzr sana
Ahsante, najitahidi mupate ku mufaham
uko vizur
Asante mumy kesho napika
Inshallah
love it! love it! love it!
luv yr videos.
Thank you for your support
Mashaallah.
napenda lazima iniandaee jemeni asante aroma Zanzibar mdada una kipawa
Samahani naomba kuriza. Naweza kutumia maziwa ya unga badara ya. Nazii
Yes unaeza lakini ladha na texture itakua tofauti
@@aromaofzanzibar Asante nimeweza Yani yametoka mazuri ningekutumia uone. Warabu wanajiramba. Tu Huko. Sebreni Ahahahaha
@@maryjuma4310 mashallah, niletee Instagram natumia jina Fathiya.ismail
asante ubarikiwe
MashaAllah napenda mapishi yako habbty, unaweza kutuletea mapishi ya kaimati pleasee. jazakallahu khair
Shukran x Inshallah ntaweka
nimevipenda sana
Vzr
mashaAllah ajaab😚
Asant mmyyyy❤❤❤❤
I love it 💕
Ah! Umepata uteo wapi? Nimgependa. Recipe nzuri sana. Hongera!
Tanzania dada
Jazaakallah khayra
mashallaaah.. thanks jazakallah khaair..
loved it cant wait to try to.. Allah akuweke..❤
with love from oman😘😘
Shukran habibity
Aroma of Zanzibar afwaaaaan❤
Nimependa wallhi
Love it
Asante mamy
Samahan my dear je unaweza kutumia grown sugar kwenye Shira na Vinane vikawa poa
Bia samahani, brown sijawahi kujaribu lakini sioni tatizo
Dada nimeipenda. So ukitumia maj ya nazi ni swa
Itakuwa lakini umaarufu wake ni hivyo chicha la nazi
Asante dada nimevipata
Thnks dad i learnt alot from u
Very good
Robinah Nandala napenda sana vishet na napika vizuli kazi inakuja kwenye kuweka shila nikiweka inaganda ukila inashika kwenye meno wapi nakosea nisaidie tafadhal
Shiira inanisumbua
Ki vipi
I love it cooking am from uganda could you pliz teach me how to make pilili from mangoes
Asante sana.
❤❤ you