ISIKUPITE: HISTORIA ALIYOITOA MAMA YAKE HAJI MANARA TOKA ANAMZAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2019

ความคิดเห็น • 265

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 5 ปีที่แล้ว +69

    mungu awabariki wakina mama wote duniani AMEN

  • @hassanisaid3368
    @hassanisaid3368 5 ปีที่แล้ว +368

    nani kama mamagonga laiki yako apa

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 5 ปีที่แล้ว +14

    MBNA nimetoa machozi ...
    Nmemmiss pia mama yangu💟

  • @festontumemmakasa1764
    @festontumemmakasa1764 5 ปีที่แล้ว +31

    wise words from this woman. kuna vingi vya kujifunza kutoka kwake kwa wazaz wenye watoto wa ukosefu au disability yoyote.

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 5 ปีที่แล้ว +68

    Mama Haji Unao Busara Nimejikuta Nalia 😢 😢

  • @agnessmweli4433
    @agnessmweli4433 5 ปีที่แล้ว +34

    Kamera man hajui kuchukua video bhna kama unaamini ivo gonga like twende sawa

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +27

    Mama Haji umeongea vzr na vema kumbariki mtoto. Nimekupenda endelea kuwa mama bora. Haji masemaji wa Simba hongera sana kwa haya makubwa ulofanya barikiwa sana.

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 5 ปีที่แล้ว +56

    Maashaallah, mama anavyoongea sauti na lafudhi yake kama mama salma kikwete

  • @nassbnassoro1644
    @nassbnassoro1644 5 ปีที่แล้ว +182

    Nani kama Mama? Tuliobahatika kua na mama tusiwaangushe mama zetu, tuwatunze na kuwathamini siku zote. Wale wazazi wao waliotangulia mbele za haki, Mungu awasamehe mazambi yao na awaandalie makazi mema huko walipokwenda, ameen!

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 5 ปีที่แล้ว +9

    Mama mwenye busara utamsikia tu kwa maongeza hata kama aujamuona ongera sana mama haji

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 5 ปีที่แล้ว +38

    MashaAllah mama ni mama

    • @paulomavado3736
      @paulomavado3736 5 ปีที่แล้ว +1

      Haswa

    • @kazunzutv4488
      @kazunzutv4488 5 ปีที่แล้ว +4

      Nahs kameraman alipagawa na hekima za mama,,,,,

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 ปีที่แล้ว +1

      Zamzam Hamisi assalaaaamu alaykum .naomba uangalie nikiimba Arabic kaswida th-cam.com/video/7jjKt7AQgNs/w-d-xo.html

    • @husseinnandule6575
      @husseinnandule6575 5 ปีที่แล้ว

      Kwa Waislam sivizuri kuonyesha sura mwanamke

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว +55

    mama yako mzuri anabusara sana nimependa sana

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +21

    mashallah mama anaekima zake allha amueke na ss mama zetu waliyo tangulia allha awarehemu pia lnshallah

    • @mashakapeter9860
      @mashakapeter9860 5 ปีที่แล้ว

      Nani kama mama? Jifunzeni hata akinamama wengine,acheni kuua watoto kwa kuwatupa porini na chooni

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 3 ปีที่แล้ว

      Masha'allah mama ameongea kwa hekima na busara nime jikuta machozi yana nitoka Allah awape umri mzur mama zetu na awa rehem wazee wetu walio tangu lia mbele ya khaki

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah hongera Sanaa mamaa yetu hakuna mtt mbaya tumboni kwa mama yake ❤️❤️❤️❤️

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah tabarakallah mama mngu akuzidishie umri

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 5 ปีที่แล้ว +12

    Hakuna kama mama💞

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukiwa unapata maneno mazuri km Hy kutoka kwa mama mzazi bc ni njia kubwa sn ktk maisha yk

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 3 ปีที่แล้ว

    Haji you have a beautiful mom and smart. Mungu azidi kumbariki na azidi kumpatia busara aliyekuwa nayo zaidi.

  • @rahmanassor2652
    @rahmanassor2652 3 ปีที่แล้ว

    woww kumbe mama akke haji anaitwa RAHMA
    MAJINA YA RAHMA TUTAPATA SHIDA SANA MWANZO ALHAMDULILAH

  • @ibraheemkathir5407
    @ibraheemkathir5407 5 ปีที่แล้ว +15

    huyu mpiga picha hafai nn na mgongo wa mama wa watu jaman

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 5 ปีที่แล้ว +9

    Maa shaa allah hongera mama

  • @maisaalawi5399
    @maisaalawi5399 5 ปีที่แล้ว +4

    mashAllah.

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Haji, Mungu azidi kukusimamia

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +5

    Japo hajageuka ila huyu mama ni mrembo, yani mzuri.

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaa allah mama

  • @sabrahmrope5999
    @sabrahmrope5999 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @barakamwakajibha5585
    @barakamwakajibha5585 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe pia kina mama wote mbarikiwe

  • @mako331
    @mako331 3 ปีที่แล้ว +1

    This is a very touching story, ubarikiwe Mama

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki mama Haji, lion lady, umenikumbusha mbali mno, tuzidi kuwaombea watoto wetu

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 5 ปีที่แล้ว +72

    Sasa nyinyi mna tuonesha mugongo ili iweje

    • @wemapingu8937
      @wemapingu8937 5 ปีที่แล้ว +3

      Hata mm nashangaa mpiga picha sijui alivuta cha wapi

    • @faridahmustafa3866
      @faridahmustafa3866 5 ปีที่แล้ว +1

      Wallah nmechka San 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @arafaerasto171
      @arafaerasto171 5 ปีที่แล้ว

      Sasa unataka sura ili ufanyeje?

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana Mama Mungu atakutangulia Daima

    • @harunilibangite7205
      @harunilibangite7205 3 ปีที่แล้ว

      Bora hata umenisaidia

  • @justinluwumba584
    @justinluwumba584 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana haji! mungu akutangulie

  • @miriamlucian9646
    @miriamlucian9646 3 ปีที่แล้ว +2

    E mungu mlinde mama angu

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 5 ปีที่แล้ว +16

    Pesa sabuni ya roho
    Mama hajazeeka kabisaaa jamnii

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 ปีที่แล้ว

    AMEEN! Insha Allah.. ALLAH atamuongoza hili kufikia ndoto zake.

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah haji manara na mama akeee

  • @adoniamaseneje5669
    @adoniamaseneje5669 5 ปีที่แล้ว

    Maneno mazuri sana
    Kutoka kwa mama
    hakika haj umefanya
    jambo kubwa sana
    na Mungu akuzidishie

  • @rashidalshaidhani765
    @rashidalshaidhani765 5 ปีที่แล้ว

    Mama Haji mungu akubariki sana ww na wanao wote. Umekuwa mwema sana kwa mwanao bila kujali hali yake

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 5 ปีที่แล้ว

    Wamama wanaojielewa marshallah barakaĺlahu fiykum

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +2

    Mama bora, hongera sana.

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 ปีที่แล้ว +3

    Mama anajitambua hakuna ka mama🤩✔

  • @jenephjany7445
    @jenephjany7445 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mama unaongea vzr hadi raha"una busara sana

  • @rukyahassansuleiman5977
    @rukyahassansuleiman5977 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah mama anazungumza vzr

  • @sanuraissa3834
    @sanuraissa3834 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sahii 😍

  • @athumanathuman4002
    @athumanathuman4002 5 ปีที่แล้ว +5

    💥💥💥🙏🙏🙏👏

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 ปีที่แล้ว

    Daaaaah Safi sana mama

  • @shabaniathumani2593
    @shabaniathumani2593 5 ปีที่แล้ว

    manshallah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mama💗💗💗💗💗

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 2 ปีที่แล้ว

    Amina Ubarikiwe mama

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mungu akupe sahaa🤲

  • @joshuamagoti5029
    @joshuamagoti5029 5 ปีที่แล้ว +10

    hongera kwa mama wote

  • @jumbutv9165
    @jumbutv9165 5 ปีที่แล้ว +11

    Jaman tunataman kuona sura mama Haji

  • @tajjudinihaji2776
    @tajjudinihaji2776 3 ปีที่แล้ว

    Mama mashaa allah lakn mgongo uko wazi umri umekwenda haji amesoma dini kidogo .sasa haji fanya usia kidogo kwa mama sio kumwita kwenye media tu

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 5 ปีที่แล้ว +2

    Amin😙

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe manara ana vidada duh sio mchezo japo sjaviona vzr ila vinapendeza kdg

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 ปีที่แล้ว +4

    Maneno ya wazazi yamegonga yafikirie kabla ya kufanya kitu ni njia yako katika mafanikio.

  • @barakanaiji5657
    @barakanaiji5657 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @shadownandondenandonde1952
    @shadownandondenandonde1952 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amzidishie

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว

    Very good Haji mother

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mama kumwezesha mwanao haji kusoma

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mama manara mama ni namba moja

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว +9

    Dah stry nzuri sana ya kujifunza 💯🔥

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 5 ปีที่แล้ว

      Ilhaam Marshed assalaaaamu alaykum .naomba uangalie nikiimba Arabic kaswida th-cam.com/video/7jjKt7AQgNs/w-d-xo.html

    • @jumabakari2354
      @jumabakari2354 5 ปีที่แล้ว

      Ilhaam Marshed safi

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 ปีที่แล้ว

    Mama anasauti nzuri Sana mashaallah

  • @khadijafeda8598
    @khadijafeda8598 6 หลายเดือนก่อน

    Mama anaongea katulia yan smart momy dah hadi raha

  • @bonyk7561
    @bonyk7561 5 ปีที่แล้ว +7

    Cameraman vip duuh

  • @getrudamatoto5277
    @getrudamatoto5277 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mama 🙏

  • @mashamwaki6384
    @mashamwaki6384 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallah hakuna km mama allah akujaalie khatma njema inshaallah mama

  • @tausimwambujule1642
    @tausimwambujule1642 5 ปีที่แล้ว

    Mama Marshaalah

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Mama mrembo na Mwenye hekma 🙏😘

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Mama mashallah, speach ya Mama konk sana.

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +2

    Nani kma Mama😢😢

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 3 ปีที่แล้ว +1

    Millad jamaa wako wa camera asimama kama mti ata hayumbi kachemsha aah..ata sura ya mama hajji hatujamuona vzuri pamoja na mjombake 😂😂😂😂

  • @joramkumbemba4810
    @joramkumbemba4810 3 ปีที่แล้ว

    Mama umetuletea bwege, hongera

  • @deborahalphonce6793
    @deborahalphonce6793 5 ปีที่แล้ว

    Mama ana hekima sana

  • @elvirakaganda3807
    @elvirakaganda3807 5 ปีที่แล้ว +2

    I'm crying 😭😭😭 I can't take it

  • @ashuraomary4475
    @ashuraomary4475 4 ปีที่แล้ว

    Hongerasanamama

  • @klischcafe394
    @klischcafe394 3 ปีที่แล้ว

    mama unazungumza vizuri kiswahili

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 3 ปีที่แล้ว

    💐💐😘

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว

    masha Allah mbona mummy bado kaschana

  • @sofiajames8908
    @sofiajames8908 3 ปีที่แล้ว

    Mamake uyo wawooo

  • @willymbwambo2965
    @willymbwambo2965 3 ปีที่แล้ว

    good

  • @allykitime8114
    @allykitime8114 5 ปีที่แล้ว +2

    MAMA

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mama

  • @mpembadickson9846
    @mpembadickson9846 5 ปีที่แล้ว +33

    Jamaa wa kamera alikuwa kategesha haf kalala usingz"

    • @kessyemmanuely7705
      @kessyemmanuely7705 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaha

    • @vanjerry1794
      @vanjerry1794 5 ปีที่แล้ว

      Ygfj c k v I'm by I'm c b hi m toboggan😮😬 💚💘💛💜💓💔💕💖💗💘💝💞💟👍👎👌✊✌✋👊☝👆👇👈👉👋👏👐

    • @enockmwambamkubwatz3215
      @enockmwambamkubwatz3215 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 ปีที่แล้ว

      Umejuaje huenda mama mwenyewe ndiyo alikuwa hataki aonyeshwe kwenye kamera

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @reubendick4033
    @reubendick4033 5 ปีที่แล้ว

    Daaah mama mzuri Sana hakuna Kama mama

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 5 ปีที่แล้ว

    😗😗

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 4 ปีที่แล้ว

    Haji manara uwa anajinasibu kwamba yeye ametoka ktk familia yenye malezi ya kidini lkn Leo namuona mama yake akiwa kichwa wazi na sio ktk maadili ya kiislamu huu ni msiba

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 ปีที่แล้ว +7

    sijawahi kuwa na mapezi na mama toka nimezaliwa mpaka hapa nilipo

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 5 ปีที่แล้ว +2

    Nani kama mama,hingera Hajjih Manara mama bado mdogo hivyo.!

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwnn mmempiga picha kisogoni?

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 ปีที่แล้ว

    mama ndiyo huyo,baba Sunday Manara unategemea nini""Mungu bwana acha aitwe MUNGU.

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa dislike ni nini hapo. Kuna watu wanumwa ugonjwa wa sipendi kila kitu.

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kama mama

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 5 ปีที่แล้ว

    Sura haonyeshi

  • @nururasheed7992
    @nururasheed7992 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mama anaongea vizur

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 ปีที่แล้ว +13

    Muonekano tofauti na uislam Pole sana

    • @mimahmimah8793
      @mimahmimah8793 5 ปีที่แล้ว +3

      Ndio namm najiuliza jamani watu wanamajina yakiislamu mavazi mtihani duh Allah atustiri yan ckuizi mtu mpka afe ndio utajua ni dini gani

    • @mamyally958
      @mamyally958 5 ปีที่แล้ว +1

      Zainabuh Mbabazi we acha tu ummati uliombiwa ni bora umma mtukufu lkn hatimae tunaelekea siku daah Allah atustiri

    • @kassimelseudally4825
      @kassimelseudally4825 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli yani mtihani sana hii dunia Allah atulinde tu.

    • @mamyally958
      @mamyally958 5 ปีที่แล้ว

      Kassim El Seudally aamin

    • @zahrachangalia4218
      @zahrachangalia4218 5 ปีที่แล้ว

      Utandawazi unatuathiri sana....kiukweli hatufuati misingi ya dini yaani tunakili kwa mdomo lakini moyoni mhh😰😰😰

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว

    Nimelia walah

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    Mama huyu shujaa kweli Kama ni Mimi ningekua na stress kweli

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 ปีที่แล้ว

    Hamumuoneshi sura sasa

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 5 ปีที่แล้ว +3

    Cameraman Technofobia