Bro uko vizuri. Nilifutalia siku moja juu na nikaendesha. Ila sasa naomba namna ya kuwasha indicator ukiwa barabarani . Mimi sipend kuendesha kwa speed sana . Tambarare natumia gia namba 3 . Mlimani namba 1 na 2. Vp iko sawa
Kaka tunashukuru kwa kutufundisha mungu akubariki Sana. Naomba nisaidie kujua ipi pikipik ambayo ni ngumu na isiyo kua na magonjwa mengii kati ya tvs , boxer au hero hunter.?
Support yako kusubscribe 🙏 Hero hunter sina uzoefu nazo,,ila TVS na Boxer ni pikipiki nzuri sana kwa kutembelea,,,chaguo lingine ambalo kwangu ni the best ni Haojue EG yenye 125 cc
naomba kujua kama ntahitaji kupangua gia zote kwa wakati mmoja ni lazima kila ninapopangua niwe nashika cruch na kuachia au naweza pangua zote bila kuachia cruch
Support yako kusubscribe 🙏 Unaweza pangua zote mfululizo bila kuachia crutch,,kwa mfano upo gear namba tano na speed ni 60 na unaikaribia kona basi utashika crutch na kupangua moja moja bila kuachia crutch
Support yako kusubscribe na kushare... Gear number 1 ni kuondokea lakini pia gear namba moja na mbili ni gear za kutumia kwenye mazingira sumbufu kama mlima,mchanga mwingi na matope kwa sababu ndo gear zenye nguvu kwenye mazingira kama hayo,,,,gear namba 3 hadi tano ni gear za high speed kulingana na mtirirko wake,,,hivi karibuni nitaleta video ya kuonyesha kutoka gear moja kwenda nyingine inahitaji dakika ngapi mpaka kubadili gear kwenda inayofata
Support yako kusubscribe 🙏 TVS zinatofautiana lakini ambayo nishawahi tumia mimi ilikuwa gear zote unakanyaga kurudi nyuma kwa maana ni opposite ya hii Boxer 150
Itagemea na ukubwa wa mlima,,kuna sehemu hata namba tano inamaliza,,ila kama mlima mkubwa ni namba moja au mbili....so ukubwa wa mlima ndo cha kuangalia maana hata namba tatu pia inamaliza milima midogo midogo
Well articulated 🎉
Support yako kusubscribe 🙏
Your support to subscribe 🙏
I have been looking for such tutorials
Great 👏 👏
Imekaa poa
From kenya... Nashukuru sana
Asante sana..
Support yako kusubscribe
Umetisha sna broo
Support yako kusubscribe na kushare kaka
Bro uko vizuri. Nilifutalia siku moja juu na nikaendesha. Ila sasa naomba namna ya kuwasha indicator ukiwa barabarani . Mimi sipend kuendesha kwa speed sana . Tambarare natumia gia namba 3 . Mlimani namba 1 na 2. Vp iko sawa
Upo sawa kabisa kaka,,,ila kwenye tambarare unaweza ukamaliza gear zote na ukawa kwenye speed ya kawaida tu
Kaka tunashukuru kwa kutufundisha mungu akubariki Sana. Naomba nisaidie kujua ipi pikipik ambayo ni ngumu na isiyo kua na magonjwa mengii kati ya tvs , boxer au hero hunter.?
Support yako kusubscribe 🙏
Hero hunter sina uzoefu nazo,,ila TVS na Boxer ni pikipiki nzuri sana kwa kutembelea,,,chaguo lingine ambalo kwangu ni the best ni Haojue EG yenye 125 cc
Noma sana
naomba kujua kama ntahitaji kupangua gia zote kwa wakati mmoja ni lazima kila ninapopangua niwe nashika cruch na kuachia au naweza pangua zote bila kuachia cruch
Support yako kusubscribe 🙏
Unaweza pangua zote mfululizo bila kuachia crutch,,kwa mfano upo gear namba tano na speed ni 60 na unaikaribia kona basi utashika crutch na kupangua moja moja bila kuachia crutch
Good work. 2.9K views 🔥
Boi naomba kujua kazi ya kila gear na kwa muda sahihi kwa mfano tunajua gear namba 1 ndio ya kuanzia Safar
Support yako kusubscribe na kushare...
Gear number 1 ni kuondokea lakini pia gear namba moja na mbili ni gear za kutumia kwenye mazingira sumbufu kama mlima,mchanga mwingi na matope kwa sababu ndo gear zenye nguvu kwenye mazingira kama hayo,,,,gear namba 3 hadi tano ni gear za high speed kulingana na mtirirko wake,,,hivi karibuni nitaleta video ya kuonyesha kutoka gear moja kwenda nyingine inahitaji dakika ngapi mpaka kubadili gear kwenda inayofata
@@EzekielTv49 nimekuelewa mkuu unafanya content nzuli keep it up
@@linusalisen991 Support yako kusubscribe na kushare 🙏
Uko vizuri bashauri jtengeneze group kwa njia ya WhatsApp tujifunze pia.
Support yako kusubscribe 🙏
Nitalifanyia kazi hilo puay
❤
Kaka Naomba Kujua ipi ni pkpk inafaa kwaajiri ya kubebea mizgo kutoka shamban yaan mbugan kwenye Tope ?
Support yako kusubscribe 🙏
Pikipiki zenye uwezo kwa ajili ya hizo kazi ni Kinglion na Haojue GN,,,,Kwa uzoefu wangu hizi zina nguvu ya kutosha
Videos zinazofata tueleze ni mazingira gani unapaswa kutumia hizo gear no 1,2,3,4,5 na N
Pia jinsi ya kukata kona
Nimekupata brother
Bro tvs cc150 gia zake ziko kama hiyo boxer
Support yako kusubscribe 🙏
TVS zinatofautiana lakini ambayo nishawahi tumia mimi ilikuwa gear zote unakanyaga kurudi nyuma kwa maana ni opposite ya hii Boxer 150
na kama uko kwa mlima unatumie gear number ngapi
Itagemea na ukubwa wa mlima,,kuna sehemu hata namba tano inamaliza,,ila kama mlima mkubwa ni namba moja au mbili....so ukubwa wa mlima ndo cha kuangalia maana hata namba tatu pia inamaliza milima midogo midogo
@@EzekielTv49 poa bro
Hey
Hii chuma ni bei gani?
Mkoa nilipo mimi ni 3,500,000,,,bei zinatofautiana kulingana na mkoa,,,ukiwa karibu na Dar nadhani bei inaweza pungua zaidi
@@EzekielTv49 Me nipo Singida
Sijajua pande hizo inaweza kuwa sh ngapi lakini ni zaidi ya million 3 sababu Dar mpaka singida ni mbali pia@@Denis-Geodesist
@@EzekielTv49 poa poa
ATI 3.5m😂@@EzekielTv49
We mbwaaa me ndo nkuweka mjini by p
Kindly with due respect ma Swahili ain't good,mix some English if you don't mind
I will try even though I'm not good in English