JE, WINGI WA WATOTO NI DALILI YA KUFURAHIA TENDO LA NDOA?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Asanteni vipenzi vya Allah mada nzuri mmependeza mungu awalipe kila la kheri.... nawapenda sana
😂😂😂😂 hapo hapo Masha Allah
Ttz la ndoa za sasa mtu anampenda mtu fulani lkn anaolewa na mtu mwengine. Na hili kwa %65 linaharibu hisia za wanawake. Mume unakazi ya kumfanya mkeo akili yake isimuwaze mwanaume wa ndoto zake na akuwaze ww mumewe uliomuoa
Hicho hakiwezekani, akili ya mwanamke haibadiliki na mwanamke ndie mwenye mapenzi kama hayapo hayapo tu hata umpe nini lakini mwanamme kama vile hamjuwi anaempenda, mwanamke akiweza tu kumteka.
Dah ndoa bila ya Elimu ni shidah, .
Mada ni nzuri sana wapenzi ila kiukweli mwanaume akijukumikq majukumu yake kama mm Hana budi kufurqhiq tendo la ndoa,sio kila kitu mama Kisha yy yake haki yake tu no