PART 2: CHANUO - "SIMPENDI TENA MADEBE, NI MKATILI SANA, WATOTO BADO WADOGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 618

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 9 หลายเดือนก่อน +15

    Bi. Chanuo wewe ni mwanamke mzuri insha Allah mwenye zi mungu atakupa Mume.

  • @AminaMohammed-u7j
    @AminaMohammed-u7j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kipenzi chanuo

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 9 หลายเดือนก่อน +9

    Ni mrembo huyu Dada mashallah🎉Allah akufanyie wepesi

  • @ZaynabMsury
    @ZaynabMsury 9 หลายเดือนก่อน +19

    Yaani namwelewa Sana Huyu dada kwa ambaye hajawahi kupitiya hayo mshukuru mungu kun wanaume wapole mpk ukimwambia mtu haamni pol San dada😢😢

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa tumepitia wengi hayo kwakwel cjui wanaume wa siku hizi wapoje

    • @thuwaibamohamed2786
      @thuwaibamohamed2786 9 หลายเดือนก่อน

      Allah atakufanyia wepesi in sha allah , kua na subra malipo hapa hapa duniani ikiwa anajiona jabari mbelen kidogo atalipwa wala usiwe na wasiwasi swali sana mshkuru mungu haki ya mtu siku zote hailiki

  • @elishaelishaedward9454
    @elishaelishaedward9454 9 หลายเดือนก่อน +80

    Jmn Chanuo usilie mungu anamakusudi na wewe hilo nalo litapita tu. Nilikua shabiki wa Madebee Lakini kwa hili ma Left Group

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 9 หลายเดือนก่อน +2

      nimecheka kama mwehu wallah ht mm nimemchukia madebe

    • @hamzarumela1784
      @hamzarumela1784 9 หลายเดือนก่อน +5

      Kwann unahukumu kwa kusikiliza upande mmoja

    • @imanimaulid8304
      @imanimaulid8304 9 หลายเดือนก่อน +1

      DdDDS add a add add z as s

    • @LenatusPosiano-hi7tk
      @LenatusPosiano-hi7tk 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamzarumela1784kula dole mateso yote hayo😢😢😢

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @tidesmwakinyuke8633
    @tidesmwakinyuke8633 9 หลายเดือนก่อน +7

    Dada nakushauri Usiondoke kwenye nyumba komaa,Tafuta mtaji Tu Mungu atakujalia. Wewe ni jeshi Kubwaaaa.

  • @saiddaud3855
    @saiddaud3855 9 หลายเดือนก่อน +23

    Mimi wakwanza nimejitoa siangalii tena filamu zake Tena maana nilikua nikimpenda sana madebe ila kwa haya Mimi nawaomba wakenya wenzangu tumejitoa

    • @collinswesonga1494
      @collinswesonga1494 8 หลายเดือนก่อน

      Wakenya wenzako wapi mmejitoa nao, pumbavu zako ivo, jitoe pekee yako

  • @AsmaAthumani-je8bh
    @AsmaAthumani-je8bh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana chanuo weesimama kama mama pambania watt wako waume wote nawaitaga maumbwaaa 2 unavyoumia mie pia nilipitia hayo ila nimesimama kama mama napambn nia maisha yangu nayamtt wangu

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 9 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭 pole Mwanamke mwenzangu

  • @TabuAdamu
    @TabuAdamu 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wallah da dida huyu dada ameniliza 😢😢😢😢nimetoa machozi mpka nimehisi ni mimi .Mungu awatie nguvu wanawake wote wanaopitia kipindi kama hiki.

  • @salsashmomy
    @salsashmomy 9 หลายเดือนก่อน +19

    Hayo mambo yapo sana jomon omba yasikukute uyasikie tu 😢😢pole sana chanuo.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawake n visirani sn, asa wakipata mtu akiwapigilia msumari ndio huja kujitilisha huruma km ivi, ila kiukweli asa wanawake ndio wanaanza kisha cc tunamaliza, big up sn Madebe🎉

    • @hamidawamba
      @hamidawamba 9 หลายเดือนก่อน +1

      E makubwa ko hao wanawake wote ndio wanashida ? Nisameh ila nakutukana wew ni mjinga

    • @MadamAsya2024England
      @MadamAsya2024England 9 หลายเดือนก่อน

      Hata km ni mwanamme mwenzio unausapoti ujingavkm anaoufanya madebe kumbuka wanawake ni mama zetu .imagine huyu dada ni ndugu yako wa dam ungefirahia ndugu yako apitie hayo.hujui ulitendalo kwa kweli. Na dunia itamfunza

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 9 หลายเดือนก่อน

      @@hamidawamba nimeshakusamehe zamani sn ww endelea kutukana zaidi na zaidi na kamwe mm cwezi jibu tusi wala siumii coz huna tusi jipya utarudiaridia tu😃 ila mm nawafahamu wanawake kwa uzoefu wa kuishi nao lkn pia kwa kuwasoma , yan mwanamme acpokua na ustahimilivu wa hali ya juu anapoishi na mwanamke ndio hutokea hayo, coz wanawake n visirani sn...

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@MadamAsya2024England tatizo lenu n kuckiliza kesi upande mmoja n lazma ule upande mwingine utauona m'baya, ila ukwl huwezi kuujua coz hawezi kuuzungumza ukwl ulivyo hasa, hivi ww unadhani yy huyo Chanuo n mkamilifu hana mapungufu yake? Jeee amesema hata moja na yy alilowahi kumkosea mmewe? Ujue kwmb ukwl hasa bdo haujasemwa mpk pale atakapopewa mda na muhucka wa upande mwingine, yan usihukumu kwa kuckiliza upande mmoja...

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e 9 หลายเดือนก่อน

      Huyu kabila moja sio bure na ndo mibaba ya hovyo kama huyo madebe aan mijaume kero tupu kama wametoka kuzimu aan mtihan

  • @BarakaLusasi
    @BarakaLusasi 9 หลายเดือนก่อน +14

    Pole dada yangu wengi tunapita huko mungu akupe nguvu utashinda

  • @ZuhuraMbonde-t7t
    @ZuhuraMbonde-t7t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bado unampenda mumeo ila mmeshindwa kujuana vizuri mumeo ni penda penda mi natamani usilie Tena pambania maisha Yako mungu atakusimamia.

  • @Emmymajula5838
    @Emmymajula5838 9 หลายเดือนก่อน +1

    W chanuo ww mzuri Sana usilie

  • @HidayaSaidi-j3u
    @HidayaSaidi-j3u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana mungu anamuona

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi kuazia leo sitazami tena move zako madebe unamtesa mdogo wangu chanua

  • @RatifaMohammed-x7t
    @RatifaMohammed-x7t 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mshenzi sana huyo kaka simpendi Tena ata movie zako hatutozifagilia

  • @SophyKhamis
    @SophyKhamis 9 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana chanuo inshallah mung atakufanyia wepes na hili litapta tu kwa uwezo Wa mung

  • @HalimaSuleiman-kt5wi
    @HalimaSuleiman-kt5wi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mama boss usilie kipenz mungu akupe subir kipenz

  • @AristidesKimario-o3f
    @AristidesKimario-o3f 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaaa dada mungu akutie nguvu

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 9 หลายเดือนก่อน +36

    Ila huyu dada anaonekana alimpenda sana mumewe maskini 😢

    • @NajmaHassan792
      @NajmaHassan792 9 หลายเดือนก่อน

      Alimpenda n anajua kuvumilia sana😢

    • @iradukundachriskagawa
      @iradukundachriskagawa 9 หลายเดือนก่อน

      Madebe ndo kaanza kufunguwa ukurasa 😂😂 lazima apendwe 😂😂

    • @KAHINDITV
      @KAHINDITV 9 หลายเดือนก่อน +3

      Ukimsikiliza kwa makini bado anampenda lkn ameona bora amuache aende,inaonyesha pia amepambania sn penz lake lkn wapi co amekuja kwenye mtandao aongee apate ahueni kisha amuache aende anapopenda na yy apate kaz maisha yaende😭😭

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e 9 หลายเดือนก่อน

      Ndio lazima nyie yalinitokea haya kwakwel inauma balaa

  • @hussen8592
    @hussen8592 9 หลายเดือนก่อน

    Naipenda movie yake kaanzaa na Mungu ibariki Tanzania maneno mazuri sana kumbe hivyooo ipo siku nae atapiga magoti

  • @ShijaBoy-y5h
    @ShijaBoy-y5h 8 หลายเดือนก่อน

    Dah kusema kweli nimeumia Sana mi nilikuwa napenda Sana kazi za madebe kuanzia Leo kazi zake Sina mda nazo

  • @abdullnjohole626
    @abdullnjohole626 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kunawakati muda ndio unaamua katika maisha kulio sio mwisho wa matatizo katika dunia kikubwa kumuomba mungu akufanyie wepesi katika maisha yako mtoto sio kifungo utalea siku zote watakuwa tu mungu ndio atawakuza kwakila hali
    Muomba mungu achoki
    Ila mwamba umefeli sana kumliza mwanamke kulia kote unafikilia atakaa anateseka siku zote kilakicholiwa kina stilika muombe msamaa mkeo na alidhie awe hulu na maisha yake yawew ya amani kutoa talaka na kupokea talaka ya kinyong amuna mpe uhulu andelee na yakwake

  • @HadijaMassawe
    @HadijaMassawe 9 หลายเดือนก่อน +2

    Madebe hana tofauti na aliekua mwanaume wangu

    • @fahmafahmavas
      @fahmafahmavas 2 หลายเดือนก่อน

      Haaaaaaaaaaaaaaaàaà labda huna radhaa mwenzangu poleeeeee weeeeeeeeee

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kamambwaimbwaitu asante mtangamwenzangu kwakuwekawazi umefichua mamboyake bigpuusilie mungu yupo

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

    Polesana chanuo niliyapitia hayoo lakini inshaallah utasimama mungu yupoo

  • @ZainabuBiting
    @ZainabuBiting 9 หลายเดือนก่อน +1

    Usijari. Dada. Yangu. Yote. Nichangamoto. Za maisha usirie. Pambana

  • @mrzaggaog2200
    @mrzaggaog2200 8 หลายเดือนก่อน

    Uxipo hajibika kama mke ujuwe kuna mke mwingine zaidi yako
    Madebe lidai ❤

  • @vissedon7847
    @vissedon7847 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn dida wallah nakupenda sana daaaahh...!!eti unajua mwisho wake kipindi chenu kinaraha

  • @MwanaOmary-xn2oh
    @MwanaOmary-xn2oh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ataoa mpaka Majini mwache, mungu akufanyie wepes

  • @ally-26og
    @ally-26og 9 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo madebe mwambieni siku nikikutana nae atajuta kuzaliwa atageuka makopo siku hioo atafurahi na shoo pole saana chanuo mungu mbele yako inshallah biidhinillah

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kweli umechafukwa

    • @ZulfaSalehe-qz4jr
      @ZulfaSalehe-qz4jr 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 9 หลายเดือนก่อน

      Madebe anapiga ngumi balaa,usijaribu kumgusa ukikutana naye😂

  • @NuruFahamu
    @NuruFahamu 9 หลายเดือนก่อน

    pole sana daaha yani nimeumia sana pole mdogo wangu mungu akutie nguvyu katika ichi kipindi ichi kingumu

  • @aggreybenny3070
    @aggreybenny3070 8 หลายเดือนก่อน

    Fungua akaount nyingn mungu atakusaidia

  • @khalidally-m6l
    @khalidally-m6l 9 หลายเดือนก่อน

    Mim nipo zanzibr naomba asijiumize m kiukwer nimeumia san kwani maumivu unayptia niliteseka ila ss nimepona nipo singo nahtji mke km huyo aliepitia kipnd kigumu km m nampnd sn chanuo❤❤❤❤❤

  • @devokiongo6178
    @devokiongo6178 9 หลายเดือนก่อน

    Pole mpenzi jamani hadi nimelia

  • @Ismaisha-r7p
    @Ismaisha-r7p 9 หลายเดือนก่อน +1

    insha'Allah chozilako halianguki bule atakujakwamagoti Munguyupo mpenz polesana my dear angalia MaIsha pambana kwaajiliyawtt wako Mungu atakupa hitaji lamoyowako.

  • @omangalaxy1657
    @omangalaxy1657 9 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhana llahu polesana mwanamkemwanzangu najuwa wakati unapitia najuwahayomaumivi unapitia nishawahi kuyapitia polesana allah akupe subra nanguvu

    • @DeboraPeter-tv4dh
      @DeboraPeter-tv4dh 9 หลายเดือนก่อน

      Haswa Mungu akupe uvumilivu na subra

  • @khalidally-m6l
    @khalidally-m6l 9 หลายเดือนก่อน

    Mim nipo zanzibr naomba asijiumize m kiukwer nimeumia san kwani maumivu unayptia niliteseka ila ss nimepona nipo singo nahtji mke km huyo aliepitia kipnd kigumu km m nampnd sn chanuo❤

  • @SmartFredrick
    @SmartFredrick 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeumia sana mana yaliyo nikuta mimi naona nimitiani yakawaida ila wewe mmm Pole sana Chanuo

  • @AishaMaganga-vd1jg
    @AishaMaganga-vd1jg 9 หลายเดือนก่อน +1

    Chanuo pole my. Usilie kamahivyo! Utakufa uache watoto wako juu ya mwanaume filauni. Mungu akulinde. Wanawake klasiku mnaambiwa msijenge na wanaume. Madebe yamkojo, rudisha akauti yamwenzio kwajili yakupata riziki na watoto wenu sura mchemsho wewe🥺🥺

  • @maisarahnassoro814
    @maisarahnassoro814 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani acha kulia unatuliza wengi unalia kwa hisia sana unaumia ipo siku utafurahi utasahau yaani hadi mtoto hajaingia shule unalia sana hadi mtua akiangalia unajikuta na wewe unalia pole Allaah atakupa mume mwema

  • @UwimanaAmanBreezy
    @UwimanaAmanBreezy 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada yetu daaaaah hadi watoto wake nifala Sana madebe sio mwana ume uyo bana

  • @asminkachengome7428
    @asminkachengome7428 9 หลายเดือนก่อน +3

    Chanuo ww dada mpambanaji na unakipaji sana kuwa n subra ukianguka usichoke kusimama mungu yupo

  • @tunuharun4691
    @tunuharun4691 9 หลายเดือนก่อน

    Pole mdada mzuri

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 9 หลายเดือนก่อน

    Duuh atr nanusu madebe kumbe ww uko ivo pole sana chanuo

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 9 หลายเดือนก่อน +1

    dah pole sana dada unastahili kupata mwanaume mwenye upendo na uelewa na uvumilivu juu ya ndoa. atajua siku ambayo umepata pumziko lako la moyo.

  • @elizabethmunishi-g9y
    @elizabethmunishi-g9y 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uwiiiiii yani pole unapita sehemu ngumu kama nilikopita miaka kumi ilopita but now GLORY TO GOD. yatapita dada japo siyo rahisi sana mwamini Mungu tuu.

  • @AminaAmine-v4m
    @AminaAmine-v4m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee dada dida kwa ushauri wako

  • @AishaMadizel-nm8de
    @AishaMadizel-nm8de 9 หลายเดือนก่อน +1

    @mama ngwajima msaidiye chanuo🙏🙏

  • @MamaChekno
    @MamaChekno 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo aloolewa dada dida nimdogo wangu namuonea huruma

  • @FraidinaMedard
    @FraidinaMedard 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana da chanuo ni changamoto za ndoa

  • @AishaIulo
    @AishaIulo 9 หลายเดือนก่อน

    Pole kipenz yan

  • @khadijaalmas7578
    @khadijaalmas7578 9 หลายเดือนก่อน

    Pole mungu atakujibu Pole sana

  • @shinunaathanas
    @shinunaathanas 9 หลายเดือนก่อน

    Dah nimeumia sana jmn wanaume, pole dada chanuo ayo ni mapito shetani yupo kazini ,Mungu atakufanyia wepes yatapita ayo yamda msilie ila shukulu

  • @hoseagwimo-ti5px
    @hoseagwimo-ti5px 9 หลายเดือนก่อน

    Ustawi wa jamii ipo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake na watot wanaonyanyaswa, uyo madebe afkishwe ofis za ustawi. Polee san Chanuo

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli asiwape maneno yake mpaka wakamuona yy ni mkweli simwaamini

    • @hoseagwimo-ti5px
      @hoseagwimo-ti5px 9 หลายเดือนก่อน

      @@Zainab_salat ustaw wa jamii n sehem sahih ambay inaskliza pande zote mbil na kufany uchunguz wa kijamii kuthbitisha anayoyasem mdai na mlalamikiwa

  • @lehabbizdoncare8574
    @lehabbizdoncare8574 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hata hili litapita kipenzi, pole sana

  • @MagdalenaHoja-jh9qg
    @MagdalenaHoja-jh9qg 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu anisamehe madebe ni mbaya wasura ata aendani namrembo uyu,achana nalo limadebe kwenye nyumba usitoke rud kwenye kuigiza basiii

  • @Mwaka-f1m
    @Mwaka-f1m 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mamy yote mitihani ya maisha na mungu haezi mpa mja wake mtihani asio uweza mamy Mungu yuko kilakitu kitakua sawa😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @YustinMoheli
    @YustinMoheli 9 หลายเดือนก่อน

    Pole san chanuo usilie jipe moyo utashind huwez jua mungu amekuepush namangp yanbelen esabu haikuwa lizk namwingne atakja zaid yake❤

  • @AikaKassa
    @AikaKassa 9 หลายเดือนก่อน

    Tupo weengiii...

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana chanuo kipenzi chetu wanaume mda mwingine wanakera ila nakushauri t achana nae fanya maisha yako

    • @InnohubGroup
      @InnohubGroup 9 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi sana

  • @glorygodson
    @glorygodson 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Pole sana Mungu awe no moja kwako muachilie msamehe anza maisha yako upya naamini Mungu amekupitisha hapo darasani usome ujifunze minazani wale watu wanaojifanya waelimisha jamii ndio wanaongoza kufanya uhalifu nakupotosha jamii chozi lako haliendi bure Mshukuru Mungu sana dada Mungu atakusaidia

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 9 หลายเดือนก่อน

    Aaaa,! Chanuo ,huyu dada anahitaji mwanaume atakayempenda upendo wa dhati hadi asahau machungu, pole sana.

  • @JoliSadi-j8x
    @JoliSadi-j8x 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada yangu

  • @iluminatamkinda
    @iluminatamkinda 9 หลายเดือนก่อน

    Chanuo iyo mitiani tuuh mungu ata kupitisha inshaallah

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 9 หลายเดือนก่อน

    Soo painful.... Pole my... Madebe roho mbaya kama sura yake

  • @nurunisa6314
    @nurunisa6314 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ndio ulimwengu huo

  • @SayuniDonald
    @SayuniDonald 9 หลายเดือนก่อน

    Daaah ndoa madebe unadhambi Pole chanuo umepitia magumu sana

    • @SayuniDonald
      @SayuniDonald 9 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢

  • @hassanboru
    @hassanboru 9 หลายเดือนก่อน

    Pole Dada yangu mungu akupe mume mzuri usilie siz ❤️ madebe

  • @ChoziJerry-d4k
    @ChoziJerry-d4k 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akufanyie wepesi babyyy inshalla 🥺🥺🥺😔🙌🏾

  • @KENNEDYMHALANI-y3j
    @KENNEDYMHALANI-y3j 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada nilikuwa mfusi wake sana lkn nimemtoa akili

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakupa mume mwema madebe kumbee ndio alivo looh

  • @ZakiahajiKesi
    @ZakiahajiKesi 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kipenz

  • @KimZoo-gx7do
    @KimZoo-gx7do 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mwaya chanuo kwakupokea nguo ya mtu alie uchi

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 9 หลายเดือนก่อน

    Wakaka wapole 🙌🙌🙌🙌

  • @RsPhotography-c1x
    @RsPhotography-c1x 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dada watu mzuri mwenyewe

  • @mariamega8337
    @mariamega8337 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani pole sana ila atalipwa na mungu

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 9 หลายเดือนก่อน

    Nauyo mke mpya atie maji kbs mwenzio kashanyorewa😮😮madebe jinga sana nasura yako ngumu

  • @EvelinJuma
    @EvelinJuma 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dada
    Ninakuelewa sana mm nimesha wahi kuishi na mwanaume kama huyo ninamuelewa sna Yani wanaume kama hao jaman wapo Yani mtu haamin mpka atokewe umesha nitokea hiyo na inauma sna 😭😭😭😭ila mm kusema ukweli wangu madebe anaonekana tu hayuko sawa kabsa sio mtu mzuli huyo kabsa inauma mapenzi yanauma san jamoni

  • @stellarogath1876
    @stellarogath1876 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kwa changamoto kubwa za ndoa unazopitia.
    Nakuomba kwanzia sasa, jali na angalia sana watoto wako, jikite kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wako, achana na kitu kinaitwa mapenzi, mapenzi yako elekeza kwa watoto wako. Inatosha.

    • @doreenkihampa7204
      @doreenkihampa7204 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa apende watoto wake huyo sio mwanaume

  • @YusuphKajembe
    @YusuphKajembe 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ipo siku uraha yako itarejea tena na uyo madebe anajialibia jna lake

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 9 หลายเดือนก่อน

    Tazizo upande moja wa story uwa unafanya umuone mbaya sana yule anaezungumuziwa, tuleteeni na upande wa pili wa madebe ndo tujue machoz hayawezi kutufanya tumujaji madabe

  • @SharmilaUrembo
    @SharmilaUrembo 9 หลายเดือนก่อน

    Chanuo usijar kila mtihani ni neema mungu amekuandalia neema kubwa mbele muombe mungu

  • @Chumpa_96
    @Chumpa_96 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana Dada,, ila anachosema Dida kuwa wanaume tumekuwa katili, ni kweli kama anavyosema ila wanawake wamekuwa kama wafanyabiashara wanapenda kitu kwa mwanaume ndio maana tunakuwa kama tunawakomesha hivi, ila kukomesha huku kwa madebe ni Too much...

  • @RechoMakono-rd6qj
    @RechoMakono-rd6qj 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu ukweli wanaume wenye tabia kama hizo wako wengi sana

  • @ssssd9546
    @ssssd9546 9 หลายเดือนก่อน +5

    Naba yachanuwo tumusadiye weye tuko kenya🇰🇪

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 9 หลายเดือนก่อน

      Watatoa ndg zetu wakenya tunawapenda hii story inauma saaaana

  • @kerryrummy633
    @kerryrummy633 9 หลายเดือนก่อน

    She is so beutifuly changamka mabwana wapo wanaokutaka😂

  • @YohanaAmosi-ng3fe
    @YohanaAmosi-ng3fe 9 หลายเดือนก่อน

    Maisha yana changamoto sana.Mungu atuepushe

  • @pahesalmakai6005
    @pahesalmakai6005 9 หลายเดือนก่อน

    Jamni usiliye chanuo mwachiye mungu kwachozi lako atalilipia siku moja Madebe laana unayo kwamachozi yamkeo😢😢😢

  • @HadijaMohamed-r9b
    @HadijaMohamed-r9b 9 หลายเดือนก่อน +1

    Madebe kumbuka kama Kuna Mungu kutesa mkee na watoto wajifanya mzuri kuogeza kutaka sifa kwatu kwako kwaharibika Mungu atalipiya huyo mwanamke kwa chozi lake Allah atakufanyia wepesi dada

  • @gullkhan3399
    @gullkhan3399 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nimelia kwawuchung😭😭😭😭allah akuekee wepes kwakila jambo

    • @aminamohammed-rq7ew
      @aminamohammed-rq7ew 9 หลายเดือนก่อน

      Dah nimelia kwa uchungu sana allah akujaalie subra na uvumilivu insha Allah 😢

  • @LeahMsisa
    @LeahMsisa 9 หลายเดือนก่อน

    Dah! Mm nimeumia sana jaman dada pole na mungu akutie nguvu na hiyo nyumba usiiachie pamban ili uishi na watoto kwa amani

  • @kombokichwa815
    @kombokichwa815 9 หลายเดือนก่อน +5

    Shanua pambana usilie wanaume wapo weng tu endeleza maisha yako achana nae

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน +1

      Sio shanuo ni chanuo😂😂😂😂 jamani

    • @kombokichwa815
      @kombokichwa815 9 หลายเดือนก่อน

      @@Zainab_salat 😂😂😂😂😂

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน

      @@kombokichwa815 umefurahi? 🤣🤣🤣🤣

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana my mungu atakusaidia baadhi ya wanaume mungu anawaona😭😭

  • @maisarahnassoro814
    @maisarahnassoro814 9 หลายเดือนก่อน

    Kilio cha huyu dada kinaumiza yaani unamuonea huruma jamani pole sana Allaah atakupa mume mumeo na yote utasahau utakumbuka ukiwa unatabasamu pole sana

  • @PatrickTeshaTesha-zp4ld
    @PatrickTeshaTesha-zp4ld 4 หลายเดือนก่อน

    Hatari hataaariii🤭

  • @fortunatajuma5822
    @fortunatajuma5822 9 หลายเดือนก่อน

    Pole dada,Mungu akutete jaman

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli 9 หลายเดือนก่อน

    Pole dada inauma xana tuliza akili ucje ukashindwa kulea watoto,