Mkate wa mchele /wa kumimina/ rice cake
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Ingredients
4 cups basmati rice (soaked overnight )
4 cups water
200g coconut creamed
1 and half cups sugar
Cardamom 1 tsp
2 tbsp yeast
You can use 4 cups of coconut milk instead of water and creamed coconut
____________________
Instagram: jifunze_mapishi
for business enquiry only
📧 shunaskitchen@gmail.com
____________________
Mahitaji
Mchele basmati vikombe 4 (uliorowekwa usiku mzima) nimetumia tilda
Maji vikombe 4
Nazi ya kiboksi gram 200
Sukari kikombe 1 na nusu
Iliki kijiko 1 cha chai
Hamira vijiko 2 vya chakula
Au unaweza kutumia nazi ya maji vikombe 4 na ukawacha kutia nazi ya boksi na maji
______________________________________
More suggested videos
🔶Kaimati / luqaimat - Sweet dumplings 👉 • Kaimati - Sweet dumplings
🔶Muufo bread - Mikate ya mofa 👉 • Mikate ya mofa - Muufo...
🔶Fish sticks/Chop sticks - Fish stick kebabs 👉 • Fish sticks - Tuna sti...
🔶Whole wheat & oats porridge - Uji wa ngano 👉 • Uji wa ngano - Whole w...
🔶Mince potato chops - Katlesi za nyama 👉 • Katlesi za nyama - Min...
🔶Viazi karai - Spicy fried potatoes 👉 • Viazi karai - Spicy fr...
🔶Sesame bread - Mikate ya ufuta 👉 • Mikate ya ufuta - Sesa...
🔶Rice pancakes - Mikate ya chila👉 • Video
Asante mm nimejaribu umekua kama wako.asante.sana.mungu akulipe
Layla Ali ameen asante dear na hongera 👌
Ameen ya Rabb l Alameen
@@ShunasKitchen je,unaweza kutumia kikombe yeyote kupimia mchele au?
Shuna's Kitchen mashallah vizuri sana mola wetu akubariki aku zidishe mahali pema ameen
Najma Neha ndio ila kuamakini
Mashaallah hii video nimeisoma vyema sana na umetoka vizuri mashaallah Asante kwa somo zuri na nisiwe mchoyo wa fadhila na dada yetu aroma pia nimpe asante yake kwa kutupaheshima huku tulipo nchi za watu alhamdulilah tunaheshimika sana kwa kupitia elimu zenu bila malipo zaidi ya viewers shukran sana allah atawalipa ujira mwema nyot walim wangu
Minaomba kuuliza huu mkay ktk kuupik siunaweza kuupik moj Kwa moj kweny oven unaanz mot wa chin na kumalizia juu ama lazma upik sehem nyengn kwanza Kwa kupat mot wa chini
@@mrsmussa4714 kwa oven pia untokea vizuri usieke moto mwingi
NEW VIDEO. . PASTA click this link 👉 th-cam.com/video/jUWWtxWnJ2g/w-d-xo.html , don't forget to SUBSCRIBE it's free. thank you 😊
Thank you for this i just learned how to make my childhood favorite Street Food ❤️
Ninapenda sana kujua kupika huu mkate wa mchele jamani sijaweza. Ila umeelezea in a simple way ntajaribu tena. Thanks a million.
MashaAllah...
Mngu akuhifadhi tunapata faida,JazakiLLAHIlkheer 😚
Asante habbty nimejaribu kupika Yan mashallah umekuwa kama wako shukran Sana zid kutufundisha Zaid nakupenda 💕💕
Asante leo ntajaribu kupika ila tatizo Michele nimeloeka saatano asubuhi sijuiutatokaje
Mashallah napenda mapishi yao unavyofundisha💯💝💝💝
Mashallah
Aroma of Zanzibar shukran sis
Aroma of Zanzibar ....Assalam alaykum asantee sana kwa somo
Aroma of Zanzibar I like that
th-cam.com/video/ioeyqBWzhKc/w-d-xo.html
Daaaaa
Nimeipenda hii method ya kuchanganya kila kitu pamoja
Ina save time na ni very.simple. Thanks
Huu mkate wanikumbusha zamani umeleta memories za home tukiambiwa nendeni mukaweke order ya mkate wa sinia kwa mamake Anisa jirani. Looks delicious
MashaAllah very nice🤗 my fav mkate wa sinia😚
Thank u b blessed and your recipes are superb..
Wanted to knw Cup measurements for sugar and water is it same as rice cooker cup?
Mashallah shukran nmepika umekua hvo hvo sema wangu chiniii umeivaa rangi but da same shukran Allah bariq 🙏
Wow have been looking for these for internity
Mungu akuzidishie ujuzi dada na akulinde uzidi kutuelimisha namimi leo naomba Mungu niweze kuupika
Looking delicious.
I will try making it.
Mkate shuna kweli mashallah hasbiyallah umeenda shule
mashaallah nitajalibu kesho ishaallah
Mashallah nitamuomba mungu leo sijawahi kupika ukatoka mzr leo inshallah nitajaribu 🥰🥰
How long do you keep the blended mixture to raise with yeast, before heating and baking?
It's depends on how long it will take to raise, it can take 30 minutes to 1 hour or more than that, depends on the weather as well...just wait until atleast it's doubled in size 🙂
Mashallah n mm nmepka imekuwa mzr km wko
Mashalaah uko vizur sana tunamshukuru kwakutu elimisha kwa njia rahic
Mashallah ntajaribu hivo ulivo fanya maana Mimi kila kipika hautoki vizur shukurani
OK
nimependa hiyo
Visheti vilaini
Mashallah mzuri wa matundu asli👌na njia yako very simple inshallah ntaijaribu
Assalam aleykum Habibty, Habibty naomba tuonyeshe namna ya kupika huu makate kwa makaa ya moto.
Washa makaa yako kwenye jiko hakikisha makaa yamewaka yote kisha bandika sufuria yako mpaka ipate moto ndani yake iwe na mafuta kiasi kabla yakumimina unga wako hakikisha moto umeutoa wote umeuweka kwenye mfuniko utakao tumia kufinikia mkate wako then mimina unga wako kisha funikia na ule mfuniko ulioweka makaa ya moto juu
But hakikisha jiko lako limepata moto sana ili usitumie makaa chini coz unaweza ukaungua mkate wako ila moto juu usiwe mkali sana kisha after five minute unaaangalia mpaka unakua mzuriiii wakuvutia
Ukiitaji zaidi nitafute whatsapp kama hujaelewa pia njoo nikuonyeshe zaid whatsapp +254 758523917
I'm fatma from 🇹🇿 Tanzania
@@fatmajumanne6749 masha Allah una roho safi sana Allah akuzidishie iman zaidi watu kama nyie ni kidogo sana katika hii dunia
Fatma nakuchek mpz
mashallah nimevutiwa mnoo na maelezo ya mapishi yako ni mazuri na yanaeleweka. na nikjaribu nafanikiwa. ubarikiwe sana.
Asallaam alykum, mashaallaah mkate unapendeza na mie ninajaribu kutengeneza, hivi nasubiri uumuke nipate kuupika. Kheir in Shaa Allaah.
Kamote Ismail Kamote waaleykum Salam sis, nasubiria majibu in shaa Allah utatoka vizuri 👌
Mashaallah kwa somo zuri.. leo nimepata ujuzi mwengine mpya.. shukra❤❤
Waoow umekua mzuri unavutia mashallah
hamisi nyale asante kwa kuangalia
Mchele wa aina gani ulotumiya.
amouna nyale j
Wewe Mwenywe unavutia wacha huo mkate mash Allaah
Mashallah hi video Iko swa na nimejifundisha nayo Asante Dadangu
nauliza mnatumia Mchele wa mkate au ni chenga??
Asalam Aleykum WaRahmatuLlahi Taala WaBarakatuh. MaaShaa Allah. Swali kuhusu kuwasha oven hua ni how much?. Cc twatumia 350°. Napia wawasha oven kabla kuutia mkate?. Naupenda sana mkate huu. Please help kwa moto kiasi chake. Afwan
Grill ya umeme kisia moto kiasi ya mkate kupiga rangi tu, kama ni oven weka 180c ila nasuggest moto wa juu tu kama umeshauwivisha kwa chini
W msalam
Shukran.
N
Maashallah, asante sana nlikuwa sijui kupika mkate wa sinia
Mashaa Allah shukran Dear
I tried came out v goodness will taste when iftar. Msg god bless u
Mkate huo wa mchele ni mtamu sana hongera dada
Dah. Nimekula sana utotoni mkate wa mchele. Ila tulipikia kwa mkaa.
MaashaAllah mkate unaita jmny...
Naomba kujua umetumia mchele gani
Mashaallah yummy.samahani sster,je unaweza kutumia maziwa badala ya nazi?
Mwayoyo Maida .. unaweza ila waweza tofautiana harufu, ulaini na taste. jaribu unipe feedback sis thanks for watching 😊
Mwayoyo Maida Nazi iko na madurai kuufanya mkate ulainike ukipenda tia yai moja
Nazi ndiyo vizuri utie na iliki huwa mtamu kweli kweli
NB Geepas me nlitumia nazi ya unga nikasagia na maziwa, ulichambuka sana kama keki.
Mtam sana
Ni vikombe vingapi
Mashallah nimepend nitajaribu leo ten inshallah 👌
MashaAllah nimeipenda. Allah akubaarik habibty.
Raysal almandhary shukran dear kwa sote
Asante kwa maelezo mkati umetoka vizuri
Mashallah naomba kuuliza je moto unaweka wa juu tu?
Ahsante sana soon naoka na mimi pia napenda mkate wakumimina
Love your cooking but I don't have that type of oven,I have electrical can u help me there and can I use just a normal sufuria?
You can use any sufuria/pot and you can also cook and bake with any kind of oven / cooker, and it doesn't have to be electric or gas cooker, some people use just charcoal stove. Thanks for watching.
Sorry for the late reply
Charcoal stove how sorry please
Nice
Maashaallah mkate umetoka vizuri sana♥️♥️ hongera shuna's
Wow nic sister
Aneti Kapami asante kwa kuangalia
Masha'allah Masha'Allah lek
Shuna's Kitchen, ubarikiwe sana kwa somo zur
❤❤❤❤❤ nimependa ni mzuri na mm nitafanya mashaallah
Mashaallah 😍
Shukran
Kwa kutumia jiko la mkaa inakuaje mpz
S. Alykum. Jana nilipika huu mkate na ulitokea vizuri sana. Alhamdulilah. Nilikosea na kupimia kikombe kile cha kupikia (240ml) lakini bado ulitokea vizuri. Asante sana kwa kutufunza upishi mzuri. Kwa wale ambao hutokei vizuri, make sure unasaga mchele vizuri na pia utumie moto mdogo. Ukifata step by step za Da Shuna mkate utatoka vizuri tu.
MashaAllah. Asante sana nawewe kwa mrejesho👌
Masha allah
Mashaa Allah tabaraka Allah ❤ nkuulize ukiusok saa 6:30 mornng alafu 5:00 upike hautakuwa
Katika vedio rahisi ya kutengeneza mkate ni ya kwako
Kweli
Yani nimejaribu nimeweza. Mtamu sana na rahisi mnooo. Thanks, mwanangu ameulaa 👐👐👐👐
Asante sana dear kwa feedback 😙
Ahsante nitajaribu Kesho nitakupa mrejesho ahsante sana momy
❣️ Mashallah ❣️ NAMI ❣️ nitafanya ❣️ inshallah ❣️ Mimi ilinipata Kaz ya kubeba jikon la mkaa Zanzibar kuja nalo Dubai 😢kumbe ilikua Haina haja 😢ama kweli asoju😅 a 💕 maana 😅 haambiwi 💕 maana 😅 ukimwambia 💕 maana 😅 ataona unamtukana 😅 ahsante 💕 kipenz 💕
Ma shaa Allah habiby hakina Mungu akupe umri mrefu recipe zako zinaeleweka sana
Mashallah mie napenda sanaa mapish yako shunass huwa najarib kupik kila kitu nlijari vitumbua vy unga w mchelashallah vilitok uzurrr😘huwa npnd unav elekeza vzr sanaa
Nimependa video ..saana tuu. Asantev
Mashallah..afu maelezo yako ata masito anaelewa shukran
Mkate ni nzuri kweli mashaallah
mmeuliza masuali mengi lakini hakuna hata mmoja aliejibiwa. mmmhhh poleni
shima fuad .. sorry dear umeuliza wapi? Ndio mwanzo naona comment hii kutoka kwako maswali sijayaona, please niandikie hapa, au umeuliza kwenye video nyengine?
Asante na ww my mm nlikuwa naomba Rcp ya vijoya na mikate y Habibi badia za kababu
Ma sha allah wallah napenda unavio elezea uko poa kabisa wangu lov u mpnzi napika izo makulato kama zako sasa alihamdulillah uko mukali wawo allah akujalie kila la heri umetuelimisha sana wangu 😘
Mashallah you are the best. Unaeleza vzr sana. Nimejifunza mno kwako
Mungu akubariki sana vitu vingi natoa kwako
Napenda mapishi ya da shuna nakufuatilia sana
Pika kwa mkaa,mkate mzuri nimeupenda.
Vizuri sana Nami nitajaribu Ku upika mukate huu.
finally I made it mashallaah ❤God bless u
Asante kwa somo la mapishi hii naijaribu nitaleta mrejesho
thnx dear nilikua natamani sana kupika mkate wa kumimina asante sana sasa nimejua ntaupika
Jasmin Rashif .. karibu dear na asante kwa kuangalia
Mashaallah mate umependeza sanaa na maelezo yako rahisi mno kufuata..JazakAllah Kheir☺
Asante kwa somo nilikuwa nawazia jinsi y kupika
MashaAllah, nataka kuanza kujaribu na kikombe kimoja Nipe kipimo tafadhali
Asante kwakutufundisha mapishi. Mi vipimo vya vikombe vinanichanganya ukisema vikombe vinne sijuwi ndoinakuwa mchele kiasigani bora ungetaja nakiasi gani. Kwamfano vikombe vinne nisawa na kilomoja au nusu
Hongera kwa mapishi
mashaaallah tz kwa mapishi big up
Wow ni mzuri kweli
Yani unafundisha paka unaelewa ahsante ninejalibu kupka nami nineweza ahsante
Napenda sana mapishi yenu
Mashaallah,hongera pishi zuri
Mashallah nitapika kesho insha allah utufundishe na vitumbua
Nasra Iddy in shaa Allah asante dear, video ya vitumbua utaipata hapa th-cam.com/video/1GbtxhN_Yqg/w-d-xo.html . Thanks
Masha Allah nimzuri umemtumia mchele upi
Mashallah mkate mzuri sn sn na mie nitajaribu kuupika inshallah
Your explanation is very simple .Thank you
Mashalla nimependa upishi wako dada
Maa Shaa Allah
Naupenda sana mkate wa Sinia
Mawndi Swalhi asante kwa kuangalia dear:)
Hongera sana ss najua kupika vitu vingi kupitia wewe allah akusimamie inshaallah
Maashallah nimejifunza nashkur
Tried this with your recipe for the first time and it’s perfect , I love it , thank you so much.
Much love from Australia 🇦🇺
I'm glad you loved it. Thank you so much for the lovely feedback 😊
Nimesahau kusema Mashallah Mola akubariki
Ameen dear kwa sote. . Asante sana ❤
Mungu Baba wa Mbinguni akubarikisana dada
As alaykum shukran kwa recipe, nilitaka kujua kama nnaweza kupika kwa kutumia unga wa mchele instead of kuroweka
Nzuri sana nimeipenda
Napenda sanaa kujua
We ni mkali nimekukubali upo fasta mashaallah
Shukran dear
Waooo! Mash Allah Nimeipenda bure unaelekeza vizuri sana
mashaaallah upo vizuri sana
Nimependa sana uko vizuri
Hongera sana dada nimependa jee km unatumia nazi ya kawaida utachujia tui upate usagie unaposaga mchele au unaweza ukatia nazi bila kuchuja tui na chicha zake
MashaAllah mapishi maxuri
Wow shukran napenda sana kujua kupika mkate wa kumimina
Lail Meeea .. asante sana kwa kuangalia 😊
Asanta kwa dalasa ubarikiwe sana
Asante sana, unafundisha vzr, Mungu akubariki
Joyce Semazua .. asante sana kwa kuangalia :)