Ameen kipenzi asante.. kusema ukweli sijawahi kujaribu kupika shira ya asali ila tuu km unataka kuepuka kutumia sukari na badili yake kutumia asali basi labda unyunyize kwa juu asali na enjoy visheti vyako
Asante kwa swali lako na pole kwa changamoto.. kwanza pendelea kutumia sukari nyeupe km utakosa basi hy hy nyekundu weka maji na suraki kiwango nilichoeleza pika kwenye moto wa kiasi hk unaisaidia kuikoroga mpk iwe inachemka hakikisha inafanya povu na pia inaanza kuganda ganda kwenye surufia yako ndio hapo ujue tayar kuweka visheti unaweza kuweka kwenye moto hk unavipeta peta na pia viweke kwenye upepo km chinj ya feni ili visaidiwe kukauka na upepo
Usikate tamaa ukifeli jaribu tena mpk utaweza dear ndio kujifunza ata mm kuna vyakula vinanishinda najaribu tena na tena mpk nafanikiwa na wewe utafanikiwa inshallah
Salama. Asante kwa suali lako.. mimi nimefanya vikombe vitatu vya unga ambao haujatimia ata nusu kilo.. nusu kilo ya unga ni sawa na vikombe vinne kwahy kilo 2 ni sawa na vikombe 16 vya unga ambayo ni sawa na mara 5 ya vipimo nilivotumia mm. Kwahy utafanya mara 5 ya vipimo nilivoweka mm km ni nazi kikombe kimoja basi utaweka vitano na vipimo vengine naomba uangalie kwenye description na utaweka kwa idadi ya mara 5 yake.. I hope nimekujibu
Asante dada nimelipenda pishi lako la visheti vya Nazi je kilo Moja ya unga wa ngano ntatumia sukari kiasi Gani ? Napia hapo kwenye kutengeneza Shira sukari itakuwa kiasi Gani na hamira kiasi Gani kadhalika maji pia Mimi Hanzla natoke Dar
Asante na wewe pia kwa suali lako.. mm nimetumia kipimo cha vikombe vya kupimia vya jikoni yaani measuring cups na nimetumia vikombe vitatu ambavo havijatimia nusu kilo. Nusu kilo ni vikombe vinne kwahy kwa unga wa kilo 1, utatumia sukari vijiko vikubwa 4 mpk 5 na hamira utaweka vijiko vitatu vikubwa. Kwa upande wa shira sukari weka vikombe viwili na nusu na maji pia vikombe viwili na nusu. I hope nimekujibu
Ok dear wakati wa kuviweka shira hakikisha visheti vyako vimepoa kabisa ili kuepusha kukatika kwa visheti vyako pia pendelea kuvipeta na sio kuvikoroga sana na ata ukivikoroga basi ukoroge kwa utaratibu na uangalifu pia
Nzuri sana mumy Ubarikiwe sana
Ameen shukran dear
MashAllah MashAllah. Shukrn sn habbty wangu
Afwan hbbty wangu
Mungu akubariki dada unafundisha vizuri saanaa
Ameen.. asante sana
MashaAllah delicious😋😋😋
Thank u dear
MaashaAllah another Zanzibari special donut a common delicious sweet bites
Thank u so much 💓
Mashallah nimependa ❤
Thank u dear 😘
Jazakallah khayran
❤️❤️❤️
Nice❤
Thank u 💓
Yummy Yummy
Thank you 😊
Asante kwa pishi ila mm hakwenye shira nipate ujuzi zaid
Ni muhimu kuiacha shira yk mpk ifanye povu na ukiona imeanza kuganda pembezoni mwa sufuria yk basi ipo tyr hy kuweka visheti vyako
Iyo Sheila nilazima utimize sukari?? Uwezi kutumia Asali??
Ni lazima sukari❤
Ila ahsantee saana umebarikiwa kuwa Mwalimu.
Ameen kipenzi asante.. kusema ukweli sijawahi kujaribu kupika shira ya asali ila tuu km unataka kuepuka kutumia sukari na badili yake kutumia asali basi labda unyunyize kwa juu asali na enjoy visheti vyako
Umetumia samli gan
Hafla .
Maashallah very nice
Thank u maa 😘 💓 😘 💓
Thank you ❤
Ur welcome
Mbn mie nafeli kwenye chila inatakiwa iwe vp naona havimbambi
Asante kwa swali lako na pole kwa changamoto.. kwanza pendelea kutumia sukari nyeupe km utakosa basi hy hy nyekundu weka maji na suraki kiwango nilichoeleza pika kwenye moto wa kiasi hk unaisaidia kuikoroga mpk iwe inachemka hakikisha inafanya povu na pia inaanza kuganda ganda kwenye surufia yako ndio hapo ujue tayar kuweka visheti unaweza kuweka kwenye moto hk unavipeta peta na pia viweke kwenye upepo km chinj ya feni ili visaidiwe kukauka na upepo
Naomba unisaidie kwenye shila
Usikate tamaa ukifeli jaribu tena mpk utaweza dear ndio kujifunza ata mm kuna vyakula vinanishinda najaribu tena na tena mpk nafanikiwa na wewe utafanikiwa inshallah
Ahsant nielienda pish lako mm nahitaj vipimo Zaid ukitumia unga kilo 1 ,1 unusu ,2 na kuendelea please naomba vipimo pamoja na utumiaji wa sukar
Asante kwa suali lako kipenzi.. tayari nimeshajibu kuhusiana na vipimo vya kilo moja naomba some comments ili uweze kuona jibu.. asante
chef kiss🤌🏻💋
💋 😘
Nimempenda darasa lako
Asante sanaaaaa
Habar kama unga wa ngano kr 2 naweka vichanganyio kiasi gani
Salama. Asante kwa suali lako.. mimi nimefanya vikombe vitatu vya unga ambao haujatimia ata nusu kilo.. nusu kilo ya unga ni sawa na vikombe vinne kwahy kilo 2 ni sawa na vikombe 16 vya unga ambayo ni sawa na mara 5 ya vipimo nilivotumia mm. Kwahy utafanya mara 5 ya vipimo nilivoweka mm km ni nazi kikombe kimoja basi utaweka vitano na vipimo vengine naomba uangalie kwenye description na utaweka kwa idadi ya mara 5 yake.. I hope nimekujibu
Na pia nakukumbushia kua nimetumia vikombe vya kupimia vya jikoni ( measuring cups)
Naweza kuvikanda bila sukari nije kutumia shira tu
Ndio unaweza dear
Asante dada nimelipenda pishi lako la visheti vya Nazi je kilo Moja ya unga wa ngano ntatumia sukari kiasi Gani ? Napia hapo kwenye kutengeneza Shira sukari itakuwa kiasi Gani na hamira kiasi Gani kadhalika maji pia Mimi Hanzla natoke Dar
Asante na wewe pia kwa suali lako.. mm nimetumia kipimo cha vikombe vya kupimia vya jikoni yaani measuring cups na nimetumia vikombe vitatu ambavo havijatimia nusu kilo. Nusu kilo ni vikombe vinne kwahy kwa unga wa kilo 1, utatumia sukari vijiko vikubwa 4 mpk 5 na hamira utaweka vijiko vitatu vikubwa. Kwa upande wa shira sukari weka vikombe viwili na nusu na maji pia vikombe viwili na nusu. I hope nimekujibu
Nahitaji unipatie vipimo kikamilif pmaja na upikaji wa Shira vpimo vyake kwa kila saiz ya unga mfano kilo moja
Asante sana my dear hili suali tayar nimelijibu kwenye comment plz naomba usome comment utaona jibu la maswali yako yote.. shukran hbbty
Nitajalibu
Asante dear
Nikikosa nazi naweza tumia ata maziwa ama
Ndio unaweza
Asante dada😊@@RuhysKitchen
MashaAllah ❤hebu munisaidie jamani 😢mm sijui huwa nakosea wapu because time ya kueka shira huwa vyakatika nisaidieni please ni wapi nakosea😢
Ok dear wakati wa kuviweka shira hakikisha visheti vyako vimepoa kabisa ili kuepusha kukatika kwa visheti vyako pia pendelea kuvipeta na sio kuvikoroga sana na ata ukivikoroga basi ukoroge kwa utaratibu na uangalifu pia
@@RuhysKitchen shukran dear🤗acha leo nijaribu inshaAllah
@@FatmaSaid-j9o sure dear nasubir feedback 😃 😊
Naomba unisaidie kwenye shila
Pole kipenzi nimekuandikia maelekezo hebu jaribu hv na.pia sikiliza kwa makini video yangu na ufutae Inshallah utaweza